podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Makao Group
Shows
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
28 JANUARI 2026
Hii leo jaridani tunaangazia….mafunzo ya usalama katika Ziwa Victoria, na harakati za Shirika la kiraia la kusongesha elimu kwa watoto wa kike, CAMFED za kuwawezesha wanafunzi wa kike nchini Tanzania.Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kukumbuka waathirika pamoja na manusura wa mauaji ya kimbari ya holokosti hususan yale yaliyofanywa na manazi wa kijerumani, hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa katika ukumbi wa Baraza Kuu kumefanyika kumbukizi ikileta pamoja manusura waliotoa shuhuda za waliyopitia wakikimbia maeneo kadhaa ikiwemo Austria baada ya kutwaliwa na wajerumani.Ziwa Viktoria barani Afrika, licha ya kuwa mhimili muhimu wa maisha kwa zaidi ya...
2026-01-28
10 min
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
27 JANUARI 2026
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Tanzania kumulika juhudi za vijana katika kuchagiza maisha wayatakayo kuanzia kujiondoa kwenye umasikini, ukosefu wa usawa hadi kwenye upatikanaji mdogo wa elimu bora na kazi zenye staha.Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kukumbuka waathirika pamoja na manusura wa mauaji ya kimbari ya holokosti hususan yale yaliyofanywa na manazi wa kijerumani, hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa katika ukumbi wa Baraza Kuu kumefanyika kumbukizi ikileta pamoja manusura waliotoa shuhuda za waliyopitia wakikimbia maeneo kadhaa ikiwemo Austria baada ya kutwaliwa na wajerumani.Huko Geneva, Uswisi ambako inaelezwa kuwa kurejesha mfumo...
2026-01-27
12 min
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Guterres: Miaka 80 ya Baraza la Kiuchumi na Kijamii ni chachu ya mabadiliko kwa ushirikiano wa kimataifa
Katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York, hii leo historia na dharura vilikutana chini ya paa moja. Ni miaka themanini tangu Baraza la Kiuchumi na Kijamii la Umoja wa Mataifa ECOSOC lifanye kikao chake cha kwanza tarehe 23 Januari 1946 na linaadhimisha hatua hii muhimu wakati ambapo Umoja wa Mataifa unasema ni wa maamuzi kwa mustakabali wa ushirikiano wa kimataifa. Flora Nducha amefuatilia maadhimisho hayo na hii hapa taarifa yake
2026-01-23
03 min
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
23 JANUARI 2026
Hii leo jaridani tunaangazia miaka themanini tangu Baraza la Kiuchumi na Kijamii la Umoja wa Mataifa ECOSOC, AI katika elimu na juhudi za kuhakikisha wananchi wamepata huduma bora za afya kupitia kliniki tembezi nchini Niger.Katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York, hii leo historia na dharura vilikutana chini ya paa moja. Ni miaka themanini tangu Baraza la Kiuchumi na Kijamii la Umoja wa Mataifa ECOSOC lifanye kikao chake cha kwanza tarehe 23 Januari 1946 na linaadhimisha hatua hii muhimu wakati ambapo Umoja wa Mataifa unasema ni wa maamuzi kwa mustakabali wa ushirikiano wa kimataifa.Wakati dunia ikijiandaa kusherehekea...
2026-01-23
11 min
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
20 JANUARI 2026
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Kenya ambako wasichana juhudi za kusongesha Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) zimewezesha vijana wa kike kushiriki masomo ya Teknolojia ya Habari na Maewasiliano, TEHAMA na kujifunza stadi za teknolojia ili waweze kuedeleza biashara ya mtandaoni pamoja na matumizi mengine.Zaidi ya watu nusu milioni wameathiriwa na mafuriko makubwa katika mikoa ya kusini na kati ya Msumbiji, huku mvua kubwa ikiendelea kuvuruga usafiri, huduma za afya na njia za ugavi. Mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ya Dharura, OCHA nchini humo, Paola Emerson, amewaambia waandishi wa habari huko...
2026-01-20
11 min
Taki Żart
Szkoła i po szkole, makao i po makale
Ten podcast to albo najlepsza rzecz jaką słuchałeś albo zdecydowania najgorsza. A dzisiaj porozmawiamy o tym kogo z kim chodziliśmy do szkoły podejrzewalibyśmy o najgorsze rzeczy i kto z nas udawał zawał w wieku nastoletnim.
2025-12-25
10 min
Taki Żart
Kurczaczki nad kartami
Ten podcast to albo najlepsza rzecz jaką słuchałeś albo zdecydowania najgorsza. A dzisiaj porozmawiamy o tym kto zjadł najwięcej skrzydełek w kfc, kto żąda ósemki w makao i feetfinderze.
2025-12-18
12 min
Mercy Baptist Church Bungoma, Kenya
Mbingu ya Sasa: Pamoja na Yesu Paradiso
Katika Luka 23:39–43, Yesu anamwahidi mwizi aliyetubu msalabani, "Leo utakuwa pamoja nami peponi," akifunua ukweli wa faraja kuhusu mbingu ya sasa. Hii inaonyesha kuwa wote wanaomtumaini Kristo wanakaribishwa mara moja uweponi Mwake baada ya kifo, si kwenye giza au kusubiri, bali mahali pa amani na furaha pamoja naye. Pepo ni makao ya waliookolewa katika uwepo wa Yesu, ladha ya mbingu ya milele ijayo, ikikumbusha waamini kwamba wokovu ni kwa neema kupitia imani, na kwamba kifo si mwisho bali ni mwanzo wa maisha ya milele pamoja na Kristo.
2025-09-24
29 min
Ruhrpodcast
Ruhrpodcast 158 – Als Süddeutsche fremd im Ruhrgebiet
Im Gespräch mit Sonja Salzsieder, Teamkoordinatorin aus Dinslaken Sonja kommt aus der Nähe von Stuttgart. Heute lebt sie in Dinslaken. Dazwischen liegen Stationen in London, Macau, Oman und Bonn. Ein bewegtes Leben. Viele Kulturen. Viele Fragen. Viel gelernt. In dieser Folge erzählt sie, was es heißt, ständig neu anzufangen. Karriere weltweit – von Hotellerie bis Coaching In London arbeitete Sonja in einem Top-Hotel. Sie wollte lernen, reisen, wachsen. Dann kam Macau. Die Finanzkrise. Keine Jobs. Sie entschied sich fürs Studium: Psychologie. Später der Oman – ganz neue Welt, ganz andere Regeln. Und...
2025-09-24
33 min
Siha Njema
Utengano wa familia unaweza kuleta shinikizo la damu au kisukari
Wanadamu ni viumbe ambao hukamilika wanapokuwa kwenye jamii ambapo wanaweza kuelezea hisia zao,kujihisi wanathaminiwa na wana mchango kwa wengine. Mambo hayo yanapokosa,inaweza kuwa chanzo cha matatizo ya kiafya.Na hii ni hali ambao hukuwa nao wakimbizi ambao wametenganishwa na wapendwa wao. Katika kambi ya Kakuma iliyoko kaunti ya Turkana,kaskazini mwa Nchi ya Wakenya,tulizungumza na wakimbizi ambao walilazimika kutengana na wapendwa wao kwa sababu ya migogoro ya kifamilia,ukoo na hata vita. Ingawa wamepata makao katika kambi ya wakimbizi bado maisha yao hayajakamilika . Wengi wameishi kwenye hali ya upweke,huzuni n...
2025-09-02
10 min
Siha Njema
Utengano wa familia unaweza kuleta shinikizo la damu au kisukari
Wanadamu ni viumbe ambao hukamilika wanapokuwa kwenye jamii ambapo wanaweza kuelezea hisia zao,kujihisi wanathaminiwa na wana mchango kwa wengine. Mambo hayo yanapokosa,inaweza kuwa chanzo cha matatizo ya kiafya.Na hii ni hali ambao hukuwa nao wakimbizi ambao wametenganishwa na wapendwa wao. Katika kambi ya Kakuma iliyoko kaunti ya Turkana,kaskazini mwa Nchi ya Wakenya,tulizungumza na wakimbizi ambao walilazimika kutengana na wapendwa wao kwa sababu ya migogoro ya kifamilia,ukoo na hata vita. Ingawa wamepata makao katika kambi ya wakimbizi bado maisha yao hayajakamilika . Wengi wameishi kwenye hali ya upweke,huzuni n...
2025-09-02
10 min
RACE PACE - podcasty o bieganiu
Narodziny legendy | Gdy świat usłyszał o Eliudzie Kipchoge
15 piekielnie mocnych biegaczy finałowego biegu na 5000 metrów mężczyzn podczas Mistrzostw Świata w Lekkoatletyce w 2003 r. właśnie wyrusza na pierwsze okrążenie, a z głośników wielofunkcyjnego stadionu sportowego w Saint-Denis, na przedmieściach Paryża wybrzmiewa hymn Gwiezdnych Wojen.W chwili, gdy Kenenisa Bekele - świeżo upieczony mistrz świata na 10000m, wyszedł na prowadzenie, a za nim jak cień zaczął podążać absolutny dominator biegów średnich - marokańczyk Hicham El Guerrouj, wszyscy byli pewni, że pozostali uczestnicy tego biegu, będą mieli do powiedzenia mniej więcej tyle, ile ma się do powiedzenia...
2025-08-09
37 min
ROZBARK RADIO
Rozmowy z nami : ,,I tutaj nie przesadzam...", czyli wywiad z Pawłem Murlikiem
Przed Państwem trzynasty wywiad serii rozmowy z nami, naszym gościem był Paweł Murlik. Zawodowo zajmuje się aranżacją światła w przestrzeniach teatralnych. Często odpowiadał za spektakle podczas tournée grup teatralnych w Europie i w Azji. Przez kilka lat był również związany z Śląskim Teatrem Tańca, wypracowując setki godzin z kilkudziesięcioma artystami z całego świata. Podczas festiwali współpracował m.in. z Cullberg Ballet (Szwecja), Joe Alter (USA), Uri Ivgi (Izrael), Johan Greben (Holandia), Brian Michaels (Wielka Brytania), Erik Koung (Makao), Kuik Swee Boon (Singapur), Kibutz Company (Izrael), Jean-Gui...
2025-02-25
1h 51
Csakugyan / 8 és fél óra
Korrupt főkapitány, sötét alvilág, kasszafúrók – bűnesetek a 19. század Budapestjén- Lukácsházi Luca – Csakugyan #057
Ment a makaó és a nasi-vasi, de nem csak ez. Meztelen kánkánozók, véres gyilkosság a várban, cseles ékszertolvajok – Budapest, te durva hely! Nem lehet elhinni, mi folyt itt! Thaisz Elek rendőrkapitány, aki csak hozzátett a teljes romláshoz; híres magyar bűnbandák, akiket egész Európa keresett; selyembe öltözött dámák, akik végiglopták az Andrássy utat; és még nem beszéltünk Gróf Enyveskezűről, aki ezzel a névvel végigroadshow-zta Európát, mert úgysem értették a nevét, viszont elemelt számos bukszát...
2024-12-28
1h 00
Holistic Edge Radio
52. Joanna Crespo,52. Joanna Crespo, A Banking Professional Who Teaches a Leading Training in Reiki 1, 2, & 3 To Become a Professional Practitioner With Family Constellations Therapy as a Foundation, Host Enoe Aracely Brown, Oct. 31
Send us a textJoanna Crespo, MBA, is a Director in International Commercial Banking and a leading instructor of Reiki. Topics of discussion will include reiki, practitioners, long distance healing, art and spirituality in mathematics, Makao Usui the founding master plus some student testimonials of Joanna's work, and her experiences in the world of healing. She will speak about how the younger generations today are changing their energetic frequencies through meditation and work of Reiki; how her students are evolving their intuition levels much more quickly with Reiki; and how she partners Reiki with Family Constellations therapy...
2024-11-26
52 min
Wszechnica FWW - Nauka
725. To samo, czy nie to samo? / Piotr Chrząstowski-Wachtel
Wykład Piotra Chrząstowskiego-Wachtla w ramach 28. Festiwalu Nauki w Warszawie [21 września 2024 r.] https://wszechnica.org.pl/wyklad/to-samo-czy-nie-to-samo/ Matematycy często starają się dojść do sedna sprawy i nie zwracają uwagi na nieistotne szczegóły. Gdy kreślimy graf połączeń elektrycznych nie jest istotne jakim kolorem oznaczymy poszczególne segmenty sieci, nawet często nie jest istotne, czy proporcje odległości są zachowane; ważne jest, żeby punkty lutowania były umieszczone we właściwej kolejności (relacja sąsiedztwa). Dwa obiekty są izomorficzne, jeśli są nierozróżnialne pod kątem wykonywania na nich działań i spe...
2024-09-29
41 min
90.9 Jazzy rádió - Márkamonitor
ifj. Korcsok Gábor, a Cool4U Kft. Gree légkondicionálók projekt üzletágának kereskedelmi igazgatója
2024.07.18. A GREE márkáról valószínűleg már mindenki hallott, de azt talán kevesebben tudják, hogy kínai, és a világ legnagyobb légkondigyártója. Fiatal márka, csak 1991-ben alapították, a nagy kínai nyitás időszakában, a Hong Kong, Sencsen és Makaó nevével fémjelzett gazdasági övezet közelében. A Cool4U Kft. még a kínai gyártónál is fiatalabb 10 évvel, vendégem pedig lassan másfél évtizede ott dolgozik. Ők a GREE magyarországi importőre, együtt...
2024-07-18
32 min
Unity Radio 254
Habari za Umoja wa Mataifa (UN)
Sikiza habari za Umoja wa Mataifa moja kwa moja kutoka idhaa ya kiswahili ya UN, makao makuu New York. Msomaji ni Assumpta Massoi
2024-06-18
09 min
Damali Ssali #IdeationCorner
Makao Kwetu: Empowering Women and Revolutionizing Sustainable Construction | #IdeationCorner
Join Dativa Ainembabazi, Founder of Makao Kwetu, as she shares her vision for sustainable construction, women empowerment, and innovative design on the Ideation Corner. Learn how Makao Kwetu is revolutionizing the industry with its female-led team, upcycling materials, and emphasis on craftsmanship and creativity. Watch/Listen now and be inspired by this trailblazing approach! #MakaoKwetu #IdeationCorner #Sustainability #WomenInConstruction #DesignAndBuild
2024-06-12
27 min
Amedeus Live Podcast
Hema Yake Iliyotakaswa
Wewe ni makao ya Mungu, maskani yake. Wewe ni mwakilishi wa Mungu katika ulimwengu wako. Dhihirisha ubora na ukuu wake leo, mtangaze Bwana Yesu kila Mahali ulipo au uendapo. Acha ulimwengu umwone Kristo ndani Yako na kupitia wewe kuanzia leo.
2024-03-21
12 min
Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)
Kiswahili Kitukuzwe - Mradi wa Artemis
Maisha ya mwanadamu hayajazuiliwa kwenye dunia hii tunayoishi pekee, bali tunauwezo wa kujenga makao yetu kokote ulimwenguni. Tazama video hii ujionee juhudi za NASA kupitia mradi wa Artemis unaonuia kupeleka wanadamu mwezini na hata zaidi. Asante.
2024-02-25
06 min
Amedeus Live Podcast
Wewe ni Makao Makuu ya Mungu
Mwili wako ni hekalu la Roho Mtakatifu. Mwili wako ni maskani yake... Moyo wako ni makao yake, dhihirisha tabia yake, ubora wake na hekima yake kila siku.
2024-02-20
09 min
Trinity Baptist Church Donholm, Nairobi
Sifa za Mungu | Sehemu ya Sita | Mchungaji Murungi
Zaburi 90:1-21 Wewe, Bwana, umekuwa makao yetu, Kizazi baada ya kizazi.2 Kabla haijazaliwa milima, wala hujaiumba dunia, Na tangu milele hata milele ndiwe Mungu.For more details, literature, ministries about Trinity Baptist Church, Nairobi follow us on our website: https://www.trinity.or.ke/For Grace and Truth magazine resources, find them at: https://www.trinity.or.ke/grace-and-truth/For Grace Hymns App(Android), find it: https://play.google.com/store/apps/details...Follow us on:Facebook: https://facebook.com/tbcnairobiYouTube: https://youtube.com/tbcnairobiInstagram: https://www.instagram.com/tbcnairobi/Twitter: https://twitter.com/tbcnairobi
2023-10-11
41 min
Haki ya Mungu Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya Mungu (II)
SURA YA 8-3. Mkristo ni Nani? (Warumi 8:9-11)
Ikiwa mtu ni Mkristo wa kweli au la mtu huyo anatofautishwa kwa kigezo ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yake au la. Inawezakanaje kwa mtu kuwa Mkristo ikiwa mtu huyo hana Roho Mtakatifu katika moyo wake? Paulo anatueleza sisi kuwa hata kama tunamwamini Yesu hilo sio suala muhimu sana bali ikiwa tunamwamini Yesu hali tukiwa tumeigundua haki ya Mungu au la. Imani ya kweli inayohitajika kwa watakatifu ni ile imani ambayo iko tayari kupokea na kufanywa makao ya Roho Mtakatifu. Uwepo wa Roho Mtakatifu ndio unaoweza kukutambulisha ikiwa wewe ni Mkristo au la. https://www.bjnewlife.org/
2023-01-13
04 min
RadioRahma
Ugonjwa wa upungufu wa akili watibiwa Mombasa
Takwimu zilizowasilishwa kwa kamati ya Seneti ya Afya mwezi Machi na Waziri wa Afya Mutahi Kagwe zinaonyesha ugonjwa wa mfadhaiko ndio aina ya ugonjwa wa akili unaoenea zaidi nchini. Amina Abdalla ni Mwanzilishi wa kituo cha Women Empowerment for Mental illiness Treatment and Rehabilitation Centre, anasema aliamua kuanzisha makao hayo baada ya kuona hakuna makao ya kuishi ya watu wenye akili punguani wanaorandaranda ovyo mitaani na barabarani. Mwandishi: Nuru Mwalimu.
2022-07-15
13 min
LOVE UNTOLD PODCAST
BLOOD SISTERS🥺/IMPACT IN DECISION MAKING/BEFORE MAKING THINK🤔
kuna muda kwenye maisha tunafanya maamuzi ambayo baadae unaweza jutia au yakakuletea faida vilele, cha msingi kabla ya kufanya maamuzi juu ya jambo lolote iwe ndoa, uchumba, biashara, marafiki. chukua muda kushirikisha watu au makao makuu yako ya ubongo
2022-05-18
04 min
Hack és Lángos
HnL220 - Majdnem 18 karikás
Mai menü:Doxolták a WhiteDoxBin-tTCP Middlebox Reflection erősített DDoS támadásokhozA legnagyobb felhők győznek? A Google Mandiant-vásárlásának tanulságaiLinux PrivEsc in IPSecHackerek célba luxus szállodák Makaó - IT Security GuruTávoli szexjátékszerJulian Assange elutasította az amerikai kiadatási kérelmet | SecurityWeek.ComGoogle hirdetésbeállításokElérhetőségeink:TelegramTwitterInstagramFacebookMail: info@hackeslangos.show Elérhetőségeink:TelegramTwitterInstagramFacebook...
2022-04-01
57 min
Ryneczki kontra Markety
14 Makao vs Kent
Póki wiosna jeszcze nie nadeszła i zastanawiacie się jak spędzić długie zimowe wieczory, proponujemy rozgrywkę w karty. I przy okazji odpowiadamy na pytanie w co lepiej zagrać! Makao i po makale czy może stop kent? A wy co wybierzecie?
2022-03-15
42 min
Amedeus Live Podcast
Sina mahusiano na Mauti
Mimi ni Roho Mmoja Pamoja na Bwana. Mwili wangu ni makao ya kudumu ya Roho wa Mungu. Mimi ni tawi na yeye ni Shina la Mzabibu.
2022-01-23
02 min
The Long Game 🎙️
Weathertightness in Buildings (And Why it Matters)—with Jesse Clarke
In his book Rottenomics, Peter Dyer states that "if all leaky dwellings were to be fixed along the lines advocated by the dominant camp, a conservative estimate of the eventual cost would be $52.3 billion."His books and research stress the importance of weathertightness as a key measure to prevent further property damages and health risks.In the seventh episode of The Long Game, we sit down with building scientist Jesse Clarke of Pro Clima. Jesse taps into his wealth of experience in building physics to discuss weathertightness, risks posed by water damage, and Pro Clima’s...
2021-12-22
59 min
The Long Game 🎙️
Choosing the Right Window System—for Maximum Home Comfort [Part II]
James goes deeper into the science of glass and window performance (frames, panes, gases, thermal breaks, and seals). He also uncovers how various materials, from timber to steel, affect a window's durability, performance, and aesthetics. Lastly, we explore the role of glass tinting in regulating the amount of light and temperature that flows into a room and the significance of acronyms such as SHGC, U-values and VLT.
2021-12-21
1h 08
The Long Game 🎙️
Choosing the Right Window System—for Home Comfort (with James Matejko) [Part I]
James breaks down the the difference between window price, cost, and value by tapping into his experience in the the financial services and mortgage sector. He then talks about the importance of bringing comfort into one’s home and how windows are an essential part of cultivating a livable lifestyle inside the home. In the chat we also point out the significance of each person’s unique needs and how they can translate directly into a window's performance. From thermal and acoustic comfort, to safety and security.
2021-12-21
59 min
The Long Game 🎙️
Build Differently—with Kingspan Insulation
Today we chat with Stuart Braine and Robert Sebek. About the guests: Stuart and Robert are here from the technical specification team at Kingspan Insulation. In case you're not familiar with Kingspan, 're a global manufacturer and supplier of building materials. Both Stu & Rob have years of experience working closely with architects, engineers, and building surveyors. Their webinars and Kingspan Digital Academy are a great way to learn more about our building code requirements, technical topics on building science, and products.There is something for everyone in this informative episode. Want to know how...
2021-11-25
1h 11
Kisa Changu
Kisa Changu Podcast: Ukatili wa kubomolewa nyumba Mukuru, Nairobi
Bridgit Achieng' ni miongoni mwa maelfu ya wakazi wa mtaa wa mabanda wa Mukuru ambao hawana makao baada ya serikali kubomoa nyumba zao, kupisha ujenzi wa barabara ya Nairobi Expressway. Bridgit mwenye umri wa miaka 25 na mama wa mtoto mmoja anasema ameishi mtaani Mukuru maisha yake yote na hatua hiyo imemwathiri pakubwa kwani alilazimika kuanza upya tena maisha yake. Lakini kinachovutia zaidi kutoka kwa Bridgit si changamoto za kuishi katika mtaa wa mabanda au kukosa makazi bali ni kuamua kutumia mahangaiko yanayomkumba kuwatia motisha vijana kupitia mtandao wake wa Facebook. Sikiliza masimulizi kamili katika makala haya na Carren Omae.
2021-11-21
13 min
The Long Game 🎙️
The mission to build healthy, high performance homes—with Burkhard Hansen
Burkhard Hansen is the Director of CarbonLite. CarbonLite is an Australian company that specialises in building ultra-efficient homes. How? By applying Passive House standards and pre-fab construction techniques. Here's what we cover: emerging trends in construction the opportunities and challenges of pre-fabricated construction CarbonLite's mission Plus much more
2021-10-25
1h 32
Çin'deki Türkler Anlatıyor/Çin İş Kulubü
Çin'deki Türkler Anlatıyor-26. Bölüm
Kerem Köfteoğlu’nun Youtube ve Yön Radyo’da sunduğu “Doğudaki Tanıtım Elçilerimiz: Çin’deki Türkler” programına katılan T.C. Hong Kong Başkonsolosu Peyami Kalyoncu, Çin Halk Cumhuriyeti’nin iki Özel İdare Bölgesi Hong Kong ve Makao’nun görev alanı olduğunu hatırlatarak şu bilgileri verdi: “Hong Kong Bir Ülke, İki Sistem ilkesi çerçevesinde yönetiliyor. Çin’in GBA’sı (Greater Bay Area-Büyük Körfez Bölgesi), Guangdong, Makao ve Hong Kong’u kapsıyor. Çinli yetkililerin ifadesine göre GBA, 2030 yılında 4,5 trilyon ABD Doları gayrı safi hasılaya sahip 75 m...
2021-09-15
25 min
Kompas Rejducha
Kompas Rejducha. Odc. 14. "Azja uzależnia! Hongkong i Makao oczami Blanki Czekalskiej"
Od urodzenia podróżuje po świecie i w całym swoim życiu wypróbowała wszystkie możliwe metody przemieszczania się – od wyjazdów z biurem podróży, po samodzielne wyprawy autostopem. Bohaterką tego odcinka jest Blanka Czekalska, która opowiedziała mi o jednej ze swoich podróży do Hongkongu i Makao. Zapraszam na pełną ciekawostek rozmowę.
2021-09-11
47 min
The Long Game 🎙️
NatHERS energy modelling—with Nick Bishop
The Long Game Volume 01: EP 03 🎙️Today we chat with Nick Bishop.Nick is the Director and Founder of HERO Software, an energy modelling tool that helps energy assessors accelerate the simulation and optimisation of thermal performance in multi-dwellings.We cover: Differences between minimum compliance and voluntary best practice in ESD, the changing landscape in building codes and NatHERS (residential market), translating industry knowledge into software, and much more.
2021-08-19
44 min
RadioRahma
WENYE AKILI PUNGUANI WAPONA MOMBASA | PART 1
Nchini Kenya inakadiriwa kuwa mtu mmoja kati ya watu 10 anaugua shida ya akili, Huku mtu mmoja kati ya watu wanne wenye ugonjwa wa akili anahudhuria vituo vya afya. Wagonjwa wengi wa akili ujipata wametengwa katika jamii na wanaonekana kama waliolaniwa. Jijini Mombasa kumefunguliwa makao na kituo maalumu ya kuwahudumia wagonjwa wa akili cha Women Empowerment for Mental illiness Treatment and Rehabilitation Centre kufunguliwa eneo la Miritini. Kituo hicho kwa sasa kina hifadhi zaidi ya wagonjwa akili 65, huku zaidi ya 50 wakiwa wamepona. BY: Athuman Luchi.
2021-08-17
13 min
JADI BEGINI PODCAST
AHMAD SAID WIDODO PURWAKARTA HABIS TERBAKAR #39
https://youtu.be/O2sO7lbaZB4 Pada zaman dahulu ketika Indonesia sedang dijajah oleh Belanda, kira-kira sekitar tahun 1710, Belanda (VOC) menjadikan Wanayasa sebagai daerah cabang perkebunan teh, sedangkan daerah pusat perkebunan teh tersebut berada di Purwakarta. Para pekerja perkebunan teh baik yang berada di Wanayasa maupun Purwakarta kebanyakan adalah Orang Tionghoa yang berasal dari Makao. Setelah sekian lama mengalami penderitaan dari VOC, para pekerja perkebunan teh mulai mengadakan perlawanan. terjadilah kerusuhan besar-besaran di Daerah Wanayasa dan Purwakarta. Di edisi Redaksi Bertanya kali ini akan membahas tentang Sejarah Purwakarta bersama pak Ahmad Said Widodo Peneliti dan Penulis Sejarah Purw...
2021-07-29
29 min
The Long Game 🎙️
Better quality buildings—with Darren O'Dea
Darren O'Dea is a Co-Founder of Speckel, an online platform that simplifies building energy modelling for design teams. With over 15 years experience working in the built environment across Australia and AsiaHere's what we cover: Building physics elements (thermal bridging and condensation) Energy efficiency updates in building codes How did Speckel start and where is it heading to next? Performance-based design briefs Plus much more.
2021-07-07
39 min
The Long Game 🎙️
Build airtight, ventilate right—with Ash Mogensen
Ash Mogensen is the Director and Co-Founder of 3ARK, where he specialises in air tightness and building performance. In this episode we cover: What is air tightness? How does it impacts comfort & energy use? How does air leak from homes (and why some heaters are always on)? The National Construction Code (Australia) Plus much moreEnjoy the conversation.
2021-06-10
1h 09
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
SIFA ZA BINTI WA VIWANGO/ THE ATTRIBUTES OF A SINGLE LADY OF CLASSY By Luphurise Mawere
Karibu katika mtiririko wa somo hili kwa ajili ya mabinti/single ladies nilifundisha kwenye Semina ya Mabinti, Ngome Holdings, Sinza Africasana, Jumamosi 1 May 2021_ *1. Kuweka vitu vya kwanza kuwa vya kwanza, Kuhakikisha Mungu ni kwanza kwenye ubinti wako* _Mathayo 22: 37-38_ _Mathayo 6: 33_ Yatupasa kumpenda Mungu kwanza na kumuweka wa kwanza kwenye maisha yetu. Usiweke wazazi, walezi, ma-sponsor, boyfriend wako kwenye nafasi ya Mungu, Mungu anapaswa kuwa namba moja kwenye ubinti wako. *Tunafanyaje ili Mungu wa Kwanza* ▪Kumpenda kwa moyo wako wote, roho yako yote na akili zako zote *Kwanini tumpende Mungu* _1 John 4: 19 Sisi twapenda kwa maana yeye alitupenda sisi kwanza._ ▪Mungu alitupenda kwan...
2021-05-03
2h 05
Lakota Radio
Lakota Radio 048 | Sam Wolfe
This week on Lakota Radio with Toma Hawk has delivered us a stomping mix of the best new Techno in the business. Expect the usual high-octane drama from Toma Hawk as he kicks off the show with his picks of the week. This weeks special guest is Sam Wolfe Tracklist Toma Hawk 1. Skober – Quasar – Terminal M 2. Pain & Panic – Makao – Reload Records 3. Mozzy Rekorder & Luca Morris – Reload Black Label 4. Jay Lumen – From Outer Space – Footwork 5. JonJo Drake – Mercy – Lakota Music Records Tracklist Sam Wolfe 6. Sam WOLFE - Process x Graveyard March...
2021-02-27
00 min
zGrajmy się
zGrajmy się - 14 - Makao
To chyba jedna z najbardziej popularnych gier karcianych! Jest aż tak popularna, że doczekała się mnóstwa różnych wariacji i zasad. Dama na wszystko i wszystko na damę? Czy może Dama ratuje przed Królami? A czy na 4 stoi się kolejkę czy nie? Bez względu na to, jakie to wariacje i zasady jedno jest pewne: Makao i po Makale!
2021-01-03
24 min
Linus Siwiti's podcast
Episode 27 - TUTAFAKARI BIBLIA Linus Siwiti's podcast
2 Tazama, nimekufanya mdogo kati ya mataifa; Umedharauliwa sana. Obadia 1:23 Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, Wewe ukaaye katika pango za majabali, Mwenye makao yako juu sana; Asemaye moyoni, Ni nani atakayenishusha mimi? Obadia 1:34 Ujapopanda juu kama tai, Ijapokuwa kioto chako kimewekwa kati ya nyota, Nitakushusha kutoka huko; asema Bwana. Obadia 1:47 Watu wote wa mapatano yako Wamekufukuza, hata mipakani; Wale waliofanya amani nawe Wamekudanganya, na kukushinda; Walao mkate wako wameweka mtego chini yako; Wala hana ufahamu wa hayo ndani yake. Obadia 1:712 Lakini usiitazame siku ya ndugu yako, siku ya mashaka...
2020-10-02
15 min
Msasa Media
UHOLANZI: KUISHITAKI URUSI KATIKA MAHAKAMA YA ULAYA KWA KUIANGUSHA NDEGE YA MALAYSIA.
Taifa la Uholanzi limesema litaishitaki Urusi katika mahakama ya Ulaya kuhusu haki za kibinadamu ya ECHR kwa hatua yake ya kuiangusha ndege ya shirika la ndege la Malaysia mwaka 2014. Jamaa wa wahanga 65 wa Uholanzi waliofariki kwenye ajali ya ndege waliwasilisha malalamiko yao kwenye mahakama hiyo yenye makao makuu mjini Strasbourg, wakiitaka Urusi kubeba dhamana ya tukio hilo ambapo watu wote waliokuwepo kwenye ajali hiyo walipoteza uhai. Uholanzi na Australia zimesema zinaibebesha jukumu kubwa nchi ya Urusi kwa kuiangusha ndege hiyo iliyokua safarini kuelekea Kuala Lumpur kutoka Amsterdan. Waziri wa mambo ya nje wa Uholanzi Stef Blok amesema upatikanaji wa haki...
2020-07-13
01 min
HOT TAKE
MAKAO W MAKALE | PUNCH CLUB #3
Ubrani w smokingi, niczym wytrawni hazardziści Piotrek Tomalski i Michał Przybi... Przybycień oczywiście, zapraszają do swojego klubu. Tym razem na tapet zostali wzięci Fury i Wilder. Nie zabrakło także polskiego boksu i MMA, UFC czy dyskusji na temat mody męsko - damskiej oraz najnowszych trendach kolorystycznych na lato 2020.
2020-06-20
57 min
Exile Radio
Episode 7 : Isobel D'Cruz Barnes
Isobel talks contemporary Malaysian punk. This takes place on land stolen from the Wurundjeri and Boon Wurrung People of the Kulin Nation. MIE acknowledges the Wurundjeri and Boon Wurrung People as the rightful owners of the land we live on, and pays respect to their elders, past, present, and emerging. Sovereignty has never been ceded. Sigmun / In the Horizon Shark Move / Evil War Roziah Latiff and the Jayhawkers / Aku Kechewa No Kontrol / Kondisi Akar Umbi / Raja Perahu Senyawa / Terbertaktilah Tanah Inhi Kathakali / World Library of Folk Music : India Akar Umbi / Sungai Makao https://hexdebt.bandcamp.com/ Graphics by Rick Milovanovic ...
2020-05-23
56 min
DJ FRANZ
Mix dj franz
DJ FRANZ MUSICA VIVA MIXES EN VIVO TU RADIO TU RADIO 889 DISFRUTA DE LOS MEJORES MIXES CON EL MEJOR DJ FRANZ MIXES LOCOS EN UN SOLO LUGAR DJ OFICIAL DE MAKAO CLUB ON AIR MIXES CON ELEGANCIA
2020-03-18
29 min
Vizesiz Geziyorum
Makao
Çin’de yapılamayanları yapabilme özgürlüğüne sahip bir ülke düşünün hem de Çin’in yanı başında. Bu ülkenin kültürü Portekiz’den etkilensin bir de… “Nasıl olacak mı?’’ mı diyorsunuz? Makao’ya, tam adıyla Çin Makao Özel Yönetim Bölgesi’ne, hoş geldiniz!Dünyada nüfus yoğunluğu bakımından ilk sıralarda olan bir ülke Makao. Tek şehri de başkenti de Makao. Yakınlarında bulunan iki küçük ada da Makao’nun toprakları içerisinde sayılıyor. 1887 yılında Çin tarafından Portekiz’e bırakılan ve Portekizli bir vali tarafından yöneti...
2020-03-18
00 min
The Art of Otherness
Kelvin Mureithi - Makao Group Founder
Kelvin Mureithi is the founder of Makao Group a Melbourne based construction company that builds sustainable custom homes. This is our conversation on impact beyond the here and now. Legacy - Leaving the world a better place by building sustainable homes Website: http://www.makao.com.au/ Insta/FB: @makaogroup
2019-01-21
32 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: KUKAMATWA KWA WAANDISHI WA HABARI NCHINI TANZANIA
Mamlaka ya Uhamiaji nchini Tanzania imekiri kuwashikilia na baadae kuwaachia huru Waandishi wa Habari wa Kigeni kutoka Kamati ya kutetea haki za Waandishi wa habari yenye makao yake makuu New York Marekani kwa kosa la kufanya jaribio la mkutano wa wandishi wa Habari kinyume na maelezo yao waliyotoa wakati wakiingia nchini humo.Msemaji wa mamlaka ya uhamiaji nchini Tanzania Ally Mtanda , amemweleza Mwandishi wetu mjini Dar es Salaam kuwa Waandishi hao waliingia mjini Dar es Salaam kama wageni wanaofanya matembezi,lakini baadae wakaanza kuratibu kufanya shughuli za Kiuandishi wa Habari kinyume na sheria na kanuni za uhamiaji kwa mgeni...
2018-11-08
04 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: RIPOTI KUHUSU HAKI ZA BINADAMU NCHINI TANZANIA
Taasisi ya kutetea haki za Binadamu Human Rights Watch yenye makao yake makuu mjini Nairobi Kenya imepongeza msimamo wa Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kutoa msimamo wake kuwa itaendelea kuheshimu haki za binadamu nchini humo.Katika Taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana mjini Nairobi Kenya taasisi hiyo ya haki za binadamu imesema imefarijika na taarifa iliyotolewa wiki hii na Wizara ya mambo ya nje ya Tanzania kuwa inaheshimu haki ya kila binadamu na kwamba kauli ya hivi karibuni ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul...
2018-11-07
05 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRICA
Hujambo na karibu ndugu msikilizaji katika makala ya sura ya Afrika kutoka idhaa ya Kiswahili ya Channel Afrika Taswira ya Afrika na tukitangaza kutoka mjini Johannesburg Afrika Kusini na je tumekuandalia nini hii leo ?Kikao cha Bunge la Afrika kimeaanza leo jumatatu katika makao makuu ya Bunge hilo Callaghar kitongoji cha Midrand nje kidogo ya jiji la Johannesburg na ambako wabunge wapya kuapishwa .Mafuriko yasababisha vifo nchini Kenya kufuatia mvua kubwa zinazonyesha Afrika Mashariki.Na tutangaazia hali kuelekea uchaguzi mkuu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Matangazo yetu pia yanasikika katika DSTVAudio...
2018-05-07
59 min
News in KiSwahili
Kiswahili News
Vikao vya bunge la Afrika Mashariki vinaendelea katika makao makuu ya bunge hilo kitongoji cha Midrand mjini Johannesburg na mada za leo zilikuwa ni Jiinsi ya kupata ushindi katika vita dhidi ya Ulaji Rushwa na utekelezwaji wa itifaki ya watu kutembea kwa njia iliyo huru na pia Passipoti ya Afrika .Polisi nchini Rwanda imewatia nguvuni makasisi sita waliokiuka amri ya kuhubiri katika makanisa yaliyopigwa marufuku na serikali nchini humo wiki iliyopita .Na tutaangazia hali ya usalama katika mkoa wa Ituri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
2018-03-06
1h 01
Kwaya Kuu Kikosi Injili
Wanangu Njoo
Nimefanya Nini... What have I done, for Lord to love me this much? Wanangu Njoo Lyrics Wanangu njoo Mimi nawaita [Come to Me my children, It's Me calling you;] Acheni dhambi Mniamini [Stay away from sin, Believe in me.] Baba tayari amepiga muhuri [Father have already stamped] Muhula wa rehema u kingoni [The Grace Period is ending] (Chorus) Nimesimama Niko mawinguni ninakuja, Nawangoja wanyenyekevu niwatwae Nimesimama Niko mawinguni ninakuja, Nawangoja wanyenyekevu niwatwae Fueni mavazi yenu (Yatakaseni), Arusi i Mlangoni (inakuja) Fueni mavazi yenu (Yatakaseni), Arusi i Mlangoni (inakuja) [ I am standing, returning on the clouds, Waiting to take the humble...
2008-03-08
06 min