podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
FPL Tanzania
Shows
FPLTZ Podcast
Gameweek 38 | FPLTZ Podcast | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22
Last gameweek of 2021/22 season preview. Enjoy the pod FPL managers. Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano! WhatsApp Group Invite https://chat.whatsapp.com/BDKV0rUOKw4KpwS4VoJx9T
2022-05-21
38 min
FPLTZ Podcast
DGW37 FT Scout Ipy | FPLTZ Podcast | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22
Another DGW pod featuring Scout Ipy mzee wa risiti. You are all welcome to enjoy the pod. Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano! WhatsApp Group Invite https://chat.whatsapp.com/BD...
2022-05-14
40 min
FPLTZ Podcast
DGW36 FT Scout Ipy | FPLTZ Podcast | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22
The biggest Double Gameweek of the season is here and today we are honored to be with your very own scout Ipy. You are all welcome to enjoy the pod. Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano! ...
2022-05-06
48 min
FPLTZ Podcast
Double Gameweek 34 | FPLTZ Podcast | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22
Double Gameweek 34 ni ya kipekee maana kuna maamuzi mengi ya kufanyika na Mkali pamoja na Eric watajibu maswali kadhaa yanayotatiza kuelekea gameweek hii. Karibuni! Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano!
2022-04-22
41 min
FPLTZ Podcast
Double Gameweek 33 | FPLTZ Podcast | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22
Double Gameweek 33 ni ya kipekee maana kuna maamuzi mengi ya kufanyika na Mkali pamoja na Eric watajibu maswali kadhaa yanayotatiza kuelekea gameweek hii. Karibuni! Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano!
2022-04-15
44 min
FPLTZ Podcast
Gameweek 32 | FPLTZ Podcast | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22
Baada ya muda kidogo kutofanya podcast, sasa tumerudi tena na kwenye episode hii tunapitia maendeleo ya timu zetu na mipango yetu ya gameweek zijazo. Karibuni! Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano! WhatsApp Group Invite https://chat.whatsapp.com/BDKV0rUOKw4KpwS4VoJx9T Jiunge FPL Tanz...
2022-04-15
27 min
FPLTZ Podcast
Double Gameweek 28 | FPLTZ Podcast | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22
Kwenye episode hii tunapreview Double Gameweek 28 kwa kujibu maswali tuliyoyapata kutoka kwa FPL managers wa Twitter na kwenye group letu la whatsapp. A very interesting gameweek ahead of us with a lot of options. Ungana nasi kwenye mazungumzo haya. Karibu. Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano!
2022-03-04
41 min
FPLTZ Podcast
Blank Gameweek 27 Preview | FPLTZ Podcast | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22
Kwenye episode hii tunapreview Blank Gameweek 27 kwa kujibu maswali tuliyoyapata kutoka kwa FPL managers wa Twitter na kwenye group letu la whatsapp. Tumerudisha pia segment za Under the Radar na Captain picks kwenye episode hii. Enjoy. Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano! WhatsApp Group...
2022-02-24
39 min
FPLTZ Podcast
Double Gameweek 26 | FPLTZ Podcast | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22
Kwenye episode hii tunapreview Double Gameweek 26 kwa kujibu maswali tuliyoyapata kutoka kwa FPL managers. Ni muda kidogo toka last time tumepod and sasa tumerudi and hopefully you will all enjoy listening/watching the pod. Karibuni. Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano! WhatsApp Group Invite
2022-02-24
36 min
FPLTZ Podcast
Gameweek 23 | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22
Kwenye episode hii tunaongelea preview ya gameweek 23. Nani wa kuwa nae kutokea Man City, Je Bruno ni viable option pamoja na focus kwa Aston Villa assets. Tunagusia pia wachezaji wanaofly under the radar and top 3 captain picks for next gameweek. Karibuni. 0:00 Intro 00:45 Eric GW22 review so far 📊 01:21 Mkali GW22 review so far 📊 02:07 KDB & City Assets 05:12 Should we talk about Bruno? 09:00 Focus kwa Aston Villa 13:25 Under The Radar! 🔎 18:32 Captain Pick 🧢 22:16 Outro Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania About...
2022-01-19
24 min
FPLTZ Podcast
FPL Season Review so far | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22
Katika episode hii Eric na Mkali wanareflect msimu unavoenda mpaka sasa. Jinsi timu zao zilivyoperform, majibu ya maswali kuhusu strategies zao going forward na pia interesting discussion jinsi gani FPLTZ Podcast na FPL Tanzania kwa ujumla imeathiri jinsi wanavoutuzama mchezo wa FPL. About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kumanage FPL teams). New episode ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano! Support Us: https...
2022-01-09
33 min
FPLTZ Podcast
Meet the FPL Manager - Edgar Ngemera | Top 10k | FPL Tanzania
Kwenye episode hii Godfrey na Eric wapo pamoja na FPL manager Edgar Ngemera. Manager Edgar ana record nzuri sana ya kuwahi kumaliza ndani ya top 10k, mbali na hilo amekua manager mwenye consistency na style amazing ya kucheza FPL. Ungana nasi katika mahojiano haya mafupi kupata kumsikia akielezea approach yake iliyompatia mafanikio toka aanze kushiriki Fantasy Premier League. FPL Manager profile: Team name: edi Squad Top Rank: 9k About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa...
2022-01-05
30 min
FPLTZ Podcast
Gameweek 20 & 21 | FPLTZ Podcast | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22
Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania Kwenye episode hii tumefanya pamoja na FPL Tanzania Scouts Ipy & Pio ili kuweza kuongelea gameweek ya 20 na 21 kwa pamoja. Tumepitia kila mechi na kugusia potential assets na pia all important captain picks for these back to back game weeks ahead of us. Enjoy! About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza...
2021-12-27
50 min
FPLTZ Podcast
Gameweek 19 Preview | FPL Tanzania | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22
Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania Kwenye podcast hii tunaongelea preview ya gameweek 19. Tutafanya uchambuzi kuhusu team za kutarget, assets ambazo tunategemea zifanye vizuri na pia jinsi ya kutake advantage na chaos ya mechi kuhairisha n.k. 0:00 Intro 02:01 Eric Team Review 📊 05:50 Mkali Team Review 📊 09:18 Teams to target Leeds and Newcastle 12:57 Arsenal Assets 17:43 Chaos 21:06 Son vs CR7 24:24 Under The Radar! 🔎 28:17 Captain Pick 🧢 About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA...
2021-12-22
32 min
FPLTZ Podcast
Meet the FPL Manager - Ipyana Itika | Scout | FPL Tanzania
Kwenye episode hii Godfrey na Eric wapo pamoja na FPL manager Ipyana Itika a.k.a Scout. Manager Ipyana anajivunia kuanzisha moja ya competitive mini league ya ‘Gaffers’ pamoja ya kuaminiwa na his fellow fpl managers kama scout. Ungana nasi kupata kusikia passion, dedication, fun and lessons learned from the ‘scout’ himself. FPL Manager profile: Team name: Havocks Top Rank: 690k Twitter: @Tanzania_FPL About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey...
2021-12-20
42 min
FPLTZ Podcast
Meet the FPL Manager - Iddi Yassin | FPL Tanzania
Kwenye episode ya wiki hii Godfrey na Eric wapo pamoja na FPL manager Iddi Yassin a.k.a Shupaza Lambalamba. Manager Iddi anajivunia mafanikio ya kumaliza top 30k duniani. Approach yake ni unique and very interesting katika kuchanganya research, principals na vitabu. Ungana nasi katika kujifunza mengi kuhusu manager Iddi and lessons he has learnt from participating in the FPL Community. FPL Manager profile: Team name: Shupaza Lambalamba Top Rank: 31k Twitter: @iddiyassin About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya...
2021-12-18
38 min
FPLTZ Podcast
Gameweek 17 Preview | FPL Tanzania | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22
Kwenye podcast hii tunaongelea preview ya gameweek 17 pamoja na mindset zetu baada ya kupata bad gameweek. Pia tutagusia changamoto za kupanga vikosi kipindi hichi ambacho mechi ni nyingi na muda ni mchache. Finally, captain pick options for this coming gameweek. About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano! Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania F...
2021-12-13
39 min
FPLTZ Podcast
Gameweek 16 Preview | FPL Tanzania | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22
Kwenye episode ya 6 ya podcast hii tunaongelea preview ya gameweek 16. Vilevile tutaongelea team zetu zilivofanya previous gameweek na mipango yetu going forward. Tutagusia pia interesting topics for gameweek 16, prospects for future transfers, captain picks na our mindsets towards FPL in general. 0:00 Intro 02:01 Eric Team Review 📊 03:38 Mkali Team Review 📊 05:18 City Assets 14:32 Strikers Je? 20:26 Fraud Premium Defenders!!!! 23:03 Man UTD entered the chat 28:24 Wazushi Camp - Kane & Co 34:56 Fixture Watch 👀 42:00 Under The Radar! 🔎 48:50 Captain Pick 🧢 About Us: FPLTZ Podcast...
2021-12-08
53 min
FPLTZ Podcast
Meet the FPL Manager - Pio Mulokozi | FPL Tanzania
Description Kwenye podcast hii Godfrey na Eric wapo pamoja na FPL manager Pio Mulokozi. Pio anajivunia kumaliza top 100k ndani ya misimu minne aliyoshiriki FPL. Ungana nasi kumsikia akitueleza mengi aliyojifunza na anayotarajia katika FPL Tanzania community. FPL Manager profile Team name: Fifty Shades Darker Top Rank: 92k Twitter: @champagnepiochi About Us FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kumanage...
2021-12-05
45 min
FPLTZ Podcast
Gameweek 15 Preview | FPL Tanzania | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22
Kwenye podcast hii tunaongelea preview ya gameweek 15. Vilevile tutaongelea team zetu zilivofanya gameweek hii na mipango yetu kwenda kipindi hiki chenye games nyingi. 0:09 Intro 0:54 Greetings 02:20 Summary of The Topics 03:41 Team Zetu So Far 📊 06:40 Recap Ya Last Gameweek 📆 08:25 Jimenez, Muda Wa Kuuza? 13:53 Gallagher (+benteke) 17:30 Man City Assets 21:50 Chelsea Defenders 25:00 AntonioNO?!? 32:17 Under The Radar! 🔎 38:00 Fixture Watch 👀 39:52 Captain Pick 🧢 42:48 Swali Kutoka Kwa Msikilizaji About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswa...
2021-12-02
46 min
FPLTZ Podcast
Gameweek 14 Preview | FPL Tanzania | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22
Kwenye podcast hii tunaongelea preview ya gameweek 14. Vilevile tutaongelea team zetu zilivofanya gameweek iliyopita na mipango yetu kwenda kipindi hiki chenye games nyingi. 0:00:57 Team ya Eric 0:09:34 Team ya Godfrey 0:17:52 Five at the back? 0:28:50 Strikers wazushi bado? 0:35:00 Top Transfers zilizofanywa ahead of gameweek 14 0:43:37 Timu zenye fixture nzuri 0:52:02 Captain Picks 1:00:50 Under the radar About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka...
2021-11-29
1h 16
FPLTZ Podcast
FPLTZ Podcast | Gameweek 13 Preview | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22
FPL TANZANIA tunakuletea mazungumzo yetu ya episode 2 kuhusu gameweek 13 na vingine vingi. Episode hot topics: - Five at the back? - Striker ndio basi tena? - Nini cha kufanya kuhusu Antonio - Chelsea triple defenders? - Spurs assets kuelekea fixture nzuri - Man utd assets sasa OGS kaondoka - Wachezaji ambao tunawaangalia - Muda umefika wa kuanza ku captain defenders? - Nini cha kufanya kuhusu Phil Foden - Muda wa kumfikiria Mane? Follow us on: https...
2021-11-24
1h 03
FPLTZ Podcast
FPLTZ Gameweek 12 Preview
Utambulisho wa podcast yetu ya FPLTZ na mazungumzo kuhusu GW12. - Captain Picks - Transfer Plans
2021-11-18
53 min