Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

Lackson Tungaraza

Shows

Lackson Tungaraza\'s showLackson Tungaraza's showA MESSAGE TO ALL FIRST YEAR UNIVERSITY STUDENTS - TungarazaVijana wengi sana wanaoingia Vyuoni huwa Wanaharibika Kimaadili kwa Sababu ya Kukosa Nasaha Njema Kabla ya kufika huko. Ndani ya Somo hili kuna Nasaha ya kukusaidia Wewe Kijana wa Kike na wa Kiume ili uweze Kukua, Kustawi, na Kuchanua Kiuchumi, Kielimu, Mahusiano N.k USISAHAU Ku_SUBSCRIBE na Kushea hili Somo na Rafiki zako wa vyuo mbali mbali ili nao waweze KUJITAMBUA Mapema. Mawasiliano! 0764-793105LACKSON TUNGARAZA https://lacksontungaraza.blogspot.comhttps://YouTube.com/c/lacksontungaraza2018-08-1637 minLackson Tungaraza\'s showLackson Tungaraza's showMAISHA YA IMANI-TungarazaIli mtu aweze kufaidi vya Mungu, hana budi kuwa na Imani, pamoja na kuishi maisha ya Imani. Na huyo mtu ni wewe. Hivyo, sikiliza hili Somo ili ujue namna ya kuenenda na kufanikiwa kwa njia ya Imani inayoambatana na maisha yako2018-08-0622 minLackson Tungaraza\'s showLackson Tungaraza's showTATIZO LA KUTOKUFANIKIWA AU KUENDELEA MBELE-IceFMTATIZO la Kutokufanikiwa au kuendelea mbele ni Mada ambayo Niliizungumzia katika redio ya Ice FM ya mkoani Njombe. Naamini ni ya muhimu sana katika maisha yako ya Kila Siku. USISAHAU ku_SUBSCRIBE 0764 793105 WhatsApp2017-12-1912 minLackson Tungaraza\'s showLackson Tungaraza's showMALENGO YANAYOFIKIKATumekaribia Kumaliza mwezi pamoja na mwaka kwa ujumla, lakini ukijitathimini kwa umakini unagundua ya kwamba Hujafanikisha MALENGO yako kama ulivyotarajia. Leo SIKILIZA hii AUDIO ili Upangilie vyema MALENGO yako Kumaliza vyema huu mwaka na kuanza Vizuri MWEZI na mwaka ujao. USISAHAU Ku_SUBSCRIBE 0764793105 WhatsApp2017-12-1914 minLackson Tungaraza\'s showLackson Tungaraza's showRELATIONSHIP WITH GOD-EAGT NZUGUNIKuwa na USHIRIKA NA MUNGU sio jambo la kitoto kabisa, wala sio jambo la kulipata moja kwa moja kwa sababu tu ya kumpokea Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako. Kuna namna ya kuutengeneza huo USHIRIKA pamoja na FAIDA ZAKE. Ni ujumbe ambao niliuzungumzia wakati Fulani katika kanisa la EAGT NZUGUNI Mjini Dodoma. Jifunze, usisahau Ku-SUBSCRIBE2017-10-1756 minLackson Tungaraza\'s showLackson Tungaraza's showICEFM_KWANINI WATU HAWAFANIKIWI KWENYE MAISHA YA KILA SIKU_Part2kuna mambo kadha wa kadha ambayo huwa kwa namna moja ama nyingine huwafanya watu wasifanikiwe katika maisha yao, licha ya kuwa na BIDII kubwa sana katika matendo. katika somo hili nililofundisha ICE FM RADIO wakati Fulani huko nyuma litakusaidia kuzifahamu Zaidi. jifunze sasa katika sehemu hii ya Pili. USISAHAU KU-SUBSCRIBE2017-10-1515 minLackson Tungaraza\'s showLackson Tungaraza's showKWANINI WATU HAWAFANIKIWI KWENYE MAISHA YA KILA SIKU-Tungarazakuna mambo kadha wa kadha ambayo huwa kwa namna moja ama nyingine huwafanya watu wasifanikiwe katika maisha yao, licha ya kuwa na BIDII kubwa sana katika matendo. katika somo hili nililofundisha ICE FM RADIO wakati Fulani huko nyuma litakusaidia kuzifahamu Zaidi. jifunze sasa2017-10-1415 minLackson Tungaraza\'s showLackson Tungaraza's showNJIA MPYA YA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA _TungarazaSasa Unaweza Kutengeneza Kipato cha ziada Kupitia Mfumo huu mzuri wa Ununuzi na Uuzaji wa Vitabu vyangu. SIKILIZA Kujua Yaliyomo na Namna ya KUFANIKISHA yote hayo. Lackson Tungaraza 0764793105 Fb.com/ltungaraza2017-09-3006 minLackson Tungaraza\'s showLackson Tungaraza's showUSIRUDI NYUMAje umekata tamaa na hujui ufanye nini? je umekataliwa na sasa huoni thamani ya kuendelea kuishi? Jifunze kupitia AUDIO hii na Mungu atakugusa. -0764793105 whatsapp/call2017-02-0207 minLackson Tungaraza\'s showLackson Tungaraza's showKIJANA NA SOKO LA AJIRAKuna sababu lukuki zinazopelekea soko la ajira Tanzania na dunia kwa ujumla kuwa hivi lilivyo sasa. je unazijua? sikiliza audio hii kupata maarifa na ufahamu. Na Lackson Tungaraza. 0764793105/06524938782017-01-1808 minLackson Tungaraza\'s showLackson Tungaraza's showUNAJIVUNIA NINIWatu wengi wanajivunia Magari, Majumba, Madem, Nafasi za Uongozi, Migodi na Mashamba. WEWE UNAJIVUNIA NINI? Sikiliza Audio kupata Ufahamu na Maarifa zaidi2016-12-0513 minLackson Tungaraza\'s showLackson Tungaraza's showKIJANA TAMBUA SIRI YA KUMWOMBEA MKE WAKO MTARAJIWAMKE ni msaidizi, unapompata Msaidizi sahihi basi unakuwa na urahisi wa kusonga mbele na kutoka katika eneo ulilokuwa umekwama au unalifanya kwa kiwango cha chini. Lakini ukipata Msaidizi asiyesahihi, basi atakuangamiza zaidi. Kama kijana ni vyema ukatambua siri hii ya kumwombea Mke wako Mtarajiwa, ikiwa unampango wa kuja kuoa. Karibu sana. mawasiliano: 0764793105 [Lackson Tungaraza]2016-09-1011 minLackson Tungaraza\'s showLackson Tungaraza's showTambua Thamani Iliyoko ndani YakoWatu wengi sana wamekata tamaa kwa sababu ya maneno na matendo waliyotendewa katika maisha, pamoja na mazingira waliyokutana nayo katika maisha. Lakini kuna Uthamani ambao bado umo ndani ya kila mtu, sikiliza na upakue(download) hii Audio kujifunza zaidi.Usisahau Kujiunga (Follow) ili uwe unapata taarifa ya Elimu mpya mahali hapa, kuna masomo pia ya Kiuchumi na Kimtazamo yanakuja muda si mrefu.0764793105 whatsapp.http:jesusisalive2016.wordpress.com2016-09-0302 minLackson Tungaraza\'s showLackson Tungaraza's showMWAMBIE MUNGU AKUTAMBULISHEJe unataka kutambulika? Una kipaji, Huduma au ujuzi katika mambo mbali mbali yanayohusu jamii kwa ujumla. Isitoshe umejitahidi kufanya kila uwezalo lakini bado hautambuliki... Hauthaminiki. Shida IPO, sikiliza hili soma na ujifunze kutambulika zaidi. 0764793105 Lackson Tungaraza.2016-08-2707 minLackson Tungaraza\'s showLackson Tungaraza's showSIRI YA KUMJUA MUNGU ZAIDIKuna mambo ambayo yapo katika maisha na huyajui kwa undani wake. Na hivyo kubaki unateseka na dunia. Sikiliza, Jifunze, Chukua hatua. Maarifa ni kipimo cha mafanikio yako.2016-08-1905 min