Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

Kujenga Podcast

Shows

Curious and CulturedCurious and CulturedFixing the Soul of the System: What Capitalism Got Right and What Needs to ChangeIs it possible to stay true to your values while working and living in a capitalist system? In this episode of the Curious and Cultured podcast, we dive into the roots of capitalism, what it was originally meant to do, and where it’s gone off track. We talk about how businesses and individuals can find balance between making money and making a difference—and whether other systems offer better answers. If you’ve ever questioned how purpose fits into profit, or what a better version of capitalism could look like, this conversation is for you.In this e...2025-06-031h 45TEN OVER TEN PODCASTTEN OVER TEN PODCASTEP10 TENOVERTEN- Mafanikio ya Kiroho na Kiakili- Authentic SwahiliansEpisode 10: Mafanikio ya Kiroho na Kiakili: Je, Maendeleo ni ya Kiuchumi Pekee? Katika kipindi hiki cha TEN OVER TEN Podcast, tunazama katika mjadala wa kipekee unaozungumzia mafanikio yanayozidi mipaka ya kiuchumi. Je, kweli maendeleo yanapimwa tu kwa pesa na mali? Jackson na mgeni wake Kefa Victor wanajadili umuhimu wa mafanikio ya kiroho na kiakili kwa maisha yenye utulivu na maana. Kwa Nini Usikilize? Sehemu ya Kwanza: Fahamu jinsi utulivu wa kiroho unavyochangia afya ya kiakili na hata kusaidia kufanya maamuzi bora ya kifedha. Sehemu ya Pili: Pata mbinu za kujenga mafanikio ya kiakili kupitia...2024-12-231h 07Queen Gee PodcastQueen Gee PodcastTABIA 3 MUHIMU KUWA NAZO KWENYE SAFARI YA KUJENGA UTAJIRIKitakachokutofautisha wewe na wengine katika safari hii ya kujenga utajiri ni TABIA. Na hizi ndio tabia muhimu kuhakikisha unaishi nazo. Kumbuka kwamba kujenga utajiri kwa ajili yako na vizazi vyako inawezekana, AMUA AMUA! Love & Respect, Grace2024-10-2508 minLOVE UNTOLD PODCASTLOVE UNTOLD PODCASTMY PRIVACYKutengeza faragha na Mungu ni sehemu ya maisha ya mkristo na itakusaidia kujenga uhusiano mzuri na wa karibu na Mungu2024-07-2825 minKnight-Majik PodcastKnight-Majik PodcastKnight-Majik Podcast 062324Welcome to  the latest edition of Knight-Majik the podcast! This week will be playing a musical tribute to star gone too soon!! This week we'll honor a great singer and entertainer, Angela Bofill, who died on June 13, 2014. She was making great progress recovering from two strokes in 2006 and 2007.  As usual we have an ecletic collection of time honored favorites and possible new favorites!! Please like and share!! Peace! Caprice Extended Spirit Sounds of the City Vol 3 - Berlin 8:21 Song for Narcisius  Soulstance   Electronic Chamber Jazz 7:32 We Regret to Inform You  Jalen Baker This is Me, T...2024-06-232h 50Maarifa Podcast na TumsimeMaarifa Podcast na TumsimeSE1 EP09 - Jifunze kujenga ushawishi na kuuza wazo lako kwa Mafanikio (Mawasiliano)Kwenye kipindi hiki tunaenda kumulika umuhimu wa mawasalino kwa software engineer. Maarifa utakayo yapata yanaweza kutumika kwenye taaluma yeyeto. Utaweza kujifunza vifuatavyo:- 1. Mawasiliano ni nini? 2. Umuhiumu wa mawasiliani 3. Silaha kuu za software engineer kama vile ushawishi na kuuza wazo lake 4. Mawasiliano yanavoweka kuwa complex2024-03-2910 minShe\'s BoldShe's BoldKujisomea Kama Nyenzo ya Kujenga Maisha - na Prudence Zoe Glorious.Jiunge nasi katika kipindi hiki tukijifunza umuhimu wa kujisomea na kujifunza katika maisha ya Prudence Zoe Glorious, kibinafsi na kitaaluma. Pata ufahamu, hamasa, na mafundisho yanayotokana na maisha yaliyojitolea kwa harakati ya maarifa. ZOE Prudence Glorious kwa sasa ni Afisa Mkuu wa Nia katika kampuni ya Prudence Zoe Glorious (PZG), aliyoianzisha mwaka 2020. Akiwa na uzoefu kama mshauri huru wa Umoja wa Mataifa, anapenda kuwakilisha Tanzania kama taifa lenye mustakabali wa mafanikio. Jiunge nasi na utahamasishwa na safari ya 'ZOE Prudence Glorious' na jinsi kusoma kumekuwa chanzo cha mabadiliko chanya...2024-02-0221 minQueen Gee PodcastQueen Gee PodcastFahamu ''KWANINI'' Yako Ili Ufanikiwe KifedhaUsiwe umeingia tu kwenye safari hii ya kujenga utajiri bila kuwa na ''KWANINI'' ni muhimu na lazima kujua sababu. Sikiliza episode hii kuelewa zaidi. Love & Respect, Queen Gee - The Wealth Building Coach2024-01-3008 minThe CEO AdvisorThe CEO AdvisorTHE CEO ADVISOR | EPISODIO 66 - Hai mai giocato a Jenga?E' un episodio che parte con una domanda particolare, quello del podcast di Primo Bonacina sul management: hai mai giocato a Jenga?Parliamo di Jenga, il gioco da tavolo il cui nome è tratto dalla lingua swahili (Jenga significa "costruisci!", imperativo del verbo Kujenga), perché ci aiuta a capire il motivo per cui il modo più veloce per un’azienda di aumentare i profitti è quello di rimuovere alcuni elementi. Elaborare più transazioni con meno costi. Abbassare le spese generali. Misurare i costi marginali (relativi a ogni transazione), andando a trovare modi di gestire più attività a parità di risorse. Primo ci s...2023-12-3111 minAmani Business SchoolAmani Business School#55: Siri Ya Kujenga Brand Kubwa MtandaoniNdani ya Episode hii Amani Longishu, ameelezea Siri Ya Kujenga Brand Kubwa Mtandaoni Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Nifollow Tiktok: https://www.tiktok.com/mjasiriamalidigital Mjasiriamali Digital Podcast Episode 552023-07-1804 minAmani Business SchoolAmani Business School#52: Fomula 4 Za Kujenga Jina INSTAGRAMNdani ya Episode hii Amani Longishu, ameelizea Fomula 4 Za Kujenga Jina Instagram Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Tembelea blog yangu https://www.mjasiriamalidigital.com Mjasiriamali Digital Podcast Episode 522023-06-1008 minQueen Gee PodcastQueen Gee PodcastUmuhimu Wa Kuwa Na Vyanzo Zaidi Ya Kimoja Vya Mapato (S04E10)Moja ya kanuni muhimu kwenye safari hii ya kujenga utajiri ni kuwa na vyanzo vingi vya mapato. Leo tunaangalia umuhimu wa kuwa na vyanzo vingi vya mapato. Enjoy listening & learning, XOXO, Your fave Wealth Building Coach.2023-05-1609 minMaisha Ni Kuthubutu PodcastMaisha Ni Kuthubutu PodcastJinsi Kanuni Ya 3K’s Inavyojenga Hatima Ya Maisha Yako.Watu ni hodari wa kupanga mipango kikubwa si ndiyo? Watu ni hodari sana wa kupanga malengo makubwa si ndiyo? Una Kumbuka hata siku ya mwaka mpya ulipanga malengo makubwa na kusema huu ni mwaka wako si ndiyo? Lakini... Watu wengi licha ya kujua kupanga, wanashindwa sehemu mbili ambazo ni; 1. Kuamua/kuthubutu. 2. Kutenda. Hebu fikiria ukiamua kupambania mipango na malengo yako utakuwa wapi? Haitoshi si ndiyo... Ni lazima utende kwa maana kuchukua hatua (To take take actions) baada ya kuamua kupambania malengo yako si ndiyo? Kwahiyo.... Leo utaenda kujua kanuni ya 3K’s ambayo itaenda kubadili hatima yako na kuwa mtu mw...2023-01-0913 minQueen Gee PodcastQueen Gee PodcastFahamu Aina 5 Za Budget Na Jinsi Ya Kuzitumia Kulingana Na Malengo Yako (S03E23)Budgeting ni jambo la msingi sana kwenye safari ya kujenga utajiri. Kujua aina ya budget itakayokufaa kutokana na malengo uliokuwa nayo, sikiliza episode hii.2022-12-0314 minNajua PodcastNajua PodcastNajua Kujenga na Nyumba MkononiNyumba Mkononi enables the low income earners bring their pipedreams of home ownership to life by having them purchase materials virtually and incrementally from manufacturers from their mobile phones. Dial *415*41# or Download app to start building from your phone. Link: app.NyumbaMkononi.com --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/najuapodcast/message Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/najuapodcast/support2022-08-2519 minMaisha Ni Kuthubutu PodcastMaisha Ni Kuthubutu PodcastJinsi Ya Kujenga Ujasiri Wa Kuzungumza Mbele Ya Watu.Ujuzi wa kungumza mbele ya watu ni muhimu sana kuwa nao pasipo kujali upo wapi na unafanya nini, Unajiuliza ni kwa namna gani si ndiyo eeh! Hebu jiulize hapo ulipo si umezungukwa na watu pia kitu unachofanya kinahusisha watu? Ikiwa jibu lako ni NDIYO! Basi hakikisha unasikiliza hii Podcast ili na ujuzi na ujasiri wa kuongea mbele ya watu.2022-08-2315 minSiasa na GumzoSiasa na GumzoGumzo na Siasa Podcast; Manifesto za Ruto na WajackoyahMgombea urais wa UDA, William Ruto amezindua manifesto yake akiangazia nguzo sita; kupunguza gharama ya maisha, kumaliza uhaba wa walimu, matibabu bila malipo, kujenga nyumba elfu 250 kila mwaka, kukuza biashara na kuimarisha kilimo. Ahadi hizi zinatekeleka? Upande mwingine Wajackoyah ameweka wazi manifesto yake akijumuisha mambo ya kiajabu. Mara atahamisha jiji la Nairobi hadi Isiolo, sijui kufuga nyoka, kuvunja sekta ya bodaboda na kuwaajiri wahudumu hao katika mashamba ya bangi na mengine mengi ya kushangaza. Ni manifesto gani ni nzuri? Halafu Kenya Kwanza inasema bandari ya Mombasa imeuzwa huku serikali ikikana. Kadhalika Baba ameanza vita dhidi ya Chebukati. Anasema manual register...2022-07-0212 minAmani Business SchoolAmani Business School#34: Aina 5 ya maudhui ya kupost Instagram ili upate WATEJAKatika episode hii nimezungumzia Aina 5 ya maudhui ya kupost Instagram ili upate wateja. Ambayo Ni: 1. Maudhui ya kuelimisha 2. Maudhui ya kuhamasisha/ kutoa motisha 3. Maudhui ya kuburudisha 4. Maudhui ya kujenga uaminifu 5. Maudhui ya Kujitangaza Ukiwa unasikiliza chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag @mjasiriamalidigital Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital     Kutangaza biashara yako kwenye podcast hii Tuwasiliane: mjasiriamalidigital@gmail.com Host IG: https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast Episode 342022-04-1211 minAmani Business SchoolAmani Business School#33: Ufanye nini utokee kwenye EXPLORE page ya Instagram? | Mambo 5 ya kufanyaKatika episode hii nimezungumzia mambo 5 ya kufanya ili kutokea na kuonekana kwenye EXPLORE page kwenye mtandao wa Instagram Ambayo Ni: 1. Kujenga mamlaka kwenye kitu unachofanya 2. Tengeneza maudhui yenye values 3. Weka hashtags kwenye chapisho lako 4. Focus na engagement 5. Tumia Reels Ukiwa unasikiliza chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag @mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe na kuipa 5 stars ratings na review kwenye Apple Podcasts Niulize swali hapa https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital     Kutangaza biashara yako   Email: mjasiriamalidigital@gmail.com Host IG: https://www.instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast episode 332022-03-2615 minACross CultureACross CultureS5E6: World Traveller - with Stephanie BiggsStephanie Biggs is an Ethnomusicologist who calls herself a world traveller! Listen to this episode of ACross Culture where Stephanie and Jessie talk about travelling, experiences in Tanzania and the construction of whiteness there, Stephanie's work & ministry, perceptions of worship norms and more (including song contests!).  --- 🔗 LINKS 🔗 Support Stephanie here >>> Kujenga Upya (ACTI ministry/giving page)  Artists in Christian Testimony International (ACTI) home page: Inspiro Arts Alliance (a ministry of Operation Mobilization)  TED TALK - the danger of single story  --- 🎙 Please subscribe and...2022-02-0455 minThe Uongozi Wa Kiroho PodcastThe Uongozi Wa Kiroho PodcastSifa za Kiongozi 4 - Msingi WakoInawezekana kiongozi wa mambo ya kiroho asisome Neno la Mungu kwa uaminifu? Ndiyo. Katika podcast hii kuna mashauri na mapendekezo kwa ajili ya kiongozi wa kiroho ambaye ana moyo wa kujenga maisha na huduma yake juu ya msingi ulio bora. 2021-11-2715 minPaukwa RadioPaukwa RadioNamna ya Kujenga Ubunifu katika uandishi.Je, unawezaje kufundisha ubunifu darasani? Mazingira huweza kujenga ubunifu wa mwanafuzi? --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app--- Send in a voice message: https://anchor.fm/otienomjomba/messageSupport this podcast: https://anchor.fm/otienomjomba/support2021-11-202h 39Paukwa RadioPaukwa RadioNamna ya Kujenga Ubunifu katika uandishi.Je, unawezaje kufundisha ubunifu darasani? Mazingira huweza kujenga ubunifu wa mwanafuzi? --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app --- Send in a voice message: https://anchor.fm/paukwaradio/message Support this podcast: https://anchor.fm/paukwaradio/support2021-11-202h 39SepetukoSepetukoSepetuko Podcast; Wanafunzi kuteketeza shule kunaashiria tatizo kuu zaidi katika jamii!Kenya imekuwa ikijenga desturi ya haki za kimsingi; haki za watoto, haki za wanawake, haki za wazee lakini imeshindwa kujenga mwenendo wa kuwajibikia makosa! Wanafunzi wanaoteketeza shule wanafikiria kwamba wanapigania haki, hawajui kwamba haki huanza kwa kuwajibikia makosa.2021-11-0905 minMaisha Ni Kuthubutu PodcastMaisha Ni Kuthubutu PodcastAina Tano (05) Za Nguvu Zinaleta Mafanikio Kwenye Maisha Yako...Je unajua umebeba nguvu na uwezo mkubwa ndani yako? Lakini kwa bahati mbaya unatumia sehemu ndogo ya uwezo wako na kupelekea kushindwa kufanikiwa kwa kiwango cha juu kwenye malengo yako, maono yako, ndoto zako n.k kwa maana hiyo unahitaji sana kujenga nguvu hizi Ili uweze kupiga hatua kwenye maisha yako na kufanikiwa kwa sababu Unastahili kufanikiwa na Inawezekana. Usisiahau kuniandikia maoni yako hapo chini kisha subscribe channel hii kwenye Apple Podcast na platform zengine. kauli mbiu: “Maisha Ni Kuthubutu”2021-10-1424 minSepetukoSepetukoSepetuko Podcast; Nani yu tayari kuiga njia aliyofuata Dkt John Pombe Magufuli?Viongozi wa One Kenya Alliance waashiria kutaka kujenga uadilifu kwenye siasa za nchi na kwenye utumishi wa umma. Kwenye kampeni zao Makueni wamezungumzia uaminifu. Je watafanikiwa katika nchi inayoathirika kwa utumbili usungura na ufisi?2021-10-1305 minAmani Business SchoolAmani Business School#26: Inachukua muda gani kupata mteja wa kwanza kwenye instagram? - Eric BaisiLeo nimepata wasaa mzuri wa kuzungumza na Eric Baisi Mtaalamu wa masuala ya kidigitali kutoka Maje Digital, Kampuni inayojihusisha na kusaidia wafanyabishara wenye uwepo mdogo mtandaoni, Kujenga uaminifu kwa wateja wao kupitia maendeleo ya tovuti, graphic designs pamoja na Usimamizi wa kurasa za mitandao wa kijamii. Ameshare mengi nami hasa Jinsi anavyoingiza kipato, Ushauri kwa vijana walioko vyuoni na Inachukua muda gani kuanza kupata mteja wako wa kwanza instagram. Sikiliza na share na mfanyabiashara anayetoa huduma yoyote ya kidigitali. Niulize swali hapa👇🏼 https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama i...2021-09-1712 minAmani Business SchoolAmani Business School#25: Jinsi ya kujenga kujiamini kwenye kamera ili kujenga biashara mtandaoniKama wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali na bado hujaanza kutengeneza video kwaajili ya bidhaa au huduma zako!! Utaendelea kubaki nyuma kwenye mitandao ya kijamii. Katika episode hii ya 25 nimezungumzia njia 5 za kujenga kujiamini kwenye camera ili kujenga biashara mtandaoni. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia. For sponsorship👇🏻 Email: mjasiriamalidigital@gmail.com2021-08-2808 minAmani Business SchoolAmani Business School#24: Njia 5 za kujenga uaminifu instagramJe unahangaika kujenga uaminifu instagram wewe kama mfanyabiashara kwenye ukurasa wako wa kibiashara? Katika episode hii ya 24 nimezungumzia njia za kujenga uaminifu kwenye instagram. Kumbuka kushare na mfanyabiashara aje ajifunze. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia2021-08-1807 minAmerica Swahili News PodcastAmerica Swahili News PodcastFreeman Mbowe | Godless Lema- Maombi Ya AmaniGodless Lema aongelea maombi na wito kwa Watanzania kujenga hari ya kuweza kutetea haki, Amani, na uhuru kwa Watanzania.--- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/appSupport this podcast: https://anchor.fm/patrick-nhigula/support2021-08-0804 minMjasiriamali Wa MtandaoMjasiriamali Wa Mtandao87 - Jinsi ya Kujenga Biashara ya Network Marketing Kwenye Mtandao - Part 2Kama wewe ni networker mwenye kuhangaika kujenga biashara ya uhakika kwenye mtandao wa internet basi sehemu hii ya podcast inakuhusu...2020-04-0733 minMjasiriamali Wa MtandaoMjasiriamali Wa Mtandao22: Mambo 3 ya Msingi ya Kuzingatia Kujenga Biashara ya Uhakika Kwenye Mtandao wa InternetKama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kukuza biashara yako kupitia mtandao wa internet basi sehemu ya podcast hii inakuhusu. Ndani ya sehemu hii tunazungumzia mambo 3 ya msingi ya kuzingatia kuweza kujenga biashara ya uhakika kwenye mtandao wa Internet.2019-03-0527 minKujenga PodcastKujenga PodcastIntroduction to KujengaThe Kujenga podcast is dedicated to efforts focused on building a strong, self sufficient nation of melanated people, using Nguzo Saba principles as its keystone.2018-04-0107 min