Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

PWANI HIP-HOP PODCAST

Shows

DJ MAIYADJ MAIYADJ Maiya - Good Vibes Podcast #191. The Deepshakerz, Black Savana - Yemale' 2. Dancing on Lego - Sun Is Shining 3. TABU (PL) - Kuya 4. Anorre - Samaritan 5. Cristian De Rosa - Clouds 6. Rick Bonadio, Nathan Carvalho - Deixa a Chuva Cair 7. KOFA, KFTAR - Tema 8. Nosi, Sistek - So Good 9. Meliora - PENDIENTE A MI 10. KARROW - Wokira 11. Rasster, ME.EE - All Night Long 12. Alexey Union, Idd Aziz, Kinky Sound - Pwani 13. frank-lo, OYADI, 4Step - Kalimi 14. Francesco Capodaglio - Deva 15. Andor Gabriel, SIMEA - Back to the Old School 16. feeghea - Agooji2025-07-021h 00Plural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 30. 05. 2025Hábari, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 30.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. 🔸 Jeshi la wanamaji linashutumiwa Kwa uzembe Katika tukio la pwani ya Mocimboa da Praia. 🔸 Idade kubwa ya wakazi Palma wamerejeya Katika Wilaya hiyo tangu shambulio la 2021. 🔸 Mashambulizi yanayosababishwa na matukio ya hali ya hewa yanawaondoa zaidi ya watu 25.000 kaskazini mwa Mozambique. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani, tembelea ukurasa wetu wa Avoz.ogr Au chaneli zetu za Whatsapp au telegram. Tumefika Mwisho wa...2025-05-3005 minBLUE RADIO PODCASTBLUE RADIO PODCASTROJO MO & OHMS LAW MONTANA ON PWANI VINA WITH TUNDA TIZIANAROJO MO & OHMS LAW MONTANA ON PWANI VINA WITH TUNDA TIZIANA2025-04-271h 44BLUE RADIO PODCASTBLUE RADIO PODCASTTUNDA TIZIANA pwani vina 13th april 2025TUNDA TIZIANA pwani vina 13th april 20252025-04-1435 minGlobal Tech SailorsGlobal Tech SailorsBuilding Tech Communities in Kenya with Jemimah Kavyu | Global Tech Sailors PodcastSubscribe to Global Tech Sailors channel for all the best and latest official podcasts, behind the scenes and live performances. Order our Merch through the below form: https://forms.gle/AeMtZmWWaBrJ92119 Follow Global Tech Sailors: Instagram: https://www.instagram.com/g_techsailors/ TikTok: http://tiktok.com/@gtechsailors Twitter: https://twitter.com/gtechsailors YouTube: https://www.youtube.com/channel/UCfi7ZhzfsOFHMRJ1V6hIQOQ Spotify: https://open.spotify.com/show/2A7asOWhn5lPzie5WacLji LinkedIn: https://www.linkedin.com/company/global-tech-sailors/ About this Episode: In this episode of the Global Tech Sailors Podcast, Jemimah Kavyu, a tech community manager and Women...2025-01-031h 00BLUE RADIO PODCASTBLUE RADIO PODCASTJOVIAL : WHAT MAKES MY MUSIC SPECIAL IS THE HEART I POUR INTO IT During the PWANI GOT TALENT show coming after the #pwaniinnovation week JOVIAL mombasa biggest female artist graces the stage to showcase her talent and bless her fans with something special. 2023-10-0914 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E1: Fahamu kwa nini takribani 1/4 ya shule zote za Msingi za Binafsi Tanzania ziko Dar es SalaamFahamu kwa nini takribani 22% ya shule za msingi za binafsi ziko Dar es Salaam wakati 25% nyingine ikiwa katika mikoa ya Mwanza, Arusha, Kilimanjaro na Pwani. 📺 Video Podcast Description: "Unlocking Tanzania's Private Education Secret: Inside Dar es Salaam's School Boom!" English Description 🏫 Discover the captivating story behind Dar es Salaam, Tanzania's private education powerhouse! Join us in this eye-opening podcast as we unveil why nearly a quarter of the country's private primary schools are thriving in this bustling city. 💡 From the allure of affluent...2023-06-0325 minThe ZOZA PodcastThe ZOZA PodcastEP:10 WE ULIKULA UNCLE YANGU !!! FT N9NETY N9NERThis episode has been brought to you by Pwani Dishes in Pangani, stage no 11. It has amazing food and a variety of selections being offered at affordable prices.  In this episode, we are joined by  Muthoni, Jonito, and Shapiro as we feature the dope artist and rapper N9NETY N9NER  to discuss various events during the week. If you are reading this thank you, we appreciate you and enjoy. Podcast handles : Instagram:_thezozapodcast Our guest handles : Instagram : n9nety_n9er YouTube :https://m.youtube.com/watch?fbclid=PAAabcDzJjtJlf4rICzcUOoAdfjg1xXzf3ZqQUXn-z0f5ND2-rfl8DYcoGlcI&v=ma8PmDrNsoM&fea...2022-12-011h 13Uchumi na BiasharaUchumi na BiasharaKuvuma kwa Utalii Krisimasi na Mwaka Mpya | Uchumi na Biashara PodcastHuku msimu wa Krimasi na Mwaka Mpya ukikaribia Sekta ya Utalii inategemea sana msimu huu kuimarika kutokana na watalii wa mataifa ya kigeni wanaolenga kuzuru maeneo mbalimbali ya kitalii nchini. Mojawapo ya maeneo hayo ni eneo la Pwani hususani Kaunti ya Mombasa. Je, wafanyabiashara hasa wa hoteli za kitalii wamejiandaa vipi msimu huu? Robert Menza amezungumza na Josephat Iha ambaye ni Meneja wa Mauzo katika Mkahawa wa Massai Beach.2022-11-2521 minThe Podcast With No Name KEThe Podcast With No Name KEPutting the Fun in Funkie #Ep11 ft Sawa Shawa #DramaticEditionIn primary school and I think high school too, the entrée to stardom and veneration was joining the arts. Music, poetry, solo verses, choral verses and all that fiefdom. It was the textbook definition of arriving. It afforded you the great chance to go out of the school to meet represent your school and meet your crushes. Mostly to meet your crushes. Nobody had that great sense of school patriotism to as much as desire to wear their uniform with pride and represent it with a pinch of respect. It was always for other things that we joined drama c...2022-11-211h 43PWANI HIP-HOP FLAVA PodcastPWANI HIP-HOP FLAVA PodcastKing Paraah Interview Pwani hiphop PodcastPwanihiphopflava show | interview 002Skiza kutoka kwa kp. , msanii wa pwani aliyekua akifanya hiphop wenye mdundo wa trap na baadae kubadilisha nakuamua kufanya Swahili rap. King paraah aliwezakujieleza mbona aliamua kubadilisha, nini kinamfanya anapambana, changamoto anazopitia, mafua anayopitia kama mwana mzikii, ndo zake zakuleta independent rapping na mengi.....Kp alihojiwa na T "Mikindani music blogger" na unaweza kuskiliza show zengine za Pwanihiphopflava katika link ulipewa :2022-05-1610 minPWANI HIP-HOP FLAVA PodcastPWANI HIP-HOP FLAVA PodcastPwani Hiphop PODCAST Interview With AsubuhiKama vipi mambo poa 👋👋mambo barafu🤜🤜.. ni #Pwanihiphopflava hapa na kipindi cha mahojiano.Tulibahatika kua na the great ASUBUHI #swahilirap artist from aldina. Pliz usikose ku subscribe2022-05-0705 minPWANI HIP-HOP FLAVA PodcastPWANI HIP-HOP FLAVA PodcastPwanihiphopflava show| GUMZO -" KUKUZA SANAA " | Yt Patrol Rap CrewPwanihiphopflava show Gumzo🗣 na ytpatrol rap crew. Tuliongelelea sanaa ya muziki .. na vijana hawa walitueleza jinsi hao wanakuza sanaa yao siku baada ya siku.-Zoezi ya uandishi na pumzi ni bahadhi ya vitu wanazofanya ilimradi sanaa yao isonge.Tuachie maoni yako kuhusu gumzo tuliokua nayo2022-04-2614 minPWANI HIP-HOP FLAVA PodcastPWANI HIP-HOP FLAVA PodcastDakika tano za ujumbe | yt patrol rap crewKama vipi, ni Pwanihiphopflava na kipindi chengine cha #Dakika5zaujumbe.#🗣🎙💬 hapa msanii upewa dakika tano aweze kufreestyle .. ilimradi hiphop pwani isonge mbele💯💯#Ep.5 tuli bahatika kuwa na rap crew from Mikindani "yt patrol" 🔥🔥🔥....walituwakilisha to the their fullest Top🚾2022-04-2506 minPWANI HIP-HOP FLAVA PodcastPWANI HIP-HOP FLAVA PodcastPwanihiphopflava show| Dakika tano za ujumbe na_Masakari_.mp3Kama vipi, ni Pwanihiphopflava na kipindi chengine cha #Dakika5zaujumbe.#🗣🎙💬 hapa msanii upewa dakika tano aweze kufreestyle .. ilimradi hiphop pwani isonge mbele💯💯#Ep.4 tuli bahatika kuwa na Producer Masakari💥💥💥 from Babaz records ambaye alituangushia moja kali....Top🚾2022-04-1405 minPWANI HIP-HOP FLAVA PodcastPWANI HIP-HOP FLAVA PodcastEPISODE 3 - GUMZO Pt 2/2 'Utayarishaji wa muziki ' || Careem || PwanihiphopflavaPwanihiphopflava show2022-04-0515 minPWANI HIP-HOP FLAVA PodcastPWANI HIP-HOP FLAVA PodcastEPISODE 3 - GUMZO Pt 1/2 'Utayarishaji wa muziki ' || Careem || PwanihiphopflavaPwanihiphopflava show - Gumzo na T.2022-04-0515 minPWANI HIP-HOP FLAVA PodcastPWANI HIP-HOP FLAVA PodcastPwanihiphopflava show || dakika tano za ujumbe na den dellohPwanihiphopflava show #dakika5zaujumbe #dendelloh #swahilirap #dsbke2022-03-2305 minUchumi na BiasharaUchumi na BiasharaUchumi na Biashara Podcast: Utalii Pwani wanoga Krisimasi na Mwaka MpyaLicha ya athari za janga la korona, sekta ya utalii inazidi kunawiri msimu huu wa Krisimasi na Mwaka Mpya kulinganishwa na mwaka jana. Ilivyo sasa hoteli nyingi zimeandikisha takriban asimilia tisini ya wageni. Asilimia kubwa ni watalii wa humu nchini. Maeneo mengine pia ya kitalii yamenakili idadi ya juu ya wageni ambao wameyazuru na wengine ambao pia wananuia kuyazuru. Mwanahabari wetu, Robert Menza amezungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Kitaifa cha Sekta ya Watalii wa humu nchini, Dkt. Tuqa Jirmo.2021-12-2317 minUchumi na BiasharaUchumi na BiasharaUchumi na Biashara Podcast; Kipato cha pombe ya mnazi, ila polisi wanasumbuaPombe ya mnazi ni kinywaji cha kiasili kinachopendwa sana na ni maarufu zaidi kwenye maeneo ya Pwani na baadhi ya wenyeji wamekuwa wakitegemea pombe hiyo kibiashara. Jackline Kenga, mmoja wa wafanyabiashara wa pombe ya mnazi anasema licha ya kwamba biashara hiyo inamsaidia, anahangaishwa na polisi wanaoendesha oparesheni kila uchao. Hata hivyo, anasema kamwe hataasi biashara yenyewe kwani anapata mapato ya kutosha. Marioni Kithi amezungumza naye.2021-11-2409 minUchumi na BiasharaUchumi na BiasharaUCHUMI NA BIASHARA PODCAST; Bandari ya Lamu, kitega-uchumi kwa WapwaniAfisa wa Mamlaka ya Bandari ya Lamu, KPA Haji Mwasomo anasema bandari hiyo imechangia ukuaji wa uchumi kwa asilimia kubwa kwenye eneo zima la Pwani. Haji anasema mradi huo wa Lapset umeimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya Kenya na mataifa mengine. Anasema serikali inajenga mabomba ya mafuta kutoka Lamu hadi Sudan Kusini hivyo kuimarisha biashara hata zaidi. Mwanahabari wetu wa Mombasa, Robert Menza amefanya mazungumzo na Haji kujua hali halisi ya bandari hiyo ya Lamu.2021-07-0117 minZULLY TALKS PODCASTZULLY TALKS PODCAST#EP 4 MODELLING WITH EDDIE K. PERUEDDIE K. PERU, An award winning male model from Coastal region of Kenya🇰🇪. Who is also a student at PWANI UNIVERSITY Mombasa, Kenya. Majoring at HUMAN RESOURSE MANAGMENT. EDDIE elaborates why a boy child should be treated the same as a girl child when it comes to the modelling industry , and also urges the boy child to stand up for his passion,speak up his mind and work on his talents ,Eddie will always be there for you .--- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app2020-09-2227 minZULLY TALKS PODCASTZULLY TALKS PODCAST#EP 4 MODELLING WITH EDDIE K. PERUEDDIE K. PERU, An award winning male model from Coastal region of Kenya🇰🇪. Who is also a student at PWANI UNIVERSITY Mombasa, Kenya. Majoring at HUMAN RESOURSE MANAGMENT. EDDIE elaborates why a boy child should be treated the same as a girl child when it comes to the modelling industry , and also urges the boy child to stand up for his passion,speak up his mind and work on his talents ,Eddie will always be there for you . --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app --- Send in a voice m...2020-09-2227 minConversations on Security and GovernanceConversations on Security and GovernanceCHRIPS Webinar Series - Islamist Ideology and 'Al -Shabaab' in Eastern Africa: Recent Developments in Kenya, Tanzania and MozambiqueIn our first podcast series, we feature discussions from a webinar hosted by the center in July on Islamist Ideology and Al Shabaab in Eastern Africa, looking at recent developments in Kenya, Tanzania and Mozambique. CHRIPS hosted a webinar on 28th July to discuss the linkages in Kenya, Tanzania and Mozambique as a result of the presence of Al Shabaab in the region. The panelists comprising of academics and policy analysts traced developments within the three countries. This episode features comments from Prof Hassan Mwakimako associate professor of Islamic Studies at the department of philosophy and religious studies Pwani...2020-08-2813 minGIZA MOSHI TELE\'s PodcastGIZA MOSHI TELE's PodcastEpisode 3 Giza MoshiToka pwani hadi mashinani, jimbo hadi jimbo, mitaa ya juu, karibu giza moshi ndo podcast, leo it's all about love, eneza the vibe2010-12-0321 min