podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Pamoja
Shows
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA WAKATI AKIPOKEA TAARIFA YA MWAKA YA UTENDAJI KAZI YA TAKUKURU PAMOJA NA RIPOTI YA CAG KWA MWAKA 2023/24
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Mwaka ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Pamoja na Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2023/24 kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Machi, 2025.
2025-03-27
08 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS SAMIA WAKATI AKIPOKEA TAARIFA YA MWAKA YA UTENDAJI KAZI YA TAKUKURU PAMOJA NA RIPOTI YA CAG KWA MWAKA 2023/24
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Mwaka ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Pamoja na Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2023/24 kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Machi, 2025.
2025-03-27
08 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MKUTANO WA PAMOJA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA EAC NA SADC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa pamoja wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Februari, 2025.
2025-02-08
05 min
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mkutano wa pamoja kati ya SADC na EAC kuhusu DRC
Kwa sehemu kubwa makala ya mtazamo wako imeangazia kuhusu hali ya mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na mkutano wa pamoja kati ya jumuia ya Afrika mashariki EAC na jumuia ya Nchi za kusini mwa Afrika SADC kutafuta suluhu ya kudumu ya mzozo wa mashariki mwa DRC, huko Gabon upinzani umemtaka kiongozi wa mpito kuweka wazi msimamo wake kuhusu ushiriki wake katika uchaguzi mkuu, na hatua ya rais wa Marekani Donald Trump kukata ufadhili kwa shirika la misaada USAID pia Marekani kudhibiti eneo la Gaza
2025-02-08
20 min
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mkutano wa pamoja kati ya SADC na EAC kuhusu DRC
Kwa sehemu kubwa makala ya mtazamo wako imeangazia kuhusu hali ya mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na mkutano wa pamoja kati ya jumuia ya Afrika mashariki EAC na jumuia ya Nchi za kusini mwa Afrika SADC kutafuta suluhu ya kudumu ya mzozo wa mashariki mwa DRC, huko Gabon upinzani umemtaka kiongozi wa mpito kuweka wazi msimamo wake kuhusu ushiriki wake katika uchaguzi mkuu, na hatua ya rais wa Marekani Donald Trump kukata ufadhili kwa shirika la misaada USAID pia Marekani kudhibiti eneo la Gaza
2025-02-08
20 min
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MCHANA PAMOJA NA WASHIRIKI WA ZOEZI LA UOKOAJI WA AJALI YA KUPOROMOKA KWA JENGO LA GHOROFA ENEO LA KARIAKOO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa halfa ya chakula cha mchana pamoja na washiriki wa zoezi la uokoaji wa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa eneo la Kariakoo leo tarehe 30 Januari, 2025 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
2025-01-30
24 min
Jukwaa la Michezo
Droo ya CHAN 2024: Kenya yapangwa kundi gumu zaidi, mashindano ya Agosti 2025
Kipindi cha leo kimeangazia pakubwa droo ya mashindano ya CHAN 2024; adhari ya kuahirishwa kwa kipute na uchambuzi wa makundi. Pia tumetupia jicho raundi ya sita hatua ya makundi mechi za klabu bingwa Afrika, fainali ya mashindano mapya ya wasichana U17, Shujaa yataja kikosi chake cha mkondo wa Perth 7s, Kipchoge akilenga taji la tano la London Marathon, Tyson Fury astaafu ndondi kwa mara ya pili pamoja na mashindano ya tenisi ya Australian Open yakiingia hatua ya robo fainali. Kulingana na droo iliyofanyika Jumatano usiku katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Kenyatta (KICC) jijini Nairobi nchini Kenya...
2025-01-18
23 min
Jukwaa la Michezo
Droo ya CHAN 2024: Kenya yapangwa kundi gumu zaidi, mashindano ya Agosti 2025
Kipindi cha leo kimeangazia pakubwa droo ya mashindano ya CHAN 2024; adhari ya kuahirishwa kwa kipute na uchambuzi wa makundi. Pia tumetupia jicho raundi ya sita hatua ya makundi mechi za klabu bingwa Afrika, fainali ya mashindano mapya ya wasichana U17, Shujaa yataja kikosi chake cha mkondo wa Perth 7s, Kipchoge akilenga taji la tano la London Marathon, Tyson Fury astaafu ndondi kwa mara ya pili pamoja na mashindano ya tenisi ya Australian Open yakiingia hatua ya robo fainali. Kulingana na droo iliyofanyika Jumatano usiku katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Kenyatta (KICC) jijini Nairobi nchini Kenya...
2025-01-18
23 min
Københavns Universitets Videoportal
“Himili Pamoja” - Gender and climate change adaptation in Tanzania v2
Short video explaining the aim of the DANIDA-funded project “Himili Pamoja” - Gender and climate change adaptation in Tanzania.
2024-12-10
03 min
A Inner Habit with Shruti K Doctor
PAMOJA LEO Revolutionizes Family Empowerment in Tanzania!
In this inspiring episode of the Together Today Podcast, we sit down with Georgina Harris, the founder of Pamoja Leo, a leading nonprofit organization in Tanzania. Learn how their impactful work in child welfare and empowering families is driving sustainable change and strengthening communities. Through real-life success stories, we explore the social impact of their programs and the incredible journey of this organization in creating a brighter future for children and families. 📥CONNECT WITH ME: YouTube: https://youtube.com/@innerhabit Instagram: https://instagram.com/inner_habit Twitter: https://twitter.com/inner_habit Website: https://innerhabit.com 📭 GET IN TOUCH: 📩 Email: admin@inn...
2024-12-06
47 min
The Newport City Show
The GAVO award interviews - Part 2 - Billy and Judith from Cynefin Pamoja
Each day thousands of people give their time freely to protect the environment, lead youth activities, preserve our heritage, support those in need and respond to international crisis.Taking place this September and October, the annual GAVO awards will celebrate the incredible work of volunteers in Blaenau Gwent, Caerphilly and Newport. The awards are an opportunity to say thank you to those that make a positive impact in their community.Billy and Judith arfe from Cynefin Pamoja(Belonging Together), a vibrant community group for African and Caribbean, a hub for cultural exchange, an advocate for environmental s...
2024-09-18
09 min
I AM Wales Podcast
Cynefin Pamoja - Nkechi & Billy
Billy and Nkechi are the founders of Cynefin Pamoja. A third sector charity. They host events for those within the community. Cynefin Pamoja is open to all, and cater to African and Caribbean communities. What inspires Nkechi and Billy is seeing others receive support and reach their full potential. One of their successes is collaborating with others and becoming established within our hometown of Newport, South Wales, especially through the short film we created showcasing the untold stories of Windrush people in Wales. "We felt privileged to have been able to collaborate with BBC Wales, We...
2024-08-29
25 min
Pastor Fred Msungu
Ubia pamoja na Mungu (Sehemu ya pili)
Ubia pamoja na Mungu (Sehemu ya pili)
2024-07-07
1h 20
Pastor Fred Msungu
Ufalme, Utawala na uwekezaji (Ubia pamoja na Mungu)
Ufalme, Utawala na uwekezaji (Ubia pamoja na Mungu)
2024-05-19
1h 34
Wahubiri wa Neno Pod
Wagalatia (2): Gal 1:10–2:10
Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 2, katika kifungu Gal 1:10–2:10. Hapa Paulo anaonyesha Injili aliyohubiri na waliyopokea ni Injili kweli kabisa.karibu.Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa.Wagalatia 1:10–2:10 (Soma Biblia hapa)10 Maana, sasa je! Ni wanadamu ninaowashawishi, au Mungu? Au nataka kuwapendeza wanadamu? Kama ningekuwa hata sasa nawapendeza wanadamu, singekuwa mtumwa wa Kristo.11 Kwa maana, ndugu zangu, Injili hiyo niliyowahubiria, nawajulisha ya kuwa siyo ya namna ya kibinadamu. 12 Kwa kuwa sikuipokea kwa mwanadamu wala sikufundishwa na mwanadamu, bali kwa...
2024-05-01
39 min
Travelpreneur: The Travel Business Podcast
Creating Ethical Safari Adventures For Clients with Scott Brills at Pamoja Safaris
Episode Overview: Episode Topic: In this episode of Travel-Preneur, join host Megha McSwain as she gets into the captivating journey of Scott Brills, co-founder and owner of Pamoja Safaris, an award-winning safari and trekking company in Tanzania. Uncover the inspiration behind Pamoja Safaris and the remarkable blend of African wildlife passion with sustainable tourism that drives Scott's vision. Lessons You'll Learn: Gain invaluable insights into the beginning and evolution of Pamoja Safaris, learning from Scott's experiences in starting and scaling a successful safari business in Tanzania. Dig into the importance of people-centric approaches in differentiating safari experiences, ensuring top-notch guides and exceptional service. Get into the strategies employed by Pamoja Safaris to stand...
2024-04-18
21 min
Diaries of a Modern Trailblazer
17: Steph's Diary: Motivation will Follow Commitment
I believe in the importance of commitment in achieving our goals, so when I saw this quote "Motivation will follow commitment," it resonated with me, particularly as I continue on this journey of building Pamoja. This episode is a reflection and celebration of the commitments we make for ourselves. The sky is the limit and anything is possible!Topics Covered:Reflection of our biggest accomplishmentLittle by little, a little becomes a lotDrawing inspiration from Beyonce Knowles CarterPreparing for Pamoja's first collection launchFollow Us:Diaries of a Modern Trailblazer...
2024-03-30
11 min
Diaries of a Modern Trailblazer
16: Kamilah Thomas: A Conversation on Resilience and Self-Care
In this episode of "Diaries of a Modern Trailblazer," I had the pleasure of sitting down with the incredible Kamilah Thomas, a licensed mental health therapist, motivational coach, and women empowerment advocate. Together, we delved into Kamilah's inspiring journey, from her initial aspirations of becoming an attorney to her transformative shift into social work and entrepreneurship.Kamilah shared her personal experiences and insights, reflecting on the challenges she faced and the pivotal moments that led her to where she is today. We explored the concept of being a Strong Black Woman, discussing the characteristics and struggles that...
2024-02-20
32 min
Diaries of a Modern Trailblazer
15: Steph's Diary: Operating in Abundance
This year I'm operating on abundance, and as we wrap up the first month of the year I'm sharing what that means to me. Sometimes it can be scary to have big dreams and put yourself out there. But for me, what's the worst that can happen if I continue to push through, doing something that I love and enjoy?Topics Covered:Recognize the Power of Your ThoughtsSurround Yourself with People with an Abundance MentalityCreate Win-Win SituationsIncorporate Gratitude in Your LifeRecognize Opportunities Around YouFollow Us:Diaries o...
2024-01-29
13 min
Le Tour du Monde en 80Hz
#91 Twende Pamoja
A l'occasion de la soirée évènement "Rio Loco au Metronum", nous avons pris notre baluchon radiophonique pour partir à la découverte d'un projet prometteur dont nous vous avions déjà parlé: TWENDE PAMOJA, rencontre fusionnelle de 4 personnalités de 4 pays différents : Théo Ceccaldi (France), Aunty Rayzor (Nigeria), Faizal Mostrixx (Ouganda) etKadilida (Tanzanie). En 2ème partie, passe passe de disques en bonne et dûe forme! Enjoy
2024-01-01
1h 54
Diaries of a Modern Trailblazer
14: Jovanna Youssef Hill: The Power to Write Your Own Story
Born in Cairo, Egypt with aspirations to become an archaeologist, Jovanna later shifted focus stepping into the world of business launching a career in consulting, eventually merging her interest in technology and retail leading teams at Apple and Rent The Runway.In addition to being a highly motivated career driven individual, Jovanna shares how she entered a new phase in life in 2023, becoming a mother while being intentional with prioritizing self and family.Jovanna is a woman of many hats that will leave you motivated to explore your untapped potential....
2023-12-30
43 min
Diaries of a Modern Trailblazer
13: Steph's Diary: Greatness Takes a While
I recorded this episode on my Birthday, November 27th.As I celebrate my birthday today, I reflect on where I was a year ago and where I am today. I have a lot to be thankful for. Life is not black and white, and it's never going to be a straightforward path to achieve what you want.I'm learning to appreciate the hurdles because it's growth at the end of the day. And that's what makes my story unique, but yet relatable. And I truly hope that you're able to take tidbits of what I'm...
2023-11-29
12 min
Diaries of a Modern Trailblazer
12: Adrienne Blanks: Life Gets Better when You See Redirection as an Upgrade
Being a multi-hyphenate creative at heart, Adrienne Blanks has always balanced multiple projects at a time.If you ask Adrienne, Nail Polish chose her and it ultimately became the vessel that steered her into business coaching after experiencing burnout in her very own creative venture. Adrienne has pushed the boundaries, and now she’s entering into a new era of purpose working with entrepreneurs to help find clarity and strategy in launching their business projects, so they are set up for success in the long run.Topics Covered:The one wa...
2023-10-29
51 min
Diaries of a Modern Trailblazer
11: Steph's Diary: Not The Plan, But I am Exactly Where I Need to Be!
If you've been tuning into this podcast, you know I've been very adamant about hitting a big milestone, which was to present a collection this month in September during Fashion Week. Well long story short, that didn't happen.I’m not going to lie, I felt defeated, but that feeling lasted for a short period of time. Because I realized I’m exactly where I need to be. There is so much more for me to observe and learn over the next few months so I’m ready for Fashion Week in February!Topics...
2023-09-29
16 min
Los Sonidos del Planeta Azul
Los Sonidos del Planeta Azul 3102 - TASSA & GREENWOOD, SISSOKO & RYKIEL, SINAUBI ZAWOSE & PAMOJA ZANZIBAR (19 09 2023)
DUDU TASSA & JONNY GREENWOOD, BABA SISSOKO & JEAN-PHILIPPE RYKIEL, SINAUBI ZAWOSE & PAMOJA ZANZIBAR, SITARDUST Más información: https://www.lossonidosdelplanetaazul.com/
2023-09-19
38 min
La Benevolencija
DEBAT TUKAE PAMOJA NR 2 KASESE DOSSIER VISA OK
Tukae Pamoja est un espace d’expression sur les problèmes qui menacent la paix, la cohabitation et la stabilité et l’intégration dans la région des Grands Lacs. Chaque semaine une dizaine des débats radiophoniques sont coproduites avec 45 stations de radios en RD Congo, Rwanda et Burundi. Le projet se réalise en étroite collaboration avec les projets M4D, ESPER, MAWE TATU, S-3G et Living Peace Institute
2023-09-09
56 min
Alexis Bombal Podcast
EP 09 Manix Isangya parle: Projet Pamoja One, l’intégration des immigrants aux USA, Experience...
Bienvenue dans Bombal Podcast, l'émission où nous explorons les sujets les plus explosifs et les plus intrigants de notre époque. Dans chaque épisode, nous invitons des experts, des penseurs et des innovateurs pour discuter des idées qui changent le monde, des événements qui font l'actualité et des tendances émergentes dans des domaines tels que la technologie, les affaires, la culture et la société.EP 09 Manix Isangya parle: Projet Pamoja One, l’intégration des immigrants aux USA, Experience...
2023-09-06
57 min
Diaries of a Modern Trailblazer
10: Sasha Simmons: How Facing My Biggest Fear Gave Me a New Level of Power
Taking the biggest leap of faith, Sasha Simmons shares the battles and the fears she faced when deciding to no longer associate herself with everything she knew and everything that defined her as a person growing up. She stepped away from her religious cult.Today, Sasha is a professional speaker and empowerment activist helping people navigate life to the absolute fullness.Topics Covered:Being raised in a very strict religious cultThe eye opening move to New York from Jacksonville, FLThe journey with Semester at SeaBeing strategic and intentional to reach your...
2023-08-24
53 min
Nukta the Podcast
Teknolojia ya vifuu vya nazi itakavyo waokoa wachimbaji na madhara ya zebaki
Huenda wachimbaji wadogo wa madini Tanzania wakaepukana na athari za afya pamoja na uchafuzi wa mazingira ikiwa wataasili matumizi ya bidhaa mpya ya kusafishia madini (Activated carbon) inayozalishwa nchini. Bidhaa hiyo inayotengenezwa kwa kutumia vifuu vya nazi itachochea uzalishaji wa madini na kuongeza mchango wa sekta hiyo kwenye pato la taifa kwa kuwa itapatikana kwa urahisi jambo litakaloongeza kasi katika shughuli za uchenjuaji huku mazingira na wachimbaji wakwa salama. Upatikanaji wa bidhaa hiyo mbadala wa zebaki katika shughuli za uchechuaji itakuwa mkombozi kwa wachimbaji pamoja na jamii ambayo inaweza kuathirika kwa kwa kuvuta h...
2023-08-18
07 min
Diaries of a Modern Trailblazer
09: Steph's Diary: What Showing Up for Myself Looks Like
In the ninth episode, you’re hearing from yours truly, Stephanie—the Originator of this podcast and the Founder of Pamoja.I'm being honest on this podcast about where I stand and what I'm going through because I want to share this journey. I want people to understand where I started, where I'm coming from, and witness the great progress of what it is I'm executing.Not everything is rosy. Not everything goes as planned. But it’s not an excuse to throw in the towel and give up. Failure is inevitable, but it is also a...
2023-07-23
22 min
Hope for Today (Swahili)
UMUHIMU WA IMANI
MATUMAINI PROG 1506 TITLE: UMUHIMU WA IMANI TEXT: WAGALATIA 3:26-29 Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu tujifunze neno pamoja. Leo twalichambua fungu la neno kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 3:26-29, UMUHIMU WA IMANI jina langu ni David Mungai kabla hatujaendelea Zaidi furahia wimbo huu tuendell WIMBO Naam karibu tena tujifunze neno waraka wa Paulo kwa wagalatia 3:26-29 UMUHIMU WA IMANI Katika maisha yetu tunavyo vitu tunavyothamini kuliko vingine kulingana na umuhimu wa vitu vile katika maisha yetu. Hii ni baada ya uchunguzi na upelelezi wa kina sana na hivyo basi mtu aweza kuwa na Imani na kile chombo au kitu ...
2023-07-10
11 min
Hope for Today (Swahili)
MSALABA WA YESU NI LAZIMA
MATUMAINI PROG 1500 TITLE: MSALABA WA YESU NI LAZIMA TEXT: WAGALATIA 2:20-21 Hujambo na karibu tujifunze neno lamungu pamoja msalaba wa yesu kristo ni lazima ndio mada yetu. Wagalatia 2:20-21. Jina langu ni david ungai wimbo alafu tuendelee WIMBO Naam karibu tujifunze pamoja kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 2:20-21, msalaba wa yesu ni lazima. Makanisa mengi karibu yote huonyesha na kuanika yote wazi msalaba maana katika Imani na mafundisho ya ukristo msalaba ni lazima. Warumi walitumia msalba kuwatesa na kuhukumu waasi. Sisi wakristo huzingatia na kuhimiza ujumbe na somo la msalaba. Somo na ujumbe wa kuteswa kwake bwana wetu...
2023-06-26
10 min
Porty Podcast
301 Pamoja Fashion
Send us a textOn the first Saturday of the month, you may have seen a poster outside St John’s Church in Brighton Place. It reads ‘Pamoja Fashion’ and points you towards the church hall where a market selling clothes, jewellery and other accessories is being held. It’s raising money for a charity which for many years has linked schools in Edinburgh with those in a district of Tanzania. And, as you’ll hear, it all began here in Portobello.https://twendepamoja.org.uk/
2023-06-24
10 min
Diaries of a Modern Trailblazer
08: Aunt Lil: The Fascinating Things You'll Learn From The Generations Before Us
In this episode, I have a seat at the table with my Great Aunt Lil, my Maternal Grandma’s youngest sibling of twelve.At 89 years young, Aunt Lil is what I call a Modern Trailblazer, with the wit and grit to do anything she sets her mind to. It was such a treat hearing her story and endless determination to reach her ultimate career goal of becoming a Social Worker. It was also a great privilege to have access to some of my family’s history that traces back to the mid 19th century. It is s...
2023-06-17
39 min
PackageInk
230606 PackageInk E5-S3 - Hilda Englund & Josefine Johansson (SWE) - Pamoja Girls
In this episode we will speak with Hilda Englund och Josefine Johansson, a part in the Pamoja Girls team is here to talk about their work with graphic design and the main work behind the organization Pamoja Girls. Girlpower! Pamoja Girls eller ja Josefine och Hilda som är en del i ett globalt initiativ med målsättningen att få tjejer runtom i världen att tro på sig själva och varandra. Det här görs med hjälp av suuperviktig bok som de har fått äran att illustrera i samklang med den grafiska profil de också sty...
2023-06-06
36 min
Diaries of a Modern Trailblazer
07: Rozella Haydée White: LOVE, The Simple Yet Transformative Ways to Improve Our Relationships
Hailing from New York to Houston at a young age, Rozella Haydée White is the rose that grew from concrete. Rozella is none other than the Love Big Coach who focuses on nurturing and cultivating the transformative power of love, publishing her first solo book in 2019, “Love Big: The Power of Revolutionary Relationships to Heal the World.”I’ve known Rozella for nearly a year and have learned so much from this phenomenal individual I would describe as an Optimist, Romantic, and Inspiration. So what does it mean to “Love Big” you ask? Tune into our 7t...
2023-05-29
46 min
Diaries of a Modern Trailblazer
06: Steph's Diary: From High School to Now, Keeping the Dream Alive
Episode Summary: The seeds were planted in high school—the thought of starting a fashion brand. Who knew that would stick with me. A thought that seemed so far fetched for a young girl from Texas City is starting to shape up as I mold this fashion brand, Pamoja, into something great.Topics Covered:My daily affirmationOne thing leads to another, the journeyThoughts being the pre-requisite to manifestationFollow Us:Diaries of a Modern Trailblazer BlogFollow us on Instagram Spo...
2023-04-28
16 min
Tetea Mazingira Swahili Podcast
2. Muji wa Goma ume kuwa kwenye hatari ya kuvamiwa na uchafu - Tetea Mazingira Swahili Podcast pamoja naye Fiston Muhindo kwenye Radio Tayna
Muji wa Goma ume kuwa kwenye hatari ya kuvamiwa na uchafu - Tetea Mazingira Swahili Podcast pamoja naye Fiston Muhindo kwenye Radio Tayna ndani ya kipindi Environnement notre VieLiens pour écouter le #podcast #TeteaMazingira sur la #Gouvernance des #Ressources_Naturelles en #français :#Amazon : https://music.amazon.fr/podcasts/afae369e-aefd-4214-9d43-28cd4b27b7ac/magazine-tetea-mazingira#Podcastaddict : https://podcastaddict.com/podcast/4102425Pocket Casts : https://pca.st/rgoa9mb9#GooglePodcasts : https://podcasts.google.com/feed/aHR0cHM6Ly9hbmNob3IuZm0vcy9iYWQwZWNkYy9wb2RjYXN0L3Jzcw?ep...
2023-03-28
15 min
Diaries of a Modern Trailblazer
05: Joanna Maiden: Cutting A New Pattern For The Fashion Industry
Episode Summary:Joanna shares her fruitful journey in building Soko Kenya, diving into the world of fashion as a vehicle for poverty reduction, positive change, and positive impact. Her idea to build a clothing factory in Kenya started off with 4 employees and has now grown to 150 employees with a sewing training program for employment, a charity, and period poverty school program. Joanna truly embodies success in the sense of doing what she always wanted to do with more great things to come!Show Notes:In this conversation Joanna shares how she...
2023-03-28
35 min
Diaries of a Modern Trailblazer
04: Steph's Diary: Pivoting and Taking Steps Forward
Episode Summary: I dedicate this episode in memory of my father, Jerome Evans who made it very clear I can do anything I set my mind to. I am recording this episode in the home I just purchased in Houston, and sharing the hurdles I’m overcoming in product development which is a huge step towards progress in growing Pamoja. I have big plans, strong faith, and I believe anything is possible.Topics Covered:Walking in faith, stepping into opportunities unimaginableTesting and learning, growing from my mistakes in...
2023-02-26
18 min