podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Naweza Show
Shows
SBS Swahili - SBS Swahili
Steve "Na amini naweza kuwa kiongozi bora"
Wanafunzi wa chuo cha ECU mjini Perth wana ingia debeni kuwachagua viongozi wao wapya.
2024-10-22
12 min
99.8 p radio muliko la jamii
Radio 47 baze47
NAWEZA AU SIWEZI???
2024-07-15
05 min
SHADOTUBE
Asanteni sana wasikilizaji wangu, kama unatamani kufungua na kujifunza podcast, usisite kuuliza.
Najua watu wengi wanapitia wakati mgumu sana katika kuuliza maswali ni namana gani mimi nimeweza kufungua podcast yangu, Naweza sema niko tayari kukufundisha na wewe uweze kufungua podcast yako. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/shadotube/message
2023-03-12
01 min
ROAD TO SUCCESS
WHAT HAPPENED TO THOSE DREAMS?? NINI KILITOKEA?
Nini KILITOKEA kuhusu zile ndoto za utotoni?? Ukiamini kwamba huwezi basi hautoweza. Lakini ukiamini kwamba naweza, ufahamu wako utatengeneza njia za kuweza.
2023-01-31
09 min
===== كلمات الحياة" ، "الأخبار السارة" ، "ترانيم الإنجيل" - باللغات الرئيسية المستخدمة في جزر القمر" / / "Paroles de Vie", "Bonnes Nouvelles", "Chants Gospel" - Dans les Principales Langues Parlées aux Comores =====
Swahili [Kenya] - "Yesu: Mwalimu & Mponyaji".3gp / 3gp."السواحيلية [كينيا] - "يسوع: المعلم والمعالج
Swahili [Kenya] - "Jésus : Enseignant et Guérisseur".3gp / Swahili [Kenya] - "Jesus: Teacher & Healer".3gp //1 WAKORINTHO 13 - Upendo1Hata kama nikinena lugha za watu na hata za malaika, lakini kama sina upendo mimi nimekuwa tu kama sauti ya debe tupu au kengele. 2Tena, naweza kuwa na kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, nikafahamu siri zote na kujua kila kitu; naweza kuwa na imani yote hata nikaweza kuihamisha milima, lakini kama sina upendo mimi si kitu. 3Nikitoa mali yangu yote na kuwapa maskini, na tena nikiutoa mwili wangu uchomwe, kama sina upendo hiyo hainifai chochote. 4Mwe...
2022-12-13
1h 00
Salama Na
SE7EP01 - Salama Na ZUCHU | SINDANO
Kuna usemi mmoja unaenda kama hivi, kulea mimba si kazi ila kazi ni kulea mtoto, tafsiri yangu naamini mhenga hapo alikua anatuambia kazi pengine inaanza baada ya kupata kazi, tunaelewa jinsi gani ambavyo kupata kazi huwa ni kazi. Tena kazi yoyote, haijalishi kama ni ya upishi au ulinzi au ufundi au hata u daktari, mi nawajua madaktari kadhaa ambao nao pia wanapata shida kupata hizo kazi. Na baada ya kupata shida zote hizo wakati wa kutafuta kazi basi kazi halisi huanza pale unapoipata sasa hiyo kazi yenyewe. Kazi ya Zuchu ilianza kabla hajaipata hiyo kazi yenyewe na...
2022-06-16
55 min
Unaweza talks
30/100. Je, naweza kuoana au kuoa mtu wa imani na dini tofauti na yangu.
Dini na imani tofauti zimekuwa changamoto kwenye mahusiano mengi hasa ya uchumba na urafiki, kuelekea ndoa.
2022-03-16
13 min
===== كلمات الحياة" ، "الأخبار السارة" ، "ترانيم الإنجيل" - باللغات الرئيسية المستخدمة في جزر القمر" / / "Paroles de Vie", "Bonnes Nouvelles", "Chants Gospel" - Dans les Principales Langues Parlées aux Comores =====
Swahili [Kenya] - "Yesu: Mwalimu & Mponyaji".3gp / 3gp."السواحيلية [كينيا] - "يسوع: المعلم والمعالج
Swahili [Kenya] - "Jésus : Enseignant et Guérisseur".3gp / Swahili [Kenya] - "Jesus: Teacher & Healer".3gp //1 WAKORINTHO 13Upendo1Hata kama nikinena lugha za watu na hata za malaika, lakini kama sina upendo mimi nimekuwa tu kama sauti ya debe tupu au kengele. 2Tena, naweza kuwa na kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, nikafahamu siri zote na kujua kila kitu; naweza kuwa na imani yote hata nikaweza kuihamisha milima, lakini kama sina upendo mimi si kitu. 3Nikitoa mali yangu yote na kuwapa maskini, na tena nikiutoa mwili wangu uchomwe, kama sina upendo hiyo ha...
2022-02-03
1h 00
4_reigners
The Peer Talk
In this Mini-episode, we had a Chat about Peer Pressure, how your Circle and Peers can Influence your behavior. Pombe Sigara naweza Wacha Bila Kung'ang'ana! Kaende Kaende! The Millennials Podcast
2021-10-18
31 min
===="Bishaaro Wanaagsan", "Heesaha Injiilka", "Ereyada Nolosha" - Luqadaha Ugu Muhiimsan ee Lagu Adeegsaday Soomaaliya / "Good News", "Gospel Songs", "Words of Life" - Main Languages Used in Somalia ====
Kiswahili (Baravenes) - "Yesu: Bwana na Mwokozi" / Swahili(Baravenes) - "Jesus: Lord and Saviour".3gp
Sawaaxilii (Baravenes) - "Ciise: Sayid iyo Badbaadiye" / "السواحلية - "يسوع: الرب والمخلص // 1 WAKORINTHO 13Upendo1Hata kama nikinena lugha za watu na hata za malaika, lakini kama sina upendo mimi nimekuwa tu kama sauti ya debe tupu au kengele. 2Tena, naweza kuwa na kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, nikafahamu siri zote na kujua kila kitu; naweza kuwa na imani yote hata nikaweza kuihamisha milima, lakini kama sina upendo mimi si kitu. 3Nikitoa mali yangu yote na kuwapa maskini, na tena nikiutoa mwili wangu uchomwe, kama sina upendo hiyo hainifai chochote. 4Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni. 5Mwenye upendo hakosi adabu, hatafuti faida ya...
2021-04-08
1h 01
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 10:Umuhimu wa Afya ya Uzazi kabla na baada ya ujauzito
Hapa tunakuletea simulizi kutoka kwa Salome. Binti huyu alikuwa na ndoto ya kuwa fundi cherehani lakini aliozeshwa na familia akajikuta akipata mtoto na ndoto kupotea ilionekana kama ndoto yake ilikuwa matatani lakini baadae Salome alifanikiwa, Je alifanyaje?
2020-06-08
26 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 9: Umuhimu wa kumnyonysha mtoto maziwa ya mama pekee kwa miezi sita ya mwanzo bila kumpa kitu chochote..
inakuletea simulizi kutoka kwa Chagu. Mama mkwe wake na Chagu hakuona umuhimu wa Chagu kumnyonyesha mwanae mchanga maziwa yake tu kwa miezi sita ya mwanzo, ni yapi yalimsibu chagu baada ya hapo.
2020-06-08
26 min
Salama Na
Ep. 17 - Salama Na Shikana | DYNAMITE
Mi na rafiki yanyu huyu tumepishana zaidi ya miaka kumi na nne, wakati anazaliwa mimi nilikua nagombana na makondakta kupata nafasi kwenye chai maharagwe ya kutoka Buguruni kuelekea Posta. Ila kupishana kwetu kwa umri naamini ndo kunaufanya ushoga wetu uwe special zaidi, maana yeye akiwa ananikhadithia kinachokiki kwenye umri wake, nami nakua namuelezea challenges za unapozidi kukua na naamini hii inatufanya tuwe bora zaidi. Na ki ukweli mara nyingi yeye amekua shujaa wangu, maana kuna mengine mazito kwake yanakua mepesi tu na hunisaidia kuona mambo kwa picha tofauti. Kwa hilo namshukuru sana. Wakati mwengine wanasema umri sio kipimo cha...
2020-05-21
45 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 8: Umuhimu wa kumpeleka mwanao katika kituo cha kutolea huduma za afya ili apate chanjo na kujenga kinga ya mwili wake.
Hapa tutasikiliza simulizi ya Maua na mumewe Kingolile hawa wawili hakukamilisha ratiba za chanjo ya mtoto wao hivyo ikawapelekea kumuuguza kwa mda mrefu.
2020-05-14
26 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 7: Hatua za kuchukua pale tunapoona Dalili za Hatari kwa Mtoto Mchanga na jinsi ya kumkinga dhidi ya magonjwa.
Sehemu ya 7 ya Naweza Show inakuletea simulizi kutoka kwa Tulia. Yeye ni binti aliyepitia maisha mengi magumu na machungu ndani ya jiji la dar es salaam, na tunajifunza umuhimu wa kuwapeleka watoto wetu katika vituo vya kutolea huduma za afya pale tupoona dalili hatarishi kwao na tunashauriwa kutowapa dawa watoto wetu bila kuwapima na kupata ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya.
2020-05-14
26 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 6: Umuhimu wa Kumnyonyesha mtoto mchanga maziwa ya mama pekee kwa muda wa miezi sita ya awali.
Sehemu ya 6 ya Naweza Show inakuletea simulizi kutoka Mama kiko. Yeye ni Mama ila alishindwa kabisa kufuata kanuni za kumnyonyesha mwanae kwa kipindi cha miezi sita, sasa ni yapi yalimsibu mama kiko baada ya hapo? Simulizi hii itakufunza umuhimu ya maziwa ya mama kwa mtoto ndani ya miezi sita ya mwanzo bila kumpatia kitu chochote kile zaidi ya maziwa ya mama.
2020-05-02
26 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 5: Umuhimu wa Afya ya Uzazi kabla na baada ya ujauzito
Katika sehemu ya pili ya msimu mpya wa Naweza Show tunasikiliza simulizi kutoka kwa Bupe. Simulizi hii itakufunza mengi kuhusu umuhimu wa afya ya uzazi kabla na baada ya ujauzito.
2020-04-25
26 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 4: Hatua za kuchukua pale tunapoona Dalili za Hatari kwa Mtoto Mchanga na jinsi ya kumkinga dhidi ya malaria.
Katika sehemu ya nne ya msimu mpya wa Naweza Show tunasikiliza simulizi kutoka kwa Sitti. Simulizi hii itafundisha mengi kuhusu hatua za kuchukua pale tunapoona dalili za hatari kwa mtoto. Na jinsi gani wanaume wanapaswa kushiriki katika malezi ya watoto na kuwapeleka watoto katika vituo vya kutolea huduma za afya pale tu waonapo dalili za hatari.
2020-04-18
26 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 3: Hatua za kuchukua pale tunapoona Dalili za Hatari kwa Mtoto Mchanga
Katika sehemu ya pili ya msimu mpya wa Naweza Show tunasikiliza simulizi kutoka kwa Waridi. Simulizi hii itafundisha mengi kuhusu hatua za kuchukua pale tunapoona dalili za hatari kwa mtoto mchanga.
2020-04-13
26 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 2: Umuhimu wa Afya ya Uzazi kabla na baada ya ujauzito
Katika sehemu ya pili ya msimu mpya wa Naweza Show tunasikiliza simulizi kutoka kwa Bhoke. Simulizi hii itakufunza mengi kuhusu umuhimu wa afya ya uzazi kabla na baada ya ujauzito.
2020-04-06
26 min
Salama Na
Ep. 10 - Salama Na MwanaFA | KARAMA
Weekend mbili zilitopita rafiki yangu Mwinyi aka Mpwa aka Cousin aka Hamis alikua akiadhimisha siku ya kuzaliwa kwake na alikua amefiksha umri wa kustahili kusherehekea kwa kweli na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa maisha, mke wake kipenzi alinipigia simu siku nne kabla ya birthday ya mumewe na kutaka tujumuike nae kum suprise, pia akaniambia ana kazi sana ya kuweza kukamilisha hilo tukio maana jamaa (Mwana FA) kashasema yeye hana mango wa kutaka shughuli, angependa maisha yaendelee tu kama kawaida. Pengine alikua akitarajia dinner nyumbani na mkewe na wanawe basi. So kukawa na zoezi hapo la kuhakikisha jamaa hasomi mchongo na...
2020-04-02
55 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 1: Kumpeleka mtoto kwenye kituo cha afya anapoonesha dalili ya #Malaria. #Naweza
Sikiliza simulizi ya Ruta, kutoka Bukoba. Leo tutajifunza kuhusu umuhimu wa kumuwahisha mtoto kwenye kituo cha afya pale anapoonesha dalili za #Malaria. #Naweza
2020-03-30
25 min
Salama Na
Ep. 9 - Salama Na Khadija Kopa | ALIYEPEWA KAPEWA
Khadija Omar Kopa. Malkia wa mipasho na lejendari wa muziki wa Taarab kwenye ukanda huu na duniani kwa ujumla, mwenyewe kaniambia yeye kwenda Arabuni na Ulaya ni jambo la kawaida tu kwake maana hayo kayaanza kuyafanya kitaaambo sana. Kitambo kweli naweza sema, mimi nimeanza kumfahamu Da Khadija toka kigori kabisa, na amekua hapo kwenye standard hiyo hiyo kwa miaka nenda na miaka rudi. Hii bila ya shaka imetokana na kwamba na yeye alianza kufanya hizo kazi akiwa bado msichana mbichi kabisa. Na ameweza kutuliza akili yake na ku maintain standard na status yake kwa miaka nenda...
2020-03-26
50 min
Salama Na
Ep. 6 - Salama Na MxCarter | LENSMAN
LENSMAN Touch yake katika mambo mengi ndo ambayo inamfanya awe tofauti sana na vijana wengine walokuja mjini nae kwa wakati mmoja, uzuri ni kwamba nilikuwepo wakati mabegi (kama yalikuwepo) hata hayajatua uzuri chini ndo hapo nilikutana na Mashala, aka Michael Sylvester ‘Carter’ Mlingwa. Kwanza ilikua kujuana kwa kwenye mitandao tu na hiyo ni khadithi ya siku nyengine. Kwa wanao nifahamu mimi wanajua kama ni ngumu haswa kumuingiza mtu katika maisha yangu, awe karibu yangu, ajue undani wangu ndo maana nina watu wengi ninaofahamiana nao ila wanaonijua ni wachache. Michael ni mmoja ya watu wanaonijua mimi, na naweza kusema nami namj...
2020-03-09
1h 07
Salama Na
Ep. 2 - Salama Na Marco Chali | DOKTA
DOKTA Marco na mimi tumekua marafiki wa miaka mingi na moja kati ya vitu vimetufanya tuwe marafiki ni kufanana kwetu kwa kupenda vitu vya aina moja. Kuanzia teknolojia mpaka muziki, nakumbuka siku ya kwanza kukutana naye, ilikua ni uzinduzi wa kipindi cha Bongo Star Search ambao ulifanyika Much More pale juu, alinifuata akaniambia juu ya mapenzi yake ya kipindi changu cha Planet Bongo enzi hizo na baada ya hapo ikawa ni urafiki ulodumu mpaka leo. Kipindi changu cha Mkasi kilizaliwa kwenye kibaraza cha studio kwa Marco Chali pale MJ RECORDS ambako ilikua ni maskani yetu kubwa mimi na...
2020-02-09
1h 03
Naweza Show
NAWEZA Show - Sehemu ya 12 (Janet): Umuhimu wa mwenzi kupimwa VVU iwapo mama mjamzito anaishi na VVU
Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya kumi na moja ya kipindi cha Naweza, leo sikiliza stori ya Janet.
2019-06-06
25 min
Naweza Show
NAWEZA Show - Sehemu ya 11 (Aisha): Dalili hatarishi kwa mtoto
Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya kumi na moja ya kipindi cha Naweza, leo sikiliza stori ya Aisha.
2019-05-28
24 min
Naweza Show
NAWEZA Show - Sehemu ya 10 (Riziki): Umuhimu wa mama kujua hali yake ya afya baada ya kujifungua
Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi! Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya kumi ya kipindi cha Naweza, leo sikiliza stori ya Riziki.
2019-05-20
27 min
Naweza Show
NAWEZA Show - Sehemu ya 9 (Mama Salma): Umuhimu wa kulala kwenye chandarua chenye dawa
Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi! Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya tisa ya kipindi cha Naweza, leo sikiliza stori ya Mama Salma.
2019-05-15
25 min
Naweza Show
NAWEZA Show - Sehemu ya 8 (Mama Imani): Umuhimu wa kutumia uzazi wa mpango
Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi! Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya nane ya kipindi cha Naweza, leo sikiliza stori ya Mama Imani
2019-05-11
22 min
Naweza Show
NAWEZA Show - Sehemu ya 7 (Samia: Umuhimu wa Kumnyonyesha mtoto mchanga maziwa ya mama ndani ya saa moja baada ya kujifungua)
Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya saba ya kipindi cha Naweza, leo tena sikiliza stori ya Samia. Kupitia simulizi yake tutajifunza umuhimu wa kumnyonyesha mtoto mchanga maziwa ya mama ndani ya saa moja baada ya kujifungua.
2019-04-29
21 min
Naweza Show
Naweza Show - Sehemu ya 6 (Anitha - ya pili): Huduma ya Nesi kwa Mama Mjamzito aliyekuwa kwenye hali mbaya
Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi! Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya sita ya kipindi cha Naweza, leo tena sikiliza stori ya Anitha. Atasimulia jinsi alivyompokea mama mjamzito aliyekuwa kwenye hali mbaya sana.
2019-04-23
21 min
Naweza Show
NAWEZA Show - Sehemu ya 5 (Anitha): Msaada wa Nesi kwa mama mjamzito
Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi! Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya tano ya kipindi cha Naweza, leo sikiliza stori ya Anitha.
2019-04-16
21 min
Naweza Show
NAWEZA Show - Sehemu ya 4 (Mama Tabitha): Umuhimu wa kutumia dawa za ARV wakati wa ujauzito iwapo mama anaishi na VVU
Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi! Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya nne ya kipindi cha Naweza, leo sikiliza stori ya Mama Tabitha
2019-04-08
25 min
Naweza Show
NAWEZA Show - Sehemu ya 3 (Mwajuma): Umuhimu wa mama mjamzito kutumia dawa ya SP
Sikiliza sehemu ya tatu ya show ya #Naweza. Leo tunasikia stori ya Mwajuma inayohusu umuhimu wa mama mjamzito kutumia dawa ya SP.
2019-04-06
19 min
Naweza Show
NAWEZA Show Sehemu ya Pili (Sada): Ushirikiano baina ya wenzi kipindi cha ujauzito
Sikiliza sehemu ya pili ya show ya #Naweza. NAWEZA Show Sehemu ya Pili (Sada): Ushirikiano baina ya wenzi kipindi cha ujauzito
2019-03-28
19 min
Naweza Show
Naweza Show Sehemu ya 1 (Mwanja): Changamoto kipindi cha ujauzito
Sikiliza sehemu ya kwanza ya show ya #Naweza.
2019-03-26
27 min
Mizuka Ya KING ZIMIRA kwenye KINASA
HAMISA MOBETO : naweza Fanya Mziki Na Uanamitindo, Mi Ni Mama Pia Mjasirialiamali, Kwann Nimzungumzie Ray C ?, interview Hii Apa @kingzimira
2018-08-23
03 min
Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 02 – Naweza kukusaidia?
Mabwana wageni na mabibi wa makamo – Andreas akiwa kazini kwenye mapokezi ya hoteli... Muhtasari wa sarufi: Kitendo cha utaratibu können
2009-03-17
00 min