Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

Leonce Godfrey

Shows

Eleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastTeknolojia ya 5G na Mapinduzi ya KidijitaliTeknolojia ya 5G na Mapinduzi ya Kidijitali Kupitia mazungumzo haya, tunachunguza jinsi teknolojia ya 5G inavyochochea mapinduzi ya kidijitali na kuunda msingi wa mabadiliko makubwa katika mawasiliano, biashara, na maisha yetu ya kila siku. 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital2552024-04-1611 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastKuwa Mtaalamu Wa Mitandao Ya Kijamii Bila Kuihatarisha Faragha YakoMitandao ya kijamii ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku.Ni muhimu kutumia njia salama kwa kuweka nywira tofauti kwa kila akaunti. Episode hii tutaanganzia Namna ya Kuwa Mtaalam wa Mitandao ya Kijamii Bila Kuihatarisha Faragha Yako 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: ele...2024-04-0919 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastTambuwa Barua Pepe Za Ulaghai (Phishing Emails)Tambuwa barua pepe za ulaghai (phishing emails) Katika episode hii, utajifunza jinsi ya kutambua barua pepe za ulaghai, Sikiliza leo na ujifunze jinsi ya kulinda taarifa zako za kibinafsi na pesa zako kutokana na ulaghai wa mtandaoni! (Tuma kwa namba hii wamehamia kwenye email 🤣🤣🤣) Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital2552024-01-3012 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastJinsi Virtual Reality Inavobadiliasha Maisha YetuJinsi Virtual Reality Inavobadiliasha Maisha Yetu Karibu kwenye ulimwengu wa mshangao na uvumbuzi! Kupitia podcast yetu, tumechimba kina kwenye jinsi Virtual Reality inavyotikisa msingi wa maisha yetu. Tunaangazia jinsi teknolojia hii inavyobadilisha uhalisia, kutufanya tuone ulimwengu kupitia macho mapya, na kuleta mageuzi katika njia tunavyoshirikiana na mazingira yetu. Ni safari ya kipekee ya kugundua uwezekano wa hali ya juu na kushuhudia mabadiliko ambayo yanavuta nyuzi za maisha yetu. Jiunge nasi kwenye Episode hii, tuchimbue pamoja kina cha Virtual Reality, na ujiandae kushangaa na mshangao wa teknolojia inayobadilisha maisha. Maisha bora yanakungoja! Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. ...2023-12-1112 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastJinsi ya Kuandika Maudhui ya Kimtandao (Content) Yenye Kuvutia.Jinsi ya Kuandika Maudhui ya Kimtandao (Content) Yenye Kuvutia. Leo, tutajadili mambo muhimu ya kuzingatia unapotaka kutengeneza maudhui ya kimtandao ambayo yatavutia wasomaji wako na kuwafanya waweze kuchukua hatua. Kujenga maudhui ya kimtandao yenye nguvu na yenye kuvutia ni muhimu sana katika ulimwengu wa leo unaoshiba habari. Ndiyo sababu, katika Episode hii, tutakupa mwongozo wa hatua kwa hatua juu ya jinsi ya kuanza na maudhui ya kimtandao yenye nguvu. Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital2552023-12-0510 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastApplication Ambazo Hutakiwi Kukosa Kama Unafanya BiasharaApplication ambazo hutakiwi kukosa kama unafanya biashara Kuna application nyingi ambazo upo nazo kwenye simu yako lakini wewe kama mfanyabiashara karibu nikuambie application ambazo kama unataka kufanikiwa uwezi kuzikosa kwenye simu. Katika Episode hii Tutachunguza application Tano kwa undani jinsi gani zitarahisisha utendaji wa biashara, na pia kuboresha ufanisi, mawasiliano, na matokeo ya kifedha. Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital2552023-11-2812 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastApplication Tano Bora Za Ku-Edit VideoMfanyabiashara au mtu wa kawaida lakini unataka kuwa na video nzuri kitika mitandao yako ya kijamii. Katika Episode hili utajifunza Application 5 za kuedit video zako. Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital2552023-11-2110 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastTumia Application Hizi Kuediti Picha ZakoWewe ni kijana au mfanyabiashaa? unapenda kupiga Picha nzuri na unatamani zivutie lakini unashindwa kiediti. Katika Episode hili utajifunza Application 5 za kuedit Picha zako. 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital2552023-11-1309 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastApplication tano ambazo zinatoa remote jobs au kazi za freelencingHivi unafahamu kama Kuingia mtandaoni unakuwa upo kwenye ulimwengu wa fursa zisizo na mwisho. Katika toleo hili utajifunza tovuti na programu ambazo zinatoa fursa za kazi za mbali (remote jobs) au freelancing, nataka nikupatie Tano ambazo unaweza kuzitumia katika kuuza ujuzi wako mtandaoni. 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza Produced and Hosted By Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital2552023-09-0506 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastMakosa Tano ya kimtandao yanayoweza kusababisha mashtaka nchini Tanzania.Mara kwa mara tumekua tukisikia kuhusu ya makosa ya mtandaoni lakini je, tunayajua? Haya ni makosa Tano ya kimtandao yanayoweza kusababisha mashtaka nchini Tanzania. Produced and Hosted By Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital2552023-08-2906 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastTips tano za kuepuka kuwa hacked kwenye simu na laptop.Elimu ndio inayokosekana kati ya watumiaji wengi wa majukwaa ya kidigitali na kusababisha hasara, kudukuliwa na upotevu wa taarifa na data walizoweka mtandaoni. Katika episode hii, nimekuandalia tips Tano za kufanya Ili wadukuzi wasiweze kupata taarifa zako kwenye simu na laptop. Produced and Hosted By Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital2552023-08-2206 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastFahamu Instagram insightsKatika Episode hi nimekuwekea mambo ambayo ni muhimu kuyafahamu kuhusu Instagram wewe kama mfanyabiashara. Produced and Hosted By Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital2552023-08-1506 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastFahamu VPN Tano bora za kuzitumia ili kulinda taarifa zako.Unataka kuficha utambulisho wako ukiwa mtandaoni? Je unataka usiache alama (digital footprint) pale unapotumia mitandao?. Sasa hapo ndio VPN inapokuwa muhimu sana. Katika Episode hi nakulete VPN 5 ambazo ni bora na ningependa uwe unazitumia Ili kukulinda na kukufanya uwe salama pale unapokuwa mtandaoni. Produced and Hosted By Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital2552023-08-0806 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastFAHAMU KUHUSU MITANDAO YA KIJAMIIKatika Episode hi ya Pili tutachunguza ukweli usiojulikana na mambo ya kushangaza kuhusu mitandao ya kijamii ambayo ni faida kwa wafanyabiashara na watu wengine wanaotumia mitandao hiyo. Unataka kujuwa nimekuandalia nini kaa nami nikufungulie pazia la siri hizi za mitandao ya kijamii Karibu sana! Produced and Hosted By Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital2552023-08-0104 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastAkili Bandia (A.I) Ambazo Unapaswa Uzifahamu.Katika Episode hi ya Kwanza tumewaletea Akili bandia Tano ambazo ni muhimu Kwa wafanyabiashara, wanafunzi na watu wa kawaida kuzifahamu na kuzitumia kwani zinarahisisha kazi mbalimbali za mwanadamu. Produced and Hosted By Owen Bariki.2023-07-2408 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastUnyasasaji Wa Mtandaoni Unaoneka Vipi? | Na Neema LothKatika episode hii, Neema Loth ametueleza kwa undani vile unyanyasaji wa kimtandao unavyokuwa na kufanyika katika majukwaa mbalimbali ya kidigitali Tanzania.2023-02-1010 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastJe, Usajili Wa Laini Za Simu Umepunguza Matukio Na Makosa Ya Kimtandao?Katika kipindi cha karibuni, kumekuwa na kampeni za uhakiki wa laini na namba za simu ili kuthibiti uhalifu unaofanyika kwa kutumia namba hizo mtandaoni. Je, lengo limefikiwa? Na haya ni maoni ya wananchi kuhusu usajili wa laini za simu na namba zake.2023-02-0613 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastKiusalama, Kwanini Unatakiwa "Updates" Vifaa Vyako Vya Kidigitali.Teknolojia inabadilika haraka sana. Mambo ya jana sio ya leo, kila siku vitu vinabadilika. Hivyo katika episode hii tumekukuletea sababu za kiusalama kwanini unatakiwa Updates vifaa na apps zako kila wakati ili ubakie salama mtandaoni.2023-02-0309 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastJe, Unaijua Sheria ya Makosa ya Mtandao ya Mwaka 2015?Katika episode hii, tumepima vile wananchi wana uelewa juu ya sheria ya makosa ya mtandao iliyotungwa na kupitishwa mwaka 2015. Chukua muda wako na sikiliza maoni na uelewa wa wananchi wa Tanzania juu ya sheria hii2023-01-3008 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastUnajilinda Vipi Ukiwa Mtandaoni? | Na Oweniz BarikiElimu ndio inayokosekana kati wa watumiaji wengi wa majukwaa ya kidigitali na kusababisha hasara, kudukuliwa na upotevu wa taarifa na data zako ulizoziweka mtandaoni. Katika episode hii, Ungana na mtaalam wa masuala ya kidigitali akikuelezea ni jinsi gani unaweza kuwa salama mtandaoni.2023-01-2726 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastZijue njia salama za kujilinda Mtandaoni kwa kuweka nenosiri thabiti. (strong password)Watu wengi wamekuwa wahanga wa taarifa au kurasa zao za mitandao ya kijamii kudukuliwa, katika episode hii tumekuletea njia salama za kuweka katika majukwaa yako ya kidigitali ili uweze kujilinda dhidi ya wadukuzi na waarifu wa mtandaoni.2023-01-2321 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastNyayo Za Kidigitali Na Umuhimu Wa Kulinda Hatua Zako MtandaoniWatu wengi wamekuwa wahanga wa kuibiwa taarifa zao mtandaoni, kitu wasichokijua ni kuwa kila sehemu wanayopita mtandaoni wanaacha hatua zao na taarifa binafsi. Katika episode hii tupo na Imani Luvanga, anatuambia ni kivipi tunaweza linda taarifa zetu zisidukuliwe na waarifu na tubaki mtandaoni salama.2023-01-2019 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastHizi Ndio Sehemu Salama Zaidi Za Kutunza Data Zako MtandaoniJe unawaza ni sehemu gani salama ya kutunza na kuhifadhi taarifa zako na rahisi kufikika pale unapozihitaji?. Katika Episode hii, tumekuletea SITES na APPS bora unazoweza kulinda na kuhifadhi data zako kwa usalama zaidi na rahisi kuzipata pale utakapozihitaji. Chukua muda wako na sikiliza hii;2023-01-1613 minEleven Digital The PodcastEleven Digital The PodcastHizi Ndio Browser Salama Zaidi Na Nzuri Kutumia Kwenye Simu na Laptop YakoKatika ulimwengu wa kidigitali kuna browsers nyingi sana ambazo zinakupa uwezo wa kuingia kwenye majukwaa mbalimbali ya Internet. Katika episode hii, tumekuletea baadhi tu ya browsers salama na nzuri kutumia kwenye simu na laptop zako bila kusahau Tips mbalimbali zinazoweza kukufanya uwe salama katika majukwaa ya mtandao.2023-01-0923 min