podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Goodluck Joseph
Shows
Wanangu podcast
Episode 55 | Pretty privilege
Baada ya likizo isikuwa rasmi, host anarejea na 'Pretty privilege', episode iliyojikita katika kudadavua maana ya dhana inayodai kwamba watu wenye mvuto au uzuri hupendelewa katika nyanja mbali mbali za kimaisha. Karibu!
2025-07-28
13 min
Wanangu podcast
Episode 54 | Chinese bamboo
Katika kipindi hiki, unatumika mfano wa mianzi ya kichina (Chinese bamboo) na jinsi inavyotufundisha uvumilivu, ustahimilivu, na imani katika maisha. Kama mimea hii, inavyochukua muda mrefu bila kuonyesha dalili zozote za ukuaji kabla ya kukua ghafla kwa kasi, juhudi zetu pia mara nyingi huchukua muda kuzaa matunda.
2025-05-19
12 min
Wanangu podcast
Episode 53 | Nadharia ya njama
Fahamu maana halisi ya 'Nadharia ya Njama' (Conspiracy theory) na chunguza kwa undani sababu zinazowafanya watu kuvutiwa au kuamini juu ya nadharia hizo. Host wako anakupa mtazamo mpana na mifano halisi kuhusiana na jinsi gani nadharia hizi huenea na kupokelewa kwa urahisi katika jamii.
2025-05-12
14 min
Wanangu podcast
Episode 52 | Umesikia kuhusu vibe coding?
Akili bandia inazidi kutuonyesha kwamba haijaja kucheza na sisi. Sikiliza jinsi unavyoweza kutengeneza software bila utaalamu wowote, kinachotakiwa ni vibe yako tu!
2025-04-14
12 min
Wanangu podcast
Episode 51 | Sakata la Luigi Mangione (Part 2)
Episode hii ni mwendelezo (part 2) wa episode 48 kuhusu kisa cha Luigi Mangione (26) anayeshitakiwa kwa kosa la kumuua aliyekuwa CEO wa kampuni ya bima ya afya nchini marekani, Brian Thompson.
2025-04-07
11 min
Wanangu podcast
Episode 50 | 'The ICU is the ICU.'
Kama binadamu tunajifunza kupitia mambo mengi, sikia funzo hili ambalo host amelipata wakati akirudia kuangalia series ya Succession.
2025-03-31
13 min
Wanangu podcast
Episode 49 | Overconfidence
Katika episode hii host anazungumza kuhusu hali ya kujiamini kupita kiasi (Overconfidence). Kwa kutumia mifano, anafafanua mazingira ambayo tabia hii huweza kujitokeza katika maisha yetu ya kila siku pengine mara nyingi kuliko wengi tunavyodhani.
2025-03-22
14 min
Wanangu podcast
Episode 48 | Sakata la Luigi Mangione
Fuatilia kesi ya kijana Luigi Mangione anayeshutumiwa kwa kosa la kumuua kwa kumpiga risasi CEO wa shirika binafsi la bima ya afya nchini marekani bwana Brian Thompson.
2025-03-21
23 min
Wanangu podcast
Episode 47 | Unspoken duties
Mnapotoka na mwenza wako ni nani anahusika nakuratibu mipango ya siku? Mkirudi nyumbani ni nani anahusika na uchaguzi wa mlo wa siku? Episode hii inaangazia mjukumu ambayo mara nyingi hayazungumzwi ila kila jinsia huamini jinsia nyingine inapaswa kuyatimiza. Tega sikio.
2025-03-21
13 min
Wanangu podcast
Episode 46 | Ni nini hatma ya taasisi za elimu?
Kufuatia kuibuka na kuenea kwa akili mnemba (AI), ni matarajio kwamba watu watajifikirisha jinsi uvumbuzi huu wa kiteknolojia utavyobadilisha maisha yetu. Je, taasisi za elimu zitabaki salama katika madadiliko haya?
2025-03-21
28 min
Wanangu podcast
Episode 45 | The God son (Album review)
Episode hii inaangazia uhakiki wa album ya mwanamuziki Marioo iitwayo "The God son". Sikiliza uchambuzi wa wimbo kwa wimbo huku ukipata dondoo za namna host alivyoipokea kazi hiyo ya sanaa.
2025-03-21
34 min
Wanangu podcast
Episode 44 | Count your blessings.
Hesabu baraka zako.
2025-03-21
17 min
Wanangu podcast
Episode 43 | 2024 recap
Funga mwaka 2024.
2025-03-21
19 min
Wanangu podcast
Episode 42 | Santa
Santa claus au Father christmas ni nani haswa?
2025-03-21
16 min
Wanangu podcast
Episode 41 | Utambulisho
Episode hii inaangazia jinsi utambulisho wetu unavyoweza kubadilika kulingana na mazingira.
2025-03-21
13 min
Wanangu podcast
Episode 40 | Mawazo
Mawazo.
2025-03-21
16 min
Wanangu podcast
Episode 39 | Upepo dhidi ya jua.
Upepo dhidi ya jua.
2025-03-21
10 min
Wanangu podcast
Episode 38 | Chuki ndani ya urafiki.
Baada ya kamaliza kusoma riwaya, host anajiuliza maswali juu ya uwepo wa chuki ndani ya urafiki katika maisha yetu ya kila siku.
2025-03-21
20 min
Wanangu podcast
Episode 37 | Nipe mji.
Moja kwa moja kutoka katika orodha ya mambo yake ambayo angependa kuyafanya angali yuko hai, katika episode hii, host anazungumza kuhusu mji/nchi ambayo anatamani zaidi kutembelea duniani huku alieleza sababu kuu za matamanio hayo. Karibu!
2025-03-21
18 min
Wanangu podcast
Episode 36 | When money isn't enough.
When money isn't enough.
2025-03-21
17 min
Wanangu podcast
Episode 35 | Utu
Katika episode hii mwongozaji anazungumzia mada aliyokutana nayo kwenye mtandao wa X (Zamani twitter) inayosema "kusaidia nyumbani mapema katika safari yako ya maisha ni chanzo cha kutofanikiwa". kwa kutumia mifano, anaichambua mada hii na kutoa mtazamo wake huku akibainisha yale anayokubaliana nayo na yale anayopingana nayo na mwishoni kutoa suluhisho.
2025-03-21
30 min
Wanangu podcast
Episode 34 | Ukubwa jalala
Sikiliza igizo hili linalogusa uhalisia wa maisha ya mijini kwa vijana watafutaji.
2025-03-21
12 min
Wanangu podcast
Episode 33 | Rafiki.
Episode hii inaangazia urafiki wa kawaida baina ya watu wawili wenye jinsia tofauti ambao kila mmoja wao yupo kwenye mahusiano yake. Hasara zake hutarajiwa na wengi ila vipi kuhusu faida zake?
2025-03-21
16 min
Wanangu podcast
Episode 32 | Monday will always come
Huwa unachukia Jumatatu ikifika? Sikiliza episode hii upate muarobaini wa "tatizo" hilo.
2025-03-21
18 min
Wanangu podcast
Episode 31 | Bendi feki, fedha halisi.
Fuatilia kisa cha jamaa aliyejitengenezea bendi feki mtandaoni na kupiga pesa za streaming.
2025-03-21
16 min
Wanangu podcast
Episode 30 | Viza
Pata kusikiliza dondoo mbali mbali kuhusu viza.
2025-03-21
21 min
Wanangu podcast
Episode 29 | Uraibu
Tuzungumze kuhusu uraibu.
2025-03-21
18 min
Wanangu podcast
Episode 28 |Tuzungumze majaaliwa
Tuzungumze majaaliwa.
2025-03-21
17 min
Wanangu podcast
Episode 27 | The hungry judge effect
Sikiliza jinsi gani njaa inavyoweza kubadilisha maamuzi ya majaji mahakamani.
2025-03-21
16 min
Wanangu podcast
Episode 26 | Ndoa za ndugu
Kwanini ni marufuku kwa ndugu kuona katika jamii nyingi duniani?
2025-03-21
24 min
Wanangu podcast
Episode 25 | Je, maadili yanaweza kubadilika kulingana na muda?
Je, maadili yanaweza kubadilika kulingana na muda? Tega sikio.
2025-03-21
17 min
Wanangu podcast
Episode 24 | The bear
Katika episode hii tunaangazia series ya "The Bear".
2025-03-21
16 min
Wanangu podcast
Episode 23 | Playlisting 101
Fanya playlist yako iwe bora zaidi kwa kufuata dondoo hizi.
2025-03-21
21 min
Wanangu podcast
Episode 22 | Good is not enough
Lengo ni kufanya vizuri zaidi ya unavyofanya sasa. Hata kama kwa muda huu unafanya vizuri. Mshindani wako mkubwa ni wewe mwenyewe.
2025-03-21
16 min
Wanangu podcast
Episode 21| Udadisi
Episode hii inaangazia umuhimu wa udadisi katika maisha ya binadamu.
2025-03-21
22 min
Wanangu podcast
Episode 20 | Podcast ni nini?
Episode hii inaangazia historia ya podcast na umuhimu wake katika dunia hii ya taarifa.
2025-03-21
16 min
Wanangu podcast
Episode 19 | Nitoe ushamba
Sikiliza orodha ya vitu vitano ambavyo kuna uwezekano mkubwa ulikuwa huvifahamu.
2025-03-21
18 min
Wanangu podcast
Episode 18 | Kitendawili cha thamani
Ni sababu gani hufanya mtu akithamini kitu fulani? Thamani ya kitu huweza kubadilika kulingangana na sababu mbali mbali. Karibu kusikiliza Kitendawili cha thamani.
2025-03-21
21 min
Wanangu podcast
Episode 17 | Minimalism ni nini?
Kuna mfumo wa maisha unaoitwa "Minimalism". Tega sikio kujua unahusisha namna gani ya kuishi na kama unaweza kukufaa wewe katika safari yako ya maisha.
2025-03-21
15 min
Wanangu podcast
Episode 16 | My love for albums
Moja kati ya namna ninazopenda kusikiliza muziki ni kupitia kusikiliza albums. kwanini? Tega sikio!
2025-03-21
17 min
Wanangu podcast
Episode 15 | 12 years a slave
Kutoka katika maisha halisi, kufikia hatua ya kuwa kitabu na mwisho kuwa filamu. Ijue hadithi ya bwana Solomon Northup.
2025-03-21
27 min
Wanangu podcast
Episode 14 | The chemistry of love
Some say, love is just a chemical reaction. Well, how real is that?
2025-03-21
16 min
Wanangu podcast
Episode 13 | Mentorship
Ni nini umuhimu wa kuwa na "Mentor" katika maisha?
2025-03-21
17 min
Wanangu podcast
Episode 12 | Usiri Vs. faragha
Ni nini tofauti kati ya siri na faragha?
2025-03-21
12 min
Wanangu podcast
Episode 11 | The cobra effect
Usitatue tatizo kwa kutumia njia ambazo baadae zitaongeza ukubwa wa tatizo ulilokuwa nalo mwanzo. Kwa kutumia simulizi fupi za mambo yaliyowahi kutokea duniani, Host anaelezea kinagaubaga dhana ya "The Cobra Effect".
2025-03-21
17 min
Wanangu podcast
Episode 10 | Mifuko miwili
Moja kati ya mambo magumu kwa binadamu ni kukubali kuwajibika pale inapompasa kufanya hivyo.
2025-03-21
20 min
Wanangu podcast
Episode 9 | Fitness
Tuzungumze kuhusu utimamu wa mwili na mazoezi.
2025-03-21
15 min
Wanangu podcast
Episode 8 | The greatest night in pop
Hadithi kuhusu namna wimbo wa "We Are The World" ulivyotengenezwa.
2025-03-21
31 min
Wanangu podcast
Episode 7 | Rise and fall
Kupanda na kushuka.
2025-03-21
22 min
Wanangu podcast
Episode 6 | Fake it with me
Take care of home before impressing the street.
2025-03-21
22 min
Wanangu podcast
Episode 5 | Gifting
Fahamu njia zitakazokufanya uwe mtoaji zawadi mzuri.
2025-03-21
23 min
Wanangu podcast
Episode 4 | Parenting
Episode hii inahusu jukumu la malezi kwa watoto wetu.
2025-03-21
27 min
Wanangu podcast
Episode 3 | Generational myopia
Episode hii inaangazia umuhimu wa kutambua mchango wa kila kizazi, kilichopita, cha sasa na kijacho katika mwenendo mzima wa maisha.
2025-03-21
18 min
Wanangu podcast
Episode 2 | Reading
Katika episode hii unajadiliwa utaratibu wa kusoma vitabu mahususi kwa wale wanaotamani kuingia katika mtindo huu wa maisha.
2025-03-21
29 min
Wanangu podcast
Episode 1 | Tipping.
Episode hii inaangazia suala la utoaji tip. Je, huwa unatoa tip?
2025-03-21
23 min
The Kakle
The Kakle - E04
Episode 4 | Tanisha, Sherley and Season 1 Guest Host Sanka talks about: • ...Hello, remember me! Dusting off your childhood dreams and bucket list now that life made itself comfortable in your house.• ...Are we stifling our kids creativity with the pillow called life's expectations?• ...Let's be real! Dealing with adolescents is like going to war with menopause. "Things will go back to normal, just not right now. Goodluck!" Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
2016-03-14
57 min
Soccer
Bonus issue has not affected the Super Eagles camp: Keshi
Things seemed brighter in the Nigerian camp ahead of their crucial FIFA World Cup round of 16 match against France in Brasilia. The reported issues about players’ bonuses and appearance fees don’t appear to have had any major effect on the squad. President Goodluck Jonathan is reported to have called the captain of the team Joseph Yobo and settled the matter. Coach Stephen Keshi says it’s been business as usual within the camp…For many this World Cup is a new experience and they are also growing into a style of football demanded by the coach. And Keshi to...
2014-06-30
02 min