Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

Rumuli Podcast

Shows

Redio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastUlimwengu Wa Miujiza 2Karibu sana katika Kipindi cha Ulimwengu wa Miujiza, kipindi ambacho kinakuletea mambo mengi yanayohusiana na utendaji wa nguvu ya Mungu katika maisha ya mwanadamu. Hii ni nguvu ya kiMungu ambayo inafanya kazi ya ajabu kwenye maisha ya mwanadamu na kuleta badiliko la ajabu juu ya wote wanaoliamini jina la Yesu Kristo. Ni imani yangu kwamba hadi unamaliza kusikiliza kipindi hiki, utapata neema ya kuelewa na kuendelea kuiamini nguvu hii inayoutengeneza ulimwengu wa miujiza ambayo akili na uwezo wa mwanadamu hauwezi kufanya.2023-05-1830 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastUlimwengu Wa MiujizaKaribu sana katika Kipindi cha Ulimwengu wa Miujiza, kipindi ambacho kinakuletea mambo mengi yanayohusiana na utendaji wa nguvu ya Mungu katika maisha ya mwanadamu. Hii ni nguvu ya kiMungu ambayo inafanya kazi ya ajabu kwenye maisha ya mwanadamu na kuleta badiliko la ajabu juu ya wote wanaoliamini jina la Yesu Kristo. Ni imani yangu kwamba hadi unamaliza kusikiliza kipindi hiki, utapata neema ya kuelewa na kuendelea kuiamini nguvu hii inayoutengeneza ulimwengu wa miujiza ambayo akili na uwezo wa mwanadamu hauwezi kufanya.2023-05-1829 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastUlimwengu Wa Mkristo Tetes Za VitaUlimwengu wa Mkristo ni kipindi ambacho kinakuletea mkusanyiko wa mambo tofauti hususani habari na matukio yanayojiri katika ulimwengu huu na kuligusa moja kwa moja Kanisa la Yesu Kristo. Katika kufuatilia kipindi hiki, utapata kuyafahamu mambo mengi yanayojiri na pengine kukupa neema ya kujiimarisha kiroho wakati Kanisa likipita katika vipindi tofauti na vigumu, hususani kipindi hiki cha nyakati za siku za mwisho.2023-05-1106 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastUlimwengu Wa Mkristo MajangaUlimwengu wa Mkristo ni kipindi ambacho kinakuletea mkusanyiko wa mambo tofauti hususani habari na matukio yanayojiri katika ulimwengu huu na kuligusa moja kwa moja Kanisa la Yesu Kristo. Katika kufuatilia kipindi hiki, utapata kuyafahamu mambo mengi yanayojiri na pengine kukupa neema ya kujiimarisha kiroho wakati Kanisa likipita katika vipindi tofauti na vigumu, hususani kipindi hiki cha nyakati za siku za mwisho.2023-05-1131 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastMsaada Utokao Mbinguni Baraka Za Kalvari No 2Msaada Utokao Mbinguni ni kipindi ambacho kinamsaidia msikilizaji kuutazama msaada wa Mungu ambao huyafanya yale yaliyoshindikana na kumpa upenyo wa namna ya kiMungu katika kuuendea ushindi aliokusudiwa na Mungu mwenyewe. Katika Kipindi hiki, utapata kusikia na kufahamu Baraka za Mungu zitokanazo na kazi ya msalaba wa Yesu Kristo kwa wanandamu wote, ushindi uliomo pamoja na wokovu uliopatikana Kalvari kwa kifo cha Yesu Kristo. 2023-05-1145 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastMsaada Utokao Mbinguni Baraka Za Kalvari No 1Msaada utokao Mbinguni ni kipindi ambacho kinamsaidia msikilizaji kuutazama msaada wa Mungu ambao huyafanya yale yaliyoshindikana na kumpa upenyo wa namna ya kiMungu katika kuuendea ushindi aliokusudiwa na Mungu mwenyewe. Katika Kipindi hiki, utapata kusikia na kufahamu Baraka za Mungu zitokanazo na kazi ya msalaba wa Yesu Kristo kwa wanandamu wote, ushindi uliomo pamoja na wokovu uliopatikana Kalvari kwa kifo cha Yesu Kristo.2023-05-111h 01Redio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastMsanii Wetu JoanithaMsanii Wetu ni Kipindi kinachokupa fursa ya kufahamu kwa undani kuhusu huduma ya uimbaji, kutoka kwa watumishi wa Mungu ambao kupitia Ofisi hiyo, wamemtumikia Mungu kwa furaha. Katika kipindi hiki, utausikia ushuhuda wa Joanitha, ambaye baada ya kupona majeraha kichwani yaliyotokana na kupigwa na kitu kizito kichwani na kundi la watu wanaosadikika kuwa ni wezi, na kuamua kumuimbia Mungu kwa kuzinena habari za utukufu wake2023-05-1043 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastRhema Outreach Ministries Kyabajwa At Redio RumuliWashirika wa Kanisa la Rhema Outreach Ministries Kyabajwa, walipata nafasi ya kufika kwenye Studio za Redio Rumuli kwa ajili ya kufanya shughuli mbalimbali za kujitolea, ikiwa ni pamoja na kufanya usafi wa mazingira. Kitendo hiki kiliwabariki zaidi watendakazi wa Kituo hiki, na zaidi ya yote watumishi hao wakapata nafasi ya kueleza kuhusu msukumo wa wao kufanya hivyo. Karibu upate kusikiliza shuhuda zilizomo kwenye rekodi hii kwa baraka zaidi.2023-02-1531 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastUchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia Mwanzo HUchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia ni kipindi kinachokuwezesha kulijua Neno la Mungu kwa undani na kwa kina zaidi ili kumfahamu Mungu na mapenzi yake kupitia maandiko mbalimbali tunayokuwa tukiyapitia katika Biblia nzima. Tunachambua Biblia kitabu kwa kitabu, sura kwa sura na neno kwa neno ili msikilizaji aweze kuelewa mazingira neno lilipozungumziwa na kuelewa taafsiri ya neno husika kwa muktadha uliotumika. Kila andiko tulisomalo katika Biblia tunalitafsiri kwa mujibu wa agano jipya ili tuweze kutembea katika Neno la Mungu kwa wakati tulionao. Msikilizaji anaweza kutumia ufunuo anaoupata kwenye vipindi hivi na kuutumia katika eneo lolote la maisha yake mfano katika...2022-11-3028 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastUchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia Mwanzo GUchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia ni kipindi kinachokuwezesha kulijua Neno la Mungu kwa undani na kwa kina zaidi ili kumfahamu Mungu na mapenzi yake kupitia maandiko mbalimbali tunayokuwa tukiyapitia katika Biblia nzima. Tunachambua Biblia kitabu kwa kitabu, sura kwa sura na neno kwa neno ili msikilizaji aweze kuelewa mazingira neno lilipozungumziwa na kuelewa taafsiri ya neno husika kwa muktadha uliotumika. Kila andiko tulisomalo katika Biblia tunalitafsiri kwa mujibu wa agano jipya ili tuweze kutembea katika Neno la Mungu kwa wakati tulionao. Msikilizaji anaweza kutumia ufunuo anaoupata kwenye vipindi hivi na kuutumia katika eneo lolote la maisha yake mfano katika...2022-11-3029 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastUchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia Mwanzo FUchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia ni kipindi kinachokuwezesha kulijua Neno la Mungu kwa undani na kwa kina zaidi ili kumfahamu Mungu na mapenzi yake kupitia maandiko mbalimbali tunayokuwa tukiyapitia katika Biblia nzima. Tunachambua Biblia kitabu kwa kitabu, sura kwa sura na neno kwa neno ili msikilizaji aweze kuelewa mazingira neno lilipozungumziwa na kuelewa taafsiri ya neno husika kwa muktadha uliotumika. Kila andiko tulisomalo katika Biblia tunalitafsiri kwa mujibu wa agano jipya ili tuweze kutembea katika Neno la Mungu kwa wakati tulionao. Msikilizaji anaweza kutumia ufunuo anaoupata kwenye vipindi hivi na kuutumia katika eneo lolote la maisha yake mfano katika...2022-11-3028 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastUchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia Mwanzo EUchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia ni kipindi kinachokuwezesha kulijua Neno la Mungu kwa undani na kwa kina zaidi ili kumfahamu Mungu na mapenzi yake kupitia maandiko mbalimbali tunayokuwa tukiyapitia katika Biblia nzima. Tunachambua Biblia kitabu kwa kitabu, sura kwa sura na neno kwa neno ili msikilizaji aweze kuelewa mazingira neno lilipozungumziwa na kuelewa taafsiri ya neno husika kwa muktadha uliotumika. Kila andiko tulisomalo katika Biblia tunalitafsiri kwa mujibu wa agano jipya ili tuweze kutembea katika Neno la Mungu kwa wakati tulionao. Msikilizaji anaweza kutumia ufunuo anaoupata kwenye vipindi hivi na kuutumia katika eneo lolote la maisha yake mfano katika...2022-11-3029 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastUchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia Mwanzo DUchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia ni kipindi kinachokuwezesha kulijua Neno la Mungu kwa undani na kwa kina zaidi ili kumfahamu Mungu na mapenzi yake kupitia maandiko mbalimbali tunayokuwa tukiyapitia katika Biblia nzima. Tunachambua Biblia kitabu kwa kitabu, sura kwa sura na neno kwa neno ili msikilizaji aweze kuelewa mazingira neno lilipozungumziwa na kuelewa taafsiri ya neno husika kwa muktadha uliotumika. Kila andiko tulisomalo katika Biblia tunalitafsiri kwa mujibu wa agano jipya ili tuweze kutembea katika Neno la Mungu kwa wakati tulionao. Msikilizaji anaweza kutumia ufunuo anaoupata kwenye vipindi hivi na kuutumia katika eneo lolote la maisha yake mfano katika...2022-11-3030 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastUchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia Mwanzo CUchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia ni kipindi kinachokuwezesha kulijua Neno la Mungu kwa undani na kwa kina zaidi ili kumfahamu Mungu na mapenzi yake kupitia maandiko mbalimbali tunayokuwa tukiyapitia katika Biblia nzima. Tunachambua Biblia kitabu kwa kitabu, sura kwa sura na neno kwa neno ili msikilizaji aweze kuelewa mazingira neno lilipozungumziwa na kuelewa taafsiri ya neno husika kwa muktadha uliotumika. Kila andiko tulisomalo katika Biblia tunalitafsiri kwa mujibu wa agano jipya ili tuweze kutembea katika Neno la Mungu kwa wakati tulionao. Msikilizaji anaweza kutumia ufunuo anaoupata kwenye vipindi hivi na kuutumia katika eneo lolote la maisha yake mfano katika...2022-11-3029 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastUchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia Mwanzo BUchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia ni kipindi kinachokuwezesha kulijua Neno la Mungu kwa undani na kwa kina zaidi ili kumfahamu Mungu na mapenzi yake kupitia maandiko mbalimbali tunayokuwa tukiyapitia katika Biblia nzima. Tunachambua Biblia kitabu kwa kitabu, sura kwa sura na neno kwa neno ili msikilizaji aweze kuelewa mazingira neno lilipozungumziwa na kuelewa taafsiri ya neno husika kwa muktadha uliotumika. Kila andiko tulisomalo katika Biblia tunalitafsiri kwa mujibu wa agano jipya ili tuweze kutembea katika Neno la Mungu kwa wakati tulionao. Msikilizaji anaweza kutumia ufunuo anaoupata kwenye vipindi hivi na kuutumia katika eneo lolote la maisha yake mfano katika...2022-11-3029 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastUchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia Mwanzo AUchambuzi Wa Kitabu Cha Biblia ni kipindi kinachokuwezesha kulijua Neno la Mungu kwa undani na kwa kina zaidi ili kumfahamu Mungu na mapenzi yake kupitia maandiko mbalimbali tunayokuwa tukiyapitia katika Biblia nzima. Tunachambua Biblia kitabu kwa kitabu, sura kwa sura na neno kwa neno ili msikilizaji aweze kuelewa mazingira neno lilipozungumziwa na kuelewa taafsiri ya neno husika kwa muktadha uliotumika. Kila andiko tulisomalo katika Biblia tunalitafsiri kwa mujibu wa agano jipya ili tuweze kutembea katika Neno la Mungu kwa wakati tulionao. Msikilizaji anaweza kutumia ufunuo anaoupata kwenye vipindi hivi na kuutumia katika eneo lolote la maisha yake mfano katika...2022-11-3024 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastLadies Of Destiny Mahusia Ya MamaLadies of Destiny (Mabinti wenye Hatima ya  ki-Mungu), kipindi kinachompa binti msaada wa kukabiliana na changamoto  mbali mbali katika maisha yake. Kipindi hiki kinalenga kusaidia  maisha ya binti/mtoto wa kike ili aweze kuifikia hatima yake njema  ambayo ameandaliwa na Mungu. kwa kufuatilia utaweza kupata mwelekeo  mzuri pamoja na kufanya maamuzi bora kwa mustakabali wa maisha yako kama  binti, huku jamii yote ikisaidiwa kupata mlengo kamili wa namna ya  kuwalea vyema watoto wa kike.2022-11-2229 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastLadies Of Destiny July 14 FinalLadies of Destiny (Mabinti wenye Hatima ya  ki-Mungu), kipindi kinachompa binti msaada wa kukabiliana na changamoto  mbali mbali katika maisha yake. Kipindi hiki kinalenga kusaidia  maisha ya binti/mtoto wa kike ili aweze kuifikia hatima yake njema  ambayo ameandaliwa na Mungu. kwa kufuatilia utaweza kupata mwelekeo  mzuri pamoja na kufanya maamuzi bora kwa mustakabali wa maisha yako kama  binti, huku jamii yote ikisaidiwa kupata mlengo kamili wa namna ya  kuwalea vyema watoto wa kike.2022-11-2227 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastLadies Of Destiny Binti Na BadilikoLadies of Destiny (Mabinti wenye Hatima ya  ki-Mungu), kipindi kinachompa binti msaada wa kukabiliana na changamoto  mbali mbali katika maisha yake. Kipindi hiki kinalenga kusaidia  maisha ya binti/mtoto wa kike ili aweze kuifikia hatima yake njema  ambayo ameandaliwa na Mungu. kwa kufuatilia utaweza kupata mwelekeo  mzuri pamoja na kufanya maamuzi bora kwa mustakabali wa maisha yako kama  binti, huku jamii yote ikisaidiwa kupata mlengo kamili wa namna ya  kuwalea vyema watoto wa kike.2022-11-2227 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastLadies Of Destiny Binti Mwenye NidhamuLadies of Destiny (Mabinti wenye Hatima ya ki-Mungu), kipindi kinachompa binti msaada wa kukabiliana na changamoto mbali mbali katika maisha yake. Kipindi hiki kinalenga kusaidia  maisha ya binti/mtoto wa kike ili aweze kuifikia hatima yake njema ambayo ameandaliwa na Mungu. kwa kufuatilia utaweza kupata mwelekeo mzuri pamoja na kufanya maamuzi bora kwa mustakabali wa maisha yako kama binti, huku jamii yote ikisaidiwa kupata mlengo kamili wa namna ya kuwalea vyema watoto wa kike.2022-11-2227 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastMsanii Wetu Pettie EdwinKipindi  hiki kitakupa fursa ya kufahamu masuala mbalimbali ya kihuduma,  hususani huduma ya uimbaji, kutokana na mambo mengi muhimu yaliyozungumziwa ndani yake. Ndani ya kipindi hiki kuna majibu mengi ya maswali ambayo binafsi umekuwa ukijiuliza mara kwa mara, ambayo yanalenga kuongeza ubora katika Ofisi ya uimbaji na kuleta maadili mema  na bora kwa wahusika.2022-11-2247 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastMashujaa Wa Imani Bishop Benson IdahosaHiki  ni kipindi kingine kinachokujia kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu, ambacho  kinalenga kukutazamisha jinsi na namna ambavyo watumishi wa Mungu  mbalimbali walisimama katika kutimiza kusudi la Mungu ambalo aliliweka  kwenye maisha yao. Watu wote ambao wameishi kwenye kutimiza kusudi la Mungu, kuishika  imani na kuihubiri injili ya kweli, hao ni mashujaa wa imani, ambao  hatuna budi kujifunxza kwao. nakukaribisha sasa kushiriki baraka za mtiririko huu wa masimulizi ya  mashujaa mbalimbali wa imani yaliyowekwa kwenye mtiririko wa vipindi  hivi2022-11-2129 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastMashujaa Wa Imani Asa Alonzo AllenHiki  ni kipindi kingine kinachokujia kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu, ambacho  kinalenga kukutazamisha jinsi na namna ambavyo watumishi wa Mungu  mbalimbali walisimama katika kutimiza kusudi la Mungu ambalo aliliweka  kwenye maisha yao. Watu wote ambao wameishi kwenye kutimiza kusudi la Mungu, kuishika  imani na kuihubiri injili ya kweli, hao ni mashujaa wa imani, ambao  hatuna budi kujifunxza kwao. nakukaribisha sasa kushiriki baraka za mtiririko huu wa masimulizi ya  mashujaa mbalimbali wa imani yaliyowekwa kwenye mtiririko wa vipindi  hivi2022-11-2128 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastMashujaa Wa Imani Apostle JoshuaHiki  ni kipindi kingine kinachokujia kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu, ambacho  kinalenga kukutazamisha jinsi na namna ambavyo watumishi wa Mungu  mbalimbali walisimama katika kutimiza kusudi la Mungu ambalo aliliweka  kwenye maisha yao. Watu wote ambao wameishi kwenye kutimiza kusudi la Mungu, kuishika  imani na kuihubiri injili ya kweli, hao ni mashujaa wa imani, ambao  hatuna budi kujifunxza kwao. nakukaribisha sasa kushiriki baraka za mtiririko huu wa masimulizi ya  mashujaa mbalimbali wa imani yaliyowekwa kwenye mtiririko wa vipindi  hivi2022-11-2130 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastMashujaa Wa Imani Aimee MCPhasonHiki ni kipindi kingine kinachokujia kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu, ambacho kinalenga kukutazamisha jinsi na namna ambavyo watumishi wa Mungu mbalimbali walisimama katika kutimiza kusudi la Mungu ambalo aliliweka kwenye maisha yao. Watu wote ambao wameishi kwenye kutimiza kusudi la Mungu, kuishika imani na kuihubiri injili ya kweli, hao ni mashujaa wa imani, ambao hatuna budi kujifunxza kwao. nakukaribisha sasa kushiriki baraka za mtiririko huu wa masimulizi ya mashujaa mbalimbali wa imani yaliyowekwa kwenye mtiririko wa vipindi hivi2022-11-1828 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastMashujaa Wa Imani Charles Fox PahamHiki ni kipindi kingine kinachokujia kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu, ambacho kinalenga kukutazamisha jinsi na namna ambavyo watumishi wa Mungu mbalimbali walisimama katika kutimiza kusudi la Mungu ambalo aliliweka kwenye maisha yao. Watu wote ambao wameishi kwenye kutimiza kusudi la Mungu, kuishika imani na kuihubiri injili ya kweli, hao ni mashujaa wa imani, ambao hatuna budi kujifunxza kwao.  nakukaribisha sasa kushiriki baraka za mtiririko huu wa masimulizi ya mashujaa mbalimbali wa imani yaliyowekwa kwenye mtiririko wa vipindi hivi2022-11-1829 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastHISTORIA YA KANISA (18 April, 2019)Kipindi  hiki ni kipindi ambacho kwa msaada wa Roho Mtakatifu, kinalenga  kukuletea vipindi mbalimbali ambavyo Kanisa lilipitia, tangu kuondoka  kwa Bwana wetu Yesu Kristo hapa duniani. Kupitia kipindi hiki, utaelewa  na kufahamu, jinsi na namna watu mbalimbali walivyojitoa kikamilifu  katika kuujenga mwili wa Kristo na kuifanya Injili yake isonge mbele  wakati wengine wakijitahidi kuhakikisha wanazikwamisha juhudi hizo. ni dhahiri kwamba ukiliona Kanisa leo, ujue kwamba kuna sehemu  limetoka na kuna sehemu linaelekea, hivyo basi, fuatana nasi katika  kufuatilia undani wa historia hii yenye kusisimua.2022-11-1629 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastHISTORIA YA KANISA (04 April, 2019)Kipindi hiki ni kipindi ambacho kwa msaada wa Roho Mtakatifu, kinalenga kukuletea vipindi mbalimbali ambavyo Kanisa lilipitia, tangu kuondoka kwa Bwana wetu Yesu Kristo hapa duniani. Kupitia kipindi hiki, utaelewa na kufahamu, jinsi na namna watu mbalimbali walivyojitoa kikamilifu katika kuujenga mwili wa Kristo na kuifanya Injili yake isonge mbele wakati wengine wakijitahidi kuhakikisha wanazikwamisha juhudi hizo. ni dhahiri kwamba ukiliona Kanisa leo, ujue kwamba kuna sehemu limetoka na kuna sehemu linaelekea, hivyo basi, fuatana nasi katika kufuatilia undani wa historia hii yenye kusisimua.2022-11-1627 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastJE MBINGU IPO? Kipindi kinachokupa jibu la swali kwamba Mbingu ipo au la!Je Mbingu Ipo, ni kipindi ambacho kwa msaada wa Roho Mtakatifu  kinakuletea ushahidi kwamba ni kweli Mbingu ipo, na kwamba kuna maisha  baada ya kifo. kwa kufuatilia kipindi hiki, utajifunza habari mbalimbali  zinazodhihirisha kuwa Mungu yupo na Mbingu ipo. Karibu sana upate  kujifunza habari za ushahidi huu.2022-11-0132 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastJE MBINGU IPO? Kipindi kinachokupa jibu la swali kwamba Mbingu ipo au la!Je Mbingu Ipo, ni kipindi ambacho kwa msaada wa Roho Mtakatifu kinakuletea ushahidi kwamba ni kweli Mbingu ipo, na kwamba kuna maisha baada ya kifo. kwa kufuatilia kipindi hiki, utajifunza habari mbalimbali zinazodhihirisha kuwa Mungu yupo na Mbingu ipo. Karibu sana upate kujifunza habari za ushahidi huu.2022-11-0130 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastMSANII WETU NA PASTOR JJ RWIZA KUTOKA JIJINI DODOMAKipindi hiki kitakupa fursa ya kufahamu masuala mbalimbali ya kihuduma, hususani huduma ya uimbaji, kutokana na mambo mengi muhimu yaliyozungumziwa ndani yake. Ndani ya kipindi hiki kuna maswali mengi ya majibu ambayo binafsi umekuwa ukijiuliza mara kwa mara, ambayo yanalenga kuongeza ubora katika Ofisi ya uimbaji na kuleta maadili mema na bora kwa wahusika.2022-10-3149 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastLadies of Destiny (Mabinti wenye Hatima ya ki-Mungu), kipindi kinachompa binti msaada wa kukabiliana na changamoto mbali mbali katika maisha yake.Kipindi hiki kinalenga kusaidia maisha ya binti/mtoto wa kike ili aweze kuifikia hatima yake njema ambayo ameandaliwa na Mungu. kwa kufuatilia utaweza kupata mwelekeo mzuri pamoja na kufanya maamuzi bora kwa mustakabali wa maisha yako kama binti, huku jamii yote ikisaidiwa kupata mlengo kamili wa namna ya kuwalea vyema watoto wa kike.2022-10-2501 min