podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Mazingira Yetu Radio
Shows
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Mazingira, taka za plastiki suala kuu
Uchafuzi wa taka za plastiki umekuwa kero kwa dunia, na kuhatarisha sayari yetu, vyanzo vya maji lakini pia afya ya binadamu na wanyama. Mataifa kukutana mwezi Agosti katika muendelezo wa majadiliano ya kutafuta mkataba wa kisheria wa kimataifa kukabili tatizo hili.
2025-06-02
10 min
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Mazingira, taka za plastiki suala kuu
Uchafuzi wa taka za plastiki umekuwa kero kwa dunia, na kuhatarisha sayari yetu, vyanzo vya maji lakini pia afya ya binadamu na wanyama. Mataifa kukutana mwezi Agosti katika muendelezo wa majadiliano ya kutafuta mkataba wa kisheria wa kimataifa kukabili tatizo hili.
2025-06-02
10 min
Wanangu podcast
Episode 49 | Overconfidence
Katika episode hii host anazungumza kuhusu hali ya kujiamini kupita kiasi (Overconfidence). Kwa kutumia mifano, anafafanua mazingira ambayo tabia hii huweza kujitokeza katika maisha yetu ya kila siku pengine mara nyingi kuliko wengi tunavyodhani.
2025-03-22
14 min
MAFUNDISHO YA MTUME PAULO
JE MT. PAULO ALIKUWA MTUMISHI WA MUNGU KWELI?
Uhalali wa Mafundisho ya Paulo na Tofauti za Tafsiri🎙️ Episode OverviewKatika kipindi hiki cha The Voice of Hope (VoH), tunachambua mojawapo ya maswali yenye mjadala mkubwa katika Ukristo: Kwa nini kuna mitazamo tofauti kuhusu mafundisho ya Paulo, hasa kuhusu nafasi ya wanawake kanisani na ubatizo?Je, mafundisho yake yalikuwa maagizo ya milele au yalihusiana na mazingira ya kihistoria na utamaduni wa wakati wake?🔍 Mada Muhimu Tunazozungumzia:✅ Kuelewa Upana wa Swali✅ Mtume Paulo alikuwa mtume wa Mungu wa kweli?📖 Rejea ya KimaandikoKutoka Matendo 9:15, t...
2025-01-30
11 min
Mwalimu Huruma Gadi
A1. Mamlaka ya Mkristo
Katika somo hili Mwalimu anatufundisha nguvu na mamlaka ambayo Mkristo amepewa baada ya kumwamini Yesu Kristo. Katika podcast hii Mwalimu anatufundsiha namna ya kutumia mamlaka yetu katika kushinda changamoto za maisha, mazingira yetu ya kila siku pamoja na kustiisha chini kila sila ya adui.
2024-09-23
2h 08
LOVE UNTOLD PODCAST
SHUKRANI YA PUNDA MATEKE
Ibada ya Tarehe 21/1/2024 Sermon Summary Mch: Ephraim Mbila. 1Samweli 25 Habari ya Nabali. Somo: Shukurani ya Punda ni Mateke. Nabali alikua ana mifugo yapatayo 4,000 na wachungaji. Daudi alipokua eneo alilokua akifanya machungi aliweza pia kufanyika ulinzi wa mifugo yake pamoja na wachungaji wa mifugo yake. Maana ya jina Nabali - mtu Mpumbavu “a Fool”. Ijapokua alikua na mali nyingi lakini alikua mtu muovu,aliyekosa adabu. Ijapokua ni mtu mpumbavu na muovu Alipata mke mzuri Abigail -maana ya jina lake “furaha ya baba yake.” Abigail aliutambua udhaifu wa mume wake na kwa hekima aliufunika. Katika habari iliyo katika kitabu hiki, Inafika kipindi cha Mavu...
2024-01-21
17 min
Eleven Digital The Podcast
Jinsi Virtual Reality Inavobadiliasha Maisha Yetu
Jinsi Virtual Reality Inavobadiliasha Maisha Yetu Karibu kwenye ulimwengu wa mshangao na uvumbuzi! Kupitia podcast yetu, tumechimba kina kwenye jinsi Virtual Reality inavyotikisa msingi wa maisha yetu. Tunaangazia jinsi teknolojia hii inavyobadilisha uhalisia, kutufanya tuone ulimwengu kupitia macho mapya, na kuleta mageuzi katika njia tunavyoshirikiana na mazingira yetu. Ni safari ya kipekee ya kugundua uwezekano wa hali ya juu na kushuhudia mabadiliko ambayo yanavuta nyuzi za maisha yetu. Jiunge nasi kwenye Episode hii, tuchimbue pamoja kina cha Virtual Reality, na ujiandae kushangaa na mshangao wa teknolojia inayobadilisha maisha. Maisha bora yanakungoja! Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. ...
2023-12-11
12 min
Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Usimhuzunishe Roho Mtakatifu
Roho Mtakatifu ni mshauri mpole na mwenye amani. Joyce anafundisha jinsi tunavyohitaji kutengeneza mazingira sawa katika maisha yetu ili kumruhusu Roho Mtakatifu kufanya kazi ndani yetu.
2023-03-13
25 min
Tanzania Adapts
Tanzania Adapts: Namna mabadiliko ya tabia nchi yanavyoathiri afya yako
Katika episode hii tunajadili namna mabadiliko ya tabia ya nchi yanavyoathiri afya zetu kwa namna mbalimbali kuanzia chakula tunachokula kinachopatikana katika mazingira yetu kutokuwa na ubora unaotakiwa na ongezeko la magonjwa yanayosabishwa na mabadiliko hayo. Marygoreth Richard anazungumza na Dr Linda Paul ambaye ni Mhadhiri kutoka Chuo kikuu cha tiba na sayansi Muhimbili akifafanunua kwa undani hii inatokeaje na namna tunavyoweza kukabiliana na mabadiliko hayo.In this edition our host Marygoreth Richard sits with Dr Linda Paul, assistant lecturer from Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS), to discuss how climate change is affecting our...
2023-01-19
22 min
Salama Na
SE7EP29 - SALAMA NA DEO GRATIUS | PRIVILEGED?!
 Deo Gratias, jina tu linatosha kujielezea kama wewe nawe utakua kama mimi wa kutaka kujua maana ya majina ya watu ili uweze kujua tabia zao au ujiulize wazee wake walikua wanafikiria nini wakati wanaamua kumpa jina hilo mtoto wao. Kwa Deo maana imejibeba na imejikamilisha na kwa yeye kuamua kubaki na jina lake hilo hilo mpaka kwenye stage ambako ndo sehemu yake ya kazi inabidi hilo nalo likuambie jambo kuhusu yeye na jinsi ambavyo anajichukulia na kuyachukulia mambo ambayo ameyachagua kuyafanya. Shukrani ziende kwa Mungu ndo maana ya jina lake, shukrani ziende kwa Mungu kwa kila alifanyalo l...
2022-12-29
1h 11
Salama Na
SE7EP28 - SALAMA NA GARA B | BABA SHUGHULI
Jina MC Gara B ni miungoni mwa majina makubwa sana kwenye ulimwengu wa kazi ambayo mwenzetu huyu amechagua kuifanya. Familia yake, mke na watoto, wazazi wake na wa mkewe pengine, Ndugu jamaa na marafiki na waajiriwa wake wanakula vizuri kwasababu ya kipaji chake Ndugu yetu huyu. Ni mwanaume ambaye akiwa kazini kwake furaha na burudani ambayo huwapa wateja wake ndo inayomfanya azidi kuenda mbali kwenye tasnia hiyo ya ushereheshaji. Again, yeye ni mmoja ya BORA kadhaa ambao wanafanya kazi kama yake. Mtandao wa kijamii ni kitu kimoja chenye nguvu sana kwenye miaka ya hivi karibuni, kwa ushahidi...
2022-12-22
1h 00
Tetea Mazingira Podcast
22. COP27: Vers la valorisation des acquis africains dans la conservation des forĂŞts-Tetea Mazingira
COP27: Vers la valorisation des acquis africains dans la conservation des forêts-Tetea Mazingira/ Nous recevons dans ce nouvel épisode John TSONGO, ingénieur agronome, journaliste et écrivain Congolais vivant en ville de Goma, partie Est de la RDC. Il est passionné des questions des mariginalisés de la société, les enfants et autres catégories des personnes sans défense. Il est Reporter Région de la Radio Moto Butembo-Beni, John est aussi contributeur et membre de l'équipe d'édition du Journal Kivunyota, Rédacteur et co-fondateur de la Radio Panafricaine. Il est également présentateur des émissions Afrik'Am...
2022-11-17
13 min
Biblia Inasema Usiogope
Usione Shaka
Mara nyingine tunakuwa na imani ya kuanza kitu au kupokea uponyaji lakini baada ya muda kidogo uponyaji unapeperuka au kile tulichokianza kinakwama. Tunakuwa kama Petro ambaye alianza kutembea juu ya maji halafu akaona upepo mkali akaogopa na kuanza kuzama. Tunaacha kuangalia chanzo cha imani yetu, yaani Kristo Yesu, na kuangalia mazingira. Kumbuka mwenye haki ataishi kwa imani si kwa kuona.
2022-02-28
22 min
Mazingira yetu radio
AKILI TRAVEL MAKES HOTEL LISTING AND BOOKING EASIER IN EASTERN AFRICA
Akili travel is travel agency based in Comoros with a pan-African out look. The agency is leveraging on technology and it's extensive knowledge in hospitality and marketing to come up with a website that enables hoteliers to list their facilities and for customers to easily book a hotel of their choice before visiting a destination. COVID-19 Pandemic made Akili travel founders to think of how they will work as a team by harnessing their vast experiences in marketing, hospitality and Information technology. The online product they have developed has made it easier for customers to book a hotel of their c...
2021-10-05
36 min
Jasusi
Maongezi Na Mwanasoka Wa Kimataifa Wa TZ @HimidMao Anaechezea Entag El Harby ya Misri na Taifa Stars
Mahojiano exclusive na mwanasoka wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao Mkami, anayechezea klabu ya Entag El Harby ya Misri na pia ni mchezaji wa timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Katika mahojiano haya, Himid anaeleza safari yake katika soka, changamoto za soka la Tanzania na kimataifa, tofauti ya mazingira ya soka la Tanzania na soka la Misri, nini kifanyike kukwamua soka la Tanzania, na ushauri wake hasa kwa vijana akiwa kama role model wao - kwa vijana wanaotaka "kutoka" kupitia soka, na ushauri kwa vijana wengine wote katika sekta mbalimbali. Himid ni mmoja wa mabalozi wetu wanaosaidia sana kuitangaza Tanzania...
2021-06-19
11 min
Jasusi
Maongezi Na Mwanasoka Wa Kimataifa Wa TZ @HimidMao Anaechezea Entag El Harby ya Misri na Taifa Stars
Mahojiano exclusive na mwanasoka wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao Mkami, anayechezea klabu ya Entag El Harby ya Misri na pia ni mchezaji wa timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Katika mahojiano haya, Himid anaeleza safari yake katika soka, changamoto za soka la Tanzania na kimataifa, tofauti ya mazingira ya soka la Tanzania na soka la Misri, nini kifanyike kukwamua soka la Tanzania, na ushauri wake hasa kwa vijana akiwa kama role model wao - kwa vijana wanaotaka "kutoka" kupitia soka, na ushauri kwa vijana wengine wote katika sekta mbalimbali. Himid ni mmoja wa mabalozi wetu wanaosaidia sana kuitangaza Tanzania...
2021-06-19
11 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
4. Amini kwamba Mungu atakufanikisha By Luphurise Mawere
2 Wafalme 4: 1-7 Hesabu 27: 1-11 _Nehemia 2: 20 Ndipo nikawajibu, nikawaambia, Mungu wa mbinguni, yeye atatufanikisha; kwa hiyo sisi, watumishi wake, tutaondoka na kujenga; lakini ninyi hamna sehemu, wala haki, wala kumbukumbu, katika Yerusalemu._ Mistari hiyo hapo juu inaonyesha namna ambavyo Mwanamke mjane na mabinti za Selofehadi walikuwa kwenye changamoto kubwa. Walikuwa kwenye mazingira ambayo kibinadamu yalikuwa hayawezekani Mama mjane alikuwa na madeni na watoto wake wawili walikuwa wachukuliwe kuwa watumwa ili kulipia deni aliloacha baba yao ambaye alikuwa amekufa. Huyu mama alikuwa kwenye financial crisis na kibinadamu alikuwa hana kitu chochote cha kumsaidia kulipa yale madeni. Alipokwenda kwa mtumishi wa Mungu Elisha...
2021-01-04
26 min
Msasaonline
SIRI ZA MAFANIKIO YA MTU BINAFSI.
Neno mafanikio kila mtu huwa ana maana yake kwa wakati wake na kwa eneo lake katika maisha. Nikiwa na maana kuwa kila mtu ana tafsiri yake kuhusu mafanikio kutokana na muda na wakati alionao na anaoendelea kuishi hapa duniani. Mfano : kuna mafanikio ya kiafya, kiuchumi, kiuchumi, kimahusiano. Sasa katika makala yetu leo hii tutazungumzia zaidi juu ya Mafanikio ya kiuchumi na kifedha. Hizi ni Siri muhimu ambazo ni nguzo kuu za kukusaidia kufikia Mada makubwa kiuchumi na kifedha. 1. IMANI NA IBADA. Siku zote hakuna njia ya kufanikiwa kirahisi bila ya kuwa na imani na kufanya ibada, na ndio maana kuna...
2020-08-31
03 min
Salama Na
Ep. 22 - Salama Na Isaya | KOMAA NAO
Mimi na Isaya mara ya kwanza tumekutana kwenye set wakati tunatengeneza episode hii ya 22 lakini kabla ya hapo ilikua ni kufahamiana tu kule kwa social media na respect kwa kila mmoja wetu kwa kile ambacho mwenzake anakifanya. Kwahiyo mkutano wetu wa kwanza ulikua ndo wa kwanza kabisa na haikua ngumu kuanzisha maongezi kati yetu. Wakati nishamseti ili aje kwenye meza pia niliwauliza wenzangu tunaofanya hii kazi pamoja, kila mmoja apendekeze jina au majina ya watu ambao wangependa waje kwenye kipindi na kila jina liwe na sababu ya kwanini tumpe nafasi huyo mtu. Basi jina lake pia lilikua...
2020-06-25
54 min
Mazingira yetu radio
VIFA QUEENS FIGHT FOR GOOD AIR QUALITY IN DANDORA.
VIFA QUEENS is a duo of Faith and Victoria from Dandora phase two. The two young ladies with the help of their mum who is an environmental activist are actively involved in advocating for decommissioning of Dandora dumpsite and construction of drainage channels in informal sectors.Â
2020-06-10
24 min
Mazingira yetu radio
Mazingira yetu (our Environment) song
Mazingira Yetu (Our environment) song by Larry and Shamir is highlights how pollution is killing Rivers and the aquatic life inside them. The song warns that if we do nothing then we shall have alot of explaining to the future generations of inaction to protect our Rivers, Lakes and Oceans.
2020-05-24
03 min
Mazingira yetu radio
USIKATE MITI (DO NOT CUT TREES) Song
Usikate miti (Do nut cut trees) song by Brenda and Sharon highlights the value of trees like their ecological value of providing oxygen, improving air quality, control climate by moderating the effects of the sun, rain and wind and supporting wildlife. Trees also provide us medicine like the Neem tree (Azadirachta indica) leaves are used to treat malaria. Kenya's current tree cover is 7.6% against the  recommended 10%. Indiscriminate cutting of trees and lack of a tree planting culture is hampering Kenya's quest of attaining 10% cover as envisioned. It's advisable for two trees to be planted for each cut d...
2020-05-24
03 min
Mazingira yetu radio
NDOVU (Elephant) Song
Ndovu (Elephant) song by Samchizi looks at how Elephants share so much with humans. Example are the strong maternal instincts, complex societies, mourning their dead, display of empathy, long memories, playful nature and self awareness. Such behaviors should draw us humans close to them and oppose any activities that would result to their killing for sport or for their tusks.
2020-05-24
03 min
Mazingira yetu radio
KIFARU TWAKUPENDA (WE LOVE OUR RHINOS) song
Kifaru twakupenda (we love our Rhinos) by Sam chizi is a song that appreciates the social-ecological value of rhinos and the dangers it faces inform of poaching. The Black and White Rhinos are the two species found in Africa. Most of the continents Rhino species are found in South Africa, Namibia, Zimbabwe and Kenya. Rhinos are important grazers which help shape the African landscape and they do attract tourists. Poaching remains the greatest threat facing Rhinos due to an insatiable demand for their horns in Asia.
2020-05-24
03 min
Mazingira yetu radio
BINWEI WUZHONG (Endangered heritage) song
Binwei ,wuzhong is Mandarin for endangered heritage. The song was by Judy, Samchizi and Stitches in Mandarin, Kiswahili and English. Wildlife species such as Rhinos, Hirola and Elephants are endangered due to an increased level of poaching for their horns, tusks and meat. The same is with plant species such as Sandal wood that are being lost as a result of illegal logging. The world needs to work together in ensuring that we don't loose our precious flora and fauna out of greed for money but be mindful of the future generation who will want to live with this...
2020-05-24
04 min
Mazingira yetu radio
MAZINGIRA NA AFYA (HEALTH & ENVIRONMENT)
Mazingira na afya (Health and Environment) is a song done by Samchizi and Shaffie. The song describes how a clean environment translates to good health. According to UNICEF, Kenya has the third largest number of people in Africa who drink directly from contaminated surface water surfaces and an estimated 5 million Kenyans practice open defecation. The situation is worse in urban slums where the number of toilets are countable forcing people to openly defecate or use rivers as their toilets
2020-05-24
04 min
Mazingira yetu radio
PLANET EARTH song
Planet earth is song done by Lukwago from Uganda, Vincent Shema from Rwanda, Samchizi, Brenda and Stitches from Kenya. The song celebrates the cultural diversity of East Africa as a unifying factor.
2020-05-24
04 min
Mazingira yetu radio
SIMBA MJASIRI (BRAVE LION) SONG
Simba mjasiri or Brave Lion Song by Samchizi and Stitches brings out an element about Lions that's rarely communicated out there. Lions are Brave, loving and caring to their cubs and members of their pride. The New Lion Economy, unlocking the value of lions and their landscapes, Equilibrium Research report indicates that landscapes supporting lions, ''Lionscapes'', provide more ecosystem services, the benefits that humans receive from healthy ecosystems than the average in Africa. Lions in Africa are facing a myriad of challenges like decline in their habitat range due to urbanization and agriculture, human wildlife conflict resulting...
2020-05-24
03 min
Mazingira yetu radio
Ndege (Birds) song
Ndege (Birds) song by Waridi and Brenda. Africa has recorded 2,355 species of birds of birds making it a bird watching paradise to the bird watching enthusiasts and tourists. The birds in Africa occur everywhere from Lake Assal which is 156M below sea level to mt Kilimanjaro at 5,900M above sea level. Birds in Africa play an important social-cultural role through proverbs, riddles, stories and songs. Birds like the Blue swallow (Hirundo atrocaerulea) have been used by communities in western Kenya to predict the weather. Ecologically, birds play an important role as an indicator of the health of t...
2020-05-24
03 min
Mazingira yetu radio
WATER IS LIFE
Water is life song was done by Eglah and Stitches. Â 40% of Kenya's population have no access to clean drinking water and that's translates to 20 million people out of a total population of 50 million people. Without clean drinking water then cases of water borne diseases like typhoid and dysentery will continue to rise due to consuming of contaminated water. This calls for the National and County Governments to invest more resources to ensure there's easy access to clean and affordable drinking water both in the urban and rural areas.Â
2020-05-24
03 min
Mazingira yetu radio
SPIRIT OF A HERO
Spirit of a hero song was sung by Ranger Matep, Brenda and Samchizi. The song appreciates the the sacrifices that wildlife rangers and other individuals go through in order to safe guard our fragile ecosystem from destruction as a result of many factors like poaching, illegal cutting of trees, ignorance on the value of the ecosystem and disasters like fires. Each one of us can become a hero or heroine if we are a ready to go the extra mile in championing our cause for the sake of humanity, flora and fauna.
2020-05-24
04 min
Mazingira yetu radio
SIAFU SONG
This song was done by an artist called Stitches and it was inspired by siafu which is swahili for ants. Ants are very industrious, organized and they teach us team work. In a journal of Biomechanics, researchers reported that the neck joint of a common American field ant can with stand pressures upto 5,000 times the ant's weight. This and many other attributes should give us a reason to protect their habitats from being destroyed.
2020-05-24
03 min
Breaking Green Ceilings
Empowering Youth to Become Advocates for their Environment
Sam Dindi has been working in the field of environment conservation for eight years now. As the co-founder of Mazingira Yetu, Sam is engaged in: Environment education and communication Community mobilization and training Ecosystem restoration Trained in sustainability development, tourism and wildlife management, Sam was awarded the Head of States Commendation (HSC) by the Government of Kenya for his exemplary service to the Republic of Kenya. He also received the IUCN-CEC award for his efforts in educating the public on environment conservation and sustainability development. Sam enjoys nature walks, bird watching and travelling. Youth Education...
2020-05-05
37 min
Salama Na
Ep. 8 - Salama Na Idris | TROOPER
Mimi kama watanzania wengi sikuwa namfahamu Idris, mara yangu ya kwanza kumuona ilikua kwenye TV akiwa mmoja wa wawakilishi wa Taifa hili kwenye kipindi cha Big Brother mwaka 2014. Nilivyouandika hapa huo mwaka ndo imenigusa akilini kwamba ni miaka sita tu imepita toka Idris Sultan amekua kwenye macho na midomo yetu. Na pengine ataendelea kuwepo kwenye midomo na macho yetu kwa miaka mingi zaidi, kuna sehemu nilikua naangalia interview yake moja na alisema yeye umaarufu ndo kitu ambacho anakipenda zaidi, pengine na ndo maana alienda kwenye shindano la Big Brother Africa na toka ametoka mule kama mshindi sidhani kama kuna...
2020-03-19
1h 01
Mazingira yetu radio
WALK WITH GERIMA
Gerima Mustafa walked for 644KM from Kampala to Nairobi in 19 days to raise awareness of the challenges facing the Shea nut tree (Butryospemum parkii) in Northern Uganda. The trees are currently being sold for only 1 USD to be burnt into charcoal hence driving the tree into an eminent extinction in spite of its many benefits. Shea nut tree nuts when added value can produce vegetable oil, the high allantoic content in the butter makes a useful base for pharmaceutical prepaeations, the butter is used to make soap, lotions, sunscreen among many other products.
2020-03-09
17 min
Mazingira yetu radio
A LITTLE EDEN IN GITHURAI
Small Axe Environmental Youth Group along Gatharaini River in Githurai in Kiambu County is engaged in cleaning and restoring River Gatharaini through River Gatharaini Water users association and in the process they have been able to create a beautiful garden along River Gatharaini next to the Thika Super highway. The Green garden that Small Axe Environmental Youth group have created is the only green space in Githurai Estate. This efforts needs to be supported along the whole River Basin by ensuring the riparian zone are restored, pollution is addressed and everyone is involved towards in clean up a...
2019-09-19
33 min
Mazingira yetu radio
TRANSFORMING TRASH TO ART
Mr. Patrick kibe aka Mr. Dudu is a self taught artist who is using recyclable waste like used plastic and glass bottles yo make beautiful art forms. Tucked on the edge of Nairobi National park in Tuala trading centre (Kajiado East) mr dudu's workshop is full of use glass bottles and various artistic pieces that would make one not want to leave the workshop. Mr Dudu works with a team of two and creates beautiful and functional art pieces like wind chimes, bird feeders, drinking glasses and model insects. Mr. Dudu's initiative has been able to rid...
2019-09-10
23 min
Mazingira yetu radio
RECYCLING WASTE TO ART
Mr Patrick Kibe aka Mr. Dudu is a young man from Tuala in Kajiado East who is using recyclable waste like discarded glass bottles and cans to make beautiful art pieces like wind chimes, bird feeders, insects etc. His initiative has been able to clear all used glass bottles in Tuala and he has been able to create his own green job with a team of two other partners. Mr. Kibe initiative is teaching us that we do not have waste but recyclable materials that can be used to create art and in the long run help...
2019-09-10
23 min
Mazingira yetu radio
TAKA BANK
Nairobi City County generates approximately 3000 tonnes of solid waste a day and only half of it is collected for disposal. A novel initiative has been started in Dandora phase 4 by Dandora Hiphop city called TAKA BANK. Taka bank involves people returning recyclable waste at designate locations and earn points and in return that can be redeemed to get house hold electronics and food. DANDORA WALCY from Dandora Phase 4 are the pioneer beneficiaries who are spear heading TAKA BANK collection initiative. Dandora WALCY have popularized the initiative that it is very difficult to get recyclable waste products being...
2019-08-20
17 min
Ni Salama
Kumwamini Mungu kwa kumfuata Yesu Kristo (Sehemu ya Tatu)
Kwa hiyo tangu wakati ule kuna vitu ambavyo alivyokuwa anafanya moja kwa moja vinazaa tena mfano wa kile kitu alichobeba. Sasa unaweza ukaelewa kwa nini katika kipindi hiki cha Agano jipya ni lazima tuzaliwe kwa mara ya pili. Maandiko yanatuambia ndani yake tunaishi, tunakwenda na kuwa na uhai wetu na Biblia inatuambia tutaishi kwa imani Ni imani ya namna gani? Waebrania anasema Waebrania 11:6 “Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao.” IMANI YA KWANZA NI HII:- PASIPO IMANI HAIWEZEKANI KUMP...
2019-07-19
10 min
Mazingira yetu radio
ADDRESSING FOOD INSECURITY IN URBAN AREAS
Food insecurity in the urban areas is becoming serious and requires  urgent intervention. Urban areas,  especially the slums have high populations. In Nairobi alone, over 60%  of the city’s population (5% of Kenya’s total population) lives in the  slums - About 2 million people. Most of these people rely on low-wage  casual labour to survive, and as such they rely on food bought from  markets to feed their families. Mwengenye Lifestyle CBO in Njiiru was formed in 2018. The organization is composed of young men and women who are changing the food insecurity narrative in an urban set...
2019-07-15
33 min
Mazingira yetu radio
KENYA FORESTRY RESEARCH OPEN DAY
KEFRI
2019-06-28
28 min
Mazingira yetu radio
CHANGING FACES COMPETITION
CHANGING FACES COMPETITION
2019-06-28
20 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRICA
Ni matumaini yangu hujambo ndugu msikilizaji na karibu kujiunga nami Nixon Katembo katika makala ya Sura ya Afrika kutoka idhaa ya Kiswahili ya Channel Afrika Taswira ya Afrika na tukitangaza kutoka Auckland Park mjini Johannesburg Afrika Kusini na Je tumekuandalia nini hii leo Wagombeaji tofauti tofauti wanaowania nyadhifa za kisiasa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameelezea hofu ya kushiriki katika kampeni za uchaguzi katika mikoa iliyo na migogoro ya Kivu ya Kusini na Kasikazini huku jeshi la serikali pamoja na wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa mataifa wakikabiliana na waasi wa ADF kutoka Uganda.
2018-11-15
57 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRICA
Polisi na wanajeshi nchini Uganda wameanzisha vizuizi vya barabarani katika barabara zote zinazoeleka mjini Kampala kufuatia wimbi jipya la mashambulio ya watu wasiojulikana na kupelekea hali ya wasi wasi ya usalama .Vyama vya upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vimepanga maandamano makubwa siku ya Ijumaa Oktoba 26 kupinga matumizi ya mashine za kompuyta kutumiwa wakati wa uchaguzi mkuu .Na serikali ya Burundi imesusia duru ya tano ya mazungmzo ya amani nchini Burundi Mazungmzo ambayo yalikuwa yapaswa kuanzaa leo alhamisi nje kidogo ya mji wa Arusha..Na leo alhamisi tutakuwa na ule ukrasa wa mazingira .
2018-10-25
55 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRICA
Wakaazi wa mji wa Beni uliopo mkoa wa Kivu ya Kasikazini mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameanzaa kuukimbia mji huo kutokana na mashambulio ya mara kwa mara yanayoendeshwa na waasi wa ADF kutoka Uganda .Tajiri mkubwa Afrika Mashariki Mohamed Dewji ametekwa na watu wasiojulikana mjini Dar es salaam nchini Tanzania .Na mbunge mkosoaji mkubwa wa Rais Museveni wa Uganda Robert Kyagulanyi ambaye yupo ziarani nchini Kenya amesema Rais Museveni anamuzidi Idi Amin kwa kupenda madaraka .Na leo alhamisi tutakuwa na ule ukrasa wa Mazingira ..Matangazo yetu pia yanasikika katika DSTV...
2018-10-11
59 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRIFCA
Wajumbe wa baraza la usalama la Umoja wa mataifa kuizuru Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutasmini maandalizi ya uchaguzi mkuu pamoja na kuibuka upya kwa ugonjwa wa Ebola :Tatizo la Njaa na mapigano yaendelea kuwepo katika nchi ya Sudan Kusini licha ya makubaliano ya amani yaliyofikiwa mwezi uliopita .Na leo Lesotho yaadhimisha siku ya Uhuru .Na leo alhamisi tutakuwa na ule ukrasa wa Mazingira .Matangazo yetu pia yanasikika katika runinga ya DSTV Audio Channel 802 na pia unaweza kutembelea ukrasa wetu wa Facebook Channel Africa Kiswahili Na pia unaweza kutuma ujumbe wako...
2018-10-04
58 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRICA
Maandamano kupinga usalama mdogo mkoa wa Kivu ya Kasikazini mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo bado yanaendelea .Mkuu wa zamani wa majeshi nchini Uganda Jemedari Mugisha Muntu amezindua chama kipya cha siasa baada ya kukihama cha upinzani cha FDC ambacho kiliwahi kuongozwa na Kanali mstaafu Dakta Kiiza Besigye .Na zoezi la kuwahakiki wakimbizi nchini Uganda bado linaendelea kwa lengo la kujua takwimu ya wakimbizi nchini humo .Na leo alhamisi tutakuwa na ule ukrasa wa Mazingira .Matangazo yetu pia yanasikika katika runinga ya DSTV Audio Channel 802 na pia unaweza kutembelea ukrasa wetu...
2018-09-27
59 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRIKA
Mbunge mashuhuri nchini Uganda Bob Wine amerejea nyumbani kutoka Marekani ambako alikwenda kupata matibabu baada ya kupigwa na walinzi wa Rais Museveni mwezi uliopita na huku ulinzi ukiwa umeimarishwa huku watu kadhaa kukamatwa .Mbunge huyo alilazimishwa kupanda gari la polisi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe na kupelekwa hadi makaazi yake .Kumekuwa na maoni tofauti tofauti baada ya kuchapishwa kwa orodha rasmi ya wagombeaji katika uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Na kumekuwa na hisia tofauti tofauti kufuatia matamshi aliyotoa Rais Paul Kagame wa Rwanda dhidi ya kiongozi...
2018-09-20
58 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRIKA
Jeshi la serekali ya Jamhuri ya Kidemocrasia ya Congo FARDC limeaanza msako wa silaha katika kambi mbali mbali za kijeshi.Kesi ya udanganyifu wakisiasa ya kiongozi wa upinzani wa Jamhuri ya Kidemocrasia ya Congo Moise Katumbi imeahirishwa hadi mwezi Oktoba mwaka huu.Watu tisa wamefariki na wenginewe 60 wanatibiwa majeraha ya moto katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta baada ya moto kushika kasi katika Soko la Gikomba huko mjini Nairobi siku ya Alhamisi.Na tutakamilisha matangazo yetu kwa kualeteni makala ya Mazingira Mskilizaji kumbuka matangazo yetu yanasikika pia katika Runinga ya DSTV audio...
2018-06-28
59 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRIKA
Rais Salva kiir na kiongozi wa upinzani Riek Machar wamefikia mafanikio fulani katika mazungumzo ya amani yaliofanyika mjini Khartoum, Vyama vya upinzani nchini Jamhuri ya Kidemocrasia ya Congo vimetaka kuwepo na mazungumzo kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Disemba Serekali ya Jamhuri ya Kidemocrasia ya Congo imetangaza kupiga marufuku matumizi ya plastiki kote nchini humo kwa kile kilichotajwa kua ni uchafuzi wa mazingiraTutakua na habari za michezo Na tutakamilisha matangazo yetu kwa kuwaleteni makala ya uchumi na biashara Mskilizaji kumbuka matangazo yetu yanasikika pia katika runinga ya DSTV audio...
2018-06-27
59 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRIKA
Rais Salva Kiir wa Sudan ya Kusini na kiongozi wa waasi Riek Machar hatimaye wamekutana uso kwa uso katika mkutano uliohudhuriwa na waziri mkuu wa Ethiopian Abiy AhmedWakimbizi kutoka nchini Rwanda na Burundi wanaoishi mkoani Kivu ya kusini nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wameomba kuhamishiwa katika wilaya nyingine kutokana na usalama ndogo nchini jamhuri ya kidemokrasiang'ombe zaidi ya 100 zimeshambuliwa na kuuawa katika mapigano kati ya wakulima na wafugaji huko Masisi katika mkoa wa Kivu ya kaskazini Tutakua na habari za michezo Na leo alhamisi tutakamilisha natangazo yetu kwa kuwaleteani...
2018-06-21
59 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRICA
Hatimaye Jean Pierre Bemba ameachiliwa huru na mahakama ya kimataifa ICC Maafisa wengine kaadha wa polisi nchini Uganda wamekamatwa kwa kuhusika na visa vya mauaji na utekaji nyara nchini Uganda .Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed Ali amemualika Rais Saliva Kiir pamoja na kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini Rieck Macher kukutana naye mjini Addis Ababa katika muda wa wiki moja .Na wakati tupo hewani michuano ya fainali ya kuwania kombe la dunia nayo imeanzaa mjini Moscoe nchini Urussi baina ya wenyeji Urussi na Saudi Arabia.Na leo alhamisi tutakuwa na ule...
2018-06-14
59 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRICA
Maoni ya watu kufuatia ombi la kutaka kugawanywa mkoa wa Kivu ya Kusini mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo .Watumishi wa serikali nchini Afrika Kusini watishia mgomo siku ya jumatatu wakidai nyongeza ya mishahara .Na Kiongozi wa waasi nchini Sudan ya Kusini Rieck Macher akubali kukutana na Rais Saliva Kiir .Na leo alhamisi tutakuwa na ule ukrasa wa Mazingira .Unaweza pia kuyasikiliza matangazo yetu katika Runinga ya DSTV Audio Channel 802 na pia unaweza kutembelea ukrasa wetu wa Facebook Channelafrika Kiswahili na unaweza pia kutuma ujumbe wako mfupi wa maandishi SMS au...
2018-06-07
59 min
Seth wa East
Nitunze Nikutunze
Wiki ya Mazingira, Je! dustbin(Vyombo vya kuweka taka) Vinajitosheleza kwenye miji yetu? --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message
2018-06-05
04 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRICA
Upinzani nchini Sudan ya Kusini umepinga mpango wa kuchangia madaraka chini ya upatanishi wa Shirika la IGAD.Mkutano wa kutasimini thamani ya uzalishaji barani Afrika umefunguliwa leo mjini Johannesburg Afrika Kusini .Ugonjwa wa Ebola bado unazidi kuenea na watu wengine watatu wamefariki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Na leo alhamisi tutakuwa na ukrasa wa Mazingira .Msikilizaji kumbuka kwamba matangazo yetu pia yanasikika katika runinga ya DSTVAudio Channel 802 na pia unaweza kutembelea Ukrasa wetu wa Face Book Channel Africa Kiswahili na pia unaweza kutuma ujumbe wako mfupi wa Maandishi SMS na kuchangia...
2018-05-24
59 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRICA
Kura ya maoni nchini Burundi raia wa nchi hiyo wamepiga kura zao ili kufanyia mabadiliko katiba ya nchi.Mazungmzo ya kutafuta amani nchini Sudan ya Kusini yameanzaa hii leo mjini Addis Ababa nchini Ethiopia .Tanzania imehapa haitahamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv hadi mjini Jerusalem nchini Israel Tutakuwa na habari fupi za Michezo Na tutakamilsha makala kwa kuwaletea ule ukrasa wa Mazingira na leo tukiaangazia nchi ya Kenya .Na matangazo yetu pia yanasikika katika runinga ya DSTV Audio Channel 802 na pia unaweza kuchangia matangazo yetu kwa kutembelea ukrasa wetu wa...
2018-05-17
1h 00
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRICA
Bwawa kubwa linalozungukwa na wakaazi wengi limepasuka Nakuru magharibi mwa mji wa Nairobi nchini Kenya na kusababisha maafa .Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kenya Moise Katumbi amekanusha madai ya kuanzisha uwaasi nchini Jamhuiri ya Kidemokrasia ya Congo.Na kikao cha bunge la Afrika kinaendelea mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini .Na leo alhamisi tutakuwa na ule ukrasa wa Mazingira .Matangazo yetu pia yanasikika katika DSTV Audio Channel 802 na unaweza kushiriki kwa kutembelea ukrasa wetu wa Face Book Channel Africa Kiswahili na pia unaweza kutuma ujumbe wako mfupi wa maandishi SMS...
2018-05-10
59 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRICA
Watu wawili wameuawa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na wengine wamebaki wakiwa hawana makaazi ya kuishi.Polisi nchini Rwanda imewaweka nguvuni wakimbizi 23 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya kukabiliana na vikosi vya usalama katika kambi ya wakimbizi ya Kiziba nchini Rwanda.Leo ni siku ya uhuru wa vyombo vya habari Na leo Alhamisi tunahitimisha matangazo yetu kwa kuwaletea makala ya mazingiraMsikilizaji kumbuka matangazo yetu pia yanasikika katika runinga ya DSTv audio channel 802 na pia unaweza kutembelea ukurasa wetu wa Facebook Channel Africa Swahili na unaweza kutuma ujumbe wako...
2018-05-03
59 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRICA
Maandamano nchini Tanzania Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa amethibitisha kukamatwa kwa watu 9 waliokuwa wakiandamana na nje ya nchi hiyo maandamano yamefanyika Sweeden na Marekani .Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga apendekeza katiba ya nchi ibadilishwe ili kubuniwa maeneo mengine ya utawala .Na mgomo wa madereva wa mabasi umeingia siku ya saba nchini Afrika Kusini.Na tutakuwa na habari za Michezo CECAFA soka kwa vijana waliochini ya Umri wa miaka 17 nchini Burundi Na leo alhamisi tutakuwa na ule ukrasa wa Mazingira .Matangazo yetu pia...
2018-04-26
58 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRICA
Wabunge kutoka maeneo ya mashwarikia mwa jamhuri ya Kideomokrasia ya Congo wamutaka warizi wa ulinzi nchini humo kuelezea bunge kwani ukosefu wa usalama unazidi kuendelea katika mikoa ya masharikia mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.Chama cha upinzani cha FDU Inkingi kimelaani Serikali ya Rwanda kwa kukamata Augustin Maseruka kwa madai kwamba alisema Raia wakihutu pia waliuawa katika mauaji ya kimbari iliyotokea nchini humo mwaka 1994.Ungojwa mpya wa mimea ya muhogo unatishia njaa barani Afrika .Na tutaangazia kampeni dhidi ya uwindaji haramu wa wanyama pori nchini Afrika Kusini Na alhamisi tutahitimisha makala...
2018-04-19
1h 00
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRICA
Hujambo na karibu kujiunga nami Lindile Thobias katika makala ya Sura ya Afrika kutoka idhaa ya Kiswahili ya Channel Africa Taswira ya Afrika na tukitangaza kutoka mjini Johannesburg Afrika Kusini na je tumekuandalia nini hii leo ?Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yaelezea kuhusu mgogoro unaoendelea mkoani Ituri kufuatia mauaji ya watu kaadha na mminiko wa wakimbizi katika nchi jirani ya Uganda.Umoja wa mataifa umetoa wito wa kusakwa wafadhili wa kundi la wanamgambo wa Al Shababa kufuatia kuuwawa kwa wanajeshi wa Uganda nchini Somalia .Na leo Alhamisi wakuu katika chama tawala cha...
2018-04-05
59 min
News in KiSwahili
KiSwahili News
Leo ni siku ya wanawake duniani na tutaangazia harakati za wanawake katika nchi kaadha barani Afrika .Hali ya kisiasa na Usalama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo .Na Mamlaka ya Chakula na Madawa nchini Tanzania imejiunga na mataifa mengine duniani kuzuia uiingizaji nchini humo wa biidha za nyama kutoka Afrika Kusini zilizobainika kuwa na Bacteria ya Listerous .Na leo alhamisi tutakuwa na ule ukrasa wa Mazingira .Matangazo yetu ndugu msikilizaji pia yanasikika katika DSTV Audio Channel 802 na pia unaweza kutembelea ukrasa wetu wa Face Book Channel Africa Kiswahili na unaweza kututumia picha...
2018-03-08
1h 00
News in KiSwahili
KiSwahili News
Hujambo ndugu msiilikizaji na karibu kujiunga nami katika makala ya Sura ya Afrika kutoka idhaa ya Kiswahili ya Channel Afrika Taswira ya Afrika na tukitangaza kutoka Auckland Park mjini Johannesburg na yaliyomo katika makala yetu ni pamoja na Maandalizi ya sherehe ya kuapishwa Rais wa Muda nchini Zimbabwe Emmerson Munagagwa siku ya Ijumaa .Tume ya haki za binadamu nchini Kenya inamutaka mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini humo ajiuzulu. mawaziri kutoka Ghuba ya Guinea wanakutana nchini Nigeria kujadilia usalama wa bahari ya Altantic .Na mabalozi wa nchi za Afrika Mashariki wakutana na...
2017-11-23
58 min
News in KiSwahili
KiSwahili News
Mkuu wa jeshi la Polisi nchini Kenya amepiga marufuku maandamano ya upinzani katika miji mitatu nchini humo .Watu wawili wamefariki na wengine nane kujeruhiwa katika mji wa Lubumbashi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia maandamano ya kupinga tangazo la Tume ya Uchaguzi nchini humo la kuahirisha uchaguzi hadi mwaka wa 2019.Tanzania imefikiana makubaliano na Uganda katika mpango wa utafutaji wa mafuta katika eneo la Eyasi Wembere na Ziwa Tanganyika .Na leo Alhamisi tutakuwa na ukrasa wa Mazingira na kubwa katika yote ni kuhusu athari za Mafuriko kufuatia mvua kubwa zilizonyesha nchini Afrika Kusini...
2017-10-12
54 min
News in KiSwahili
KiSwahili News
Karibu ndugu msikilizaji kujiunga nami Max Bushoke katika makala ya Sura ya Afrika kutoka idhaa ya Kiswahili ya Channel Africa Taswira ya Afrika na tukitangaza kutoka mjini Johannesburg Afrika Kusini na yaliyomo katika makala yetu Wanamgambo wa Mai Mai wameuzingira mji wa Uvira katika mkoa wa Kivu ya Kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na huku wanajeshi wa serikali wakikimbilia jimbo la Maniema .Upinzani nchini Kenya umesusia mkutano baina yao na tume ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya.Na maoni kuhusu wabunge kurushiana makonde ndani ya bunge la taifa mjini Kampala .Kisa na...
2017-09-28
57 min
News in KiSwahili
KiSwahili News
Maoni kufuatia kura iliyoshindwa ya Kutokuwa na Imani dhidi ya Rais Jacob Zuma nchini Afrika Kusini huku chama cha Upinzani cha Democratic Alliance chataka kuvunjwa kwa bunge.Raia wa Kenya bado wasubiri kwa hamu matokeo ya Uchaguzi mkuu na huku kiongozi wa upinzani Raila Odinga adai udanganyifu .Na mgomo waendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Na leo tutakuwa na ule ukrasa wa Mazingira .Matangazo yetu pia yanasikika katika Short -wave ,Internet,Podcast Kiswahili news ,satellite na DSTV-Channel 802.Pia unaweza ku-down load Apps ya Channel Africa kwenye simu yako ya mkononi...
2017-08-10
54 min
News in KiSwahili
KiSwahili News
HABARI MHIMU LEO KATIKA MAKALA YA SURA YA AFRIKA 20TH JULAI 2017Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi azuru nchi ya Tanzania ambako amekutana na Rais John Magufuli ambaye yupo katika ziara mkoani Kagera .Jeshi la kulinda amani la umoja wa mataifa limefunga kambi zake tano za kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Na waasi wa Ninja katika Jamhuri ya Congo wamewauwa wanajeshi 20 wa nchi hiyo .Na leo alhamisi tutakuwana ule ukrasa wa Mazingira . Kumbuka matangazo yetu yanasikika katika Short wave ,internet na Satellite .Na uaweza kutoa maoni yako kupitia ujumbe...
2017-07-20
55 min
Noa Bongo – Uchumi na Mazingira
Mazingira Afrika – Kipindi 2 – Elimu ya wadudu waharibifu
Elimu ya wadudu waharibifu inaweza kuongeza mazao yetu lakini ina madhara makubwa kwa mazingira. Tutaona jinsi sumu ya kuua wadudu inavyojipenyeza kwenye ardhi na maji. Tutajifunza jinsi ya kufanya kilimo cha zao moja.
2011-03-16
09 min
Learning by Ear – Elimu ya Jamii
Teknolojia mpya ya Habari na Mawasiliano – Kipindi 05 – Kujali na Kulinda Mazingira
Hufanya nini na simu ya zamani ya mkononi? Hutengenezwa na vifaa gani? Na husababisha athari gani kwa mazingira? Timu yetu inajaribu kujibu maswali haya.
2011-03-11
11 min