podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Exavery Nduye
Shows
Exavery Nduye
MAOMBI KWA AJILI YA WANAFUNZI
Zaburi 119:99-100 [99]Ninazo akili kuliko wakufunzi wangu wote, Maana shuhuda zako ndizo nizifikirizo. [100]Ninao ufahamu kuliko wazee, Kwa kuwa nimeyashika mausia yako.
2025-11-18
08 min
Exavery Nduye
MAOMBI YA KUMTAKA BWANA2
1 Mambo ya Nyakati 16:11-12 [11]Mtakeni BWANA na nguvu zake; Utafuteni uso wake siku zote. [12]Zikumbukeni ajabu zake alizozifanya; Miujiza yake na hukumu za kinywa chake;
2025-10-01
26 min
Exavery Nduye
KUKESHA KATIKA MAOMBI.m4a
Maombi siyo swala la siku moja, Bali ni jambo ambalo unapaswa kulifanya Kila siku, Kila wakati, Kila mara. Luka 18:1 [1]Akawaambia mfano, ya kwamba imewapasa kumwomba Mungu sikuzote, wala wasikate tamaa.
2025-09-23
15 min
Exavery Nduye
KIJANA SAFI KATIKA ULIMWENGU WA UTANDAWAZI.m4a
Kijana wa Kizazi hiki ili maisha yako yako yawe salama unapaswa kuongozwa na neno la Mungu. Zaburi 119:9-11 [9]Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii, akilifuata neno lako. [10]Kwa moyo wangu wote nimekutafuta, Usiniache nipotee mbali na maagizo yako. [11]Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, Nisije nikakutenda dhambi.
2025-09-23
1h 06
Exavery Nduye
MAOMBI KWA AJILI YA MAISHA YETU.m4a
Yeremia 29:12 [12]Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza. Then shall ye call upon me, and ye shall go and pray unto me, and I will hearken unto you. Mungu anatarajia kwamba tutamwendea Kwa njia ya maombi, tunapochukua hatua ya kuomba, yeye yupo tayari kutusikiliza, hivyo chukua hatua ya kuomba Sasa naye(MUNGU) atakujibu.
2025-09-21
48 min
Exavery Nduye
MKRISTO MWENYE AFYA.m4a
Kama vile mwili ulivyo na mahitaji yake mbalimbali ili uweze kustawi na kuwa na afya bora, ndivyo roho yako ilivyo na mahitaji yake ambayo yakipatikana yatasababisha roho yako iwe na afya nzuri. Karibu ujifunze pamoja nani.
2025-09-20
49 min
Exavery Nduye
UHURU KAMILI1.m4a
Yohana 8:36 [36]Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli.
2025-06-13
54 min
Exavery Nduye
NAMNA YA KUUWEZA MWILI.m4a
1 Wathesalonike 4:4 [4]kila mmoja wenu ajue kuuweza mwili wake katika utakatifu na heshima;
2025-06-11
51 min
Exavery Nduye
Worship.
Ni baraka na jambo jema sana kuhudumu pamoja na mwenza wako. Kama Mungu amewapa vipawa na huduma basi vitumike Kwa ajili ya utukufu wa Mungu.
2024-09-15
02 min
Exavery Nduye
MAHUBIRI 30.6.2024 EAGT IGUGUNO
Ili uweze kuona matokeo kwenye kile ambacho unakifanya, unahitaji msaada kutoka Kwa Mungu.
2024-07-04
34 min
Exavery Nduye
KUHUSU MAOMBI.
2024-07-02
10 min
Exavery Nduye
NAFASI YA ROHO MTAKATIFU KATIKA KUONGEZEKA 1
Matendo ya Mitume 1:8 [8]Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi.
2024-05-22
15 min
Exavery Nduye
NAFASI YA ROHO MTAKATIFU KATIKA KUONGEZEKA 2
Matendo ya Mitume 1:8 [8]Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi.
2024-05-22
10 min
Exavery Nduye
KUISIKIZISHA SAUTI MBELE ZA BWANA
Mungu ametupatia nafasi ya kwenda mbele zake na kusema naye Kwa njia ya maombi. Unapofunga, huo ni wakati mzuri wa kukaa kwenye utulivu na kuzungumza na Mungu.
2022-01-14
11 min
Exavery Nduye
UMUHIMI WA NENO WAKATI WA MFUNGO
Neo la Mungu ni muhimu sana Kwa mtu ambaye yupo kwenye mfungo, Kwa sababu lina uwezo wa kukusaidia kugundu hila za adui na kukuwezesha kuzishinda
2022-01-11
11 min
Exavery Nduye
LENGO LA MAOMBI YA KUFUNGA
Kuna tofauti kati ya kufunga na kushinda njaa, kufunga ni jambo la kiroho, na lengo la kufunga hupaswa kuwa Kwa ajili ya kuleta matokeo ya Kiroho
2022-01-10
14 min
Exavery Nduye
Episode 13 - JITOFAUTISHE
Maisha yako hayapaswi kufanya na watu wengine Kwa sababu Mungu alikuumba Kwa namna ya pekee na akakuwekea kusudi tofauti, hivyo kuishi kama wengine wanavyoishi ni kujaribu kufanya vitu ambavyo haviendani na kusudi la kuumbwa kwako.Karibu ujifinze.
2022-01-04
15 min
Exavery Nduye
NAMNA YA KUKABILIANA NA HOFU
Watu wengi wameshindwa kufanikisha Mambo mbalimbali katika maisha yao kutokana na hofu iliyojengeka ndani yao.Kupitia ujumbe huu wa namna ya kukabiliana na hofu, utajifunza namna sahihi ya kibiblia ambayo itakusaidia kukabiliana na hofu katika maisha yako.
2021-07-03
43 min
Exavery Nduye
UMUHIMU WA NENO LA MUNGU KWA MWAMINI
Kila mtu ambaye amemwamini Yesu Kristo Kama Bwana na Mwokozi wa maisha yake anapaswa kulisoma neno (Biblia) Kila wakati kwa sababu upo umuhimu wa kufanya hivyo.KARIBU usikilize mahubiri haya naamini yatakusaidia.Ujumbe huu ulihubiriwa Tar 7/4/2021 katika kanisa la HOUSE OF CHRIST-JIJINI MWANZA
2021-04-13
44 min
Exavery Nduye
RUTHU 3:1-18
Karibu tujifunze kutoka kwenye Biblia kitabu Cha RUTHU 3:1-18
2020-10-04
18 min
Exavery Nduye
RUTHU 4:1-22
Karibu tujifunze kutoka kwenye Biblia kitabu Cha RUTHU 4:1-22
2020-10-03
23 min
Exavery Nduye
RUTHU 3:1-18
Karibu tujifunze kutoka kwenye Biblia kitabu Cha RUTHU 3:1-18
2020-10-03
02 min
Exavery Nduye
RUTHU 2:1-23
Karibu tujifunze kutoka kwenye Biblia kitabu Cha RUTHU 2:1-23
2020-10-01
22 min
Exavery Nduye
RUTHU 1:1-22
KARIBU tuweze kujifunza pamoja kitabu Cha RUTHU 1:1-22.
2020-09-30
25 min
Exavery Nduye
THAMANI YETU INATOKANA NA NINI?
2020-09-01
14 min
Exavery Nduye
HOW TO OVERCOME EVIL DEEDS
Somo hili limelenga kukusaidia kuepukana na tabia mbaya au matendo maovu, karibu usikilize na Mungu akusaidie uweze kutendea kazi.
2020-08-23
15 min
Exavery Nduye
UJUMBE MAALUMU KWA AJILI YA UE
Ujumbe huu ni maalumu kwa ajili yako hasa kipindi hiki unachoenda kufanya UE, Ni maombi yangu kwamba Bwana awe pamoja nawe wakati wote wa mtihani.
2020-08-17
13 min
Exavery Nduye
TAWI LIZAALO
Sisi ni matawi na Yesu ni mzabibu pasipo yeye hatuwezi kufanya lolote, ili tuweze kuzaa tunamuhitaji Yesu.
2020-08-15
14 min
Exavery Nduye
MUNGU ANASIKIA UNACHOMWOMBA
MUNGU wetu husikia kile tunacho mwomba, usiache kumweleza mahitaji yako.
2020-08-14
10 min