Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

Kila Kitu Podcast

Shows

Men The PodcastMen The PodcastKuwa baba: Changamoto na BarakaSadick Ali ni mchekeshaji, muigizaji, mfanyabiashara... na zaidi ya yote—ni baba. Sasa, kama wanaume wengi duniani, wazo la kuwa baba kwa mara ya kwanza lilimjia kama mshangao wa mitihani ya darasa la saba: hauko tayari, lakini unajidanganya kuwa utaweza! Na kama ulivyotegemea, Sadick alijikuta akikabiliana na mchanganyiko wa hisia—uoga, shauku, na sintofahamu isiyokuwa na GPS. Lakini kubwa zaidi, aligundua ukweli mchungu: hata uki-google kila kitu, hakuna njia ya kujiandaa kikamilifu kwa "daddy duties." Na ukifikiri unajua, mtoto wako atakutengenezea changamoto mpya—au diapers zitakutengenezea! Karibu katika Men Men Me...2024-11-191h 43Men The PodcastMen The PodcastKuwa baba: Changamoto na BarakaSadick Ali ni mchekeshaji, muigizaji, mfanyabiashara... na zaidi ya yote—ni baba. Sasa, kama wanaume wengi duniani, wazo la kuwa baba kwa mara ya kwanza lilimjia kama mshangao wa mitihani ya darasa la saba: hauko tayari, lakini unajidanganya kuwa utaweza!Na kama ulivyotegemea, Sadick alijikuta akikabiliana na mchanganyiko wa hisia—uoga, shauku, na sintofahamu isiyokuwa na GPS. Lakini kubwa zaidi, aligundua ukweli mchungu: hata uki-google kila kitu, hakuna njia ya kujiandaa kikamilifu kwa "daddy duties." Na ukifikiri unajua, mtoto wako atakutengenezea changamoto mpya—au diapers zitakutengenezea!Karibu katika Men Men Men The Po...2024-11-191h 43Kila Kitu PodcastKila Kitu PodcastLet's Talk Music!!In this episode we got our homies Kivumbi King & Mike Kayihura to join us on the pod and talk about life soundtracks, favorite performances etc. ALL THINGS MUSICAAA! So tune in and enjoyy the chit chat! Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2024-10-1649 minKujua PodcastKujua PodcastPodcast episode 12: VITU SABA AMBAYO NI MACHUKIZO KWA BWANA #2 IMEANDIKWA NA MARY SMITH hatia; Moyo uwazao mawazo mabaya; Miguu iliyomyepesi kukimbilia maovu; Shahidi wa uongo asemaye uongo; Naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu.Wakati uliopita tulianza kujifunza kuhusu vitu ambavyo ni chukizo kwake Mungu. Katika o r o d h a ya M i t h a l i 6 : 1 6 - 1 9 , t u l i j i f u n z a k u h u s u k i t u c h a k w a n z a , m a c h o y a k i b u r i . L e...2024-09-0909 minKila Kitu PodcastKila Kitu PodcastMoving back Home: Ines EditionOn this episode, we have a little chit chat with our friend Ines, former diaspora who is back at home, in Kigali, working & thriving!! She tells us about her new ventures & her decision to move back home after such a long time. Tune in!!! Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2024-08-071h 04Kila Kitu PodcastKila Kitu PodcastHouse Parties #BringBackMindingYourBusinessIn this episode we dive into a cute gateaway weekend recap & then we talk about House Partiesss. Should they be brought back? or are those days gone for good? Tune in and enjoy the chitchat. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2024-07-181h 04Kila Kitu PodcastKila Kitu PodcastCatch Ups + Love is STILL BlurryOn this episode, we do a little catch up and share how life has been for us. Then we get into all things Love is Blind Season 6 & discuss that mess of a season!! (We'll also briefly discuss the holiday that was the 'Cowboy Carter' album release)! So tune in and enjoy the yap! Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2024-05-241h 24Kila Kitu PodcastKila Kitu PodcastFriendship TriviaIn this episode, we did a little drinking game of friendship Trivia, as we got to see just how much we know each other. We had our girl Brenda, as the special guest host who helped guide the game and it was a fun time!If you want to see how it went, make sure to check out the video on our Youtube Channel as well :) Enjoyy! Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2024-03-191h 04Kila Kitu PodcastKila Kitu PodcastIt's Lady BicuuuOn this episode, we got the wonderful miss Sonia Iraguha aka Lady Bicu to talk to us about her business (or "toddler" as she called it), the 'Bicu Lounge'. Which has become a fun day time and night time hub for gatherings, fun cocktails and exciting events. She shared her journey with us and some other fun tid bits you will love to hear. So tune in now and enjoy the chit chat! Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2024-03-051h 02Kila Kitu PodcastKila Kitu PodcastTalking with THE Sanny NtayombyaIn this episode, we had the pleasure of speaking with Sanny Ntayombya, who is a fantastic columnist & media personality, the host of 'The Long Form' Podcast, an aspiring farmer & a wonderful father all in one. He spoke to us about his podcast, being a family man, and his thoughts on all things media. Tune in for a fun convo with one of the greats and enjoy! Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2024-02-201h 28Kila Kitu PodcastKila Kitu PodcastWe LOVE RomComs!On this episode, we jump into love month mode, by tallking about some of our favorite RomComs (Romantic Comedy Movies)!We discuss the crazy depictions of finding love that we have been taught in these movies for time and how much fun it is to watch them.Tune in and enjoy! :) Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2024-02-061h 18Kila Kitu PodcastKila Kitu Podcast2024 UnwrappedIn this episode, we look back on some of our highs and lows of the last year (2023) and get into what we look forward to in the new year. What are we taking with us and what are we leaving behind? It's giving: the year of self, the year of pleasure, the year of eaaaase & peace, the year of abundanceee inshallah! Tune in & reflect with us a little :) Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2024-01-231h 26Kila Kitu PodcastKila Kitu PodcastThe "Pick Me" Chronicles!In this last episode of the year, we talk about a sort of "contraversial" topic (depending on who you ask), regarding the phrase "Pick Me"! If you know you know and if you don't please TUNE IN and get to know haha! Enjoyyyy :) Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2023-12-291h 40Kila Kitu PodcastKila Kitu PodcastY2K Girlies ^_^Let's get nostalgiiccc again!!In this episode, we talk about all things 2000s. The earlies & the mids.Remember the outfits? Remember MSN chats (Internet cafes)? Or how about iPods/mp3s, do you remember those? Do you remember watching star a domicile? What a tiiiime! Tune in and take a quick trip down memory lane with us! Promise it's a fun time :) Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2023-12-101h 06Maisha Ni Kuthubutu PodcastMaisha Ni Kuthubutu PodcastSababu 05 Zinazofanya Watu Wakudharau...!Hakuna kitu kinaumiza kama watu kukudharau na kubeza uwepo wako si ndiyo? Dharau ina maana kwamba wanachukulia poa jambo au kitu fulani pasipo kukipa thamani inayostahili. Hivi unajua kwanini watu wanakudharau? Ukweli ni kwamba huwezi kuwa mwema na mzuri kwa kila mtu ila inakuwa inaumiza zaidi pale watu ambao umewapa nafasi kubwa kwenye maisha yako halafu wanakudharau. Inaumiza sana si ndiyo? Kuna baadhi ya sababu ambazo zinafanya watu wakudharau na ukiweza ku-deal nazo basi dharau zitatoweka na wataanza kukuthamani; 1. Furaha yako isiwategemee wao, Wanakudharau kwa sababu wanajua unawategemea wao ili uwe na furaha kwenye maisha yako, Anza sasa kujipa furaha...2023-11-0913 minKila Kitu PodcastKila Kitu PodcastA Classic Q&A moment!After countless requests for a video podcast from our listeners, HERE WE ARE!! Our very first video podcast, and for that occasion, in this episode we let you guys ask us questions and we responded! Don't forget to go watch it on YouTube and then LIKE, SHARE & SUBCRIBE :) Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2023-11-071h 09Kila Kitu PodcastKila Kitu PodcastTired of periods, Periodt!In this episode, we speak on our experience with menstruation (periods) and the perils that come with it. How do we deal with it? When did we first get it? The taboos around it and why we need to talk about it more, etc etc. So click play & tune in!!*DISCLAIMER: We are not health professionals and these are just our experiences and stories :) Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2023-09-261h 12LOVE UNTOLD PODCASTLOVE UNTOLD PODCASTMIMI NIPUNGUE by Mwl OnorodgersMIMI NIPUNGUE WEWE UONGEZEKE Yohana 3:25 Basi palitokea mashindano ya wanafunzi wa Yohana na Myahudi mmoja juu ya utakaso. 26 Wakamwendea Yohana, wakamwambia, Rabi, yeye aliyekuwa pamoja nawe ng’ambo ya Yordani, yeye uliyemshuhudia, tazama, huyo anabatiza na watu wote wanamwendea. 27 Yohana akajibu, akasema, Hawezi mtu kupokea neno lo lote isipokuwa amepewa kutoka mbinguni. 28 Ninyi wenyewe mwanishuhudia ya kwamba nalisema, Mimi siye Kristo, bali nimetumwa mbele yake. 29 Aliye naye bibi arusi ndiye bwana arusi; lakini rafiki yake bwana arusi, yeye anayesimama na kumsikia, aifurahia sana sauti yake bwana arusi. 30 Basi hii furaha yangu imetimia. Yeye hana budi kuzidi, bali mimi kupungua. =>Haya ma...2023-09-1923 minKila Kitu PodcastKila Kitu PodcastIt's giving Top 5 PicksIn this episode, we get into some of our top 5 favorite things at the moment. It's giving fun recommendation and that. So tune in and enjoy! Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2023-09-111h 06Kila Kitu PodcastKila Kitu PodcastBeyoncééé?!! *Tiffany Pollard voice*This one is for Queen Bey and all the girlies that love her & her music!! BEYONCEEE?!We did a little brackets game, where we had some of her iconic songs go head to head in order to see which one would come out as the winner! It was tough, because duuuuh, but it was a good time :) Have a listen and enjooyy Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2023-08-281h 27Kila Kitu PodcastKila Kitu PodcastSumma Time Inna Boom BoomIn this episode, we do a little recap of our girlie Elodie's bday trip this past July and get into talking about "Summa tiiime" and what it looks like for us now as adults and back then!! We got Belinda a.k.a Moonchild Bee to grace the mic again so, click play and here us yaaap like we do! Enjoy :) Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2023-08-161h 17Kila Kitu PodcastKila Kitu PodcastLet's Talk FriendshipIn this episode, we had a talk about friendship. Our friendships, navigating friendships in Kigali, friendships in our adult lives, etc...Click play and enjoy! Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2023-07-1054 minKila Kitu PodcastKila Kitu PodcastTruth or Truth...and Drink!This was a fun likkle episode where we had our friends Eder & Belinda join us for a quick game of truth or drink :) You know we love to yap, so the stories that come with the answers were hella funny! Click play & catch a vibe with us! Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2023-06-2659 minKila Kitu PodcastKila Kitu PodcastLet's Talk Dating AppsIt's another storyyyy tiiiiimeee!! On this episode, we get into the nitty gritty of dating apps and we have our girl Brenda share some of her craziest experiences. Click play & dive in with us :) Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2023-06-121h 13Kijana Tuongee KidogoKijana Tuongee KidogoMITAJI SABA YA UTAJIRIMITAJI SABA ULIYONAYO KUTOKA KWENYE NENO LA MUNGU INAYOWEZA KUBADILI MAISHA YAKO NA KUKUFANYA KUWA TAJIRI kila kitu duniani kimetokana na mawazo ukuu, hesima, matoke na heshima ni kwa sababu ya kufanyia kazi wazo fulani LIFE SUBMITTED TO THE PRINCIPLES OF IDEAS Tembelea kurasa zetu za FACEBOOK, YOUTUBE, INSTAGRAM na TIKTOK @Kijana tuongee kidogo. Usisahau kulike, kucomment, kusubscribe na kushare kwa wengine.Stay tune!YouTube: ⁠⁠https://www.youtube.com/@kijanatuongeekidogo⁠⁠ Facebook: ⁠⁠https://www.facebook...2023-06-0541 minKijana Tuongee KidogoKijana Tuongee KidogoKILA KITU DUNIANI KINAZALIWA KWA WAZOkila kitu duniani kimetokana na mawazo ukuu, hesima, matoke na heshima ni kwa sababu ya kufanyia kazi wazo fulani LIFE SUBMITTED TO THE PRINCIPLES OF IDEAS Tembelea kurasa zetu za FACEBOOK, YOUTUBE, INSTAGRAM na TIKTOK @Kijana tuongee kidogo. Usisahau kulike, kucomment, kusubscribe na kushare kwa wengine.Stay tune!YouTube: ⁠https://www.youtube.com/@kijanatuongeekidogo⁠ Facebook: ⁠https://www.facebook.com/Kijanatuongeekidogo⁠ KIJANA TUONGEE KIDOGO PODCAST LINKS Amazon Music:⁠https://music.amazon.com/.../e94542.../kijana-tuongee-kidogo⁠ Apple...2023-06-0501 minKila Kitu PodcastKila Kitu PodcastLet's Talk 'Icks'In this episode, we get into the topic of "icks". We explore what an "ick" is and share some icks we personally have. We know, some icks are petty and ridiculous but it doesn't stop us from having them! Oh to be human and picky! Click play and enjoy this episode ;) Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2023-05-291h 00Kila Kitu PodcastKila Kitu PodcastMothering in your 20'sHappy belated Mother's day to all mothers out there!!! On this episode we had our dear friend Angelitah share her journey on motherhood, as a young mother so far. It was a very enlightening chat and we learned A LOT! Join us and enjoy hearing her story :) Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2023-05-151h 01Kila Kitu PodcastKila Kitu PodcastLove is...Blurry?! (A 'Love is Blind' S4 Recap)*WARNING* Major SPOILER ALERT!On this episode, we get into one of Netflix's biggest reality TV show called 'Love is Blind'. With a look into the latest season 4, we discuss the concept, the love triangles, the childish drama, the I do's and don'ts, and a very anti-climatic reunion (in our opinion)! Whether you've seen the show or not, you're going to want to tune in and here our takes on whether we believe Love is blind or not! Click play & ENJOY! Hosted...2023-04-301h 21The Podcast With No Name KEThe Podcast With No Name KESi Kila Fundi Ametupa Mbao #IWillSewYouEdition ft Eid #Ep2The only genuine fundi is also, the most famous man to have graced the earth. The original Fundi Wa Mbao. It is not his fundiness that made him famous though. History records no client that ever said this about him, “Aki si Jesus makes great couches.” He was a fundi because his (earthly) father was a fundi. So even the most genuine fundi to have graced the earth was not even a fundi. Which goes to tell how fundis and the whole fundi fraternity is a big scam. Your back of the street kawaida fundi is like a Kenyan man. He i...2023-04-241h 25Kila Kitu PodcastKila Kitu PodcastHappy New Year (Yes, we know it's March!) | Let's Get Re-Acquainted!It's a new year and we've been living livesss, but we're back!! In this episode, we re-introduce ourselves through a little fun questions (drinking) game created by our own girlie, Elodie. With literal levels to the questions, things get real! So grab a drink, tune in and just enjoy us spilling the tea about ourselves!! Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2023-03-271h 24Salama NaSalama NaSE7EP32 - SALAMA NA MRISHO NGASSA | MACHACHARI…Mrisho Halfani Ngassa alikua top top top footballer na kwa bahati nzuri nishawahi kumshuhudia akiwa kazini kwake, tena ukimkuta kaamka vizuri basi uhakika wa burudani ni UHAKIKA . Na kipindi ambacho alikua kwenye peak yake pia kulikua na vitasa imara na magolkipa wazuri tu lakini nna uhakika kila mmoja kati yao ana la kusema kuhusu winga na forward hii machachari ambayo nchi yetu ishawahi kuona. Hakuna kitasa ambacho hakijawahi kukataa kufungua mlango muda ambao Mrisho Ngassa alikua anakuja kupiga hodi. Uzuri wake alianza kucheza mapema sana na kwasababu alikua machachari basi hata utulivu kidogo wakati anakua ulikua sio...2023-01-191h 20Maisha Ni Kuthubutu PodcastMaisha Ni Kuthubutu PodcastTabia Tano (05) Za Kuepuka Ili Utimize Malengo Yako.Tabia Ina nafasi ya moja kwa moja ya wewe kutimiza au kutotimiza malengo yako, kwa bahati mbaya watu wengi wanachukulia poa sana suala la tabia. Ukitazama elimu kuhusu tabia gani zinaleta mafanikio na kutimiza malengo yako kwa kishindo haitolewi kwa ukubwa zaidi katika mazingira ambayo tupo. Unauliza “Innocent” ni kwa namna gani? Swali zuri Mtaalamu. Ni hivi.... Kuna tabia ambazo zilifanya utimize malengo yako ya mwaka 2022? Kuna tabia ambazo zilifanya ushindwe kutimiza malengo yako ya mwaka 2022? Vizuri, kwa kupata majibu na umeanza kuona tabia Ina nafasi kubwa ya kutimiza au kutotimiza malengo yako. Kwa mifano; Mfano wa kwanza. Je mtu ataw...2023-01-1619 minSalama NaSalama NaSE7EP29 - SALAMA NA DEO GRATIUS | PRIVILEGED?! Deo Gratias, jina tu linatosha kujielezea kama wewe nawe utakua kama mimi wa kutaka kujua maana ya majina ya watu ili uweze kujua tabia zao au ujiulize wazee wake walikua wanafikiria nini wakati wanaamua kumpa jina hilo mtoto wao. Kwa Deo maana imejibeba na imejikamilisha na kwa yeye kuamua kubaki na jina lake hilo hilo mpaka kwenye stage ambako ndo sehemu yake ya kazi inabidi hilo nalo likuambie jambo kuhusu yeye na jinsi ambavyo anajichukulia na kuyachukulia mambo ambayo ameyachagua kuyafanya. Shukrani ziende kwa Mungu ndo maana ya jina lake, shukrani ziende kwa Mungu kwa kila alifanyalo l...2022-12-291h 11Salama NaSalama NaSE7EP28 - SALAMA NA GARA B | BABA SHUGHULIJina MC Gara B ni miungoni mwa majina makubwa sana kwenye ulimwengu wa kazi ambayo mwenzetu huyu amechagua kuifanya. Familia yake, mke na watoto, wazazi wake na wa mkewe pengine, Ndugu jamaa na marafiki na waajiriwa wake wanakula vizuri kwasababu ya kipaji chake Ndugu yetu huyu. Ni mwanaume ambaye akiwa kazini kwake furaha na burudani ambayo huwapa wateja wake ndo inayomfanya azidi kuenda mbali kwenye tasnia hiyo ya ushereheshaji. Again, yeye ni mmoja ya BORA kadhaa ambao wanafanya kazi kama yake. Mtandao wa kijamii ni kitu kimoja chenye nguvu sana kwenye miaka ya hivi karibuni, kwa ushahidi...2022-12-221h 00Salama NaSalama NaSE7EP27 - SALAMA NA BARAKA KIZUGUTO | NEUTRALBaraka Kizuguto si moja ya majina yajulikanayo miungoni mwa wa Tanzania wengi ambao asilimia kubwa ya wenye simu za mkononi hupendelea zaidi habari za maisha ya watu maarufu na mashuhuri, kutaka kujua wanakula nini, wanaishi wapi, wanalala wapi, wanalala na nani na kadhalika. Na kama wewe ni mmoja wa watu hao na si mpenzi wa mpira basi kumfahamu mgeni wetu wa kwenye kiti chakavu wiki hii itakuwia vigumu. Ila kwa wale watu wa mpira, au wafanyakazi kwenye Vyama vya mpira hapa kwetu na Afrika kwa ujumla au wachezaji au waalimu wa mpira jina na sura yake si ngeni kabisa...2022-12-151h 12Kila Kitu PodcastKila Kitu Podcast'F.R.I.E.N.D.S' Forever!On this episode, we delve into all things 'F.R.I.E.N.D.S' (the show)! Back into nostalgia mode, we talk about how much this show has been a staple in our lives. whether you've watched the show or not, you may have heard of it and/or what it's basically about. If not, we got you! We discuss the controversies that surrounded it, one of the most relatable theme songs, who our favs were/are, who was the the true villain of the series? etc etc...Click play and let us entertain y...2022-12-051h 19Salama NaSalama NaSE7EP24 - SALAMA NA LULU DIVA | UKIPATA KINYAKUEKuna mambo mengi wakati mwengine ambayo yanakua yanaendelea au yalitokea kwenye maisha ya baadhi ya watu ambao huja kukaa kwenye kiti chetu chakavu na meza yenye kigae. Ila kwasababu zilizo wazi za kuwataka wasijisikie uncomfortable na pengine kuwafanya hata ambao wangependa au ambao tungependa waje nao wasijiskie hivyo ndo kanuni ambayo tumeamua au niseme niliamua kipindi huko nyuma kuifuata. Nia na madhumuni ya session zetu hizi zaidi ni kuwapa watu maua yao wakiwa hai, sisi nasi kuskiliza hadithi za maisha yao ambazo zitatupeleka sehemu fulani katika maisha yatu na hili pia humuambia kila mgeni anapokalia tu kiti chetu chakavu...2022-11-301h 15Kila Kitu PodcastKila Kitu PodcastA Word To Our 10yr Old Selves!NOSTALGIEEE-OO! Episode 5 is all about us recounting some of our childhood experiences! From saturday morning cartoons, to sleepovers (or lack thereof), to what we wish we knew way back when. It's a fun ride into our personal stories of the past, so if you're a nostalgic person or just enjoy listening to stories, CLICK PLAY and jump on the ride! ENJOY! Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2022-11-141h 25Salama NaSalama NaSE7EP22 - SALAMA NA ANNA TIBAIJUKA | LA PROFESSEURNilipoandikiwa ujumbe mfupi na Edwin Bruno ambaye ni mkwe wa Professor kwamba Mama amekubalia kufanya kipindi na sisi siku hiyo ya Jumapili akishatoka church nilihisi kama naota. Mwenyezi Mungu anajua kwa kiasi gani tumekua tukitaka kufanya maongezi nae kwenye kipindi chetu. U busy wake na pengine mara nyingi kutokuwepo Dar es Salaam napo palikua panaleta ugumu, nyengine ilkua ni tarehe zetu za kufanya production na availability yake zilikua zinapishana sana. So unaweza ukaelewa excitement ambayo nilikua nayo baada ya finally samaki kujaa kwenye ndoana. Professor Anna Tibaijuka ni LEGEND miongoni ma magwiji kwenye nchi hii kwa kazi...2022-11-101h 01Maisha Ni Kuthubutu PodcastMaisha Ni Kuthubutu PodcastJinsi Ya Kushinda Roho Ya Kukata Tamaa Hata Pale Unapopata Hali Ya Kukata Tamaa.Je, umekuwa unakata tamaa kirahisi? Je, umekuwa una pata roho ya kukata tamaa kwenye maisha yako? Je, unaamini huwezi kuendelea tena kwenye kitu unachofanya (Taja kimoyo moyo) na kuona ni bora uache kwa kukatatamaa? Lakini... Kumbuka kukata tamaa haifanyi maisha yako kuwa rahisi hata kidogo. Episode hii itaenda kuvunja kila kitu na roho ya kukata tamaa haitakuwa sehemu ya maisha yako tena. Kukata tamaa ni dhambi mbaya sana lakini unaweza kushinda roho ya kukata tamaa pasipo kujali nini unapitia kwa sasa kwenye maisha yako.... ....na kuwa na hamasa kubwa kutoka ndani, ujasiri pamoja na uvumilivu kwa kuamini unaweza kupiga hatua...2022-11-0422 minSalama NaSalama NaSE7EP21 - SALAMA NA BILLNASS | MJUKUUKatika pita pita zangu siku si nyingi nilimsikia mtu akimzungumzia mgeni watu wa wiki hii kwamba ni ‘Jay Z’ wa Bongo na si kwasababu kamuoa mmoja wa wasanii hodari wa kike na ambao wako juu ki muziki, ila pia akili yake ya kibiashara kwa kiasi kikubwa imemfanya yeye aone hivyo. Kwa ufahamu wangu niliambiwa na kushuhudia suala la maneno na mawazo ‘kuumba’. Pale mtu au watu wanapo kuona na ukichanganya na juhudi zako na nia na madhumuni ya wewe kutaka kufika pale basi mengine kutimia huwa ni suala la wakati tu. Hivyo pia ndivyo ambavyo mimi namuona Ndugu Wi...2022-11-031h 15Kila Kitu PodcastKila Kitu PodcastMulti-Dating, Rosters, Vetting etc..On this 4th episode, we get back into the topic of dating, with a focus on multi-dating and what it means to us to "date around" as women, in our Kigali. Why is it taboo for women to talk about multi-dating? Is Monogamy human nature? What IS a roster? And many more such querries :) Don't be shy, click play! Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2022-10-3159 minThe Insightful Podcast Show (TIPS)The Insightful Podcast Show (TIPS)Prelude: Know what this Podcast is aboutTupe maoni yako. Kila mtu huwa na ndoto za mafanikio tunachotofautiana ni njia, na ukubwa wa ndoto hizo. Wapo wenye ndoto za kuwa mabilionea, na pia wapo wenye ndoto za kuweza kupata mlo wa leo tu. Na tofauti hizo naimani husababishwa na makuzi ya nyumbani, marafiki tunaojizungunga nao Pamoja na fursa tunazozipata au kuzaliwa nazo. Mimi binafsi naamini vitu hivyo vitatu vinaenda sambamba kuijenga ‘mindset’ ya mtu. Nchi nyingi za Africa hali duni ya manyumbani hupelekea mtu kujifunga kifikra na hii husababishwa sana na ukosefu wa elimu Pamoja na utandawazi. Marafiki pia hujenga mindset ya mtu kwani ukij...2022-10-0303 minSalama NaSalama NaSE7EP14 - SALAMA NA COACH EVARIST | FIRST QUARTEREvarist Mapunda ni moja wa makocha wangu wa maisha haya ninayoishi sasa hivi, ananifahamu toka nikiwa na miaka 17 mpaka sasa hivi ingawa hapa katikati baada ya ‘kuwa mkubwa’ nilipoteana nae kwenye mahangaiko ya kujitafuta na kutafuta maisha. Ila Mimi na yeye tunajua kila mmoja wetu ni mtu wa aina gani na anamaanisha NINI kwa mwengine. Ukiwauliza watoto na wakubwa wengi wa Upanga watakuambia nini yeye pia anamaanisha kwenye maisha yao, lazima atakua na simulizi kuhusu mwalimu huyu hodari wa basketball na maisha, kama hadithi hiyo itakua haimhusu yeye directly badi itakua inamhusu Ndugu yake au mtoto wake au h...2022-09-151h 19Salama NaSalama NaSE7EP11 - SALAMA NA MARTIN KADINDA | PLEASANTMartin Kadinda ni rafiki yangu, ni moja ya wale wana ambao hana makuu na zaidi yeye anapeeenda sana kucheka, hata ukiangalia picha zake yeye ana tabasamu tu. Pengine hiyo ndo siri ya mafanikio yake tofauti yake na wengine na pengine hiyo ndo sababu ya mimi kumpenda sana. Pia ni FUNDI, tena mzuri tu sana. Kati ya mafundi wachache WAKWELI wa nchi hii Martin ni mmoja wapo, kama hawezi hawezi, hata siku moja hawezi chukua kazi yako alafu siku ya siku akakuharibia shughuli au mtoko. Kama yuko busy na mambo yake atakuambia rafiki, hiyo sitoweza tafadhali mtafute mtu mwengine aifanye...2022-08-251h 02Salama NaSalama NaSE7EP10 - SALAMA NA DR CHENI | SUKAGrowing up kwenye mitaa ya Dar es Salaam na TV stations kali wakati huo zilikua na presenters makini na vijana ambao kwa kiasi kikubwa waliifanya tasnia hiyo ipendeze sana. Kuanzia vipindi vya watoto, vya muziki, filamu kutoka nje na tamthilia kutoka nje pia zilikua tamu sana, ukianza kuangalia TV kuanzia jioni hakuna mtu alikua anabanduka mpaka saa nne au tano za usiku, na kama ulikua jobless kama mimi enzi hizo basi ulikua unaunganisha na kuangalia marudio ya vipindi vya muziki ambavyo tayari ulikua ushaviona jioni yake, ila kwasababu ya utamu wake na ku enjoy kile unaona kurudia ilikua easy...2022-08-181h 16Salama NaSalama NaSE7EP08 - SALAMA NA SAMATTA | HEADMASTERKila kijana wa ki Tanzania ambae anaupenda na kuuthamini mpira wa miguu na ambaye angependa ndo iwe kazi ya maisha yake basi Mbwana Ally Samatta ndiye role model wake, hakuna doubt kwamba watakua na mapenzi na Cristiano Ronaldo au Leo Messi au Kylian Mbappe au Marcus Rashford ila yule ambaye amewaaminisha kwamba INAWEZEKANA ukacheza POPOTE hapa duniani na hasa kwenye ligi yetu pendwa ya Uingereza ni Samatta. Rafiki tu kutoka Mbagala rangi tatu ambaye kashacheza saaana ndondo na makombe ya mbuzi wakati anakua na mwisho wa siku akaenda kucheza kwa wazungu na bado anaendelea kutafuta rizki yake huko, hata...2022-08-041h 00Salama NaSalama NaSE7EP07 - SALAMA NA DR KUMBUKA | YAANI…Dr Kumbuka ni influencer mkubwa kwenye masuala ya mahusiano na maelewano inapokuja kwenye suala zima la ushauri na mashauri kwa watu wengi ambao wamekua wakimsikiliza na ambao wanamsikiliza kila siku za wiki anapokua kwenye kipindi cha Uhondo pale EFM. Na yeye kuwa pale hakufika kwa bahati mbaya. Ila pengine alipo anzia kazi yake pale Times FM ndo ilikua kama bahati kufika. Anakumbuka jinsi ambavyo alikua zake tu mtaani wakati mtangazaji wa Times FM wakati huo Bi Dida Shaibu alipokua mtaani akitafuta watu wenye kipaji cha ‘kuchamba’ watu wengine. Anasema wanawake ndo walikua wametawala jukwaa huku wakishusha maneno mengi ya kara...2022-07-281h 07Salama NaSalama NaSE7EP01 - Salama Na ZUCHU | SINDANOKuna usemi mmoja unaenda kama hivi, kulea mimba si kazi ila kazi ni kulea mtoto, tafsiri yangu naamini mhenga hapo alikua anatuambia kazi pengine inaanza baada ya kupata kazi, tunaelewa jinsi gani ambavyo kupata kazi huwa ni kazi. Tena kazi yoyote, haijalishi kama ni ya upishi au ulinzi au ufundi au hata u daktari, mi nawajua madaktari kadhaa ambao nao pia wanapata shida kupata hizo kazi. Na baada ya kupata shida zote hizo wakati wa kutafuta kazi basi kazi halisi huanza pale unapoipata sasa hiyo kazi yenyewe. Kazi ya Zuchu ilianza kabla hajaipata hiyo kazi yenyewe na...2022-06-1655 minKila Kitu PodcastKila Kitu PodcastNot Our Late 20's?!Welcooome to episode #3, where we discuss about not only being in our late twenty somethings, but being in them as women! We share some of the struggles we've faced and some of the things we are learning and unlearning as we go. Allll this while navigating through Kigali. Is adulting a scam? Maybe. But we outcheaa FIGURING IT OUT, day by day. Click play and join us for the journey kabisa. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2022-05-081h 14Kila Kitu PodcastKila Kitu PodcastLet's talk TV shows!In this episode, we talk about TV shows, specifically focusing on Reality TV dating shows. We share our thoughts on some of the ones that we've been watching and try to re-imagine them in our own context. What would a Rwandan dating show look like? And would you be willing to go on one? If you're a fan of TV shows like us, click play! If that's not you, still click play and let us put you onnn! (Just beware of spoilers!)For reference, here are some of the shows we mentioned/discussed:2022-03-071h 30Ado Veli PodcastAdo Veli PodcastAdo Veli Podcast - Kenyan Rhumba Trap PlaylistPesh and Ado Veli have curated for you a playlist featuring Kenyan rhumba trap or if you like afro trap Ado Veli Podcast season 09 episode 08, which is episode number 216. Tracklist Okello Max ft Bensoul And Amlyloto - Nakufa 0:00:00 Wanavokali - Rhumba 0:04:56 Ban Worldwide - Tres Bien 0:08:37 King Kaka ft Okello Max - Hera Onge 0:11:19 Tetu Shani - One More Time 0:15:52 Odinareh Bingwa...2022-02-241h 41Kila Kitu PodcastKila Kitu PodcastWhere's yuwa boyfren/When will you marry?!Well, it's St.Valentine's weekend!Sooo, in this ka first episode we are discussing things such as: our struggles of dating in this Kigali we share, shooting shots as women, learning about bimbofication, our thoughts on marriage, and more. Join us as we sip our wine and embark on this roller coaster! Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2022-02-131h 05Maisha Ni Kuthubutu PodcastMaisha Ni Kuthubutu PodcastJinsi Ya Kubadili Mtazamo Hasi Na Kuwa Na Mtazamo Chanya.Mtazamo Chanya ndio kila kitu maishani, bahati mbaya mtazamo hasi ndio hutawala akili zaidi kutokana na sababu mbalimbali kama vile jinsi unavyojitazama, sehemu ambazo unashinda, aina ya marafiki ambao unao, maneno ambayo unajiambia, tabi zako n.k. lakini Podcast hii itakusaidia mbinu sita rahisi za kuwa na mtazamo chanya kwenye maisha yako. Sikiliza Podcast hii kisha Subscribe kwenye platform ambayo unasikiliza.2022-01-1513 minAmani Longishu PodcastAmani Longishu Podcast#30: Sababu 5 kwanini hawasomi machapisho yako instagramKila mtu anapenda akichapisha kitu instagram, watu wasome na kujumuika na watu walioacha maoni!! Kwahiyo kama ukiona hakuna anayesoma machapisho yako kuna sababu!! Katika episode hii ya 30 nimekupa sababu 5 zinazosababisha wasisome machapisho yako! Sikiliza na share na mwinvine Niulize swali hapa🔻 https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe na kunipa 5 stars rating na review kwenye Apple Podcast For sponsorship🔻 Email: mjasiriamalidigital@gmail.com Host🔻 https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast episode 302021-12-2910 minSepetukoSepetukoSepetuko Podcast; Siasa ni mchezo wa kibinadamu wala hamna Mungu mleImekuwa ikidaiwa kwamba William Ruto ana watu na Mungu. Raila Odinga huenda ndiye mgombeaji wa THE SYSTEM. Ukweli ni kwamba siasa hazina Mungu, siasa ni sarakasi za kibinadamu ambapo kila kitu hufanywa na watu wala hamna suala la kiroho mle.2021-10-1805 minSepetukoSepetukoSepetuko Podcast; ODM, Wacha Vita na IEBC; Tumia 'System' Kuwafidia Waliodhulumiwa -ndiyo kazi muhimuChama cha ODM kinafaa kujisafishia jina kwa kuacha tabia za kulalamika kuhusu kila kitu. Wakati huu ambapo Raila anashirikiana na Uhuru Kenyatta, kelele za ODM za kupanga kumwondoa Mwenyekiti wa IEBC, Wafula Chebukati hazina maana. ODM itumie 'system' kuhakikisha kuwa wafuasi wake waliodhulumiwa na polisi huko Nyanza wakati wa uchaguzi wanafidiwa. Kulialia kila mara hakufai.2021-08-1805 minSepetukoSepetukoSEPETUKO PODCAST: Hillary Ng'weno, aliweka msingi wa uanahabari miaka ya 60Tusherehekee kazi ya Hillary Ng’weno. Kila kitu maishani huhitaji waanzilishi, yaani watu wanaoweka msingi. Uanahabari nchini Kenya unajivunia kazi iliyofanywa Hillary Ng'weno miaka ya sitini na Ng’weno.2021-07-1205 minSalama NaSalama NaEp. 50 - Salama Na SUGU | UJIO WA UMRITurudi nyuma mwaka 1999 wakati nilipomaliza kidato cha nne kwahiyo nilikua sina mitkasi mingi zaidi ya kumkimbia Mama inapofika mchana ili niende kucheza zangu basketball pale Msasani kiwanja cha Pazi. Nlikua natokea zangu Mbagala Charambe nachukua zangu basi mappa Mbagala Rangi tatu then muunganisho unaendelea mpaka nafika zangu mazoezini, nilifanya urafiki na makonda na madereva weeengi kiasi kwamba nilikua ‘staff’ kwenye daladala nyingi, na huwezi kuamini nyingi pia nilikua nikiingia basi radio nlikua namiliki MIMI. Station gani tunaskiliza au tape gani tunaweka ili safari inoge na muziki. Nakumbuka jinsi ambavyo Sugu alikua anaikosha, anakosha nafsi yangu na ya abiria wote amba...2021-01-211h 10Salama NaSalama NaEp. 48 - Salama Na JK | MSOGA UNOMuda si mrefu iliopita nilirudi nyuma kidogo kwenye kumbukumbu ya mawasiliano ya kwanza kabisa kati yangu na moja wa wasaidizi wake Mheshimiwa Jakaya Mrisho wa Kikwete na hiyo ilinirudisha nyuma mpaka mwezi wa tatu mwaka 2020. Kama mtu mwengine yoyote hii ilikua ndoto tu ambayo kwa Rehema na Baraka za Allah ilibidi itimie. Kwa Baraka zake hizo mimi na wenzangu tunashkuru sana sana kwa kuweza kulikamilisha hili. Shukran za dhati ziende kwa Doris Mollel ambaye kwa msaada wa Sadam ‘Almando’ Sanare alinimbia Doris anaweza akatu unganisha na mmoja wa wasaidizi wake ili tuweze kuona kama tunaweza pata hii nafa...2021-01-071h 01Salama NaSalama NaEp. 44 - Salama Na MWAKINYO | VITASA OVERLOADHassan Mwakinyo kwa Mama yake ni kama ni kama mkate kwa chai tu, lazima ulainike. Sentensi hii imeanzia hapa baada ya kufuatilia kwa makini na kuambiwa hasa ni kitu gani kinachomfanya Champez atake kuwa bora zaidi na zaidi, na kutaka kupata kile anachokipata kwa nguvu zaidi na zaidi kila siku kila asubuhi anapoenda kukimbia, au kila jioni anapokua gym au anapokua ulingoni, na amini kwamba Mama yake ndo anayemfanya atake kuwa bora siku zote ili aweze kumbadilishia maisha yake kwa uzuri. Champez Mwakinyo sio moto pekee kwenye familia yao na Kaka yake mkubwa alianza haya mambo ya...2020-12-0300 minSalama NaSalama NaEp. 42 - Salama Na EDO KUMWEMBE | MWENYE SHOKA HAKOSI KUNIEdward ‘Edo’ Kumwembe ni rafiki yangu wa si miaka mingi, pengine sita tu toka mara ya kwanza kukutana nae wakati wa uzinduzi wa kampuni moja ya kamari hapa nyumbani. Nakumbuka alikua akimtania sana Fid Q na jinsi ambavyo Fid alikua hamjibu Edo ndo ilikua inachekesha kabisa, wengi wetu tunafahamu Fid ana maneno mengi, ila mbele ya Edo huwa hana hata maneno kabisa. Tulicheka sana, na baada ya hapo tukaanza kufanya kazi pamoja kama Influencers kwenye hiyo kampuni, na baada ya miaka  mitatu Allah akabariki nikapata ile kazi ya Super Sport, na kama ulikua hufahamu, Edo ndo alinipigia chepuo nyin...2020-11-1900 minSalama NaSalama NaEp. 37 - Salama Na DR MWAKA | BINGWASikuwahi kukutana na Dr Mwaka mimi kabla ya tarehe 26 ya mwezi wa tisa, ila nilishawahi kuongea nae kwa simu mara mbili kabla ya kukutana, hatukuwa marafiki ila maongezi yetu ya mara ya kwanza kwenye simu yalinifanya nijue kwa kiasi yeye ni mtu wa aina gani, na nilivyokutana nae pia iliongeza heshima yangu kwake kwa kazi anayofanya na aina ya mtu yeye alivyo. Nisiseme kwa kupepesa, alini impress na nilijifunza vitu kadhaa kwa muda mchache niliokaa naye na kuongea nae. Alikuja na mkewe kwenye set ya kipindi na alihakikisha mkewe anafika mpaka kwenye ‘kizuizi’ cha mwisho kabisa kabla ya k...2020-10-0800 minSalama NaSalama NaEp. 34 - Salama Na DOGO JANJA | YENTENakumbuka mara ya kwanza kukutana na Dongo Janja enzi hizo akiwa mtoto kabisa na hata kwenye viduara vyetu alikua anakaa mbali maana havikua vinamhusu. Kukua kwake kwenye macho yetu wakati mwengine inatufanya tuwe tunadhani kama tunamfahamu sana au tuna haki sana ya kujua kila kitu kwenye maisha yake na kumhukumu kwa maamuzi mengine ambayo sisi kama sisi hatujayapenda, tunasahau kama hayo ni maisha yake na ana haki ya kujifunza kwa kukosea na kukaa sawa kama ambavyo yuko sasa. Jina la serikali ni Abdulaziz Abubakar Chende aka JANJARO, sio DOGO JANJA tena, sasa ana miaka 25. Unakumbuka mara ya...2020-09-1748 minSalama NaSalama NaEp. 32 - Salama Na Riyama | UTAKWENDA UTARUDI Riyama Seleman Ally, malkia wa kazi aifanyayo na kila alitilialo msisitizo hulifanya kwa asilimia 100, hata kama akichelewa kama pengine alivyochelewa kupata heshima yake na malipo yake anayostahili, kama ambavyo anapata sasa au ambayo anapata maana safari bado ni ndefu. Na kwa mazungumzo haya nilofanya naye huo ndo muelekeo na ndo nia na madhumuni. Sote tunajua PENYE NIA PANA NJIA, so kazi ni kwetu. Mzaliwa wa Unguja Tanzania, kakua katika familia ya kidini na malezi bora ila kwa mujibu wa maongezi yetu haya yeye alipenda zaidi kuwa muimbaji, kitu ambacho Mwenyezi Mungu mtoa vipaji hakumjaalia kipaji hicho...2020-09-031h 15Salama NaSalama NaEp. 29 - Salama Na CPWAA | KILA CHOMBO CHA WIMBILEWakati Parklane iko juu sana wengi wetu tulikua tunamfahamu zaidi Sumalee na ilikua haswa Sumalee na yule mwengine mwenye sauti nzito ambaye alikua anatupia tu vichombezo vya hapa na pale, hata kwenye posters za show na mambo mengine Ismail Sadiq aka Sumalee ndo alikua kila kitu mpaka pale kundi lilipovunjika na kila mmoja akaenda upande wake, hapo ndio tulipoanza kufaidi kipaji cha huyu mwanachama mwengine wa hiyo duo, jina la serikali ni Ilunga Khalifa aka Cpwaa alianza kung’ara zaidi na kupata mpaka show za kimataifa.  Yuko na swagg, anaweza kuongea kiswahili na ki...2020-08-131h 04Miss Iconic PsycologyMiss Iconic PsycologySELF-IDENTITY #THETRUTH(LET'S GET REAL)Today I had this epic idea to just let my thoughts flow. Study showed me that most of us move with the crowd. How wrong we are. I will give an account for my choices I will defend myself with my choices. No one will face them with me and that is what we forget. Identifying yourself with the crowd is your epic start of your dramatic downfall. Ever wondered why people ask you why you made that choice when it fails. I mean that is a clear indication that they will not be there with you...2020-07-1620 minLinus Siwiti\'s podcastLinus Siwiti's podcastEpisode 2 MAOMBI YA UKOMBOZI Na Rev: Shedrack Herman>Linus Siwiti's podcastYESU NI MAJI YA UZIMA6 Na hapo palikuwa na kisima cha Yakobo. Basi Yesu, kwa sababu amechoka kwa safari yake, akaketi vivi hivi kisimani. Nayo ilikuwa yapata saa sita. Yohana 4:67 Akaja mwanamke Msamaria kuteka maji. Yesu akamwambia, Nipe maji ninywe. Yohana 4:78 Kwa maana wanafunzi wake wamekwenda mjini kununua chakula. Yohana 4:89 Basi yule mwanamke Msamaria akamwambia, Imekuwaje wewe Myahudi kutaka maji kwangu, nami ni mwanamke Msamaria? (Maana Wayahudi hawachangamani na Wasamaria.) Yohana 4:910 Yesu akajibu, akamwambia, Kama ungaliijua karama ya Mungu, naye ni nani akuambiaye, Nipe maji ninywe...2020-07-1515 minSalama NaSalama NaEp. 23 - Salama Na Nizar | RAHA LEO KUCHELEWakati Vancouver White Caps wanamtaka Nizar Khalfan baada ya kumuona akiwa anakipiga hapa nyumbani wakati yuko na timu ya Taifa ya Tanzania haikua habari au jambo la kushangaza miungoni mwa wachezaji na walokua wakimuona na kumfahamu mchezaji huyo vizuri. Kila mtu kati ya hao alikua akiomba ki vyake kijana huyu kutoka Kusini mwa Tanzania apate nafasi ya kwenda kuwakilisha Taifa na kuendeleza kipaji chake maridhawa kabisa. Nizar ametokea Mtwara na kwenye familia yake kwa mujibu wa maongezi yetu Mzee wake alikua akiupiga ingawa si mwingi kama wa Master Chef Khalfan maana yeye alianza akiwa mduchu haswa, watu wazima wa mtaani...2020-07-021h 25Salama NaSalama NaEp. 20 - Salama Na Lord Eyes | HAWATUWEZIIsaac ndo jinsi jina lake linavyoandikwa, kipaji adhimu kabisa kutoka Kaskazini mwa Tanzania, Allah kamjaalia kila ambalo msanii anaomba abarikiwe nalo wakati anapewa kipaji. Mrefu, muonekano mzuri, mashairi ya kibabe na kujiamini kulikokaa sehemu yake haswa. Walipoanza kama kundi hapo ndo attention yangu waliipata wana Nako 2 Nako Soldiers kutoka Ara, kila kitu kilikua tofauti juu yao, mavazi, style, matamshi na hata muonekano. Hii ilikua chachu ya kuwafikisha popote ambapo walikua wamepalenga. Mashabiki kila kona ya Tanzania na Afrika na dunia kwa ujumla, hakuna radio utakayoskilizia ambayo walikua hawapati nafasi. Walikua marafiki wa kila kituo na kazi yao...2020-06-1153 minSalama NaSalama NaEp. 12 - Salama Na Gigy Money | ZILE KHADITHIMara nyingi huwa tunahukumu watu ambao hata hatuwafahamu na pengine hatujawahi hata kuongea nao hata mara moja kwasababu tu ya muonekano wao au kwa kitu tumeskia wamefanya au wamesema, au kwasababu fulani kasema jambo fulani kuhusu yeye ndo hapo nasi tunajifanya tunawajua sana na kutoa hukumu zetu juu yao, kama vile tunawafahamu sana au tunajua sababu ya yote ambayo tumeona au kuskia tu wamefanya au kusema. Hayo ndo maisha ambayo mgeni wetu wa wiki hii amekua akiishi kwa miaka kadhaa sasa. Jina lake ni Zawadi aka Gift, binafsi sikumbuki siku ya kwanza kukutana naye au kumsikia ila...2020-04-161h 01Salama NaSalama NaEp. 10 - Salama Na MwanaFA | KARAMAWeekend mbili zilitopita rafiki yangu Mwinyi aka Mpwa aka Cousin aka Hamis alikua akiadhimisha siku ya kuzaliwa kwake na alikua amefiksha umri wa kustahili kusherehekea kwa kweli na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa maisha, mke wake kipenzi alinipigia simu siku nne kabla ya birthday ya mumewe na kutaka tujumuike nae kum suprise, pia akaniambia ana kazi sana ya kuweza kukamilisha hilo tukio maana jamaa (Mwana FA) kashasema yeye hana mango wa kutaka shughuli, angependa maisha yaendelee tu kama kawaida. Pengine alikua akitarajia dinner nyumbani na mkewe na wanawe basi. So kukawa na zoezi hapo la kuhakikisha jamaa hasomi mchongo na...2020-04-0255 minSalama NaSalama NaEp. 8 - Salama Na Idris | TROOPERMimi kama watanzania wengi sikuwa namfahamu Idris, mara yangu ya kwanza kumuona ilikua kwenye TV akiwa mmoja wa wawakilishi wa Taifa hili kwenye kipindi cha Big Brother mwaka 2014. Nilivyouandika hapa huo mwaka ndo imenigusa akilini kwamba ni miaka sita tu imepita toka Idris Sultan amekua kwenye macho na midomo yetu. Na pengine ataendelea kuwepo kwenye midomo na macho yetu kwa miaka mingi zaidi, kuna sehemu nilikua naangalia interview yake moja na alisema yeye umaarufu ndo kitu ambacho anakipenda zaidi, pengine na ndo maana alienda kwenye shindano la Big Brother Africa na toka ametoka mule kama mshindi sidhani kama kuna...2020-03-191h 01Salama NaSalama NaEp. 4 - Salama Na Barnaba | FUNDIBarnaba ni mfupi (siko hapa kumtoa kasoro) ila wazungu wana usemi wao ambao nitausema kwa kiswahili, ya kwamba vitu vizuuuri huja kwenye pakeji ndogo. Ukitaka kuelewa maana yake kama hujang’amua basi kamuulize Bibi. Umbo lake na uwezo havifanani , na kama ingekua ubora na kipaji ndo ukubwa wa mwili basi mwenzetu angekua kama HERCULES, pia siko hapa kwaajili ya kumtukuza bali kusema vile nimunavyo katika macho yangu. Ni kijana ambaye anajifunza kila siku iendayo kwa Mungu, hajawahi kujikweza, mwenye roho ya Imani, mwenye kumuogopa Mungu na pia asiyesahau alipotoka na pia alotoka nao huko alipotoka. Mtanashati pia, na...2020-02-241h 03Salama NaSalama NaEp. 2 - Salama Na Marco Chali | DOKTADOKTA Marco na mimi tumekua marafiki wa miaka mingi na moja kati ya vitu vimetufanya tuwe marafiki ni kufanana kwetu kwa kupenda vitu vya aina moja. Kuanzia teknolojia mpaka muziki, nakumbuka siku ya kwanza kukutana naye, ilikua ni uzinduzi wa kipindi cha Bongo Star Search ambao ulifanyika Much More pale juu, alinifuata akaniambia juu ya mapenzi yake ya kipindi changu cha Planet Bongo enzi hizo na baada ya hapo ikawa ni urafiki ulodumu mpaka leo. Kipindi changu cha Mkasi kilizaliwa kwenye kibaraza cha studio kwa Marco Chali pale MJ RECORDS ambako ilikua ni maskani yetu kubwa mimi na...2020-02-091h 03Ado Veli PodcastAdo Veli PodcastAdo Veli Podcast - Area Code; Nakuru, Kisumu & DianiHappy New Year 2020! And here is the last installation of our mini-series Area Code. We end the series with our last stops in Nakuru, Kisumu & Diani. This is also season 4 finale. Rappers from Nakuru we have Trabolee & SilversTones Barz, a rapper from Kisumu we have Gabiro Mtu Necessary, and rappers from Diani we have OHLMS Law Montana, Donn J & OdiNareh Bingwah. Tracklist Trabolee - Mungu Mteja SilversTone Barz ft Dyana Cods - For Real Gabiro Mtu Necessary - Chances Donn J - Icon OHLMS Law Montana - Kisauni OdiNareH Bingwa - Kila Kitu RapKeed - War Reflection Saleem ft Asum...2019-12-2608 minMjasiriamali Wa MtandaoMjasiriamali Wa Mtandao31: Mambo 3 Yanayokuzuia Wewe Kutimiza Malengo Yako | Saturday RantKama umejikuta kuwa unahangaika mno kufikia malengo yako hata ukifanya kitu gani basi sehemu hii ya podcast inakuhusu. Ndani ya Saturday Rant ya leo tunazungumzia mambo 3 Yanayokuzuia Kufikia Malengo yako. Bila ya kutatua mambo hayo matatu basi utapendelea kuhangaika kila siku.2019-04-2018 minYesaya Software PodcastYesaya Software PodcastKuweka Vipaumbele kwenye Kutengeneza Mifumo ya KompyutaEbwana mambo vipi bina langu ni Yesaya. Ninakukaribisha kwenye mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuelimisha, kukuhabarisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano - TEHAMA, na mimi nitajikita zaidi kwenye mifumo ya computer. Leo tutazungumza namna ya kuweka vipaumbele kwenye kutengeneza mifumo ya kompyuta. Bila kuweka vipaumbele unaweza tengeneza mfumo usioisha au ambao watu hawata tumia. Hivi karibuni nimekutana na mambo mawili ambayo yamenisukuma andaa podcast toleo la leo. Kama utakuwa umenifollow kwenye mitandao ya kijamii basi unaweza kuwa umekutana na post nitazozungumza...2019-01-2009 minYesaya Software PodcastYesaya Software PodcastNianzie wapi Kutengeneza Mifumo ya KompyutaEbwana mambo vipi, jina langu ni Yesaya. Ninakukabirisha kwenye mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuelimisha, kukuhabarisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano - TEHAMA, na mimi nitajikita zaidi kwenye mifumo ya Kompyuta. Leo tutazungumza wapi utaanzia tengeneza mifumo ya kompyuta, watu wengi wamekuwa wakiniuliza namna gani wanaweza anza tengeneza mifumo ya kompyuta au lugha gani nijifunze ipi ni bora kuliko nyingine. Na wengine hushangaa mambo ninayopost kwenye mitandao ya kijamii na kuuliza hivyo vinini unaweka, jibu linaweza kuwa rahisi kuwa ni Code. Lakini kwa...2019-01-0605 min