Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

Michongo Podcast

Shows

Michongo podcastMichongo podcastFahamu kwa undani kuhusu cryptocurrencyKaribu michongopodcast, leo tunaongelea kuhusiana na cryptocurrency tukiwa na mtaalaam wa blockchain Eng Kandenda balete akitufahamisha zaidi karibuni. 2024-01-1933 minMichongo podcastMichongo podcastUwekezaji Halal kwa kufata kanuni za dini.Karibu michongopodcast, katika episode hii tunajadili uwekezaji halal yani uwekezaji unaofata kanuni za dini ya kiislam, tupo na mgeni wetu bwana Salum Awadh akiwa ni mtendaji mkuu wa SSC captal, utapata fursa ya za uwekezaji zinazokubaliana na maadili ya kiislam.karibu tujifunze zaidi.2024-01-1134 minMichongo podcastMichongo podcastUwekezaji katika hatifungani.karibu katika sehemu ya tano ya tukiongelea uwekezaji katika hatifungani mgeni wetu ni afisa mtendaji wa exodus advisory Bw, Ramadhan Kagwandi akituelezea zaidi kuhusu uwekeza katika hatifungani.2023-11-0535 minMichongo podcastMichongo podcastUwekezaji Faida fundKaribu katika episode ingine ya michongo podcast, katika season hii ya michongo ya uwekezaji tutakua tunaongelea uwekezaji faida fund tupo na afisa masoko Mr Obadia Erasto akituelezea zaidi kuhusu faida fund na jinsi ya kuwekeza. 2023-10-2145 minMichongo podcastMichongo podcastUwekezaji katika mifuko ya UTT amisUTT amis ni ufupisho wa Unit Trust of Tanzania asset management and investment services ikiwa ni kampuni inayojohusisha na uendeshaji wa mifuko ya uwekezaji wa pamoja,  kwa sasa kuna mifuko sita unaweza kusikiliza episode ya podcast hii kuelewa kuhusiana na mchongo huu wa uwekezaji UTT amis.2023-10-1656 minMichongo podcastMichongo podcastUwekezaji katika hisa.Hisa ni sehemu ya umiliki katika kampuni fulani, uwekezaji katika hisa ni kati ya uwekezaji muhimu sana katika fedha kwa maana ni njia ya kupata kipato cha mpito, mtaalamu na mchambuzi wa maswala ya uwekezaji kutoka Orbit securities anatuelezea kuhusiana na uwekezaji kwenye hisa karibu kwenye mchongo wa Uwekezaji kwenye Hisa2023-10-0750 minMichongo podcastMichongo podcastElimu ya fedha/Personal finance.Karibu michongo podcast, sehemu yetu ya kwanza inazungumzia elimu ya fedha kabla ya kuingia katika Uwekezaji, ni muhimu kujua elimu ya fedha tupo na mtaalamu ambaye ni Edmund Munyagi personal finance coach akitufahamisha kuhusiana na elimu ya fedha binafsi yani personal finance. Tembelea tovuti yetu www.michongopodcast.com kwa taarifa zaidi unaweza kusubcribe kupata maudhui zaidi kupitia link hapo chini unaweza kutusurport kupitia Voda lipa namba 58591112023-09-3054 minMichongo podcastMichongo podcastEpisode “Zero” Intro.In this episode we introduce Michongopodcast, a podcast about finance, Entrepreneurship and Digital economy. First season “Michongo ya uwekezaji” coming soon…2023-06-2005 minSalama NaSalama NaEp. 8 - Salama Na Idris | TROOPERMimi kama watanzania wengi sikuwa namfahamu Idris, mara yangu ya kwanza kumuona ilikua kwenye TV akiwa mmoja wa wawakilishi wa Taifa hili kwenye kipindi cha Big Brother mwaka 2014. Nilivyouandika hapa huo mwaka ndo imenigusa akilini kwamba ni miaka sita tu imepita toka Idris Sultan amekua kwenye macho na midomo yetu. Na pengine ataendelea kuwepo kwenye midomo na macho yetu kwa miaka mingi zaidi, kuna sehemu nilikua naangalia interview yake moja na alisema yeye umaarufu ndo kitu ambacho anakipenda zaidi, pengine na ndo maana alienda kwenye shindano la Big Brother Africa na toka ametoka mule kama mshindi sidhani kama kuna...2020-03-191h 01