podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Salim & Erasmos
Shows
The Insightful Podcast Show (TIPS)
Does dress code matter?: How we make the first impression just from our dress code
Tupe maoni yako. Jinsi tunavyovaa ndo jinsi tunavojitambulisha kwa watu wasiotujua kabla hata hatujaongea nao. Na imeshazoeleka kuwa, kuna nguo ukivaa ndo unaonekana ‘smart and competent’ na zingine unaonekana bishoo au mhuni. Je unahisi ni sawa au tunaitaji kubadilika?Kwenye episode hii mimi pamoja na washkaji zangu Erasmos na Salim, tumejadili kuona maoni tofauti na kujua mawazo ya kila mtu kuona kama uvaaji wa nguo maalum kama suti, ni muhimu ili kuchukuliwa ‘competent’ kazini. Kila mmoja wetu ametoa maoni yake ili tupate kujua kama tunatakiwa kubadilika kutokana na utandawazi au tubaki kwenye kujifunga kuvaa nguo maalum i...
2022-12-28
23 min