podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
SautiPodcast
Shows
SautiPodcast
S02E26 >> KWANINI MAHUSIANO MENGI YA VIJANA HIVI SASA HAYADUMU?
Je unadhani ni kwanini na kitu gani kinapelekea mahusiano mengi ya vijana kutodumu hivi sasa? Bonyeza link hiyo kusikiliza sababu zake?--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2022-05-11
33 min
SautiPodcast
S02E26 >> KWANINI MAHUSIANO MENGI YA VIJANA HIVI SASA HAYADUMU?
Je unadhani ni kwanini na kitu gani kinapelekea mahusiano mengi ya vijana kutodumu hivi sasa? Bonyeza link hiyo kusikiliza sababu zake? --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2022-05-11
33 min
SautiPodcast
S02E25 >> MOTIVATIONAL SPEAKER WANAMSAADA WOWOTE KATIKA MAISHA YAKO?
Kumekuwa na wimbi kubwa la ongezeko la motivational speaker ( wazungumzaji wanaotoa motisha) kwa upande wako uwepo wao na maneno yao yamebadili kitu chochote katika maisha yako unaona wanamsaada wowote kukusaidia kukua zaidi au?Ungana na Isack Isack, Timz na Lusekelo katika mada hii!--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2022-03-04
14 min
SautiPodcast
S02E25 >> MOTIVATIONAL SPEAKER WANAMSAADA WOWOTE KATIKA MAISHA YAKO?
Kumekuwa na wimbi kubwa la ongezeko la motivational speaker ( wazungumzaji wanaotoa motisha) kwa upande wako uwepo wao na maneno yao yamebadili kitu chochote katika maisha yako unaona wanamsaada wowote kukusaidia kukua zaidi au? Ungana na Isack Isack, Timz na Lusekelo katika mada hii! --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2022-03-04
14 min
SautiPodcast
S02E24>> TOP 10 YA NCHI ZENYE WATU WENYE HASIRA DUNIANI
Kwa mujibu wa tovuti ya WORLDHAPPINESSREPORT imetoa orodha ya nchi kumi ambazo watu wake wana kiwango kikubwa cha hasira duniani!--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2022-02-24
01 min
SautiPodcast
S02E24>> TOP 10 YA NCHI ZENYE WATU WENYE HASIRA DUNIANI
Kwa mujibu wa tovuti ya WORLDHAPPINESSREPORT imetoa orodha ya nchi kumi ambazo watu wake wana kiwango kikubwa cha hasira duniani! --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2022-02-24
01 min
SautiPodcast
S02E23>> HIZI NDIO NCHI 10 ZENYE WATU WENYE IQ KUBWA DUNIANI
Hii ni orodha ya nchi 10 ambazo watu wake wana IQ (uelewa/akili)kubwa duniani! Je,Tanzania tunakamata nafasi ya ngapi? Karibu kusikiliza --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2022-02-17
03 min

S02E22>> NCHI 10 ZENYE FURAHA ZAIDI DUNIANI
Kwa mujibu wa tovuti ya WORLDHAPPINESSREPORT hii ni orodha ya nchi kumi(10) ambazo watu wake wanafuraha zaidi duniani!--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2022-02-17
02 min
SautiPodcast
S02E22>> NCHI 10 ZENYE FURAHA ZAIDI DUNIANI
Kwa mujibu wa tovuti ya WORLDHAPPINESSREPORT hii ni orodha ya nchi kumi(10) ambazo watu wake wanafuraha zaidi duniani! --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2022-02-17
02 min
SautiPodcast
S02E21>> NCHI 10 AMBAZO WATU WANAISHI UMRI MREFU ZAIDI DUNIANI
Kwa mujibu wa ripoti ya WORLDOMETER imeorodhesha nchi ambazo watu wake wanaishi umri mrefu zaidi hapa duniani............ karibu kusikiliza --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2022-02-02

S02E20>> NCHI 10 ZINAZOONGOZA KWA MAUAJI DUNIANI
Hii ni orodha ya nchi kumi (10) zinazoongoza kwa idadi kubwa ya mauaji ya watu duniani kwa mujibu wa tovuti ya The World Population Review.--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2022-01-25
02 min
SautiPodcast
S02E20>> NCHI 10 ZINAZOONGOZA KWA MAUAJI DUNIANI
Hii ni orodha ya nchi kumi (10) zinazoongoza kwa idadi kubwa ya mauaji ya watu duniani kwa mujibu wa tovuti ya The World Population Review. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2022-01-25
02 min
SautiPodcast
S02E19 >> TOP 10 YA NCHI ZISIZO NA FURAHA DUNIANI
Karibu kusikiliza episode 19 ya SautiPodcast inayohusu orodha ya nchi kumi (10) zisizo na furaha duniani kwa mujibu wa ripoti ya WORLDHAPPINESSREPORT ya 2021-2022 imetoa orodha hiyo na hapa tunakuletea nchi 10 hizo, je Tanzania 🇹🇿 tupo nafasi ya ngapi?--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2022-01-13
02 min
SautiPodcast
S02E19 >> TOP 10 YA NCHI ZISIZO NA FURAHA DUNIANI
Karibu kusikiliza episode 19 ya SautiPodcast inayohusu orodha ya nchi kumi (10) zisizo na furaha duniani kwa mujibu wa ripoti ya WORLDHAPPINESSREPORT ya 2021-2022 imetoa orodha hiyo na hapa tunakuletea nchi 10 hizo, je Tanzania ?? tupo nafasi ya ngapi? --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2022-01-13
02 min
SautiPodcast
S02EP18>> KWANINI MACHINGA WAKUFUKUZWE?
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amewataka machinga wote waliosehemu sio rasmi kondoka mara moja!Je hatua hiyo unaionaje ikiwa wewe kama mwananchi?...... --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-10-26
21 min
SautiPodcast
S02EP18>> KWANINI MACHINGA WAKUFUKUZWE?
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amewataka machinga wote waliosehemu sio rasmi kondoka mara moja!Je hatua hiyo unaionaje ikiwa wewe kama mwananchi?......--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-10-26
21 min
SautiPodcast
S02EP17>> Diamond Platnumz amchana Dir.Kenny Kutoendekeza mapenzi na kazi/Video ya Faragha ya Tiwa Savage Yavuja
Diamond Platnumz kamchana aliyekua mtayarishaji wake wa video Kenny kutoendekeza mapenzi/ Video ya Utupu ya Tiwa Savage yasambaa mitandaoni --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-10-21
16 min
SautiPodcast
S02EP17>> Diamond Platnumz amchana Dir.Kenny Kutoendekeza mapenzi na kazi/Video ya Faragha ya Tiwa Savage Yavuja
Diamond Platnumz kamchana aliyekua mtayarishaji wake wa video Kenny kutoendekeza mapenzi/ Video ya Utupu ya Tiwa Savage yasambaa mitandaoni--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-10-21
16 min
SautiPodcast
S02EP16>> UKIAMBIWA UMEKUWA UNAELEWA NI NINI?
Ukisikia mtu anakuambia umekuwa! Wewe unaelewaje? --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-10-11
25 min
SautiPodcast
S02EP16>> UKIAMBIWA UMEKUWA UNAELEWA NI NINI?
Ukisikia mtu anakuambia umekuwa! Wewe unaelewaje?--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-10-11
25 min
SautiPodcast
S02EP14 Habari360>>SOKWE ALIYEPIGA SELFIE AMEFARIKI
3.Sokwe aliyejizolea umaarufu kwa kupiga selfie afariki dunia 2. Youtube yafuta akaunti za Rkelly katika mtandao huo 1.Tanzania kuanza kutoa takwimu za uviko19 kila wiki katika mtandao --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-10-06
04 min

S02EP15 >> WHATSAPP KUJA NA KIPENGELE CHA BIASHARA
Mtandao wa WhatsApp unakuja na mango wa kuweka mawasiliano (contacts) za maeneo ya karibu na wewe mtumiaji. Kama vile Migahawa, Maduka ya nguo na huduma nyingine muhimu..... --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-09-21
04 min
SautiPodcast
S02EP15 >> WHATSAPP KUJA NA KIPENGELE CHA BIASHARA
Mtandao wa WhatsApp unakuja na mango wa kuweka mawasiliano (contacts) za maeneo ya karibu na wewe mtumiaji. Kama vile Migahawa, Maduka ya nguo na huduma nyingine muhimu.....--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-09-21
04 min
SautiPodcast
SautiPodcast (Trailer)
--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-08-24
00 min
SautiPodcast
SautiPodcast (Trailer)
--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-08-24
00 min
SautiPodcast
S02E13>> TOP 30 YA WASANII WALIOTAZAMWA ZAIDI YOUTUBE
Hii ni Top30 ya wasanii ambao wanaongoza kwa kitazamwa zaidi katika mtandao wa YouTube pamoja na Video zao zenye watazamaji wengi! Karibu kusikiliza......... --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-08-14
13 min
SautiPodcast
S02E13>> TOP 30 YA WASANII WALIOTAZAMWA ZAIDI YOUTUBE
Hii ni Top30 ya wasanii ambao wanaongoza kwa kitazamwa zaidi katika mtandao wa YouTube pamoja na Video zao zenye watazamaji wengi! Karibu kusikiliza.........--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-08-14
13 min
SautiPodcast
S02EP12 >> NI SAHIHI KUJIWEKA KARIBU NA JINSIA NYINGINE AS BESTIES IKIWA UPO KWENYE MAHUSIANO?
Unadhani ni sahihi kujiweka karibu na jinsia nyingine as besties ikiwa wewe upo kwenye mahusiano? S/O kwa Timz,Lusekelo na Liku kwa kujoin nami katika episode hii na kutoa maoni yao...... karibu kusikiliza --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-08-05
34 min

S02E11 >> JINSI YA KUENJOY UJANA
Nimeshare nawe vitu kadhaa vya kufanya ili uweze kuenjoy maisha kama kijana! share nawe maoni yako nitayasoma katika episode ijayo ......... --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-07-29
11 min
SautiPodcast
S02E11 >> JINSI YA KUENJOY UJANA
Nimeshare nawe vitu kadhaa vya kufanya ili uweze kuenjoy maisha kama kijana! share nawe maoni yako nitayasoma katika episode ijayo .........--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-07-29
11 min
SautiPodcast
S02E10>> KITU GANI KINAKUKERA PALE UNAPOKAA NA MTU SITI MOJA KWENYE BASI ZA MIKOANI
Leo tumezungumzia kero tusizozipenda pale tunapokaa siti moja na mtu katika basi ya mikoani! Nimezungumza na Lusekelo, Timothy pamoja na Liku wao wameshare experience zao....... nawe unaweza niambia kwa kunitumia message au tembelea kurasa zangu za kijamii FB: Isack Isack @Instagram: officialisackisack --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-07-16
38 min

S02E09 >> TBT BONGO FLEVA TOP 4 (RoundUp)
Kila alhamisi tutakuwa na top 4 ya ngoma kali za kitambo toka Tanzania! Nitakuwa na wageni wao watachagua kila moja nyimbo nne!--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-06-24
24 min
SautiPodcast
S02E09 >> TBT BONGO FLEVA TOP 4 (RoundUp)
Kila alhamisi tutakuwa na top 4 ya ngoma kali za kitambo toka Tanzania! Nitakuwa na wageni wao watachagua kila moja nyimbo nne! --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-06-24
24 min
SautiPodcast
S02E08 >> VIFAHAMU VYUO VIKUU KUMI (10) BORA DUNIANI
Fahamu orodha ya vyuo vikuu bora zaidi duniani kwa sasa, Nafasi ya kwanza imekamatwa na MIT kwa mwaka wa 10 mfululizo.Vyuo hivi vimetoka katika mataifa ya switzerland,uingereza na marekani...Kwa msaada wa mtandao nimekuletea orodha hiyo,Karibu kusikiliza......--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-06-17
03 min
SautiPodcast
S02E08 >> VIFAHAMU VYUO VIKUU KUMI (10) BORA DUNIANI
Fahamu orodha ya vyuo vikuu bora zaidi duniani kwa sasa, Nafasi ya kwanza imekamatwa na MIT kwa mwaka wa 10 mfululizo. Vyuo hivi vimetoka katika mataifa ya switzerland,uingereza na marekani... Kwa msaada wa mtandao nimekuletea orodha hiyo,Karibu kusikiliza...... --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-06-17
03 min
SautiPodcast
S02E02 (INFOTECH) MFUMO MPYA ENDESHI WA HUAWEI (Harmony OS) UMEANZA KUFANYA KAZI
Mfumo mpya wa Kampuni ya Huawei wa HARMONY OS umeanza kufanya kazi katika vifaa vya HUAWEI ikiwa ni muda mchache baada ya marekani kuifungia kampuni hiyo kutumia mfumo wa Android kutoka Google!--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-06-09
04 min
SautiPodcast
S02E02 (INFOTECH) MFUMO MPYA ENDESHI WA HUAWEI (Harmony OS) UMEANZA KUFANYA KAZI
Mfumo mpya wa Kampuni ya Huawei wa HARMONY OS umeanza kufanya kazi katika vifaa vya HUAWEI ikiwa ni muda mchache baada ya marekani kuifungia kampuni hiyo kutumia mfumo wa Android kutoka Google! --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-06-09
04 min
SautiPodcast
S02E07 DALILI 9 ZA DEPRESSION (SONONA)
Let's talk about depression(sonona) ushawahi kuwa na sonona au ushawahi kuwa na mtu mwenyewe sonona? Leo tunaangalia dalili 9 za depression (sonona) unazoweza au anazoweza kuwa nazo mtu depression (sonona). --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-05-24
09 min

S02E06 NJIA NNE ZA KUKABILIANA NA STRESS (MSONGO WA MAWAZO) NA DEPRESSION (SONONA)
Hizi ni njia nne ambazo unaweza kuzitumia kukabiliana na stress (msongo wa mawazo) na Depression (Sonona) nimepitia maandiko/machapisho ya wanasaikolojia kadhaa na kuongea na baadhi ya watu waliopitia changamoto za stress, wamenieleza njia kadhaa walizozitumia kuikabili stress nami nimeshare nanyi kupitia podcast yangu. Karibu kusikiliza --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-05-17
06 min

S02E05 JE?KUNA MAPENZI YA KWELI MITANDAONI?
Tumepiga story kuhusu mapenzi ya mitandaoni pale unapokutana na mtu na ukataka kuanzisha nae mahusiano kwahiyo tunaulizana Je kuna mapenzi ya kweli mitandaoni mf.instagram,facebook nk.--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-05-10
20 min
SautiPodcast
S02E05 JE?KUNA MAPENZI YA KWELI MITANDAONI?
Tumepiga story kuhusu mapenzi ya mitandaoni pale unapokutana na mtu na ukataka kuanzisha nae mahusiano kwahiyo tunaulizana Je kuna mapenzi ya kweli mitandaoni mf.instagram,facebook nk. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-05-10
20 min
SautiPodcast
Shout-out from my Brother ✌😊
Thanks to my brother @sethwaeast he give me S/O about my podcast 🤗! U can also send me your shout out or any suggestions about my podcast for sending me a voice message! Good news I'm looking forward to work with him anytime soon 🎤🤗 stay alert!--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-04-13
00 min
SautiPodcast
Shout-out from my Brother ✌?
Thanks to my brother @sethwaeast he give me S/O about my podcast ?! U can also send me your shout out or any suggestions about my podcast for sending me a voice message! Good news I'm looking forward to work with him anytime soon ? stay alert! --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-04-13
00 min
SautiPodcast
S02E04 >> HAWA NDIO WANAWAKE WANAOSHIKA NA WALIOWAHI SHIKA NYADHIFA YA URAIS BARANI AFRIKA
Hii ndio orodha ya wanawake waliowahi kushika na wanaoshika nyadhifa ya urais katika nchi mbalimbali hapa barani Afrika kwa muda wa miongo miwili! Karibu kusikiliza --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-04-01
06 min
SautiPodcast
S02E04 >> HAWA NDIO WANAWAKE WANAOSHIKA NA WALIOWAHI SHIKA NYADHIFA YA URAIS BARANI AFRIKA
Hii ndio orodha ya wanawake waliowahi kushika na wanaoshika nyadhifa ya urais katika nchi mbalimbali hapa barani Afrika kwa muda wa miongo miwili! Karibu kusikiliza--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-04-01
06 min
SautiPodcast
S02EP03 >> FAHAMU MARAIS 9 WALIOFARIKI WAKIWA MADARAKANI HAPA BARANI AFRIKA
Kufuatia Kifo cha rais wa awamu ya tano wa Tanzania Hayati John Pombe Magufuli! Nimekuleta orodha ya marais 9 kutoka nchi mbalimbali barani afrika waliofariki madarakani!--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-03-30
04 min
SautiPodcast
S02EP03 >> FAHAMU MARAIS 9 WALIOFARIKI WAKIWA MADARAKANI HAPA BARANI AFRIKA
Kufuatia Kifo cha rais wa awamu ya tano wa Tanzania Hayati John Pombe Magufuli! Nimekuleta orodha ya marais 9 kutoka nchi mbalimbali barani afrika waliofariki madarakani! --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-03-30
04 min
SautiPodcast
S02E01 >> TOP 30 FASTEST MUSIC VIDEO TO REACH 1 BILLION VIEWS
This is my first episode i talk about musics 🎶!so i decide to counting down top 30 fastest music video to reach 1 billion views for 6 past years! Share your thoughts with me via my IG @officialisackisack --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-03-27
12 min
SautiPodcast
S02E01 >> TOP 30 FASTEST MUSIC VIDEO TO REACH 1 BILLION VIEWS
This is my first episode i talk about musics !so i decide to counting down top 30 fastest music video to reach 1 billion views for 6 past years! Share your thoughts with me via my IG @officialisackisack --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-03-27
12 min
SautiPodcast
S02E01: KITU GANI UNAONA AIBU KUNUNUA MBELE ZA WATU?
Kila mtu ana kile kitu anaona aibu kununua mbele za watu! Mimi Isack nimepiga story na marafiki zangu wawili lusekelo na timothy! Wao wamenipa experience waliyoipita pindi walipotaka kununua vitu hivyo! Nawe unaweza share nami ukaniambia ni kitu gani unaona aibu kununua mbele za watu...............--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-03-15
14 min
SautiPodcast
S02E01: KITU GANI UNAONA AIBU KUNUNUA MBELE ZA WATU?
Kila mtu ana kile kitu anaona aibu kununua mbele za watu! Mimi Isack nimepiga story na marafiki zangu wawili lusekelo na timothy! Wao wamenipa experience waliyoipita pindi walipotaka kununua vitu hivyo! Nawe unaweza share nami ukaniambia ni kitu gani unaona aibu kununua mbele za watu............... --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2021-03-15
14 min
SautiPodcast
S01E02 NONGWA MSICHANA AKIKUELEZA SHIDA ANATAKA KUKUPIGA HELA AU ANAKUAMINI
Kijiwe Nongwa kimejadili hii Mada ambayo imenukuliwa kutoka kwa rapa Nikki wa pili "Msichana akikueleza shida hasa ya kifedha je amekuamini au anataka kukupigia hela tu" sikiliza maoni ya wajumbe then nawe changia yako kupitia instagram @officialisackisack --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2020-08-12
23 min

S01E01 NONGWA: KWANINI NI VIGUMU KWA WANAUME KUOA MWANAMKE AMBAYE AMEZAA TAYARI!
Hapa ni Kijiwe Nongwa Tutakuwa tukizungumza stori mbalimbali zilizopo mitaani, visa na mikasa! Mada ya Leo inasema "Kwanini ni vigumu kwa wanaume Kuoa mwanamke ambaye tayari ameshazaa na inakuwa rahisi kwa wanawake Kuolewa na mwanaume ambaye tayari amezaa! Sasa nimezungumza na vijana wao wametoa mitazamo yao Nawe Toa maoni yako nitasoma meseji zote! --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2020-08-11
35 min

S01E0 SOCIALLIFE: Hiki Ndicho Walichokisema Wananchi Baada Ya Kauli Ya Harmonize Kwa Wolper!
Hii ni episode itakayokuwa inazungumzia masuala mbalimbali yanayowahusu mastaa mbalimbali duniani kote! --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2020-08-11
19 min

S01E01 SPORTKONA: Uchambuzi Wa Tuzo Za VPL/Matokeo ya UEFA Na Mechi Za Leo
Sikiliza Uchambuzi wa matokeo ya Washindi wa Tuzo za Ligi kuu Tanzania Bara VPL kwa msimu wa 2019/2020 zilizofanyika Tarehe 7 August 2020 Mlimani city! Na Uchambuzi Wa Matokeo Ya UEFA na Mechi zitakazochezwa 8/8/2020! Ungana na Isack Isack akiwa na Kevoo--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2020-08-08
39 min
SautiPodcast
S01E01 SPORTKONA: Uchambuzi Wa Tuzo Za VPL/Matokeo ya UEFA Na Mechi Za Leo
Sikiliza Uchambuzi wa matokeo ya Washindi wa Tuzo za Ligi kuu Tanzania Bara VPL kwa msimu wa 2019/2020 zilizofanyika Tarehe 7 August 2020 Mlimani city! Na Uchambuzi Wa Matokeo Ya UEFA na Mechi zitakazochezwa 8/8/2020! Ungana na Isack Isack akiwa na Kevoo --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2020-08-08
39 min
SautiPodcast
S01E02 INFOTECH:Twitter Yaja Na Features za kulipia/Instagram yaongeza Instagram Reel
Episode itakayokuwa inazungumzia masuala mbalimbali ya Teknolijia na utandawazi katika ulimwengu wa sasa!--- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2020-08-07
10 min
SautiPodcast
S01E02 INFOTECH:Twitter Yaja Na Features za kulipia/Instagram yaongeza Instagram Reel
Episode itakayokuwa inazungumzia masuala mbalimbali ya Teknolijia na utandawazi katika ulimwengu wa sasa! --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2020-08-07
10 min
SautiPodcast
S01E01 Habari360 - TCRA NA SHERIA MPYA YA MITANDAO NA HABARI 2020
Habari360 ni episode itakayokuwa inazungumzia masuala mbalimbali ya Habari za kisiasa, jamii kitaifa na mataifa --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2020-08-06

S1EP01 INFOTECH
Infotech ni episode itakayokuwa inazungumzia masuala mbalimbali ya Teknolijia na utandawazi katika ulimwengu wa sasa! Tutakuwa na mijadala, mahojiano na Taarifa --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message
2020-08-05