Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

Sauti`

Shows

Ongea Na Sauti PodcastOngea Na Sauti PodcastEpisode 14 - Ongea Na Sauti Podcast2025-07-0602 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 04. 07. 2025Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 04.07.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. 🔸 Tume ya kitaifa ya haki za kibinadamu inachunguza mauaji ya raia Wilaya ya Palma 🔸 Korea kusini yatoa tani 5.000 za Mchele Kwa watu waliokimbia Makazi yao huko Cabo Delgado 🔸 Rais wa Jamuhuri anatowa wito wa kuanza Kwa shuguli za Total energies. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani tembelea ukurasa wetu wa Avoz.org au chaneli zetu za Whatsapp na telegram. Tumefika Mwisho wa toleo...2025-07-0405 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 27. 06. 2025Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 27.06.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Shambulio la kigaidi Wilaya ya Macomia limesababisha vifo vya watu wawili 🔸 Total energies hutatua madai mengi ya Jumuya za Palma 🔸 Kampuni ya uchimbaji Madini yaanzisha upya fidia Kwa wakulima Wilaya ya Balama. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani, tembelea ukurasa wetu wa Avoz.org Au chaneli zetu za Whatsapp na telegram. Tumefika Mwisho wa toleo hiili la A...2025-06-2705 minOngea Na Sauti PodcastOngea Na Sauti PodcastEpisode 13 - Ongea Na Sauti Podcast2025-06-2205 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 20. 06. 2025Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 20.06.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Magaidi 12 waliowaua na Majeshi huko Nairoto 🔸 Magaidi wanawalazimisha wachimba migode haramu wahache huko Meluco 🔸 Idade ya watu Wilaya ya Macombia inashutumu siasaa za usbazaji wa misaada ya kibinadamu. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani, tembelea ukurasa wetu wa Avoz.org Au chaneli zetu za Whatsapp na telegram. Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avo.org pata habar...2025-06-2005 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 13. 06. 2025Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 13.06.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Nkurugenzu mtendaji wa TotalEnergies anafanya nkutano ili kulipoti maswala ya usalama huko Afungi 🔸 Wanajeshi wawili waliowaua huko Muidumbe 🔸 Misaada ya kibinadamu imepunguzwa kaskazini mwa Mozambique. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani tembelea ukurasa wetu wa Avoz.ogr au chaneli zetu za Whatsapp na telegram. Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org, pata habari za mkoa wa Ca...2025-06-1307 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 06. 06. 2025Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 06.06.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Mradi wa Mahendeleo ya miji ya kaskazini mwa Mozambique kuanza siku Chachi zijazo 🔸 Harakati za watu wadaodaiwa Kuwa magaide huwalazimisha wazalisha kuachana na maeneo yao ya uzalisha 🔸 UNICEF inaelezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu mashambulizi ya kikatli na utekaji nyara wa watoto. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani, tembelea ukurasa wetu wa Avoz.ogr au chaneli zetu za Whatsapp n...2025-06-0606 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 30. 05. 2025Hábari, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 30.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. 🔸 Jeshi la wanamaji linashutumiwa Kwa uzembe Katika tukio la pwani ya Mocimboa da Praia. 🔸 Idade kubwa ya wakazi Palma wamerejeya Katika Wilaya hiyo tangu shambulio la 2021. 🔸 Mashambulizi yanayosababishwa na matukio ya hali ya hewa yanawaondoa zaidi ya watu 25.000 kaskazini mwa Mozambique. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani, tembelea ukurasa wetu wa Avoz.ogr Au chaneli zetu za Whatsapp au telegram. Tumefika Mwisho wa...2025-05-3005 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 23. 05. 2025Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 24.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Angalau mahakama tano zimefunguliwa tena Cabo Delgado 🔸 Zaidi ya Madarasa 300 yakarabatiwa baada ya kimbunga Chido 🔸 Matukio ya kigaidi na hali ya hewa yanalazimisha kufunga Kwa zaidi ya Shule 20 Wilaya ya Mocimboa da Praia. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani,tembelea ukurasa wetu wa Avoz.org au chaneli zetu za Whatsapp au telegram. Tumefika Mwisho wa toleo hiil...2025-05-2304 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 16. 05. 2025Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 16.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Magaidi wanaoungwa mkono na Islamic state wanadai kuuawa wanajeshi 11 huko Muidumbe 🔸 Raise anasema Kuwa majesji wanafanya kazi kuokowa hifhadi maalum ya Niassa 🔸 Wauguzi kutoka Mocimboa da Praia wanathibitisha kujitolea kwao kuhudumia idade ya watu. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani, tembelea ukurasa wetu wa Avoz.org au chaneli zetu za Whatsapp au telegram.2025-05-1606 minfreie-radios.net (Radio Freies Radio für Stuttgart)freie-radios.net (Radio Freies Radio für Stuttgart)Citizen.KANE.Radio: SAUTI ZA BOMA II - Neue Kurzhörspiele aus KeniaCitizen.KANE.Radio: SAUTI ZA BOMA II - Neue Kurzhörspiele aus Kenia Von unserer Gastspielreise mit der Produktion „SPHÆRE - collapse in space“ zum Kenya International Theatre Festival (KITFest Nairobi) im November 2024 haben wir 24 neue Kurzhörspiele mitgebracht. Der Schweizer Hörspielregisseur Erik Altorfer hat gemeinsam mit kenianischen Hörspielkünstler*innen in sechs Regionen des Landes Hörspielworkshops veranstaltet. Herausgekommen sind 24 einzigartige, authentische Hörspiele von und mit talentierten kenianischen Künstler*innen, die mit frischen Ideen und viel Leidenschaft ihre Stimmen erheben. Im Mittelpunkt stehen Gegenwartsthemen wie queere Liebe, ein Leben auf Autopilot, übergriffige Familienmitglieder, Bewältigung von Tra...2025-05-122h 00freie-radios.net (Radio Freies Radio für Stuttgart)freie-radios.net (Radio Freies Radio für Stuttgart)Citizen.KANE.Radio: SAUTI ZA BOMA II - Neue Kurzhörspiele aus KeniaCitizen.KANE.Radio: SAUTI ZA BOMA II - Neue Kurzhörspiele aus Kenia Von unserer Gastspielreise mit der Produktion „SPHÆRE - collapse in space“ zum Kenya International Theatre Festival (KITFest Nairobi) im November 2024 haben wir 24 neue Kurzhörspiele mitgebracht. Der Schweizer Hörspielregisseur Erik Altorfer hat gemeinsam mit kenianischen Hörspielkünstler*innen in sechs Regionen des Landes Hörspielworkshops veranstaltet. Herausgekommen sind 24 einzigartige, authentische Hörspiele von und mit talentierten kenianischen Künstler*innen, die mit frischen Ideen und viel Leidenschaft ihre Stimmen erheben. Im Mittelpunkt stehen Gegenwartsthemen wie queere Liebe, ein Leben auf Autopilot, übergriffige Familienmitglieder, Bewältigung von Tra...2025-05-122h 00Ongea Na Sauti PodcastOngea Na Sauti PodcastEpisode 11 - Ongea Na Sauti Podcast2025-05-0901 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 09. 05. 2025Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 09.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Magaide washambulia hifhadi ya Niassa kuacha vifo na waribifu. 🔸 Japan inatoa zaidi ya milioni 190 za meticais kwajili ya misaada ya kibinadamu huco Cabo Delgado. 🔸 Wanajeshi watatu wa Rwanda waliowaua na magaide Cabo Delgado. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani, tembelea ukurasa wetu wa Avoz.org au chaneli zetu za Whatsapp au telegram. Tumefika Mwisho wa toleo hiil...2025-05-0906 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 02. 05. 2025Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 02.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Huduma ya umoja wa ulaya Kwa hatua za Nje inapinga kufutwa Kwa msaada wa Rwanda Inchi Mozambique 🔸 Tume ya Haki za kibinadamo Bado inazingatia ukiukaji wa Haki za Binadamu huko Cabo Delgado 🔸 Idade ya watu Cabo Delgado wanataka wasimdikizaji warejeshwe. Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya...2025-05-0306 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 25. 04. 2025Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 25.04.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Harakati za kigaidi zinalazimisha masomo kusimamiswa Katika Shule 13 🔸 Ugaidi unalazimisha kufungwa Kwa Shule zaidi ya Shule 100 huko Cabo Delgado 🔸 Mashambulizi yanalazimisha watu elfu 15 kukimbia makazi Wilaya ya Ancuabe. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani.Tembelea ukurasa wetu wa Avoz.org au chenel zetu za Whatsapp au telegram. Tumefika Mwisho wa toleo hiili la avoz.org pata haba...2025-04-2505 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 18. 04. 2025Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.04.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Majeshi wa Mozambique Awana dalili zozote kuhusu wanajeshi waliotekwa na magaide kwenye bara bara namber 380 🔸 Magaide wamefunga barabara namber 14 inayounganisha miji miwili muhimu ya Cabo Delgado 🔸 General wa Jeshi anahakikisha Kwamba hali ya usalama Katika Cabo Delgado iko sawa. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga yako uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani,tembelea ukurasa wetu , Avoz.org au chaneli zetu za Whatsapp au telegram. 2025-04-1806 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 28. 03. 2025Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 28.03.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Mwanajeshi wa Kikosi Cha wagambo ameuwawa Wilaya ya Macomia 🔸 Gavana wa Cabo Delgado anawalinganisha wandamanaji na magaid 🔸 Waasi wamekamata boti za wavuvi Mocomia. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani. Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook...2025-03-2813 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 21. 03. 2025Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 21.03.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Mzozo wa mafuta umeanza huko Cabo Delgado 🔸 Magaide waua mtu Moja Meluco 🔸 Habari za kigaidi Mocimboa da Praia zinatia wasiwasi. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga yako uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani. Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado, telegram na program yoyote ya podcast na unawez...2025-03-2110 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 14. 03. 2025Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 14.03.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Magaide wamilazimisha kufunga Shule ya Mocimboa da Praia 🔸 Rwanda inatathimine Vyema utendaji wake kazi Jimbo la Cabo Delgado 🔸 ADIN inafadhili mashirika ya ndani kaskazini mwa Mozambique. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani. Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado, kupitia kurasa ze...2025-03-1512 minfreie-radios.net (Radio Freies Radio für Stuttgart)freie-radios.net (Radio Freies Radio für Stuttgart)Citizen.KANE.Radio: SAUTI ZA BOMA I - Neue Kurzhörspiele aus KeniaCitizen.KANE.Radio: SAUTI ZA BOMA I - Neue Kurzhörspiele aus Kenia Von unserer Gastspielreise mit der Produktion „SPHÆRE - collapse in space“ zum Kenya International Theatre Festival (KITFest Nairobi) im November 2024 haben wir 24 neue Kurzhörspiele mitgebracht. Der Schweizer Hörspielregisseur Erik Altorfer hat gemeinsam mit kenianischen Hörspielkünstler*innen in sechs Regionen des Landes Hörspielworkshops veranstaltet. Herausgekommen sind 24 einzigartige, authentische Hörspiele von und mit talentierten kenianischen Künstler*innen, die mit frischen Ideen und viel Leidenschaft ihre Stimmen erheben. Im Mittelpunkt stehen Gegenwartsthemen wie queere Liebe, ein Leben auf Autopilot, übergriffige Familienmitglieder, Bewältigung von Tra...2025-03-1300 minThe Critical Social Worker: A Revolutionary Storytelling PodcastThe Critical Social Worker: A Revolutionary Storytelling PodcastDecolonization, Anti-Racism, and Indigenous Knowledge with Ukumbwa Sauti | Episode 64Brought to you by the University of Alaska Fairbanks Department of Social Work, this episode of The Critical Social Worker: A Revolutionary Storytelling Podcast, host Christian Ace Stettler sits down with Ukumbwa Sauti, M.Ed., an educator, consultant, and facilitator specializing in anti-racism, anti-colonialism, cultural revitalization, and systemic oppression.Together, they explore the emotional and political complexities of current global events, including Palestine, and discuss the role of Indigenous knowledge in resisting oppression. Ukumbwa challenges colonial narratives, examines the failures and limitations of DEI initiatives, and emphasizes the power of community, talking circles, and ancestral wisdom in fostering real...2025-02-151h 48Triggers & Spiritual MedicineTriggers & Spiritual MedicineEpisode 42 : Moving Through Uncertainty With Guest Ukumbwa SautiWelcome to Season 3, Episode 42 of Triggers and Spiritual Medicine, with your host, Laura Bonetzky-Joseph, and special guest, Ukumbwa Sauti.In today’s episode, we dive deep into the pressing social and political issues shaping our world. As we navigate rising tensions, systemic oppression, and the battle over truth, we’ll explore how history informs the present, why awareness is key to survival, and how we can take meaningful action to create change.Ukumbwa Sauti brings his expertise in anti-patriarchal, sharing three key insights on systemic oppression and social justice. He offers a critical perspective on the...2025-02-031h 26Mic Cheque PodcastMic Cheque PodcastEpisode 219 | Mwisho wa mwanzo? Feat. SAUTI SOLLINEBET 100% Sign Up Bonus and 100% Deposit Bonus on Mondays (For existing Users); Use PROMOCODE : UPSYD to register and get 100% Bonus up to KES 13,000; Registration Link ; https://bonus-linebet.com/UPSYD Apk Link : https://t.ly/wp8Tt Remember to use promo code UPSYD. TICKETS TO SOL FEST - https://solfest.hustlesasa.shop/?fbclid=PAZXh0bgNhZW0CMTEAAaZD6zW-1YXj2B6zVlaYkq4UGQDXSoMoWZrSEwllH0b0vWdVI8lZ1vwmbnA_aem_pWfKBQ7kIkIPmrOmL_UA7g PURCHASE MERCHANDISE - https://micchequepodcast.hustlesasa.shop/ TO SUPPORT THIS CHANNEL: M-PESA TILL: 8816044 JOIN THIS CHANNEL TO ACCESS PERKS: YOUTUBE - https://www.youtube.com/channel/UCE3KVkSH1GwUtAAMcVcJ3QQ...2024-12-111h 07First Voices RadioFirst Voices Radio10/27/24 - Ukumbwa SautiHost Tiokasin Ghosthorse speaks returning guest and longtime friend of “First Voices Radio” Ukumbwa Sauti. Ukumbwa Sauti, M.Ed. is a Consultant, Facilitator, Educator and Program Developer on issues of Anti-Racism, Anti-Patriarchy, Men's Work, Consent and Culture. He has worked with religious organizations, cultural groups and regional organizations and has taught in higher education for 16 years engaging issues of Race, Gender, Environmental issues, Media and Culture. Ukumbwa has been a member and supportive of numerous local, national and international organizations and movements advocating for Pan-Africanism, Anti-Racism, Relationship, Sexual and Intimacy safety and education and Men's Development. Ukumbwa has presented acro...2024-10-2857 minFATHOM with AnysieFATHOM with AnysieEP 26: Bien Aimé Baraza: On being Sauti Sol’s lead singer, the highs and lows of his new solo career, and his ambition of going globalIn this episode, I sit down with one of my all time favorite artists, Bien Aimé Baraza also known as Bien, an internationally acclaimed Afro-pop artist hailing from Kenya and a former lead singer of a band that we all know and love, Sauti Sol. Bien is now successful solo artist who is making waves with his voice and art across the globe.  Bien and the Sauti Sol quartet released several albums that became international hits such as Sol Filosofia,  Live and Die in Afrika, and a personal favorite Midnight Train. Sauti Sol received local and intern...2024-08-141h 14FATHOM with AnysieFATHOM with AnysieEP 26: Bien Aimé Baraza: On being Sauti Sol’s lead singer, the highs and lows of his new solo career, and his ambition of going globalSend us a textIn this episode, I sit down with one of my all time favorite artists, Bien Aimé Baraza also known as Bien, an internationally acclaimed Afro-pop artist hailing from Kenya and a former lead singer of a band that we all know and love, Sauti Sol. Bien is now successful solo artist who is making waves with his voice and art across the globe.  Bien and the Sauti Sol quartet released several albums that became international hits such as Sol Filosofia,  Live and Die in Afrika, and a personal favorite Midnight Train. Sau...2024-08-141h 14Afrobeats Dancehall Afro-House MixesAfrobeats Dancehall Afro-House MixesBest Of Matata (2024) x SAUTI SOL, BENSOUL,NVIRII THE STORYTELLER & Stella MwangiTracklist Matata x Watendawili - Inakubalika MATATA x BENSOUL - MATATU MATATA x MEJJA - CHINI CHINI MATATA x OKELLO MAX - WERUTE MATATA x LAMAZ SPAN K.O.B - MARE MARE MATATA - WABABA MATATA - THIS LOVE MATATA - MAPEMA MATATA - SIKO FITI MATATA - GENGETONE LOVE MATATA - A MINUTE MATATA x AKUVI - NOVAA MATATA x Stella Mwangi - ACHUU MATATA x BENSOUL & NVIRII THE STORYTELLER - POMBE NA KIZUNGU MINGI MATATA x NVIRII THE STORYTELLER − UNAWARE MATATA x SAUTI SOL - OVERSIZED T SHIRT MATATA - DENGE (madenge) Matata - NGATA (Pi-Pi-Pi, Po-Po-Po) MA...2024-06-2458 minOut The Booth PodcastOut The Booth PodcastOTBPODKE : SAUTI SOL THE LEGACY FT Missy DisiLegacy is what you will be remembered for. The impact you had on people, the policies you stood for and the changes you made. In this episode of #OTBPODKE, we look at Sauti Sol, their solo projects and their impact on the music scene. To make this as broad as possible Missy Disi joins in on the discussion. The episode will go through each member as we analyze what they were involved in over the last 19 years. The music that will be shared in this episode will be covers released by fans, mu...2024-04-0949 minSoundPages PodcastSoundPages PodcastSauti – Nancy MburuNancy Mburu’s project for the 2023 Jack Straw Writers Program is a novel titled Sauti, which translates to The Voice. The novel follows a performing poet named Nuru, who loses her voice when she immigrates to the United States from Kenya. In her conversation with curator Priscilla Long, she talks about how she first started writing fiction, how being trilingual enhances her writing, and where she sees her work in 5 years. “Sometimes I bring it up in my own writing . . . I saw this really nice way this writer did, but it was in a Swahili book, and I haven’t seen...2024-04-0323 minAmedeus Live PodcastAmedeus Live PodcastSauti ya Hekima1 Je! Hekima halii? Ufahamu hatoi sauti yake? 2 Juu ya mahali palipoinuka karibu na njia, Penye njia panda, ndipo asimamapo. 8 Maneno yote ya kinywa changu yana haki; Hapana hata neno lililopotoka au la ukaidi. Igundue sauti ya Hekima, ifuuate, itii na utembee kwenye ustawi, mafanikio, ushindi na ubora tele. Katika toleo la leo Kuna Maombi maalumu kwa yeyote mwenye mgonjwa wa Figo! Pokea uponyaji leo na sambaza uponyaji kwa maelfu wanaohitaji.2024-01-2516 minSauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 43: SAUTI YA NYUMBA Vol.43 curated by Tonik MusiqWelcome to the new season with a bang! Get ready for some groovy tunes as our featured guest DJ, Tonik Musiq, takes over SAUTI YA NYUMBA! Spring is here and so is the party - don't miss it!Tracklist:Spumante - Digital Dust (Original Mix)Spumante - Premium Theory (Original Mix)Deep Essentials & Smac - Thankful (Original Mix).Oscar Mbo & KG Smallz - Yes God (feat. Dearson)[Bee-Bar Remix]Exte C - Boogie With Ex (Remix)DJ Tears PLK - Nazo (Original Mix)Cubique - Dangerous (feat. Bee-Bar & Colbert)Mammoth People - Omuaku Kingdom (TrojanComb Mix...2023-09-011h 00Sauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 42: SAUTI YA NYUMBA Vol. 42 curated by SAUTIWe are excited to announce that the highly anticipated new episode of SAUTI YA NYUMBA is now available for download! The talented in-house duo, SAUTI, brings a blend of captivating beats, rhythms and sounds to create an unforgettable listening experience.Tracklist:Miguel Tavares - KissesMusiQuality - Digital Love For AnalogSandy Artwell - Here AfterTimAdeep - Like Stuck Birds in a CageEd-Ward - WhispersOscar Mbo, KG Smallz - Yes God (feat. Dearson)[Morda, Thakzin, Mhaw Keys Remix)Thakzin PossessedHypaphonik - State of DerivativesDJ NAHH - MykonosJullian Gomes & Jordan Arts - HomeAndileAndy - Afrika...2023-08-151h 02Sauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 41: SAUTI YA NYUMBA Vol.41 curated by LUTHVNDOIn this episode, we welcome a talented deep house DJ, LUTHVNDO, known to many as l’amour. Who will be treating us to an exclusive guest mix.Our esteemed guest brings years of experience and a profound understanding of the genre, stemming all the way back to the Technics SL1200 days. Experience a master at work, showing a seamless blend of soulful melodies, hypnotic rhythms, and infectious basslines.Welcome to SAUTI YA NYUMBA Vol.41Tracklist:Jazzuelle & Shervaan Bergsteedt - Sacred GeometryMinimal Groove - Downtown Detroit (Graham Deep C2B Mix)Aquatone - Mom...2023-07-2800 minSauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 40: SAUTI YA NYUMBA Vol.40 curated by teddondecksThe 40th mix is upon us. SAUTI YA NYUMBA presents co-founder and in-house DJ, TEDDONDECKS, who will be ushering us into the weekend with an electrifying mix. A great blend of Deep House and AfroTech tunes, vibes all round.Welcome to SAUTI YA NYUMBA Vol.40!!Tracklist: SpheraQ - Spirit of Ubuntu (feat. Bongani Mehlomakhulu)Gift of Africa - AlkebulanPierre Johnson - HalfwayKid Fonque & Jonny Miller - Inertia (feat. China Charmeleon)&ME & Black Coffee - The Rapture Pt. III w/ Noraj Cue - Story of Something (Acapella)MJ Cole & Freya Riding - Waking Up (Da C...2023-07-151h 00Sauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 39: SAUTI YA NYUMBA Vol.39 curated by FlexAudioNativeSAUTI YA NYUMBA presents FlexAudionative, a Tzaneen born talented DJ. The Radio DJ/ Producer/ Event Coordinator will be closing off the month of June with an electrifying blend of AfroTech sounds.Tracklist:Maxi Ofe - Ungakhali (feat. Paul B)Divine Keys - Gnosis (Original Mix)Pierre Johnson & LaTique - Silence [Extended Mix]Karyendasoul & Da Capo - Gemini’s [Extended Mix]Dwson - Tormented Soul (Original Mix)TekniQ - Kibuka (Original Mix)Atmos Blaq & Massh - Dogon (Part 1)Moish & Vasilis - Andinavalwa (feat. Bukeka)Karyendasoul & Jordan Arts - Something More (Original Mix)G Washington & Kasango - Lost (Or...2023-06-301h 09Sauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 38: SAUTI YA NYUMBA Vol.38 curated by Slesh.TeeGet ready to turn up the volume because Slesh.Tee has some fire gems coming your way! This episode is bursting at the seams with electrifying beats and insane drops that will make you want to dance like nobody's watching. Trust me.Welcome to the 38th installment of SAUTI YA NYUMBA!!Tracklist:Drega & Skyewanda - Yebbas Heartbreak (Show my love)Brenden Praise & Atmos Blaq - XurhisaKAARGO - Hold onDylan-S & Vivian Olang - Jaber (Ed-Ward Remix)Kgzoo - VitaJaun Soul, Moblack - Mtna (Da Capo Remix)Kgzoo - Boabab StargateDlala thakzin - AwuzweThabo Tonick...2023-06-2057 minSauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 37: SAUTI YA NYUMBA Vol.37 curated by SAUTIGood day friends. Love and light to you all. This latest offering, brings you our most trusted in-house duo. From 3Step, to AfroTech, SAUTI has got you sorted. Let's enjoy. Welcome to the 37th installment of SAUTI YA NYUMBA!!Tracklist: 1. Artwork Sounds & Thakzin - Iliwa (feat. Cnethemba Gonelo) 2. Chronical Deep - Tambootie3. Dwson - Peta4. TechTonic & Ed-Ward - Ke Bokae (Extended Mix)5. Made By Pete & Zoe Kypri - Horizon Red (Black Coffee Remix)6...2023-06-0657 minMoto Moto MusicMoto Moto MusicThe End of Sauti SolSauti Sol surprised fans by announcing that after their next album and tour, they are going on an indefinite hiatus. For some of us in the industry this didn’t really come as a surprise, they haven’t been watering the Sauti Sol brand much since 2020. What does that tell you? Let me give you a […]2023-05-2912 minAfrican Album ReviewAfrican Album ReviewThe End of Sauti SolSauti Sol surprised fans by announcing that after their next album and tour, they are going on an indefinite hiatus. For some of us in the industry this didn't really come as a surprise, they haven't been watering the Sauti Sol brand much since 2020. What does that tell you? Let me give you a breakdown of why this is the end for Sauti Sol. Part of their statement read: "We are excited to announce that Sauti Sol, Africa’s sensational musical powerhouse, will embark on an exhilarating tour stopping in 5 cities across the U.S, fo...2023-05-2912 minThe Afrobeats PodcastThe Afrobeats PodcastBIEN “Sauti Sol Is My Longest Marriage & We Still Go To Therapy Together“ Yemi Alade Burna Boy#bien #afrobeats #afrobeatspodcast Bien1:05 to 2:05 Introducing Bien to the Afrobeats Podcast!3:55 to 4:55 “I don't get the same VIP treatment as a solo artist like I do with Sauti Sol 😃 “ 7:10 to 8:10 “Sauti Sol is my longest marriage & we still go to therapy together“14:30 to 15:30 “Yemi Alade has the work ethic of ten people “17:30 to 18:30 “ We have never paid for any collaboration “ Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2023-04-0748 minAfropop WorldwideAfropop WorldwideSauti Za Busara, Sounds of Wisdom 2023Sauti Za Busara means “sounds of wisdom.” That gives a clue to the music heard at the annual Sauti Za Busara festival in Stonetown, Zanzibar. It’s cool, savvy, surprising but never dull, and often hard-grooving. Afropop Worldwide attended the first edition in 2004. In 2023, we returned for a three-day feast of fantastic performances from the Swahili coast, the Indian Ocean and beyond. Taarab, kidumbak, Bongo Flava, Wagogo tradition and much more were on the menu. In this program, we hear live recordings from and meet artists who may never make it to our shores, but who you’ll be glad to meet...2023-03-3059 minSauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 36: SAUTI YA NYUMBA Vol.36 curated by SAUTIGood Day friends!!Welcome to yet another season of SAUTI YA NYUMBA. Kick starting the year we have the in house duo SAUTI. Bringing you fire Deep House & AfroTech tunes.Welcome to the 36th installment of SAUTI YA NYUMBA!!Tracklist:DJ Dreas - Unona WaChina Charmeleon - AllanUMngomezulu - Amanxeba (feat. Bongani Mehlomakhulu)WAPO Jije - BossoTea White - Forgotten Worlds (feat. Frank Ru)Gabbana - I'm Too Deep For YouExte C - Lo Mfana (feat. Hypaphonik & Bii Kie) [LaTique Rare Dub]Kgzoo & Classic Desire - Bantu's DreamsKaryendasoul & Jordan Arts - Something...2023-02-041h 06Sauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 35: SAUTI YA NYUMBA Vol.35 curated by teddondecks"Difficulty calls us to rise up. And in that rising, we learn what we are capable of."Welcome to the 35th installment of SAUTI YA NYUMBA!!Tracklist:Cornelius SA - Poignant Letters (Extended) w/ Roland Clark - Rise Up (Acapella)Lyrik Shoxen - Stay With Me (Da Africa Deep & Kit Luck Remix)TAU - AssraAtmos Blaq - Hosi Yamina (Atmospheric Mix)Citizen Deep & Mzux Maen - Hayii (Citizen Deep Remix)Mpho.Wav - Moya (feat. Brenden Praise)Emanuele Esposito & Darksidevinyl - Your Way (Enoo Napa Afro Mix)Reuxen - Woman (Vocal Mix)Luka, Jaidene...2022-12-0258 minPaza Sauti with SleeklinesPaza Sauti with SleeklinesBringing The Feeling Back To MusicOn the last episode of Season 2 of Paza Sauti, sleek links up with the Atlanta and based rapper DND Section. The duo spoke about growing up as a music kid in Lagos, the importance of surrounding yourself with people who challenge you, the competitive nature of Hip-Hop and what it would mean to bring “the feeling” back to music. Lock in for this one! DND’s new song, ‘Imagine That’ is out now on all streaming platforms. Listen to Imagine that here Episode mix by sleeklines...2022-11-2833 minSauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 34: SAUTI YA NYUMBA Vol.34 curated by Proteen (BOG)On this episode we bring you a fire mix curated by Proteen (BOG). This multi-talented DJ is big on AfroTech, Deep Tech and Future Disco House.Welcome to the 34th installment of SAUTI YA NYUMBA!!Tracklist:De Mthuda ft Sir Trill and De Muziqal Chef - John Wick (Dustinho's Healthy Cut)Bongo Maffin - Thath' Isigubhu (Shimza Remix)BlvckMoon & Saint Evo - KivunaDJ Kabila feat. Madala Kunene & 104 BPM - SUKADJ Maphorisa, Tyler ICU, Sir Trill, Daliwonga & Kabza De Small - Banyana (Shimza Remix)Mzux Maen - HAYII (feat. Yasmin Levy)Kwiish SA, Njelic, MalumNator & D...2022-11-171h 08Sauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 33: SAUTI YA NYUMBA Vol.33 curated by Slesh.TeeSlesh.Tee is back to grace us with a fire 1-hour mix!!Welcome to the 33rd installment of SAUTI YA NYUMBA!!Tracklist:DJ Kabila - Isililo (feat. Nosihe)Darque & Chopster - Ntfombi (feat. Murumba Pitch)Dino & Terry, Tina Ardor - Mwana WakwaDr. Feel & Kreative Nativez - Modjadji (The Rain Queen)Msaki & Da capo - No RainbowDj Vitoto, Dee Cee & Mthunzi - KshubileNana Atta & Thakzin - LibaleleKgzoo - Tjikiriti&lez - NebulaDj Vitoto - Drumstic Bass (feat. Tefo Foxx)Let's Dance!!DJ Socials:www.instagram.com/slesh.tee/ ...2022-10-2953 minSauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 32: SAUTI YA NYUMBA Vol.32 curated by SAUTIGood day friends!!'SAUTI YA NYUMBA' IS OFFICIALLY BACK!!"There's so many things that life is, and no matter how many breakthroughs, trials will exist and we're going to get through it. Just be strong."~ Mary J. BligeJoin us as we wrap up the third season in style. Welcome to the 32nd installment of SAUTI YA NYUMBA!!Tracklist:Jason Le Roux, Lazarusman & Viel (IT) - Remarkable (Viel (IT) Remix)Bonfante - Cyborgs Like Unicorns Too (Stimming Remix)Aytiwan - Ilanga (feat. Nes Mburu) [Enoo Napa Alternative Mix...2022-10-1156 minPaza Sauti with SleeklinesPaza Sauti with SleeklinesPAZA SAUTI FM: 5PM IN NICEMoments and Music Like I said at the start the new season, season 2 will have a lot more to do with music. Lock in with me on the first edition of Paza Sauti Fm where I try and capture and translate moments, feelings and emotions in to music. Mix by sleeklines Music by: Vibe Killer – Produced by 9tyeight Fame – PRODUCED BY Lexus Beats Groove – Produced by 9tyeight Cavemen – Produced by Akin Lexus Wanted Produced by Lila Melody – Produced by Alvin B...2022-10-0310 minPaza Sauti with SleeklinesPaza Sauti with SleeklinesFoundations: TrustOn this week's episode of Paza Sauti, we take a deep dive into what it means to trust yourself and the process.   I wanted to have a chat about why I think having trust as the foundation of any creative endeavour is a catalyst for creativity, authenticity and growth. So I hopped on the phone with my good friend and art advisor Will Walsh whose clients range from footballers to musicians and actors, to talk about how he has fostered trust in his business and how it has been the key to his success. 2022-09-2619 minSupéralo Por FavorSupéralo Por Favor100: El Duelo y El Budismo FT. Pablo SautiA lo largo del trayecto del podcast he compartido diferentes conceptos teóricos respecto al dolor y el proceso del duelo. En el episodio de hoy, para celebrar los 100 episodios, tuve como invitado a una persona muy especial que lleva más de 15 años estudiando y practicando la filosofía del Budismo; Pablo Sauti, además de ser una de las personas que más admiro y quiero, ha sido un pilar muy importante en la formación de la filosofía que utilizo para sobrellevar los duelos y acompañar a mis pacientes en terapia a hacer lo mismo...2022-07-2740 minSauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 31: SAUTI YA NYUMBA Vol.31 curated by DJ Twitch"What we have once enjoyed, we can never lose. All that we love deeply becomes a part of us."Welcome to the 31st installment of SAUTI YA NYUMBA!!Tracklist:Hypaphonik feat. Xabizo - Sight Of Me Tick Tock & Milkoeh ft. B'utiza - Kakaramba (Instrumental)Freya Ridings - Lost Without You (Marco Pex Remix) Candyman & Supreme Rhythm - Neon Dreams DJ Quentin - Gumbawele Atmos Blaq - Te Amo ##### - ##### Karyendasoul ft. Zakes Bantwini & Nana Atta - Imali (Soulic M Unofficial Remix)Tefo Foxx - #####DJ Pappa & DJ Jim Mastershine - #####Vanco ft. Njabuloseh - Impilo...2022-07-181h 01Sauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 30: SAUTI YA NYUMBA Vol.30 curated by teddondecks"Guard your heart, mind and time. Those three things will determine the health of everything else in your life."Welcome to the 30th installment of SAUTI YA NYUMBA Vol.30 curated by teddondecks!!Tracklist:David Orin - Let Me Sleep (feat. Hannah Noelle)DESIREE - PsilocybinUrmet K - SaviourDa Capo - Call it BlackN'Dinga Gaba, Sahffi & Fka Mash - Summer Breeze (Fka Mash Re-Glitch)Benny T - Voices From The Dark Forest (Extended Mix) w/  Izibongo zeLembe uShaka kaSenzangakhona (Acapella) &Lez - Leave My ShadowDJ Koze - Drone Me Up, Flashy (feat. Sophia Kennedy)[&ME Remix...2022-07-0454 minSauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 29: SAUTI YA NYUMBA Vol.29 curated by Slesh.Tee"Unfold the light caught in your mind... It's only a feeling" Let Slesh.Tee take you on a #PreciouslyTailored journeyWelcome to the 29th installment of SAUTI YA NYUMBA!!Tracklist:Keinemusik (Adam Port, Rampa & &ME) - Feeling (feat. RY X)WhoMadeWho - Silence & Secrets (Black Coffee Remix)Dwson & Hyenah - The Silence (feat. Apple Glue)Team Distant, Jala Ramdani & Mr Silk - Sesa (feat. Mel D) [Chaleee & Marco Pex Remix]Shredder SA - Back To My Roots (Chaleee Remix)Atmos Blaq & Tina Ardor - Kamweretho (feat. Hendric Sam)Kgzoo - IsginciOwami Umsindo...2022-06-1058 minSauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 27: SAUTI YA NYUMBA Vol.27 curated by Slesh.TeeAs with the butterfly, adversity is necessary to build character in people. Adversity is preparation for greatness. Welcome to the 27th installment of SAUTI YA NYUMBA curated by Slesh.Tee!!Tracklist:Kgzoo - Yaga w/ Jason Jinx - Your First Time (Acapella)Tau (BW) & Demented Soul - People of shame (feat. Nelle Guess) [Atmos Blaq Remix]Caiiro - Heartache (feat. Thabz De Mos Hi)Keinemusik - Muye w/ Chuck Roberts - My House (Acapella)Kgzoo - The Beginnings w/ David Penn & Robert Gaez - What Is House? (Acapella)J...2022-04-2257 minSauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 26: SAUTI YA NYUMBA Vol.26 curated by SAUTIJack says, "I am the creator and this is my house And in my house there is only House Music. But I am not so selfish because once you enter my house it then becomes our house and our House Music."Welcome to the 26th installment curated by SAUTI!!Tracklist:Ben Bohmer & Timo Jahns - Lifespan w/ Chuck Roberts - My House (Acapella)Brenden Praise, Vanco & Kasango -   Misava (Extended)Thee Suka - AluwawaDJ Tomer & Ricardo Silva - To Our Fathers (feat. Nomvula SA) Owami Umsindo - Sudden Winds w/ Roland Clark - President House...2022-04-0958 minSauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 25: SAUTI YA NYUMBA Vol.25 curated by SCEBISOHouse music is a universal language with no borders or boundaries. Nor culture or religion. It's just a beautiful language spoken by the elite. Join 'Scebiso' has he explores beautiful sounds of house. A #PreciouslyTailored journey. Enjoy!As SAUTI says, "It's not for the sober minded"Tracklist:Nurogroove, Linos Rosetta & Zile Zondo - UbizoCandy Man SA - Kilimanjaro  Lost Desert - Bo Singi YoChopstar - Blood w/ Culoe De Song & Busi Mhlongo - Webaba (Accapela)Da Africa Deep - Need to know  w/ Timbuktu (Accapela)Thee Suka, Moish & Vasilis - Doni (Original Mix)Homeboyz & kyak...2022-03-2557 minSauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 24: SAUTI YA NYUMBA Vol.24 curated by Slesh.TeeAs the climb up mount SAUTI continues, welcome to the 24th installment of ‘SAUTI YA NYUMBA’. Join Slesh.Tee on a journey into Afro.Vol.24: “Reach for the top, the bottom is overcrowded”Tracklist:Atmos Blaq & Sandhaus - Undone (Extended Mix)Bob’Ezy ft. Sinai - Close To You (EyeRonik Remix)Mageba SA - Amdlozi (ft. ReizAfrica) [DJ Stherra Remix]Sjavera & Gatemusique - Saut d’Eau (KingDonna Remix)Marco Pex - Lost Without YouDJ Beekay - N4 to Rusty&Lez - All ShelteredDJ Beekay & Candy Man - Tears of AfricaBudda Sage, Froote & Kus...2022-03-111h 06Sauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 22: SAUTI YA NYUMBA Vol.22 curated by SOMNYAMAWelcome to the 22nd installment of SAUTI YA NYUMBA. SAUTI presents a guest mix by “SOMNYAMA”, afro house DJ coming all the way from the Kwa-Zulu Natal province. Tune in into a #PreciouslyTailored mix. Enjoy!! Tracklist:Kgzoo - BerlinKgzoo - MidundoChopstar - The Voices Bun Xapa & Da Africa Deep- Khang KholoMuye (Enoo Napa Remix)Dj Merlon & Enoo Napa - Two Zulu Men in IbizaDj Kabila - Somnyama (Da Mike Remix)Klaus (&lez interpretation )DJ Socials:www.instagram.com/official_somnyama/2022-02-1149 minSauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaSAUTI YA NYUMBA Vol.21 curated by SAUTILove and Light to you all!With the first 20 mixes down, we can safely conclude the first season of SAUTI YA NYUMBA! Join us on the second season and enjoy the continuation of a #PreciouslyTailored journey. First mix by the dynamic duo ‘SAUTI’SET YOUR MIND FREE and enjoy!Tracklist: Demented Soul & TAU - People of Shaam (feat. Nelle Guess) Avoure - Aura Lost Desert & Junior - Bo Singi Yo Rampa - The Church Kid Fonque & Johnny Miller - Afrika Is The Futu...2022-01-281h 07Sauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 21: SAUTI YA NYUMBA Vol.21 curated by SAUTILove and Light to you all!With the first 20 mixes down, we can safely conclude the first season of SAUTI YA NYUMBA! Join us on the second season and enjoy the continuation of a #PreciouslyTailored journey. First mix by the dynamic duo ‘SAUTI’SET YOUR MIND FREE and enjoy!Platform Socials:www.facebook.com/we.are.ptsd0/www.instagram.com/we.are.ptsd/www.twitter.com/weareptsd/https://linktr.ee/Sauti.Ya.NyumbaDownload Link:https://drive.google.com/drive/folders/1hQtT...2022-01-281h 07Sauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 20: SAUTI YA NYUMBA Vol.20 curated by SAUTIGood year to you all!!SAUTI YA NYUMBA presents a live New Year's Eve mix by your trusted DJs, SAUTI (teddondecks x Sles.Tee).This mix is exclusively on MixCloud and available for download on our Google drive.Preciously Tailored Sound Designs wishes you nothing, but a successful year.Love & light PTSD fam!Platform Socials:FB: www.facebook.com/we.are.ptsd0/IG: www.instagram.com/we.are.ptsd/TT: www.twitter.com/weareptsd/Download! Share! Enjoy!https://linktr.ee...2021-12-311h 51Paukwa RadioPaukwa RadioSauti na Silabi. Ukweli ni gani?Sauti na silabi ni mada ambazo zimeweza kuzua mijadala katika majilisi na mitandao mbalimbali za kijamii. Je, unahesabu herufi moja moja katika neno ambalo herufi hizo zimerudiwa? Mathalani, katika neno mama, herufi ni mbili ama ni nne? Pia utasikiliza kuhusu ala za matamshi, sauti ghuna/sighuna, herufi mwambatano na silabi changamano. --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app --- Send in a voice message: https://anchor.fm/paukwaradio/message Support this podcast: https://anchor.fm/paukwaradio/support2021-11-272h 22Paukwa RadioPaukwa RadioSauti na Silabi. Ukweli ni gani?Sauti na silabi ni mada ambazo zimeweza kuzua mijadala katika majilisi na mitandao mbalimbali za kijamii. Je, unahesabu herufi moja moja katika neno ambalo herufi hizo zimerudiwa? Mathalani, katika neno mama, herufi ni mbili ama ni nne? Pia utasikiliza kuhusu ala za matamshi, sauti ghuna/sighuna, herufi mwambatano na silabi changamano.--- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app--- Send in a voice message: https://anchor.fm/otienomjomba/messageSupport this podcast: https://anchor.fm/otienomjomba/support2021-11-272h 22Sauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 18: SAUTI YA NYUMBA Vol.18 curated by teddondecksHouse is an uncontrollable desire to jack your body. Keep in sync with a 4/4 pulse. And as I told you before, this is a #PreciouslyTailored journey.Welcome to the 18th installment of SAUTI YA NYUMBA!Tracklist: Chopstar The Captain - Marimba C Chelsea Como & Jacko - Until Tomorrow (Da Africa Deep Remix) Chelsea Como & Jacko - Flames (Enoo Napa Remix) Stoim - Nigende (Saint Evo Remix) Thandi Draai & Candy Man - Out of Africa Punk Mbedzi - Exodus Oxygenbantu & Butiza - Please Stay De Cave Man & TonicVolts - Wena Wekunene King Deetoy...2021-11-261h 03Midlands 103Midlands 103Taking Care Of Business - COP26, SAUTI-Youth's Ellen ButlerWill commitments made at COP26 become policy at local level? Ellen Butler COP26 attended as part of SAUTI-Youth which aims to monitor local government commitments to climate action, linking Galway and Tanga (Tanzania). SAUTI- Youth is a collaboration between World Vision Ireland, Youth Work Ireland Galway and World Vision Tanzania.2021-11-1012 minMOZE KIMAROMOZE KIMAROKUSIKILIZA SAUTI YA MUNGU NA KUIKIRI JUU YA MAISHA YAKO.UNASIKILIZA SAUTI YA NANI? Na KUIKIRI JUU YA MAISHA YAKO ? Ziko sauti nyingi zinaweza kujaa kuzungumza na wewe wakati unapopitia Hali fulanii, lakini yakupasa kusikiliza SAUTI YA MUNGU.2021-10-2446 minSauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 16: SAUTI YA NYUMBA Vol.16 Curated by Kevin Scott DJWelcome to yet another episode of SAUTI YA NYUMBA! As we always looking to take you on a journey, this episode is no different. This week's episode shows the heart of a South African rising star, Kevin Scott DJ. Join in and allow him to take you through a preciously tailored journey.Tracklist:  Atmos Blaq - Deperted Shimza - Kunye (feat. Kususa) Sun-EL Musician, Azana - Uhuru (Dlala Thukzin Remix) &ME - Avalon Medusa, Leslie Carter - Medusa (Horisani De Healer Remix) TekniQ - Amasiko (Miči Vocal Mix) Dee Cee - K...2021-10-2353 minSauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 15: SAUTI YA NYUMBA Vol.15 curated by SAUTIBlessings to you all! The 15th installment presents SAUTI. The DJ duo is a combination of 'teddondecks x slesh.tee', 2 personalities meeting as 1. Join in and experience this collaboration first hand.Welcome to SAUTI YA NYUMBA!Tracklist: Atmos Blaq - Khanda Shisa (Atmospheric Mix) Citizen Deep - Mama Said (feat. Aqua x Be) Afro Brotherz - Dune Josi Chave - Baleka (feat. Cuebur & Thandi Draai) [Kaargo Remix] Tick Tock & milkoeh - Kakaramba (feat. Butiza) [Dee Cee Remix] Argento Dust - Voice Mail Shimza - Calling out Your Name (feat. Mikhaela Faye) ...2021-10-161h 02The Street SessionsThe Street SessionsWe Talk Midnight Train, Bald Men Doing it Better & Kenya Losing to Uganda w/ Sauti Sol | INTERVIEWIn this episode we are joined by no other than SAUTI SOL, We Talk Midnight Train, Bald Men Doing it Better, Kenya Losing to Uganda & MORE!   Bald Man Anthem Music Video w/ Bien x Aaron Rimbui  https://www.youtube.com/watch?v=rMOY7GXN15s  Follow SAUTI SOL  https://www.youtube.com/channel/UCBZPPYU_l99Mg6-GXm6xbMg  Follow Bien  https://www.instagram.com/bienaimesol/  Follow Chimano  https://www.instagram.com/iamchima...2021-10-1228 minSauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 14: SAUTI YA NYUMBA Vol.14 Curated by Slesh.TeeThe philosophy of house. It's way deeper than a four-four beat. Join in and learn this rhythmic language.Welcome to the 14th installment of Sauti Ya Nyumba!Tracklist: King Donna - Insimbi Massh - Falling Into Place Giorgio Bassetti - Apukere Gumz - 3 Days Lubonk & Marco Pex - Storm Benny T - Black Technology Da Capo - Femi Atmos Blaq - Darkness (Atmospheric Mix) Manyelo Dafro - Ladon (Kususa  Remix) [feat. Bassekou Kouyate] Native Tribe & Da Q-Bic - Kiwi's Drumz (Prologue Mix) https://linktr.ee/Sauti.Ya.Nyumba2021-10-081h 04Sauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 12: SAUTI YA NYUMBA Vol.12 Curated by Slesh.TeeThe magic in new beginnings is truly the most powerful of them all. To celebrate teddondecks' birthday, Sauti presents Slesh.Tee. Join in and experience 'Sounds of house'.Welcome to the 12th installment of Sauti Ya Nyumba!Tracklist: Literatura, Al3ne, Enoo Napa & Black Soda - I am Nature Badbox & Vanco - Alive (feat. Bobbi Fallon) [Extended Mix] Tekniq - Amasiko (feat. Mici) [Mici Vocal Mix] terra Elle - Maqondana (Massh Astral Remix) [feat. Soul Star] Sun-El Musician & Azana - Uhuru (Karyendasoul Remix) LevyM & Elise De Koning - Dance Again...2021-09-251h 01Sauti Ya NyumbaSauti Ya NyumbaEpisode 11: SAUTI YA NYUMBA Vol.11 Curated by teddondecks"House music is not black or white. It just is. It feels good and it feels right"~ Frankie KnucklesWelcome to the 11th installment of Sauti Ya Nyumba.Tracklist: Chopstar - Glitch Effect Vaal Deep & Ace Mantez - Oak Master A - Messenger of the Gods Ma-B - Shanga Kasango - Closer Vertrauen - Mars in My Room (Kreative Native Remix) [feat. Nsika] Native P - In Another Life (Saint Evo Remix) [feat. Nuzu Deep] Dj Tomer & Ricardo - Anymore (feat. Nuzu Deep) [Vertrauen Remix] Drega - Amafu (feat. Nana Atta) Sun-El Musician...2021-09-1056 minFirst Voices RadioFirst Voices Radio09/01/21 - Dr. Rosita Worl, Ukumbwa SautiThis week, Tiokasin welcomes Dr. Rosita Worl back to "First Voices Radio." Dr. Rosita Worl is President of the Sealaska Heritage Institute. Her Tlingit names are Yeidiklasókw and Kaaháni, is Tlingit, Ch'áak' (Eagle) moiety of the Shangukeidí­ (Thunderbird) Clan from the Kawdliyaayi Hít (House Lowered From the Sun) in Klukwan. She is an anthropologist and for many years served as Assistant Professor of Anthropology at the University of Alaska Southeast. Dr.Worl has a Ph.D. and a M.S. in Anthropology from Harvard University, and a B.A. from Alaska Methodist University. She al...2021-09-0858 minFirst Voices RadioFirst Voices Radio8/25/21 - Debra Utacia Krol, Ukumbwa SautiThis week on "First Voices Radio, Host Tiokasin Ghosthorse welcomes two guests: Debra Utacia Krol and Ukumbwa Sauti.Debra Utacia Krol is an Indigenous affairs reporter at the Arizona Republic. She is a citizen of the Xolon Salinan Tribe. Debra's current coverage area - which is supported by the Catena Foundation and the Water Funder Initiative - is the intersection of climate, culture and commerce. Debra has more than two decades of expertise in reporting on Native issues for publications large and small, with an emphasis on environmental and science issues, and has been a contributor to...2021-08-3159 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Is There A Difference Between Being Civilised and Being Open Minded?Join Sauti Zetu Team discussing the difference between being civilised and being open minded. This our first episode together face to face since we started working together last year. 2021-07-0346 minCleaning The AirwavesCleaning The Airwaves4. Sura Yako Catapult Sauti Sol Across Africa! - Bien-Aime Baraza (Sautisol) - The Play HouseBien-Aime (French for beloved) Baraza is a vocalist, songwriter and  guitarist. His style of singing is soulful and his songwriting skills celebrated  by many.    Since Sauti Sol’s inception in 2006, Bien-Aime has remained active in the  group and part of the creation of Sauti Sol two albums: Mwanzo (2008) and  Sol Filosofia (2011). Bien-Aime occasionally writes songs for other artists  like Elani, Amos & Josh and Wendy Kimani.     He says of songs from Sauti Sol’s first two albums: Mwanzo and Sol Filosofia, “I love to write songs. And women inspire me. My thought process equates songs to women; to an ex...2021-06-2829 minNENO LA MUNGUNENO LA MUNGUSAUTI YA SHANGWE #1SAUTI YA SHANGWE (#1). ANZA KUISIKIA SAUTI YA SHANGWE ILI UFANIKIWE KIROHO NA KIMWILI2021-06-2005 min