podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Ikulu Mawasiliano
Shows
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA WAKATI WA HAFLA YA KUMPOKEA RAIS WA MSUMBIJI MHE. DANIEL FRANCISCO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amkaribisha mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo Ikulu Jijini Dar es Salaam
2025-05-08
11 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA UTOAJI WA TUZO ZA SAMIA KALAMU AWARDS 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Hafla ya utoaji wa Tuzo za Samia Kalamu Awards 2025 kwa Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam
2025-05-06
26 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia kwenye Maadhimisho ya Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi Kitaifa Mkoani Singida
2025-05-01
26 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIZINDUA BENKI YA USHIRIKA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Benki ya Ushirika Tanzania jijini Dodoma
2025-04-28
29 min
Ikulu Tanzania
MHE. RAIS DKT. SAMIA ATUNUKU NISHANI ZA KUMBUKUMBU YA MUUNGANO NA KUZINDUA KITABU CHA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE: PHOTOGRAPHIC JOURNEY
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunuku nishani za kumbukumbu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuzindua Kitabu cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Photographic Journey Ikulu chamwino, Dodoma
2025-04-26
21 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA UZINDUZI WA TOLEO LA SHERIA ZILIZOFANYIWA UREKEBU LA MWAKA 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Toleo la Sheria zilizofanyiwa urekebu la mwaka 2023, Chamwino Mkoani Dodoma
2025-04-23
20 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA KWENYE BARAZA LA EID EL FITR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na wageni mbalimbali kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2025.
2025-04-01
24 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIPOKEA TAARIFA YA MWAKA YA UTENDAJI KAZI YA TAKUKURU PAMOJA NA RIPOTI YA CAG KWA MWAKA 2023/24
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Mwaka ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Pamoja na Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2023/24 kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Machi, 2025.
2025-03-27
08 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS SAMIA WAKATI AKIPOKEA TAARIFA YA MWAKA YA UTENDAJI KAZI YA TAKUKURU PAMOJA NA RIPOTI YA CAG KWA MWAKA 2023/24
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Mwaka ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Pamoja na Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2023/24 kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Machi, 2025.
2025-03-27
08 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIZINDUA SERA YA MAJI YA MWAKA 2002, TOLEO LA MWAKA 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002, Toleo la 2025 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City, Dar Es Salaam
2025-03-23
40 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS MTEULE WA NAMIBIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehudhuria sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah
2025-03-22
13 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIZINDUA SERA YA TAIFA YA ARDHI YA MWAKA 1995 TOLEO LA 2023 NA MFUMO WA e-ARDHI JIJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 Toleo la 2023 na Mfumo wa e-Ardhi tarehe 17 Machi, 2025 Jijini Dodoma
2025-03-17
51 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIFUNGUA MKUTANO MKUU WA 39 WA ALAT
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Mkutano Mkuu wa 39 wa ALAT uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
2025-03-11
41 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA UZINDUZI WA MRADI WA MAJI SAME - MWANGA - KOROGWE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro mara baada ya kuzindua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe, tarehe 09 Machi, 2025.
2025-03-10
22 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA WAKATI WA MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo kitaifa yamefanyika katika uwanja wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 08 Machi, 2025.
2025-03-08
44 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS DKT. WAKATI AKIKAGUA MABORESHO YA MRADI WA GATI MBILI MPYA KATIKA BANDARI YA TANGA,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akagua Maboresho ya mradi wa gati mbili mpya katika Bandari ya Tanga, leo tarehe 01 Machi, 2025.
2025-03-01
17 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. WAKATI WA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA LPG TERMINAL GBP GAS MKOANI TANGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka jiwe la msingi la ujenzi wa LPG Terminal GBP Gas Mkoani Tanga tarehe 01 Machi, 2025.
2025-03-01
09 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIWAHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA TANGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awahutubia wananchi wa Mkoa wa Tanga katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani humo tarehe 28 Februari, 2025.
2025-02-28
27 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MKINGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Mkinga kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Stendi ya mabasi ya Mkinga katika muendelezo wa ziara yake mkoani humo tarehe 27 Februari, 2025.
2025-02-28
15 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MUHEZA KWENYE MKUTANO WA HADHARA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Muheza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa CCM Jitegemee katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani Tanga tarehe 27 Februari, 2025.
2025-02-27
26 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA WILAYA YA PANGANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya Pangani kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kumba ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani Tanga tarehe 26 Februari, 2025.
2025-02-26
16 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZUNGUMZA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM KATIKA MSIKITI MKUU WA IJUMAA TANGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa dini ya Kiislam mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Tanga mjini tarehe 26 Februari, 2025.
2025-02-26
13 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA WILAYA YA KILINDI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wananchi wa Wilaya ya Kilindi, wakati akifungua Shule ya Sekondari ya wasichana Tanga iliyopo Mabalanga katika Kijiji cha Michungwani ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi Kilindi mkoani Tanga tarehe 25 Februari, 2025.
2025-02-25
15 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA HANDENI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Handeni kwenye mkutano wa hadhara katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani Tanga tarehe 25 Februari, 2025.
2025-02-25
10 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI KOROGWE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe katika muendelezo wa ziara yake mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
2025-02-24
11 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUSHOTO KATIKA MUENDELEZO WA ZIARA YAKE MKOANI TANGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto katika muendelezo wa ziara yake mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
2025-02-24
12 min