podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Dr. Rutasingwa
Shows
Afya Talk
Waridi 02: Saratani ya Shingo ya Kizazi
Katika Kuadhimisha siku ya wanawake Duniani, nakukaribisha kwenye series hii fupi ya Waridi. Kila siku kuanzia Tarehe 7 mpaka 11 Juma hili saa tatu asubuhi jiunge kusikiliza mambo mbalimbali; nikiangazia Saratani, Afya ya Uzazi, Unyanyasaji Kijinsia Nk. Karibu uweze kushirikisha wengine.
2022-03-08
11 min
Afya Talk
Waridi 01: Saratani ya Matiti
Katika Kuadhimisha siku ya wanawake Duniani, nakukaribisha kwenye series hii fupi ya Waridi. Kila siku kuanzia Tarehe 7 mpaka 11 Juma hili saa tatu asubuhi jiunge kusikiliza mambo mbalimbali; nikiangazia Saratani, Afya ya Uzazi, Unyanyasaji Kijinsia Nk. Karibu uweze kushirikisha wengine.
2022-03-07
11 min
Afya Talk
Eczema
Inawezekana mara kwa mara umekuwa ukisikia neno 'Eczema' na watu wakilala kuhusu kusumbuliwa na hilo tatizo. Leo kwenye Afya Talk, nimekuwekea Muhtasari kuhusu hili tatizo na kukupa ushauri yapi ya muhimu kufanya. Sikiliza kupita Podcast channel yoyote na shirikisha wengine.
2022-02-24
09 min
Afya Talk
Fahamu kuhusu Chunusi
Katika Misri ya kale, Mayai ya mbuni yalitumiwa kutibu chunusi! Je wewe unatumia njia gani?! au umewahisi kusikia njia gani? Leo nimeeleza kuhusu yapi ya kuzingatia juu ya Chunusi na namna gani ya kujisadia mwenyewe. Karibu Usikulize na kushirikisha wengine.
2022-02-22
08 min
Afya Talk
Fahamu Kuhusu Kiharusi
Moja kati ya matatizo ya kiafya yanayowakumba wengi kwasasa ni kupooza kutokana na kiharusi. Leo nimezungumza kuhusu dalili na visababishi vya kiharusi kwa ufupi. Unaweza kusikiliza hapa.
2022-02-21
06 min
Afya Talk
Maumivu ya Kichwa.
Je wajua kuwa kutokunywa maji kuna weza kukufanya uumwe na kichwa? Yako mengi leo tukitazama kuhusu sababu za watu kuumwa kichwa mara kwa mara, dalili hatarishi, nk! Sikiliza sasa!
2022-02-18
09 min
Afya Talk
Mazingira na Afya
Mazingira yanayotuzunguka yanahusiana kwa karibu sana na afya zetu. Magonjwa mbalimbali kama Kipindupindu, Minyoo nk husababishwa na Mazingira yasiyo salama. Karibu tena kwenya Afya Talk, kujifunza na kushirikisha wengine.
2022-02-16
13 min
Afya Talk
Chakula Na Afya - II
Baada ya hapo jana kutazama kuhusu aina mbalimbali ya vyakula. Leo ni sehemu ya pili na ya mwisho ambapo nimeeleza kifupi kuhusu namna gani vyakula vinagusa afya yetu. Nimezungumza kuhusu mmeng'enyo wa chakula, nk Usiache kusikiliza na kushirikisha wengine.
2022-02-15
17 min
Afya Talk
Chakula na Afya - I
Karibu tena kwenye Afya Talk. Leo tunaanza rasmi msimu wa tatu.Chakula na Afya ni mada itakayozungumzia namna gani vyakula vina athiri afya zetu. Leo kwenye utangulizi tumezungumza kuhusu vyakula vya wanga, protini, mafuta na maji. Karibu ujifunze na kushirikisha wengine.
2022-02-14
24 min
Afya Talk
Huba 18+ EP04: Kufika Mshindo Mapema kwa Wanaume.
Tatizo hili ni Moja ya visababishi vya Mahusiano mengi kuvunjika. Wanaume wanaofika Mshindo Mapema hushindwa kuwaridhisha wenza wao. Sikiliza Leo uweze kujua sababu za tatizo hili. #Huba❤️ #AfyaTalk #Tanzania
2021-08-04
08 min
Afya Talk
Huba 18+ EP03: Maumivu wakati wa Kujamiiana.
Tatizo la kupata maumivu kabla, wakati na baada ya tendo la Kujamiiana ni Moja ya tatizo linalowakumba wengi. Sikiliza kipindi hiki uweze kujua sababu na Njia za kufanya. Tufuatilie #AfyaTalk #Huba❤️ #Tanzania #Huba18+
2021-07-30
11 min
Afya Talk
Huba 18+ E02: Tatizo la Uke Kuwa Mkavu
Karibu kwenye Afya Talk Season 03: Hii ni season ya kipekee inayobeba Jina la Huba 18+ ambapo tunazungumzia masuala ya ujana, Mahusiano nk. Leo nitazungumza kuhusu sababu zinazofanya uke Kuwa Mkavu, Nini Cha kufanya, nk. Sikiliza Sasa na Shirikisha wengine.
2021-07-23
10 min
Afya Talk
Huba 18+ E01: Harafu Ya Ukeni!
Karibu kwenye Afya Talk Season 03: Hii ni season ya kipekee inayobeba Jina la Huba 18+ ambapo tunazungumzia masuala ya ujana, Mahusiano nk. Leo nitazungumza kuhusu harafu ya Uke, Je mabadiliko ya harufuya Uke ina maana yoyote? Sikiliza Sasa na Shirikisha wengine.
2021-07-16
19 min
Afya Talk
Tatizo la kutokwa Uchafu ukeni.
Je unapenda kujua ni aina gani ya Uchafu ni hatari na ipi ni kawaida. Sikiliza Kipindi hiki kuweza kujifunza mambo haya. Usiache kuwashirikisha wengine.
2021-04-26
10 min
Afya Talk
Shinikizo la Damu wakati wa Ujauzito
Sikiliza kufahamu juu ya Tatizo hili la Shiniko la Damu wakati wa Ujauzito; nini cha kufanya, dalili hatarishi na mengineyo mengi.
2021-04-19
10 min
Afya Talk
Fahamu Safari ya Ujauzito
Jifunze maandalizi ya Ujauzito, nini cha kufanya wakati wa Ujauzito na Yapi ya kutegemea.
2021-04-12
18 min
Afya Talk
Fahamu Kuhusu Hedhi!
Jifunze kuhusu hedhi ni nini na mambo mbalimbali yahusianayo na hedhi!
2021-04-05
14 min
Afya Talk
Fahamu Tatizo La Mgongo Wazi na Vichwa Vikubwa kwa Watoto!
Jifunze nini cha kufanya kupunguza uwezekano wa kujifungua mtoto mwenye tatizo la mgongo wazi au kichwa kikubwa!
2021-03-29
10 min
Afya Talk
Afya Ya Ubongo
Jua ya muhimu ili kutunza Afya ya Ubongo.
2021-03-22
09 min
Afya Talk
Tatizo la Kutapika Damu na Kutokwa Damu kwenye Njia ya Haja Kubwa!
Wikendi Salama Episode 1
2021-02-12
13 min
Afya Talk
Tatizo La Kufa Wakati Wa Tendo La Ndoa - Dr. Kalegamye, MD.
Siri za Afya Bora Episode I.
2021-02-11
09 min
Afya Talk
Asante Kwa Msimu Wa Kwanza.
Nawashukuru sana kwa kunifuatilia kwenye Msimu wa kwanza! Kuanzia Mosi Februari 2021 Msimu wa Pili ulioboreshwa utaanza rasmi. Usikosee, Endelea kushirikisha watu mbalimbali. #AfyaTalk #Tanzania
2021-01-28
04 min
Afya Talk
Afya Talk EP18: Saratani Ya Titi
Jifunze kuhusu Saratani ya Titi; Ni nini? Sababu, Matibabu nk. Shirikisha wengine pia. Pia niwatakie Mapinduzi Mema! #DaktariMtalii #AfyaTalk #Tanzania
2021-01-12
14 min
Afya Talk
Afya Talk EP17: Bawasili
Je Bawasili ni nini? Inasababishwaje, njia za kujikinga nk! Leo tujitunze kuhusu Bawasili. Mshirikishe mwengine. #AfyaTalk #Tanzania #DaktariMtalii
2021-01-09
07 min
Afya Talk
Afya Talk EP16: Njia za Uzazi wa Mpango.
Tuangazie kuhusu njia mbalimbali za uzazi wa mpango. Je njia gani ni sahihi kwako?! Tuambie kupitia #AfyaTalk kwenye mitandao ya Kijamii. #Tanzania #DaktariMtalii
2021-01-08
14 min
Afya Talk
Afya Talk EP15: Maambukizi na Magonjwa ya Zinaa, Maswali na Majibu.
Tunapoanza 2021 ni vyema pia kutazama Magonjwa na Maambukizi ya Zinaa. Tusichukulie Poa, tupime Afya zetu na tujilinde. Shirikisha wengine #Tanzania #AfyaTalk #DaktariMtalii
2021-01-05
15 min
Afya Talk
Afya Talk EP14: Njia salama za kupunguza uzito.
Kheri ya Mwaka Mpya! Leo tutatazamia njia za kupunguza Uzito! Chakula, Mazoezi na mwenendo wa Maisha ndizo nguzo kuu. Karibu sana #DaktariMtalii #Tanzania
2021-01-04
11 min
Afya Talk
Afya Talk EP13: Malaria
Malaria ni Ugonjwa hatari! Vifo zaidi ya 400,000 mwaka 2019 Vilitokana na Malaria; huku takribani 94% ni barani Afrika. Leo tuangazie Malaria. #AfyaTalk #DaktariMtalii #Tanzania
2020-12-18
10 min
Afya Talk
Afya Talk EP12: Homa Ya Ini
Leo tunatizama kuhusu Homa ya Ini: Kujua kazi za Ini, chanzo cha Ugonjwa wa homa ya Ini, aina, na Njia za kujilinda. Karibu na shirikisha wengine. #AfyaTalk #DaktariMtalii #Tanzania
2020-12-17
14 min
Afya Talk
Afya Talk EP11: Homa Ya Matumbo ‘Typhoid’
Karibu tena kwenye Afya Talk: leo tunaitazama homa ya matumbo ‘Typhoid’ jifunze Njia za kukabiliana nayo! #DaktariMtalii #AfyaTalk #Tanzania
2020-12-16
12 min
Afya Talk
Afya Talk EP10: Kisukari Kinavyoshambulia Figo
Tukiwa tumeanza kuzungumza kuhusu Figo, awali tulijifunza kazi za Figo sasa tunaanza kutazama magonjwa mbalimbali: leo tunatazama athari za Kisukari kwenye Figo. #AfyaTalk #DaktariMtalii #Tanzania
2020-12-09
09 min
Afya Talk
Afya Talk EP09: Fahamu Kuhusu Figo I
Mara baada ya kujifunza kuhusu Shinikizo la Damu na Kisukari, leo tunaangazia Figo. Karibu uweze kujifunza Figo ni nini na inafanya kazi gani kwenye sehemu ya kwanza. #DaktariMtalii #AfyaTalk #Tanzania
2020-12-07
11 min
Afya Talk
Afya Talk EP08: Upungufu/Ukosefu wa Nguvu za Kiume!
Mara baada ya kuzungumza kuhusu Shinikizo la Damu na Kisukari, leo tunaanza kuzungumza baadhi ya madhara. Tunaanza kwa kutazama ukosefu/upungufu wa Nguvu za Kiume. #AfyaTalk #DaktariMtalii #Tanzania
2020-12-05
14 min
Afya Talk
Afya Talk EP07: Kisukari III
Leo nahitimisha mada juu ya kisukari kwa kuangazia hasa vyakula na visababishi vya Ugonjwa wa kisukari. #AfyaTalk #DaktarMtalii #Tanzania
2020-12-04
08 min
Afya Talk
Afya Talk EP06: Kisukari II
Sehemu ya Leo tunaendelea na mada ya kisukari. Karibu na endelea kujifunza nami. #DaktariMtalii #AfyaTalk #Tanzania
2020-12-03
08 min
Afya Talk
Afya Talk EP05: Kisukari I
Karibu tuanze mada ya Ugonjwa wa Kisukari. Sehemu Hii ya kwanza inaheleza kuhusu maana ya kisukari, dalili na upimaji wake. Usiache kushirikisha wengine. #DaktariMtalii #Tanzania #AfyaTalk
2020-12-02
12 min
Afya Talk
Afya Talk: Siku ya UKIMWI Duniani 2020
Kipindi Maalumu kifupi kuhusu Ugonjwa wa UKIMWI! SIkiliza ujifunze haya machache. Hakikisha unapima Afya yako sasa! Vijana Tujilinde, UKIMWI UPO - Usichukulie Poa.
2020-12-01
11 min
Afya Talk
Afya Talk EP04: Shinikizo la Damu ‘Recap’
Sehemu ya leo ni majumuisho kwa ufupi kuhusu shinikizo la damu tukiangazia maana, upimajia, dalili, hatari na namna ya kujilinda. Asante tuendelee kushirikisha kuhusu Afya Talk.
2020-12-01
13 min
Afya Talk
Afya Talk EP03: Shinikizo la Damu III
Leo tunaangazia madhara ya Shinikizo la Damu pamoja na Njia za kufanya kujilinda na Shinikizo la Damu.
2020-11-30
12 min
Afya Talk
Afya Talk EP02: Shinikizo La Damu II
Baada ya kuzungumza kuhusu nini maana ya Shinikizo la Damu na Dalili zake, Karibu sehemu ya pili ujifunze kuhusu vyanzo, namna ya kugundulika na usomaji awali wa kipimo cha msukumo wa Damu.
2020-11-28
14 min
Afya Talk
Afya Talk EP 01: Shinikizo La Damu I
Karibu sehemu ya kwanza ya Afya Talk inayooanza na mada ya Shinikizo la Damu. Leo tumetazama ni nini maana ya Shinikizo la Damu na Dalili zake ni zipi!
2020-11-26
10 min
Afya Talk
Afya Talk (Trailer)
2020-11-24
00 min