podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Kichupa
Shows
Salama Na
Ep. 6 - Salama Na MxCarter | LENSMAN
LENSMAN Touch yake katika mambo mengi ndo ambayo inamfanya awe tofauti sana na vijana wengine walokuja mjini nae kwa wakati mmoja, uzuri ni kwamba nilikuwepo wakati mabegi (kama yalikuwepo) hata hayajatua uzuri chini ndo hapo nilikutana na Mashala, aka Michael Sylvester ‘Carter’ Mlingwa. Kwanza ilikua kujuana kwa kwenye mitandao tu na hiyo ni khadithi ya siku nyengine. Kwa wanao nifahamu mimi wanajua kama ni ngumu haswa kumuingiza mtu katika maisha yangu, awe karibu yangu, ajue undani wangu ndo maana nina watu wengi ninaofahamiana nao ila wanaonijua ni wachache. Michael ni mmoja ya watu wanaonijua mimi, na naweza kusema nami namj...
2020-03-09
1h 07