Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

Meza Huru

Shows

Meza HuruMeza HuruMezani na ASHA BARAKA #24AshaBaraka ni nani? Asha Baraka ni ASHA BARAKA. Unaweza kwenda mbali zaidi ukamuitaMama wa muziki wa dansi Tanzania na usiwe umemzidishia sifa. Asha Barakamwanamichezo kutoka Tabora Girls, Bima hadi kua kocha wa Netball(mpira wapete).Lakinileo tunakubaribisha kwenye safari yake kama mwanamke wa kwanza kumiliki bendiya muziki wa dansi Tanzania na mtanzania pekee ambae anaweza sema asilimiakubwa ya wanamuziki wanaofanya mziki wa dansi leo hii wamepita chini ya uongoziwake, iwe ni bendi au chuo cha kufundishia muziki.Jeni nani walikua wasanii wa kwanza kabisa Twanga? Banza Stone alikua mahirikiasi gani? Unafahamu Luiza Mbutu alifika fikaje...2025-02-141h 29Meza HuruMeza HuruMezani na TAJI "MASTER T" LIUNDI #23Kama ulishawahi kuisikia ile story ya mtangazaji wa kwanza kucheza wimbo wa Bongo Fleva kwenye radio. Mtangazaji huyo, leo amepata nafasi ya kutubariki na historia yake. Jinsi alivyochangia muziki huu kuwa kimbilio la vijana wengi sana kama sehemu ya ajira yao. Jina lake kamili ni Taji George Liundi au MASTER T kama alivyobatizwa na Charles Hillary. Kuanzia alivyoanza kutangaza Redio One, moja ya vipindi vyake vya awali kabisa cha DJ Show, kabla ya kuwaachia mikoba wakina Mike Mhagama baada ya kuikacha Redio one na kwenda kufanya kazi kwenye media zingine. 2025-01-034h 13Meza HuruMeza HuruMezani na LUCCI #22Marehemu CPWAA anatajwa kama mmoja wa wasanii wa kwanza kufanya muziki wa Crank (KING OF BONGO FLEVA CRANK) kupitia ngoma ya PWAA iliyotayarishwa na LUCCI chini ya Mawingu Studio. Hii inamaanisha kuwa Lucci ni mmoja wa waandaaji wa kwanza kwa muziki wa Bongo Fleva wenye mahadhi ya Crank. Mbali na kutayarisha muziki vilevile Lucci anasimama kama msanii baada ya kushiriki kwenye nyimbo kadhaa mfano Kaka na Dada aliyoshirikishwa na Jokate ambae kwasasa ni Katibu Mkuu wa UWT kupitia chama cha CCM.2024-11-011h 53Meza HuruMeza HuruMezani na DARK MASTER #21Bado kiwanda cha Bongo Fleva kinaendelea kukumbuka mchango mkubwa wa vijana walioiwakilisha Dodoma mwanzoni mwa mwaka 2001 kupitia ngoma zao kadhaa ambazo zinachezwa na kusikilizwa mpaka hivi sasa. Wanaitwa Chemba Squad, ambapo ndani yake majina kama Noorah aka Baba stylz, Dark Master, Albert Mangwea na Mez B wa area C yalitajwa kuunda kundi hilo. Ngoma kama Ice Cream, Ghetto langu na Kama Vipi zinatajwa kama ngoma bora za muda wote kutoka kwa wakali hao ambapo hivi sasa wamebaki wawili tu (Noorah yupo zake Shy Town na Dark Master akiwa Dar...2024-09-201h 30Meza HuruMeza HuruMezani na FEROOZ #20Je Unamfahamu FERUZI MRISHO? Gwiji na moja wa waanzilishi na NUNDA mkuu wa DAZ NUNDAZ. Mwenyewe akitambulika zaidi kama Kamanda kabla Kamanda haijawa THE ANTHEM it is now. Leo tuko nae mezani akitusimulia safari yake yote ya mziki, toka anaandikiwa mashairi na dada yake Achane mpaka anatunga tungo matata kama Starehe, Kamanda, Nitafanya Nini, Jirushe, Elimu dunia N.K. Karibu Mezani.2024-08-021h 35Meza HuruMeza HuruMezani na MARLON LINJE #19Je, Unamfahamu producer ambaye, dare I say it, bila yeye labda kwaya au bendi yako maarufu usingeisikia kama ulivyoisikia? Producer ambaye amefanya zaidi ya 80% ya production ya mziki wote wa bendi na kwaya Tanzania kwa miaka 30. Marlon Linje, bonge la mshika dau, leo yupo nawe mezani, karibu.2024-07-182h 58Meza HuruMeza HuruMezani na MANDOJO NA DOMOKAYA #18Usichofahamu ni majina yao halisi Joseph Francis Michael Ong'oso na Precious Juma Mkoma maarufu kama Man'Dojo na Domokaya. Wanamuziki mashuhuri sana wa kizazi cha jana na leo.  nani asiyepende kusikia sauti nzuri na za kuvutia zikisindikizwa na Guitar lao(wenyewe wanaliita Banjo)?  Nani asiyetambua uwezo wa miamba hawa wa muziki katika kuweka viitikio na vionjo makini katika nyimbo mbalimbali za Muziki wa Kibongo? Hawa ni marafiki waliogeuka ndugu, wenyewe wanadai wamepitia mpaka kuvaa nguo sare 😁 Meza Huru imekaa nao na kupata simulizi ya maisha yao ya muziki na amini kwamba, inavutia sana.  Jumuika nasi mezani kuwasililiza 😊, Karibu  #MezaniNaMandojoNaDomokaya  #MezaHuru2022-11-252h 30Meza HuruMeza HuruMezani na KIBACHA Part IISehemu ya pili ya maongezi yetu na KBC, ambaye wengi wanamfahamu kama Kibacha Huyu ni mojawapo wa mwamba muhimu wa Hip Hop ya Tanzania. Unaambiwa zama zake, Kipaza kilimuogopa kama ukoma, Rafiki wa mashairi na mchenguaji mashuhuri. Gwiji wa mtindo huru na Battle Emcee haswaaa.  Kibacha ni miongoni mwa waanzilishi wa Kundi kongwe na mahiri la KWANZA UNIT. Ametupa heshima kubwa ya kukaa nasi na kutupa historia ya muziki wake tangu miaka ya 80 mpaka hapa tulipo. Mwamba huyu hapa 😊 #MezaniNaKBC  #MezaHuru 2022-11-221h 41Meza HuruMeza HuruMezani na KIBACHA Part IAnaitwa KBC, wengi wanamfahamu kama Kibacha Huyu ni mojawapo wa mwamba muhimu wa Hip Hop ya Tanzania. Unaambiwa zama zake, Kipaza kilimuogopa kama ukoma, Rafiki wa mashairi na mchenguaji mashuhuri. Gwiji wa mtindo huru na Battle Emcee haswaaa.  Kibacha ni miongoni mwa waanzilishi wa Kundi kongwe na mahiri la KWANZA UNIT. Ametupa heshima kubwa ya kukaa nasi na kutupa historia ya muziki wake tangu miaka ya 80 mpaka hapa tulipo. Jumuika nasi mezani kumsikiliza Mwamba huyu hapa 😊 #MezaniNaKBC  #MezaHuru 2022-11-181h 39Meza HuruMeza HuruMezani na DOLO #15Anaitwa DOLOMOI FRANCIS, kwa jina maarufu anafahamika kama DOLO. Ni moja ya waasisi wa kundi la Wachuja Nafaka na Wanaume TMK.  Kutoka maeneo ya TEMEKE.  Tumepata bahati ya kukaa naye mezani na ametupitisha kwenye safari yake ya muziki. Kuanzia akiwa hajawa Dolo,  mpaka hivi sasa akiwa bado anapeperusha vyema bendera ya TMK. #MezaniNaDolo  #MezaHuru2022-11-112h 09Meza HuruMeza HuruMezani na KR MULLAH #14KR Mullah ,miongoni mwa waasisi wa GWM (Gangstaz With Matatizo), Wachuja Nafaka, TMK Wanaume family Mwamba huyu kutokea Temeke Dar es Salaam amefanya makubwa sana katika muziki wetu kabla haujaanza kuwa rasmi Amefanya kazi na wakongwe kama Boniluv, Master Jay na P Funk. Ametupatia heshima kubwa ya kutupa simulizi yake tangu akiwa kijana mdogo katika muziki mpaka sasa bado anawakilisha Temeke popote pale alipo Muite KR Mullah Jibaba Muziki Mkubwa CD Mia Saba Njoo kichwa kichwa akupe za uso saba. #MezaniNaKakaRashidi  #MezaHuru2022-11-041h 30Meza HuruMeza HuruMezani na RAS INNO #13Ras Innocent Nganyagwa ni miongoni mwa wanamuziki nguli katika kizazi cha tatu cha muziki wa Reggae kutoka Tanzania.  Muziki wa Reggae Afrika ulianza kushamiri baada ya Uhuru wa Zimbabwe mwaka 1980, Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizokuwa za mwanzo kupata mapokeo ya muziki huo. Tumezungumza na Ras Inno kuhusu imani ya RastaFari, muziki wa Reggae Ras Innocent Richard Nganyagwa ni shule haswa, Ana ufahamu mkubwa sana wa maisha ya asili ya mwafrika na anaamini kila mtu mweusi ni Rastafarian. Ras Inno ni mtetezi wa haki za binadamu na za wasanii pia, Jumuika n...2022-10-282h 06Meza HuruMeza HuruMezani na CAROLA KINASHA #12Carola Kinasha, ukimuona huwezi kuamini ana miongo sita duniani. First lady wa Bene Bene na baadaye Shada. Msomi wa chuo kikuu aliyechagua kufanya muziki kama kazi. Mwanaharakati wa mwanzo kabisa wa stahiki na haki za utunzi, na moja walioupeleka mbali sana muziki wa asili ya Afrika. Ni mcheshi na mwenye maarifa mengi sana kuhusu maisha na safari ya muziki wetu tangu miaka ya themanini mpaka leo hii. Unajua kisa chake na Remmy Ongala kilichozaa kibao maarufu cha Karola? Unajua nini maana ya segese? Unajua kwamba yeye ni mtu aliyekuwa nyuma ya chorus nzuri...2022-10-212h 17Meza HuruMeza HuruMezani na MIKE TEE #11Wengi wanamjua kwa jina la Mnyalu, Mike Tee, The Dangerous Emcee ila jina lake kamili ni Mike Francis Mwakatundu.  Mike Tee alianza kuimba mwanzoni mwa miaka ya 90, akiimba kwaya kanisani na taratibu akaanza kujifunza kuandika na kuimba mistari kupitia mashairi ya gazetini baada ya kukutana na Ntwa mmoja wa waanzilishi wa WWA (Wagumu Weusi Asilia). Amefanya kazi na watayarishaji kama P Funk na Master Jay, amefanya hits na wasanii kama Juma Nature, Q Chief, Mad Ice na Komando Jide Unajua kuhusu ugomvi wa Mr. Nice na Dudu Baya? Mike Tee amenyoosha taarifa. Sitaki k...2022-10-141h 58Meza HuruMeza HuruMezani na UNCLE JOHN KITIME #10Mzee Kitime ama Ango "Uncle" Kitime kama mwenyewe anavyojitanabaisha kwenye mitandao. Ni mwanamuziki nguli wa Muziki wa Dansi kutoka Kilimanjaro Band maarufu kama "Wana Njenje", mmoja wa wanakamati ya kutetea muziki wa dansi na tasnia ya muziki kwa ujumla, Mtangazaji wa Radio, Muigizaji wa Filamu, Mchekeshaji na Mtunza historia ya Music wa Tanzania. Tumekaa naye na kupata historia ya muziki wake na harakati zake tangu mwaka 1967 hadi leo akiwa na JFK BAND. Jumuika nasi mezani tumsikilize Gwiji huyu wa Tasnia yetu, Karibu. #MezaniNaJOHNKITIME  #MezaHuru  Anchor - https://anchor.fm/meza-huru Go...2022-10-072h 17Meza HuruMeza HuruMezani na MASTER JAY Part IISehemu ya pili ya maongezi na Master Jay. Kama hujasikiliza nyimbo alizotengeneza (naamini ni vigumu), utakuwa umemuona kwenye mashindano ya kusaka vipaji Joachim Marunda Kimaryo ni Gwiji kabisa katika tasnia ya muziki wetu Amehusika katika Hip Hop, Bongofleva, Dansi mpaka nyimbo za Dini 😁 Tumepata nafasi ya kuzungumza naye na ametupa simulizi ambazo zinaweza kutumika kama chanzo rasmi cha historia za muziki wetu kuanzia mwanzo mpaka tulipo. Jumuika nasi mezani, tusikilize PART II ya MTABE huyu wa sanaa 😉 Karibu. #MezaniNaMasterJay #MezaHuru Anchor - https://anchor.fm/meza-h...2022-09-3058 minMeza HuruMeza HuruMezani na MASTER JAY Part INani asiyemfahamu Master Jay? Kama hujasikiliza nyimbo alizotengeneza (naamini ni vigumu), utakuwa umemuona kwenye mashindano ya kusaka vipaji Joachim Marunda Kimaryo ni Gwiji kabisa katika tasnia ya muziki wetu Amehusika katika Hip Hop, Bongofleva, Dansi mpaka nyimbo za Dini 😁 Tumepata nafasi ya kuzungumza naye na ametupa simulizi ambazo zinaweza kutumika kama chanzo rasmi cha historia za muziki wetu kuanzia mwanzo mpaka tulipo. Jumuika nasi mezani, tusikilize PART I ya MTABE huyu wa sanaa 😉 Karibu. #MezaniNaMasterJay #MezaHuru  Anchor - https://anchor.fm/meza-huru Google podcast...2022-09-231h 26Meza HuruMeza HuruMezani na BONILUV #TheGodfather Part IISehemu ya pili na Kaka Boniphace Kilosa a.k.a #Boniluv. Kati ya wale magwiji wawili wanaotajwa sana, huyu ni Kaka yao na hatajwi sana pengine kwa makusudi ama bahati mbaya na hilo halijatuzuia kufanya naye mazungumzo na kumpatia maua yake. Boniluv ni Baba, Kaka, Rafiki na mwanafamilia. Ni mtu wa Muziki haswa. Ni mtu wa old school jams, akianza story za 80's hatumshiki!! Amefanya kazi na Ma-Pioneer wote wa muziki wa kizazi kipya. Amekuwepo kabla ya Bongo Fleva hivyo anastahili HESHIMA ya kuwa  #TheGodFather wa muziki wa Bongofleva  Ametupa heshima kubwa Sana na historia ya safari yake ya mu...2022-09-161h 19Meza HuruMeza HuruMezani na BONILUV #TheGodfather Part IBoniphace Kilosa a.k.a #Boniluv Kati ya wale magwiji wawili wanaotajwa sana, huyu ni Kaka yao na hatajwi sana pengine kwa makusudi ama bahati mbaya na hilo halijatuzuia kufanya naye mazungumzo na kumpatia maua yake. Boniluv ni Baba, Kaka, Rafiki na mwanafamilia. Ni mtu wa Muziki haswa. Ni mtu wa old school jams, akianza story za 80's hatumshiki!! Amefanya kazi na Ma-Pioneer wote wa muziki wa kizazi kipya. Amekuwepo kabla ya Bongo Fleva hivyo anastahili HESHIMA ya kuwa  #TheGodFather wa muziki wa Bongofleva  Ametupa heshima kubwa Sana na historia ya safari yake ya muziki na maisha tangu miaka hi...2022-09-091h 17Meza HuruMeza HuruMezani na DUNGA #05#MezaniNaDunga #MezaHuru #Dunga Wengi wetu tunamfahamu kwa jina la Dunga ama Mandugu. Jina lake kamili ni Ambrose Akula Akwabi.  Huyu ni mtu muhimu sana katika muziki wetu. Amekuwepo tangu enzi tunajitafuta.  Dunga na kaka yake (Shakii) wanaunda Mandugu Digital. Amefanya kazi nyingi sana mashuhuri na nyingine unaweza usiamini anahusika nazo. Jumuika nasi mezani, tumsikilize Mwamba Huyu 😉 Karibu. Anchor - https://anchor.fm/meza-huru google podcast -  https://podcasts.google.com/feed/aHR0... ...2022-09-021h 55Meza HuruMeza HuruMezani na JORS BLESS #04Johnson Sululu a.k.a Jorsbless ni sehemu ya kizazi bora cha utayarishaji na uandaaji wa midundo katika tasnia ya muziki Tanzania Amefanya kazi na wasanii kama Mapacha, Rama Dee, Nikki Wa Pili , Adili n.k Unakumbuka kuhusu ANTI-VIRUS Movement? Tumeligusia hili pia 😁 Amefanya kazi kama DJ katika kituo cha #TimesFm na baadae #AzamTV kama Sound Engineer Tumekaa na JORS na kupiga soga kuhusu maisha kuanzia mwanzo wa kazi zake hizi mpaka leo hii Unajua Mwaka 2008 Baba yake mzazi alimpatia kiasi cha shilingi Mili...2022-08-261h 32Meza HuruMeza HuruMezani na MEJAH #03MEJAH ni Mwana Hip Hop na Mjasiriamali aliyegeuza mahaba yake ya uchora machata(GRAFFITI), Kusafiri, Kuendesha baiskeli  kuwa sehemu ya kipato chake Tumepata nafasi ya kuzungumza nae na anatupitisha katika historia ya maisha yake kuanzia kuandika sehemu ya wimbo wa JCB wa Kundi la Watengwa,Kuuza majarida mbalimbali mfano "The Source" mpaka kushiriki katika majukwaa mbalimbali ya Graffiti kupitia kundi la Wachata Bila kusahau ni Classmate wa January Makamba 😁 Karibu tumsikilize2022-08-191h 18Meza HuruMeza Huru"Kwenda Mbele"A Conversation with Duke Part ii2022-08-1456 minMeza HuruMeza Huru"The First Session"First part of Duke opening up about his journey in Tanzanian Music.2022-08-1250 minMeza HuruMeza Huru#KaribuMezaHuruA Conversation about Music in Tanzania. From genesis to where it's now. A 20yrs+ journey in the game. Looking at this history from a perspective of our guest. This is Meza Huru, Karibu.2022-08-0900 minSalama NaSalama NaSE7EP06 - SALAMA NA MTANI | SO SILKYUshawahi kukutana na wale watu ambao wao ni wa pole tu sana na wanajipenda tu sana ila hawana tu muda wa kuringa au kuji mwabafy kwasababu wao wako talented au wana kipawa kutoka kwa Allah na wanajua? Well mi nishawahi kukutana na watu kama hao na mmoja wao ni mgeni wetu RASMI wa wiki hii ya episode ya sita ya SalamaNa msimu huu. Anaongea kwa utaratibu na kujua kile atakacho, anakipataje na akisha kipata atafanya nacho nini. Huyo sasa ndo mwanangu Mtani Nyamakababi, aka Mtani Beskope. Kijana wa ki Tanzania mwenye kuelewa somo la leo na ukiachana...2022-07-2155 minSalama NaSalama NaEp. 41 - Salama Na KALITO | THE ORIGINATORCarlos Bastos aka Kalito ni moja kati ya wale binadamu ambao hawahitaji ‘kutambulishwa’ na hiyo si kwa sababu ya muonekano wake hata kidogo zaidi ni personality yake, anaongea, anachekesha, anajielewa, anajua nini cha kusema na wapi pa kusema pia. Katika watu ambao namshukuru Mungu kwa kuwafanya wawe rafiki zangu Kalito ni mmoja wapo. Jinsi ambavyo alifika Tanzania inaweza ikakufanya ujue pia yeye ni mtu wa aina gani haswa, kutoka mwenyewe familia ambayo mtoto wa kiume ni pekee, na pengine alikua na uhakika wa kupata kila anachotaka lakini aliamua kupaki begi na kuchanja mbuga kuja hapa Tanzania. Kusema za u...2020-11-1200 minChristopher Kiondo\'s showChristopher Kiondo's showMeza Huru2017-05-3014 minChristopher Kiondo\'s showChristopher Kiondo's showMeza Huru2017-05-1915 min