Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

Sauti Zetu

Shows

Plural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 21. 07. 2025Habar gani, karibu kwenye toleo ya saunti ya Cabo Delgado, 21.07.2025. Sauty ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Waasi wanazidisha vizuizi barabarani na kuanza kuelekea kusini 🔸 Loli lililobebe chanjo ya Polia wilaya ya Mocimboa da Praia limeshambuliwa 🔸 Serikali ya Cabo Delgado inapokea njia za usafiri Mchanganyiko. Unaweza kusikiliza toleo hili katika luga uipendayo kireno, kimakuwa, kimakonde na kimwani. Tumefika mwisho wa toleo hili la Avoz.org,pata habari za mkoa wa Cabo Delgado, kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya2025-07-2008 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 14. 07. 2025Habar gani,karibu kwenye toleo ya saunti ya Cabo Delgado 14.07.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media. Vicha via Habari: 🔸 Sirekali ya Quisanga inakanusha kuwa walimu wamekabiliwa na mashambulizi ya kigaidi 🔸 Elimu na Afya zimetambuliwa kama sekta fizadi zaidi katika Cabo Delgado 🔸 Magaidi wanadai kuuawa kwa wanajeshi 30 katika mapigano huko Macomia. Unaweza kusikiliza toleo hili katika luga uipendayo kireno,kimakuwa,kimakonde na kimwani. Tumefika mwisho wa toleo hili la Avoz.org,pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram...2025-07-1306 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 04. 07. 2025Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 04.07.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. 🔸 Tume ya kitaifa ya haki za kibinadamu inachunguza mauaji ya raia Wilaya ya Palma 🔸 Korea kusini yatoa tani 5.000 za Mchele Kwa watu waliokimbia Makazi yao huko Cabo Delgado 🔸 Rais wa Jamuhuri anatowa wito wa kuanza Kwa shuguli za Total energies. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani tembelea ukurasa wetu wa Avoz.org au chaneli zetu za Whatsapp na telegram. Tumefika Mwisho wa toleo...2025-07-0405 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 27. 06. 2025Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 27.06.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Shambulio la kigaidi Wilaya ya Macomia limesababisha vifo vya watu wawili 🔸 Total energies hutatua madai mengi ya Jumuya za Palma 🔸 Kampuni ya uchimbaji Madini yaanzisha upya fidia Kwa wakulima Wilaya ya Balama. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani, tembelea ukurasa wetu wa Avoz.org Au chaneli zetu za Whatsapp na telegram. Tumefika Mwisho wa toleo hiili la A...2025-06-2705 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 20. 06. 2025Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 20.06.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Magaidi 12 waliowaua na Majeshi huko Nairoto 🔸 Magaidi wanawalazimisha wachimba migode haramu wahache huko Meluco 🔸 Idade ya watu Wilaya ya Macombia inashutumu siasaa za usbazaji wa misaada ya kibinadamu. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani, tembelea ukurasa wetu wa Avoz.org Au chaneli zetu za Whatsapp na telegram. Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avo.org pata habar...2025-06-2005 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 13. 06. 2025Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 13.06.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Nkurugenzu mtendaji wa TotalEnergies anafanya nkutano ili kulipoti maswala ya usalama huko Afungi 🔸 Wanajeshi wawili waliowaua huko Muidumbe 🔸 Misaada ya kibinadamu imepunguzwa kaskazini mwa Mozambique. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani tembelea ukurasa wetu wa Avoz.ogr au chaneli zetu za Whatsapp na telegram. Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org, pata habari za mkoa wa Ca...2025-06-1307 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 06. 06. 2025Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 06.06.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Mradi wa Mahendeleo ya miji ya kaskazini mwa Mozambique kuanza siku Chachi zijazo 🔸 Harakati za watu wadaodaiwa Kuwa magaide huwalazimisha wazalisha kuachana na maeneo yao ya uzalisha 🔸 UNICEF inaelezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu mashambulizi ya kikatli na utekaji nyara wa watoto. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani, tembelea ukurasa wetu wa Avoz.ogr au chaneli zetu za Whatsapp n...2025-06-0606 minFRED STZ MUSICFRED STZ MUSICVipande vya EgoJina: "Vipande vya Ego" (Shairi la Cut-Up, Vipande vya Kioo) *(Beti 1 - Vipande vya Utafutaji)* Kutafuta nje — maana katika vipande elfu Ego inagongana — mwenzako, kioo kinachovunjika Tulitazama — ukweli — umegawanyika *(Beti 2 - Vipande vya Mawazo)* Mgawanyiko ndani — ukimya kama kisu Maneno makali — yameporomoka — chini ya jua Kamwe kuungana — ni vivuli tu vinavyocheza *(Beti 3 - Ngumu ya Kukusanya)* Kukusanya vipande — lakini gundi ni damu Kioo kilichojeruhiwa — kinatuonyesha — nyuso zisizo sawa Tulitazama — ndani ya mikwaruzo *(Beti 4 - Uwongo wa Rangi)* Mwanga unapinda — kupitia ukweli wetu wenye mapengo Kila rangi — ni kiriwa lisilokamilika Prisimu inazunguka — tunaiita — upendo *(Beti 5 - Miito ya Kimya)* Vipande vinaimba — nyimbo za tulichopoteza Sauti zetu...2025-06-0203 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 30. 05. 2025Hábari, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 30.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. 🔸 Jeshi la wanamaji linashutumiwa Kwa uzembe Katika tukio la pwani ya Mocimboa da Praia. 🔸 Idade kubwa ya wakazi Palma wamerejeya Katika Wilaya hiyo tangu shambulio la 2021. 🔸 Mashambulizi yanayosababishwa na matukio ya hali ya hewa yanawaondoa zaidi ya watu 25.000 kaskazini mwa Mozambique. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani, tembelea ukurasa wetu wa Avoz.ogr Au chaneli zetu za Whatsapp au telegram. Tumefika Mwisho wa...2025-05-3005 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 23. 05. 2025Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 24.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Angalau mahakama tano zimefunguliwa tena Cabo Delgado 🔸 Zaidi ya Madarasa 300 yakarabatiwa baada ya kimbunga Chido 🔸 Matukio ya kigaidi na hali ya hewa yanalazimisha kufunga Kwa zaidi ya Shule 20 Wilaya ya Mocimboa da Praia. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani,tembelea ukurasa wetu wa Avoz.org au chaneli zetu za Whatsapp au telegram. Tumefika Mwisho wa toleo hiil...2025-05-2304 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 16. 05. 2025Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 16.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Magaidi wanaoungwa mkono na Islamic state wanadai kuuawa wanajeshi 11 huko Muidumbe 🔸 Raise anasema Kuwa majesji wanafanya kazi kuokowa hifhadi maalum ya Niassa 🔸 Wauguzi kutoka Mocimboa da Praia wanathibitisha kujitolea kwao kuhudumia idade ya watu. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani, tembelea ukurasa wetu wa Avoz.org au chaneli zetu za Whatsapp au telegram.2025-05-1606 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 09. 05. 2025Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 09.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Magaide washambulia hifhadi ya Niassa kuacha vifo na waribifu. 🔸 Japan inatoa zaidi ya milioni 190 za meticais kwajili ya misaada ya kibinadamu huco Cabo Delgado. 🔸 Wanajeshi watatu wa Rwanda waliowaua na magaide Cabo Delgado. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani, tembelea ukurasa wetu wa Avoz.org au chaneli zetu za Whatsapp au telegram. Tumefika Mwisho wa toleo hiil...2025-05-0906 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 02. 05. 2025Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 02.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Huduma ya umoja wa ulaya Kwa hatua za Nje inapinga kufutwa Kwa msaada wa Rwanda Inchi Mozambique 🔸 Tume ya Haki za kibinadamo Bado inazingatia ukiukaji wa Haki za Binadamu huko Cabo Delgado 🔸 Idade ya watu Cabo Delgado wanataka wasimdikizaji warejeshwe. Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya...2025-05-0306 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 25. 04. 2025Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 25.04.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Harakati za kigaidi zinalazimisha masomo kusimamiswa Katika Shule 13 🔸 Ugaidi unalazimisha kufungwa Kwa Shule zaidi ya Shule 100 huko Cabo Delgado 🔸 Mashambulizi yanalazimisha watu elfu 15 kukimbia makazi Wilaya ya Ancuabe. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani.Tembelea ukurasa wetu wa Avoz.org au chenel zetu za Whatsapp au telegram. Tumefika Mwisho wa toleo hiili la avoz.org pata haba...2025-04-2505 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 18. 04. 2025Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.04.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Majeshi wa Mozambique Awana dalili zozote kuhusu wanajeshi waliotekwa na magaide kwenye bara bara namber 380 🔸 Magaide wamefunga barabara namber 14 inayounganisha miji miwili muhimu ya Cabo Delgado 🔸 General wa Jeshi anahakikisha Kwamba hali ya usalama Katika Cabo Delgado iko sawa. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga yako uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani,tembelea ukurasa wetu , Avoz.org au chaneli zetu za Whatsapp au telegram. 2025-04-1806 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 28. 03. 2025Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 28.03.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Mwanajeshi wa Kikosi Cha wagambo ameuwawa Wilaya ya Macomia 🔸 Gavana wa Cabo Delgado anawalinganisha wandamanaji na magaid 🔸 Waasi wamekamata boti za wavuvi Mocomia. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani. Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook...2025-03-2813 minPlural MediaPlural MediaSauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 14. 03. 2025Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 14.03.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Magaide wamilazimisha kufunga Shule ya Mocimboa da Praia 🔸 Rwanda inatathimine Vyema utendaji wake kazi Jimbo la Cabo Delgado 🔸 ADIN inafadhili mashirika ya ndani kaskazini mwa Mozambique. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani. Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado, kupitia kurasa ze...2025-03-1512 minHope for Today (Swahili)Hope for Today (Swahili)HATARI YA KIROHOMATUMAINI PROG 1509 TITLE: HTARI YA KIROHO TEXT: WAGALATIA 4:15-20 Hukambo msikilizaji wangu natumai ubuheri wa afya, utukufu ni kwake bwana mungu wetu katikakristo yesu, Leo twalichambua nno la mungu kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 4:15-20 HATARI YA KIROHO jina langu ni david mungai wimbo alafu tuendelee WIMBO Naam karibu tena tujifunze neno la mungu wagalatia 4:15-20 HATARI YA KIROHO Maisha ya kimwili yana hatari zake hali kadhalika maisha ya kiroho nasoma kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 4:15-20 15 Ku wapi, basi, kule kujiita heri? Maana nawashuhudu kwamba, kama...2023-07-1711 minSalama NaSalama NaSE7EP22 - SALAMA NA ANNA TIBAIJUKA | LA PROFESSEURNilipoandikiwa ujumbe mfupi na Edwin Bruno ambaye ni mkwe wa Professor kwamba Mama amekubalia kufanya kipindi na sisi siku hiyo ya Jumapili akishatoka church nilihisi kama naota. Mwenyezi Mungu anajua kwa kiasi gani tumekua tukitaka kufanya maongezi nae kwenye kipindi chetu. U busy wake na pengine mara nyingi kutokuwepo Dar es Salaam napo palikua panaleta ugumu, nyengine ilkua ni tarehe zetu za kufanya production na availability yake zilikua zinapishana sana. So unaweza ukaelewa excitement ambayo nilikua nayo baada ya finally samaki kujaa kwenye ndoana. Professor Anna Tibaijuka ni LEGEND miongoni ma magwiji kwenye nchi hii kwa kazi...2022-11-101h 01Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Were Black People Really Not Ready For Freedom As Vusi Thembekwayo Says? Or Is There Something Else Going On?African people were never ready and will never be ready and they are not the only ones exhibiting this behavior. This phenomenon is uniform to all human beings around the world. It’s not only in black people. For Example: Jesus was rejected by his own people. This is why he said “no prophet is accepted in his own hometown. Uber was fought by Yellow cab companies all over America. If you want to know more about this story you can watch it on The ShowTime show called Super Pumped, the story of Uber. Elon Musk’s SpaceX program w...2022-05-0515 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.This Is Why Our Countries Are Not Progressing.In this short clip from our previous episode, we talk about things that keep our countries from progressing. 2022-04-1902 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.How To Become The High Value PersonYou are the sum of your habits. You become what you constantly do. As the author of Atomic Habits puts it, “Your outcomes are a lagging measure of your habits. Your net worth is a lagging measure of your financial habits. Your weight is a lagging measure of your eating habits. Your knowledge is a lagging measure of your learning habits. Your clutter is a lagging measure of your cleaning habits. You get what you repeat.” 2022-04-1800 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Yabes: On Irresponsibility Of Our Generation And What We Can Do.When we are born, we never imagine growing up and becoming our own caretaker. From age zero, we depend on our guardians to motivate, push, and guide us in everything we do. Unfortunately, most of us never prepare for the day that our caretakers won't be there anymore. Taking responsibility is about self parenting, self leadership, and self authoring. Ask yourself these following questions to know if you are responsible. - If no one told you what to do, would you know what to do? - When is the last time you learned a skill...2021-10-0434 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Ariane U: Ubukene N'Urukundo. Uko Ikibazo Cyo Kubura Amafaranga Cy'Affectinga Dating Life. (This Episode is in Kinyarwanda)Ese koko abakobwa bakunda amafaranga? Ese abantu bashobora gukundana nta mafaranga? Ibi bibazo n'ibindi, nibyo turibuganireho hamwe na Ariane Uwimana muri iki kiganiro. Muryoherwe n'iki kiganiro. 2021-10-0315 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Yabes: On Irresponsibility Of Our Generation.When we are born, we never imagine growing up and becoming our own caretaker. From age zero, we depend on our guardians to motivate, push, and guide us in everything we do. Unfortunately, most of us never prepare for the day that our caretakers won't be there anymore. Taking responsibility is about self parenting, self leadership, and self authoring. Ask yourself these following questions to know if you are responsible.  - If no one told you what to do, would you know what to do?  - When is the last time you learned...2021-10-0334 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Going Back to Rwanda After Ten Years: What I Learned.In this episode I talk about what most people told me.  "I hope you didn't change." said one old friend.  "What did you do to my son?" Said my mother.  Conclusion: Change is the most feared aspect of life. Yet it's inevitable and unpredictable. For more about this topic keep listening and learn how I deal with it. 2021-09-0108 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Divine Inshuti: Itandukaniro hagati y'abagabo n'abagore (The difference between men and women)Hari ibintu abagabo n'abagore duhuriyeho n'ibindi dutandukaniyeho. Ariko hari abatabyemera batekereza ko abagabo n'abagore bose bashobora kuba bamwe. Muri iki kiganiro turiburebere hamwe uko twasobanukirwa kamere zacu n'ukuntu byadufasha kubana neza. 2021-08-2247 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.My healing journey from grief of my Father, my little brother, my auntie, my two uncles, and all my grandparents. How you can naturally heal from any illness.In this episode, I talk about  1. My healing journey from grief of my Father, my little brother, my auntie, and my two uncles.  2. Consequences of unhealed trauma like loss and how you can naturally heal from any illness.  3. HOW and WHY; - I quit playing and leading music - Dropped out of college - Stopped going to church - Stopped hanging out with people who drained my energy - Started my side hustle. - Moved to Africa I DID IT...2021-08-0607 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Irakoze Gisele on how to be productive and finding your true calling.Did you know Amazon started as an online book store. They sold books only. Today Amazon sales almost anything you can think of. One of the reason why we fail to create change is wasting our time, resources, and energy waiting for our calling and passion to be revealed to us. The truth is, finding one's calling is about engaging and trying all the talents and ideas given to us. If you want to know what you're meant to do in your life, start by pursuing anything you're interested in. 2021-07-2606 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Gisele Irakoze on what it takes to manifest ones dreams and the biggest enemy of young people."The truth is that we are lazy and want the outcome without sacrifice and hard work." Irakoze Gisele.  2021-07-2012 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Gisele Irakoze on how to find your life's purpose, starting an organisation, and best work ethics that can help you fulfil your dreams and purpose.As a founder of Ndabaga Impact, a university student, and first born, Irakoze Gisele shares how she went from being told she could be a computer programmer, lawyer, and now management to becoming an activist who helps young people. It all started with herself ignoring society's prescription of success and dive deep in her heart to find out what she was made to do. In this episode you will learn her path, tricks, struggles, and what worked for her. You will also learn how to concur your fears, build strong work ethics to pursue your dreams. Hope you enjoy...2021-07-1719 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Self Control - Kwiyima (This Episode is in Kinyarwanda)"The chief cause of failure and unhappiness is trading what you want most for what you want now."~ Zig Ziglar The biggest obstacle between our desired best life can be narrowed down to self control. 2021-07-0354 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Is There A Difference Between Being Civilised and Being Open Minded?Join Sauti Zetu Team discussing the difference between being civilised and being open minded. This our first episode together face to face since we started working together last year. 2021-07-0346 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.How To Meet Your SO's Needs. Key Word "Listen."Most complaints and disagreements come from lack of understanding. When we fail to listen carefully what the person is saying, they remain unheard which leads to feeling dissatisfied. Our job in any relationship is to understand other people's needs and find a way of meeting them since we are the only people who promised to meet their needs. This goes both ways. 2021-07-0303 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.How To Maintain Relationships. Key Word "Attention".Most relationships fade not because of lack of passion but because of lack of attention and intentionality. To be able to maintain a long term relationship one needs to be able to self regulate, correct, and lead in supporting and meeting their significant other's needs. If you can control your attention and what you do with it, you can definitely build a long lasting relationship. It all begins with ourselves. We blame others while we can't even notice what's going on with people in our lives. 2021-07-0311 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.The Wealth Circle Or System Used by Companies Like Uber, Amazon, & Apple to Create Wealth.If you want to be a billionaire, you need to reach a billion of people. There is a system to wealth creation and job creation. In this episode you will discover the most obvious system behind wealth. No one becomes rich by accident unless they've won lottery. 2021-07-0303 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.The Limiting Beliefs Holding You Back.There is a reason why Jews believe they were meant to be rich. This doesn't mean all Jews are wealthier. But those who are rich, are those who believe they were destined for greatness. What you tel yourself determines the quality of your life. You cannot become successful is you believe your salvation will come from outside. You will never be free if you believe it's someone else's duty to create that. Those who are wealth, free, and happy in life, are those who believe they have what it takes and can create anything they want in life.2021-07-0303 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.The Hillsong's Success: The Untold Story.The biggest challenge facing our continent is wealth creation. With the highest unemployment rates, we need to understand how wealth is created which will lead us to be self sufficient. We don't need outside help to save us from poverty. What we need is understanding how wealth countries created their wealth. In this episode you will discover how rich we are in terms of row material and resources that is needed to create our own wealth and employment. 2021-07-0302 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Why You're Not Ready For Love.If you met the love of your life, would you confidently say you are ready for them? The truth about relationships is that we were never raised with necessary tools and knowledge that would prepare us for love and marriage. Most of us just know what we want but we have no clue what it takes to keep it and maintain it. The person you are searching for won't just happen by accident. And if they happened, do you know what it takes to meet their needs and maintain a long lasting relationships with them? Everybody knows what is...2021-07-0304 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Faith & Dami — Can Love Go Beyond Religion and Race?What if the person you've been looking for isn't from your religious background, race, or social class? For most of us, the issues isn't even finding someone who would love us. The issue is our biases, ignorance, and prejudice towards others. If we believe we are all human beings, then let's start acting and doing what we preach. If what we need is love, let be love and not our indifferences. This a compiling story of how two young people found love in the most unexpected places.2021-07-0306 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.The Last Dating Advice You Will Ever Need By Joe Dispensa.To sum it all up, if you want a long lasting relationship, start doing this. 2021-07-0303 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.You Are Not A Builder.It would be foolish and unwise to ask for a job without proper skills and requirements. Why would you take on an assignment knowing well that you are not build to maintain it? Relationships are built. They are like a house that needs specific skills, commitment, and work ethic. You can't acquire an assignment and leave it unfinished or undone. Most of us think we lack good people, but what we actually lack is the ability to build whatever we sign up for. Are you ready to build what you signed up for? Are you even aware of the...2021-07-0308 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.You Don't Like Solving Problems.How hypocritical of us for wishing to have relationships without problems? Wishing for relationships without problems is a childish and a sign of immaturity. It's also a sign that we are not ready to suffer or face whatever challenges we might face in life. Get comfortable with problems and you'll be able to face anything in life including solving relational or people problems. 2021-07-0308 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.You Lack Emotional Intelligence.Listen to the story behind my father's loss of his front teeth. Relationships require a huge emotional investment. People are emotional beings and the secret to sustain our relationships with each other relies in our ability to manage our emotions. Unfortunately most of us are unaware of our emotional intelligence deficiency. We lack the understanding and awareness of our emotions. We lack emotional maturity and resilience. The ability to be around people without being offended or offending others starts by managing and taking control of our emotions first.  2021-07-0307 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.You're Not Ready To Do Whatever It Takes.If we claim relationships are essential to us, then why do we give them left overs? We need to understand one thing. Nothing in life worth having has ever happened without a sacrifice. If we want great relationships, we need to be willing to do whatever it takes to build and sustain them no matter what the cost might be. 2021-07-0301 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.You Don't Know Your Survival Depends On It.Relationships are important for a reason. In this episode you will learn why it's important to form long lasting relationships and the benefits of having great relationships.2021-07-0302 minChambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.Chambua - DissectingIdeologies Behind Relationships, Beliefs, Success, and Leadership.You Don't Know What You're Up Against.The beginning of wisdom starts by knowing the root of your problems. We cannot fix problems we are unaware of. We need to start by pointing out all problems that have been stopping us from building and forming long lasting relationships. 2021-07-0303 minIjuekweli Na Binti NgasalaIjuekweli Na Binti NgasalaSauti ya MunguKutoka katika story ya samson tunajifunza kuisikiliza zaidi sauti ya Mungu kuliko kalama zetu2020-03-2913 minNi SalamaNi SalamaAkili kufungwa na shetani ili usifikie malengo yakoAKILI KUFUNGWA NA SHETANI. Luka 8:26‭-‬39 “Wakafika pwani ya nchi ya Wagerasi, inayoelekea Galilaya. Naye aliposhuka pwani, alikutana na mtu mmoja wa mji ule, mwenye pepo, hakuvaa nguo siku nyingi, wala hakukaa nyumbani, ila makaburini. Alipomwona Yesu alipiga kelele, akaanguka mbele yake, akasema kwa sauti kuu, Nina nini nawe, Yesu, Mwana wa Mungu aliye juu? Nakusihi usinitese. Kwa kuwa amemwamuru yule pepo mchafu amtoke mtu yule. Maana amepagawa naye mara nyingi, hata alilindwa kifungoni na kufungwa minyororo na pingu; akavikata vile vifungo, akakimbizwa jangwani kwa nguvu za yule pepo. Yesu akamwuliza, Jina lako nani? Akasema, Jina langu ni Jes...2019-07-0609 min