podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Father Monduli
Shows
Indigenous Rights Radio
Don't Leave us Behind - Maasai Indigenous Peoples of Tanzania
Some groups in the Maasai community rely on livestock as their sole source of income, leaving them vulnerable. Some of the challenges they face include scarcity of resources, climate change, and livestock diseases. In this Maa language interview, Kipaya Ole Mapi, a pastoralist from Monduli District, tells us about the plight of his people. Produced by Mathias Thooko (Maasai) Interviewee Kipaya Ole Mapi (Maasai) "Burn your village to the ground", by The Haluci Nation, used with permission.
2024-10-14
02 min
Indigenous Rights Radio
Don't Leave us Behind - Maasai Indigenous Peoples of Tanzania
Some groups in the Maasai community rely on livestock as their sole source of income, leaving them vulnerable. Some of the challenges they face include scarcity of resources, climate change, and livestock diseases. In this Maa language interview, Kipaya Ole Mapi, a pastoralist from Monduli District, tells us about the plight of his people. Produced by Mathias Thooko (Maasai) Interviewee Kipaya Ole Mapi (Maasai) "Burn your village to the ground", by The Haluci Nation, used with permission.
2024-10-14
02 min
Non è giusto
Annaffiamo le disuguaglianze
Le storie di ingiustizia di oggi vengono dalla Tanzania.Sono storie che ho visto con i miei occhi durante un viaggio per visitare i progetti di riforestazione di zeroCO2. Raccontano di ingiustizie sociali legate alla crisi climatica, idrica e alla deforestazione. Si parla dell storie dei bambini di origine Masai della scuola primaria del villaggio Lendikinya, nel distretto di Monduli, e di Lucas, giovane tanzaniano che ho conosciuto durante il viaggio, e del loro cammino per adare a prendere l’acqua. Questo episodio è stato scritto con la collaborazione di Cecilia Monari, Head of Carbon & Operations di...
2023-04-04
07 min
Mimi Na Wewe
mambo jambo mwanzo mpya
leo tunaangazia ujio wetu mpya wa podcast yetu pendwa. na hivyo tutakuwa tunaitwa 'Mambo jambo The mathematics' tunashukuru kwa support na msiache kuendelea kutusupport.--- Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message
2022-12-01
01 min
Mimi Na Wewe
Upendo
Upendo una maana gani? Je upendo ni kuwa kipofu? Hayo yote unayapata katika epsod hii mpya na nimeweza kuchambua kwa undani maana ya neno upendo na upendo wenyewe.--- Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message
2020-09-06
11 min
Mimi Na Wewe
Michezo
Mpira wa jana uliishangaza dunia baada ya barca kufungwa goli 8 ndani ya dakika 90, wakati wao wakifunga goli 2 tu. Kitendo hicho kimetafsiriwa kama ni udhalilisha mkubwa sana kwa timu kubwa ya barca. Walichofanyiwa katika mchezo wa jana hakikuwa kitu kizuri katika historia ya mpira duniani.--- Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message
2020-08-15
10 min
Mimi Na Wewe
Watu wanaopenda kujidai wanawajua watu wengine zaidi ya yao vile wanavyojijua
Kuna watu wao wamekaaga kujidai kuwa wao wanawajua watu fulani zaidi hata ya wale watu wanavyojijua wao wenyewe, ni tabia mbaya na inayokosa nidhamu kwa watu wengine ungana nami tukiwaongelea watu hao--- Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message
2020-08-15
05 min
Mimi Na Wewe
Namna ya kukuza/ongeza thamani yako
Ni namna gani unaweza kuikuza thamani yako, haijalishi ni wapi ulipo, unafanya kitu gani, ni binadamu wa jinsia gani. Hapo ulipo unaweza ikuza/ongeza thamnai ya hicho unachofanya na kukuletea mrejesho chanya. Ungana na mimi kusikiliza ni namna gani ya kuiongeza thamani yako
2019-12-30
16 min
Mimi Na Wewe
2020 nini matarajio yetu?
Ikiwa tumemaliza uchaguzi wa serikali za mitaa na kutazamia kwenda kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, je kuna mabadiliko tunayoweza kuyarajia? Tume huru ya uchaguzi yaweza kupatikana?
2019-12-28
04 min
Mimi Na Wewe
Uhuru kwako wewe una maana gani?
Leo ni miaka 58 ya uhuru wa Tanzania bara (Tanganyika) ambapo tunaangalia uhuru wa mambo 4 kwa wajasiriamali, kwao wao uhuru ni kitu gani, ungana nami kusikiliza nilichokiandaa leo
2019-12-09
12 min
Mimi Na Wewe
Umuhimu wa fedha katika biashara yako
Fedha ndiyo mfalme katika biashara yako. Bila fedha huwezi kusonga na kufika mbali. Ungana nami leo ninapo ongelea maeneo saba (7) yanayosababisha maumivu katika biashara na namna ya kukabiliana nayo na kuyazuia
2019-12-08
10 min