podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Simulizi Radio Online
Shows
Washkaji Podcast
SIMULIZI: FILAMU YA TANZANIA ROYAL TOUR
SIMULIZI: FILAMU YA TANZANIA ROYAL TOUR Ushiriki wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Vifahamu Vikwazo, Changamoto na Mafanikio ya zoezi zima la uandaaji wa filamu hii hadi kuzinduliwa kwake.
2024-02-22
04 min
Salama Na
SE7EP28 - SALAMA NA GARA B | BABA SHUGHULI
Jina MC Gara B ni miungoni mwa majina makubwa sana kwenye ulimwengu wa kazi ambayo mwenzetu huyu amechagua kuifanya. Familia yake, mke na watoto, wazazi wake na wa mkewe pengine, Ndugu jamaa na marafiki na waajiriwa wake wanakula vizuri kwasababu ya kipaji chake Ndugu yetu huyu. Ni mwanaume ambaye akiwa kazini kwake furaha na burudani ambayo huwapa wateja wake ndo inayomfanya azidi kuenda mbali kwenye tasnia hiyo ya ushereheshaji. Again, yeye ni mmoja ya BORA kadhaa ambao wanafanya kazi kama yake. Mtandao wa kijamii ni kitu kimoja chenye nguvu sana kwenye miaka ya hivi karibuni, kwa ushahidi...
2022-12-22
1h 00
Salama Na
SE7EP24 - SALAMA NA LULU DIVA | UKIPATA KINYAKUE
Kuna mambo mengi wakati mwengine ambayo yanakua yanaendelea au yalitokea kwenye maisha ya baadhi ya watu ambao huja kukaa kwenye kiti chetu chakavu na meza yenye kigae. Ila kwasababu zilizo wazi za kuwataka wasijisikie uncomfortable na pengine kuwafanya hata ambao wangependa au ambao tungependa waje nao wasijiskie hivyo ndo kanuni ambayo tumeamua au niseme niliamua kipindi huko nyuma kuifuata. Nia na madhumuni ya session zetu hizi zaidi ni kuwapa watu maua yao wakiwa hai, sisi nasi kuskiliza hadithi za maisha yao ambazo zitatupeleka sehemu fulani katika maisha yatu na hili pia humuambia kila mgeni anapokalia tu kiti chetu chakavu...
2022-11-30
1h 15
Kisa Changu
Kisa Changu Podcast: Waliomuua mume wetu wanatuandamana -Wake wa Isaac Juma
Zaidi ya miezi miwili tangu aliyekuwa shabiki sugu wa kandanda nchini Isaac Juma kuuliwa, familia yake ya wake wawili na watoto kumi na saba ingali inahangaika. Wakati wa hafla ya mazishi wanawe Juma waliitaka serikali kuwaondoa katika eneo hilo wakidai maisha yao yalikuwa hatarini. Katika simulizi ifuatayo Wake wa Juma Christine na Farida Juma wamethibitisha madai hayo wakisema watu wasiowajua wamewavamia mara si moja tangu mume wao alipozikwa huku idara za usalama zikisalia kimya. Mwanahabari Benard Lusigi amewahoji Christine na Farida Juma.
2022-03-06
08 min
Nukta the Podcast
Simulizi ya Mtaa unaomezwa na maji ya Ziwa Victoria
Ni Mtaa wa Ziwa mkoani Mwanza ambao umeharibiwa huku nyumba za wakazi wake zikizama kwenye maji baada ya kina cha maji cha Ziwa Victoria. Kuongeza kwa kina cha maji cha ziwa hilo ni matokeo ya uchafuzi wa mazingira, mafuriko na mvua kubwa iliyonyesha mwaka 2020. Wadau wa mazingira washauri watu kuondoka katika mtaa huo huku wakihimiza watu kuacha kujenga au kufanya shughuli za kilimo na uzalishaji ndani ya mita 60 ya vyanzo vya maji ili kuepuka madhara. Kufahamu zaidi, sikiliza makala haya yanayoleta kwenu na Herimina Mkude.
2022-02-25
06 min
Nukta the Podcast
Filamu ya Brazen: Maandishi yanayomuwinda mwandishi wa vitabu
Filamu ya “Brazen” inamuhusu mwanamama Grace Miller ambaye ni nyota maarufu wa vitabu vya simulizi nchini Marekani ambaye maandishi yake yanaanza kugeuka uhaisiana kumuwinda.
2022-02-11
07 min
Eligius's podcast
Karibuni, Tuko Live Hapa
2022-02-05
00 min
RadioRahma
Wanafunzi waliopachikwa mimba warudi shuleni Kwale
Simulizi zifuatazo ni za waschana kati ya umri wa miaka 13-14 kutoka shule za msingi tofauti tofauti hapa Kwale. Watoto hawa chini ya umri wa miaka 14 wamedhulumiwa kwa kupachikwa mimba na sasa ni walezi wa watoto. Ila watoto hawa ambao pia ni wanafunzi wameziweka nia za kuendeleza masomo yao ima kwa mimba au baada ya kujifungua. By: Mwanaharusi Rashid
2021-11-18
15 min
Karry Fm
Makala ya simulizi 2
Mwanafunzi Wa chuo kikuu ( TUK)
2021-11-09
04 min
Karry Fm
#makala ya simulizi 1
Je,uko na simulizi itakayo mpa moyo mwengine Ili asikate tamaa??,Sena na pendo Karima
2021-11-02
02 min
Nukta the Podcast
“My Name” Filamu ya kuchangamsha wikiendi yako
Katika filamu hii ya “My name”, yaani jina langu, tunakutana na binti mrembo Yoo Ji Woo, ambaye katika maisha yake amekuwa akilelelewa na baba yake tu. Kwa jinsi baba yake alivyokuwa akimpenda sana, basi Jiwoo anaweza kujiita “dad’s daughter” kama vile wadada huwa wanajigamba. Maisha ya Jiwoo na baba yake siyo mazuri sana, kwani baba yake hakuwa na kazi rasmi ya kuwaingizia kipato zaidi ya kuwa mtu tuanayejihusisha na kazi haramu au tunaweza kumuita ‘gangstar’ Licha ya umaskini wao, maisha ya upendo na furaha yalikuwa ni kila kitu. Maisha ya Jiwoo yanakuja k...
2021-10-22
06 min
Karry Fm
#simulizi yangu
Girls can shine too,,,kujiamini muhimu jamani .
2021-10-17
04 min
One Africa Podcast
Exclusive Interview with SKY the founder and CEO of Simulizi Na Sauti (SNS)
Fredrick Bundala aka SKY Walker is the content entrepreneur, founder, and CEO of Simulizi Na Sauti (SNS). He started SNS in 2017 after resigning from his previous job and now he is running a youtube channel with almost 200mil views. He was awarded as the best male presenter in digital media 2020. Find out his journey as an enterprenuer, struggles of starting a business from the scratch, and how he is managing to work with his soulmate daily.
2021-10-12
48 min
One Africa Podcast
Exclusive Interview with SKY the founder and CEO of Simulizi Na Sauti (SNS)
Fredrick Bundala aka SKY Walker is the content entrepreneur, founder, and CEO of Simulizi Na Sauti (SNS). He started SNS in 2017 after resigning from his previous job and now he is running a youtube channel with almost 200mil views. He was awarded as the best male presenter in digital media 2020. Find out his journey as an enterprenuer, struggles of starting a business from the scratch, and how he is managing to work with his soulmate daily.
2021-10-12
48 min
Safinia Maliki's podcast
He Was Once In My Dreams Ep 1
Ni simulizi inayomuhusu Genevieve ambaye katika maisha yake ni mengi ameyapitia lakini kwasasa hatimaye kila kitu kimeanza kukaa katika mstari..........
2021-09-23
06 min
America Swahili News Podcast
Tundu Lissu | Simulizi mara baada ya kuamka hospitalini, Nairobi-Kenya
Tundu Lissu anaongea jinsi anavyokumbuka alivyo zinduka Nairobi, Kenya.--- Support this podcast: https://anchor.fm/patrick-nhigula/support
2021-09-12
26 min
Babananiii
MTU MWENYE BAHATI KULIKO WOTE KATIKA BABELI
Mwisho wa simulizi yetu ya tajiri wa babeli. Kazi ni utu. Kazi inamuheshimisha mtu katika watu
2021-09-07
50 min
Babananiii
KUTA ZA BABELI
Gharama ya ulinzi ni ya asili na kubwa sana kwa mwanadamu. Anahitaji kuwa salama, na mali zake kuwa katika ulinzi na usalama. Ndiyo dhima ya sehemu hii ya Saba (7) katika mfululizo wa simulizi ya TAJIRI WA BABELI.
2021-09-04
12 min
Story HUB Podcast
MAJINI Yananiandama (ANNA)
Simulizi ya kusisimua kuhusu maisha ya binti Anna Euckland, ROHO ZA MAUTI ZINAMUANDAMA KILA KUKICHA
2021-08-06
08 min
Prauthy Inspirations's podcast
SIMULIZI NA PRAUTHY EP1: HISTORIA YA GETRUDE
2021-06-29
12 min
Babananiii
MITHALI Sura ya 4
Mfululizo wa simulizi ya kitabu cha Mithali (Biblia).
2021-06-27
04 min
Babananiii
Mithali (sura ya 3)
Mfululizo wa simulizi ya kitabu cha Mithali (Biblia).
2021-06-26
04 min
Babananiii
Mithali Sura 1
Nimeadhamiria kukisoma kitabu cha Mithali kwa siku 31 kama zilivyo sura zake. Nimependelea kukisoma kwa sauti na kukushirikisha simulizi ya kitabu hiki.
2021-06-24
03 min
The Mjango Series Podcast
Masomo Imekusaidia Ama? 😂🤦♂️
We are sorry but we still want to probe our scholarly lives and distill how well what we learnt in our years in basic education helped us. From whether Vasco da Gama came to confirm he was still on earth, to how we were once homo habilis to fasihi simulizi and the length of River Nile. 🤦♂️ It's pure banter, don't mind, but it doesn't mean we don't have a point yoh!😂The argument is drawn from the fact that the education system we adopted teaches us to remember more than it teaches us to think. So think abourr...
2021-06-21
27 min
SIRI ZA BIBLIA
SIMULIZI ZA MASHAURI: WAGENI WACHAWI KANISANI {sehemu ya 4}
Inapatikana youtube,fuatilia https://youtu.be/4SslFrfEGCg --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
2021-05-04
12 min
SIRI ZA BIBLIA
SIMULIZI ZA MASHAURI: WAGENI WACHAWI KANISANI {sehemu ya 3}
inapatikana youtube,fuatilia https://youtu.be/4SslFrfEGCg --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
2021-05-04
10 min
SIRI ZA BIBLIA
SIMULIZI ZA MASHAURI: WAGENI WACHAWI KANISANI {sehemu ya 2}
inapatikana youtube https://youtu.be/4SslFrfEGCg --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
2021-05-04
08 min
SIRI ZA BIBLIA
SIMULIZI ZA MASHAURI: WAGENI WACHAWI KANISANI {sehemu ya 1}
Simulizi nzito zenye mikasa ya kufundisha na kukuza imani zetu kwa Mungu.Inapatikana youtube pia,andika siri za biblia ujifunze zaidi --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/siri-za-biblia/message
2021-05-03
05 min
Eligius's podcast
Simulizi Radio Online 🎤: SHAIRI LA MAPENZI (NYOTA YANGU)
2021-04-24
03 min
Eligius's podcast
MPAKA LINI? 😭😭 SEHEMU YA SITA (6)
2021-04-24
08 min
Eligius's podcast
Simulizi Radio Online: MPAKA LINI 😭😭SEHEMU YA TANO (5)
2021-04-21
12 min
Eligius's podcast
Simulizi Radio Online: MPAKA LINI?😭😭SEHEMU YA NNE (4)
2021-04-21
11 min
Eligius's podcast
Simulizi Radio Online: MPAKA LINI? 😭😭 SEHEMU YA TATU (3)
2021-04-21
13 min
Eligius's podcast
Simulizi Radio Online: MPAKA LINI? SEHEMU YA TATU (3)
2021-04-18
11 min
Eligius's podcast
MPAKA LINI? SEHEMU YA PILI (2)
2021-04-15
09 min
Eligius's podcast
MPAKA LINI SEHEMU YA KWANZA (1) 😭
2021-04-15
07 min
Eligius's podcast
Tangazo
2021-04-14
00 min
Eligius's podcast
SIMULIZI YA MAPENZI: 💕NILITAMANI NIMWAMBIE KUWA NAMPENDA💕
Ni Bora Kuvunja ukimya! Ukimpenda mwambie! Usije ukajuta Kama huyu jamaa! Fatilia mpaka mwisho, utajifunza!
2021-04-12
08 min
Eligius's podcast
SIMULIZI YA KWELI
Hii ni Simulizi ya Kweli, usipite bila kuisikiliza. Utajifunza kitu
2021-04-07
05 min
Eligius's podcast
MWALIMU NA DAKTARI
2021-04-06
04 min
Eligius's podcast
NIKIWA MKUBWA
2021-04-05
05 min
Eligius's podcast
PETE YA AJABU
2021-04-05
04 min
Eligius's podcast
MTOTO MTUNDU
Ni Kisa chenye Mafunzo ndani yake, hasa kwa Wazazi, walezi pamoja na watoto wao. Twende pamoja upate somo!
2021-04-05
05 min
Eligius's podcast
BRANDING ANOUNCENT
2021-04-04
03 min
Eligius's podcast
Episode 42 - Eligius's podcast
2021-04-04
00 min
SIRI ZA BIBLIA
MATHAYO 13: SABABU ZA YESU KUFUNDISHA KWA MIFANO
Wafuasi wake wakamwendea Yesu na kumuuliza, “Kwa nini unatumia simulizi hizi kuwafundisha watu?” 11 Yesu akawajibu, “Mungu amewapa ninyi ujuzi wa kuelewa siri za ufalme wa Mungu, lakini hajawapa watu hawa wengine ujuzi huu. 12 Kisha akawaambia, ‘Zingatieni kwa makini kile mnachokisikia. Kwani jinsi mnavyosikiliza kwa makini, ndivyo mtakavyoelewa na kuzidi kuelewa. Kwa kuwa kila aliye na uelewa kidogo ataongezewa zaidi. Lakini wale wasiosikiliza kwa makini watapoteza hata ule uelewa mdogo walio nao.’ 13 Ndiyo sababu ninatumia simulizi hizi kuwafundisha watu: Wanaona, lakini hakika hawaoni. Wanasikia, lakini hakika hawasikii au kuelewa. 14 Hiyo inathibitisha alichosema nabii Isaya kuhusu wao kuwa kweli: ‘Ninyi w...
2021-03-20
07 min
HOT 30
Simulizi ya penzi la jamila sehemu ya pili (2)
Muendelezo wa simulizi tamu ya kusisimua ya kimapenzi ya penzi la jamila sehemu ya pili kumbuka tamthilia hii itakuajia kila siku saa 4 kamili usiku --- Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/ahmad-kikoti/support
2021-02-28
08 min
HOT 30
Simulizi ya penzi la jamila sehemu ya kwanza
Fuatilia simulizi hii ya kusisimua itakayo kufanya ujifunze mengi katika ulimwengu wa mapenzi --- Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/ahmad-kikoti/support
2021-02-27
14 min
Salama Na
Ep. 52 - Salama Na HAJI | ALIYE KUTWIKA NDIYE ATAKAYEKUTUA
Haji Sunday Manara nlitaka kusema ni rafiki YANGU ila vacati navaza hilo nikakumbuka mmh, Haji Sunday Manara ni rafiki wa WATU WENGI hususan mashabiki wa klabu wangu pendwa na zaidi kwa watu ambao hawapendi hata mpira ila wanampenda tu jinsi anavyoseti mambo yake na anavyoigeuza sehemu yoyote aendayo kama sehemu yake ya kujitamba na kujitutumua na tofauti yake na WACHACHE ambao wanafanya kazi kama yake ni kwamba yeye anaweza KUYATEMBEA yale anayo YAONGEA. Mapenzi yangu kwake ni ya first class na namini hata yeye analifahamu hilo, huwa namtazama kwa kuvutiwa hasa kwababu ya anavyojibeba na kukiaminisha kile...
2021-02-04
1h 23
Pascal Tuliano's podcast
Simulizi: THOMAS SANKARA ALIVYOUAWA NA RAFIKI YAKE WA KARIBU @PascalTuliano ft. EssauNg'umbi
Fahamu kisa cha mwanamapinduzi maarufu barani Africa Thomas Sankara alivyosalitiwa na kuuawa na rafiki yake kipenzi Blaise Compaore kwa uchu was madaraka...
2021-02-02
13 min
Pascal Tuliano's podcast
HATMA YA KUKUPENDA-Epsode 01.mp3
Hii ni Simulizi ya kufikirika inayoakisi maisha halisi katika jamii zetu...Msimuliaji: Pascal TulianoBaruapepe: tulianopascal@gmail.comMtunzi: Asha Juma SaidBaruapepe: jumaasha595@gmail.com
2021-01-08
07 min
Eligius's podcast
SI KOSA LANGU SEHEMU YA KUMI NA MBILI (12)
Sasa tunamuona Fatuma yupo kijijini, amekata tamaa Sana. Hana hakika na kesho yake. Je Ni kwanini yupo Katika Hali ile. Itakuwaje? Nini hatima yake na Familia yake? Karibu Sana tufatilie Mwanzo mpaka Mwisho.
2020-12-31
12 min
Eligius's podcast
SI KOSA LANGU SEHEMU YA KUMI NA MOJA (11)
Siku ya Leo si nzuri hata Kidogo kwa Mrembo Fatuma! Amepokea taarifa mbaya Sana kutoka kijijini! Je Ni taarifa gani hizo? Zinamuhusu Nani? Karibu tufahamu majibu ya maswali yote haya!
2020-12-31
11 min
Eligius's podcast
SI KOSA LANGU SEHEMU YA KUMI (10)
Mrembo Fatuma Leo yupo kwenye mtego Kwelikweli. Je atavuka mtego huo au atanaswa? Ataendelea na kazi? Karibu twende sawa kupata majibu haha!
2020-12-31
12 min
Eligius's podcast
SI KOSA LANGU SEHEMU YA TISA (9)
Sasa Fatuma ameongozana na Rafiki yake Kipenzi Dolica, kwenda kwa Mwajiri wake mpya. Je Atapokelewa na kuanza kazi? Au itashindikana? Karibu tufatilie kisa hiki Cha Kusisimua!
2020-12-31
12 min
Eligius's podcast
SI KOSA LANGU SEHEMU YA NANE (8)
Katika Sehemu hii, tunaona Fatuma, Mtoto wa Kitanga akijiandaa na Safari ya kuelekea jijini Dar es salaam. Je Safari hiyo itawezekana? Fuatana Na msimulizi Mwanzo mpaka Mwisho! Utaipenda!
2020-12-31
12 min
Eligius's podcast
SI KOSA LANGU SEHEMU YA SABA (7)
Katika Simulizi hii, Familia ya Mama Fatuma imetumika tu kuonyesha hali halisi ya Maisha ya kawaida Katika jamii zetu. Mhusika Fatuma ametumika Kama kiwakilishi tu Cha Wasichana wengi hasa Katika jamii zetu za Kiafrika. *SimuliziRadioOnline* tunakusihi kufatilia kisa hiki mwanzo mpaka Mwisho ili kujifunza. Shukrani!
2020-12-28
09 min
Eligius's podcast
SI KOSA LANGU SEHEMU YA SITA (6)
Katika Simulizi hii, Familia ya Mama Fatuma imetumika tu kuonyesha hali halisi ya Maisha ya kawaida Katika jamii zetu. Mhusika Fatuma ametumika Kama kiwakilishi tu Cha Wasichana wengi hasa Katika jamii zetu za Kiafrika. *SimuliziRadioOnline* tunakusihi kufatilia kisa hiki mwanzo mpaka Mwisho ili kujifunza. Shukrani!
2020-12-28
10 min
Eligius's podcast
SI KOSA LANGU SEHEMU YA TANO (5)
Katika Simulizi hii, Familia ya Mama Fatuma imetumika tu kuonyesha hali halisi ya Maisha ya kawaida Katika jamii zetu. Mhusika Fatuma ametumika Kama kiwakilishi tu Cha Wasichana wengi hasa Katika jamii zetu za Kiafrika. *SimuliziRadioOnline* tunakusihi kufatilia kisa hiki mwanzo mpaka Mwisho ili kujifunza. Shukrani!
2020-12-28
09 min
Eligius's podcast
SI KOSA LANGU SEHEMU YA NNE (4)
Katika Simulizi hii, Familia ya Mama Fatuma imetumika tu kuonyesha hali halisi ya Maisha ya kawaida Katika jamii zetu. Mhusika Fatuma ametumika Kama kiwakilishi tu Cha Wasichana wengi hasa Katika jamii zetu za Kiafrika. *SimuliziRadioOnline* tunakusihi kufatilia kisa hiki mwanzo mpaka Mwisho ili kujifunza. Shukrani!
2020-12-28
08 min
Eligius's podcast
SI KOSA LANGU SEHEMU YA TATU (3)
Katika Simulizi hii, Familia ya Mama Fatuma imetumika tu kuonyesha hali halisi ya Maisha ya kawaida Katika jamii zetu. Mhusika Fatuma ametumika Kama kiwakilishi tu Cha Wasichana wengi hasa Katika jamii zetu za Kiafrika. *SimuliziRadioOnline* tunakusihi kufatilia kisa hiki mwanzo mpaka Mwisho ili kujifunza. Shukrani!
2020-12-28
08 min
Eligius's podcast
SI KOSA LANGU SEHEMU YA PILI (2)
Katika Simulizi hii, Familia ya Mama Fatuma imetumika tu kuonyesha hali halisi ya Maisha ya kawaida Katika jamii zetu. Mhusika Fatuma ametumika Kama kiwakilishi tu Cha Wasichana wengi hasa Katika jamii zetu za Kiafrika. *SimuliziRadioOnline* tunakusihi kufatilia kisa hiki mwanzo mpaka Mwisho ili kujifunza. Shukrani!
2020-12-28
08 min
Eligius's podcast
SI KOSA LANGU SEHEMU YA KWANZA (1)
Katika Simulizi hii, Familia ya Mama Fatuma imetumika tu kuonyesha hali halisi ya Maisha ya kawaida Katika jamii zetu. Mhusika Fatuma ametumika Kama kiwakilishi tu Cha Wasichana wengi hasa Katika jamii zetu za Kiafrika. *SimuliziRadioOnline* tunakusihi kufatilia kisa hiki mwanzo mpaka Mwisho ili kujifunza. Shukrani!
2020-12-28
08 min
Eligius's podcast
MWISHO WANGU SHEMU YA 5
Mwisho Wangu Sehemu ya tano: Betty na Mama Jack wanaenda kumtega dawa mama mkwe aliyemfunga Betty asizae kwa nguvu za giza! Je wataweza? Ungana na Msimulizi wako Eligius Ponsian Muzale
2020-12-27
11 min
Eligius's podcast
MWISHO WANGU SHEMU YA 4
Leo tunamuona Betty na Mama Jack wakiwa wameenda kwa mganga ili aweze kuwasaidia na hatimaye Mrembo Betty aweze kubeba mimba! Karibu.
2020-12-27
11 min
Eligius's podcast
MWISHO WANGU SHEMU YA 3
Simulizi hii ni nzuri Sana, kwani ni simulizi ya Maisha ambayo imelenga kuibua shida wazipatazo wanandoa hasa wanawake Katika jamii zetu. Imelenga pia kuionya jamii juu ya kupiga Vita Imani potofu
2020-12-27
11 min
Eligius's podcast
MWISHO WANGU SHEMU YA 2
Hii ni simulizi ya Maisha ambayo imelenga kuibua shida wazipatazo wanandoa, pia kuonya na kuihasa jamii juu ya suala zima la ukombozi wa mwanamke na Imani potofu Katika Jamii
2020-12-27
11 min
Eligius's podcast
MWISHO WANGU SHEMU YA 1
Simulizi hii imelenga kuonya na kuihasa jamii juu ya suala zima la ukombozi wa mwanamke na Imani potofu Katika jamii zetu
2020-12-27
10 min
Eligius's podcast
Episode 14 - Eligius's podcast
2020-12-27
00 min
Eligius's podcast
Mwisho Wangu 3
2020-12-26
00 min
Eligius's podcast
MWISHO WANGU SHEMU YA 1
Jaribio
2020-12-26
00 min
Eligius's podcast
Mwisho Wangu
Jaribio
2020-12-26
00 min
Eligius's podcast
MWISHO WANGU
Jaribio
2020-12-26
00 min
Eligius's podcast
MWISHO WANGU
Hii ni simulizi
2020-12-26
00 min
Eligius's podcast
Episode 2 - Eligius's podcast
2020-12-26
01 min
Eligius's podcast
My very first episode with Spreaker Studio
2020-12-26
00 min
Salama Na
Ep. 45 - Salama Na TAJI | TABASAMU LA SWAHIBA
Pia anafahamkika kama Master T, mwenye sauti yake tamu ya kumfanya mtu abadilishe mawazo na kufanya anachosema yeye, lafdhi nzuri ya maneno ya Kiswahili na Kiingereza na tabasamu zuri kabisa lililokaa mahala pake na hiyo ndo tofauti ya Taji Liundi na watangazaji pamoja na hata viongozi wa department mbali mbali kwenye vyombo vyetu vya habari vya ‘siku hizi’. Taji alibahatika kuzaliwa kwenye familia yenye uwezo kwa kiasi chake na malezi bora aliyapata kwa Baba yake ambaye muda mwingi alikua akisafiri nchi mbalimbali kutokana na kazi yake na hii pia ilimfanya ajengeke kwa kiasi flani, kuweza kujiamini, kuongea lung...
2020-12-11
49 min
Emotional Me Swahili
Safari ya Matumaini na Fredrick Bundala (Skywalker)
Maisha ni Milima na Mabonde na episode hii itakufundisha mbinu za kurudisha Matumaini pale unapoyapoteza na faida za kuishi kwa Matumaini kama anavyothibitisha Muanzilishi na Mkurugenzi wa Simulizi na Sauti (SnS), bwana Fredrick Bundala a.k.a Skywalker.
2020-10-22
58 min
NMU PODCAST
THE POWER OF STORY TELLING IN MUSIC SESSION TWO..
Kwenye Episode hii Tumeongelea Nyimbo ambazo wasnii Nguli watatu wameweza kutumia adithi zenye ujumbe mzito na kuweza kuziweka kwenye Ngoma, Kwa namna nyingine Tunaweza kusema wasanii hawa wametumia simulizi ambazo zipo mtaani wa watu wanakumbana nazo kwenye maisha ya kawaida na wao wakaamua kuzitumiakatika Sanaa ya muziki na utunzi wenye mpangilio, hatimaye na wakatuletea ngoma au mziki unao ishi siku zote. Kwenye part Hii ya Pili, Utaweza kusikia Namna ambavyo msanii Ferooz alivyoweza kuakisi na kusimulia Ugonjwa wa ukimwi na kuweza kuelezea na kufundisha jamii, madhara ya UKIMWI, Pia na kuweza kusambaza elimu kubwa ambayo ilikuwa Haijawafikia...
2020-08-06
30 min
NMU PODCAST
THE POWER OF STORY TELLING IN MUSIC
Karibu kwenye Episode nyingine tena ambapo kwenye hii episode tumezungumzia Nguvu ya adithi na simulizi ndani ya muziki, Tumekuwa tukiona wasanii wengi wakijitaidi kutunga nyimbo mbali mbali zenye jumbe Muhimu sana , lakini kwenye upande wa kupromote na kuwafikishia wasikilizaji, jambo limekuwa tofauti na mtazamo wa wengi, kwenye episode hii Karibu tuanze mazungumzo haya ambayo bila shaka utaweza kuenjoy na kupata jambo jipya, ambalo wewe kama ni msanii na mwandishi unaweza kufaidika na hatimaye ukafikisha kazi yako katika hatua nyingine kubwa . Karibu upate kusikiliza na kuenjoy episode hii, NMU PODCAST our voice is...
2020-07-31
17 min
NGONIBOY PODCAST
American movies ambazo Hazina Maudhui Mazuri Kwa Watoto
Simulizi ya movies za marekani ambazo ewe mzazi usiangalie na Watoto wako ,ikiwezekana usinunue kabisa
2020-06-18
09 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 10:Umuhimu wa Afya ya Uzazi kabla na baada ya ujauzito
Hapa tunakuletea simulizi kutoka kwa Salome. Binti huyu alikuwa na ndoto ya kuwa fundi cherehani lakini aliozeshwa na familia akajikuta akipata mtoto na ndoto kupotea ilionekana kama ndoto yake ilikuwa matatani lakini baadae Salome alifanikiwa, Je alifanyaje?
2020-06-08
26 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 9: Umuhimu wa kumnyonysha mtoto maziwa ya mama pekee kwa miezi sita ya mwanzo bila kumpa kitu chochote..
inakuletea simulizi kutoka kwa Chagu. Mama mkwe wake na Chagu hakuona umuhimu wa Chagu kumnyonyesha mwanae mchanga maziwa yake tu kwa miezi sita ya mwanzo, ni yapi yalimsibu chagu baada ya hapo.
2020-06-08
26 min
Wanyama Onesmus's podcast
Chenga
Simulizi viwanjani
2020-05-31
01 min
Lets Read
Writers Zone- Lello Mmassy
Karibu katika sehemu ya pili ya Msimu huu wa pili. Leo tuko na Lello Mmassy, ambaye ni mwandishi wa simulizi ya MIMI NA RAIS na nyingine. Pia ni mwanzilishi wa program tumishi (APPLICATION) ya SIMULIZI AFRICA. Karibu kujifunza kutoka kwenye historia yake katika uandishi. #Jilinde #StaySafe #Covid19 --- Send in a voice message: https://anchor.fm/lets-read/message
2020-05-27
27 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 8: Umuhimu wa kumpeleka mwanao katika kituo cha kutolea huduma za afya ili apate chanjo na kujenga kinga ya mwili wake.
Hapa tutasikiliza simulizi ya Maua na mumewe Kingolile hawa wawili hakukamilisha ratiba za chanjo ya mtoto wao hivyo ikawapelekea kumuuguza kwa mda mrefu.
2020-05-14
26 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 7: Hatua za kuchukua pale tunapoona Dalili za Hatari kwa Mtoto Mchanga na jinsi ya kumkinga dhidi ya magonjwa.
Sehemu ya 7 ya Naweza Show inakuletea simulizi kutoka kwa Tulia. Yeye ni binti aliyepitia maisha mengi magumu na machungu ndani ya jiji la dar es salaam, na tunajifunza umuhimu wa kuwapeleka watoto wetu katika vituo vya kutolea huduma za afya pale tupoona dalili hatarishi kwao na tunashauriwa kutowapa dawa watoto wetu bila kuwapima na kupata ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya.
2020-05-14
26 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 6: Umuhimu wa Kumnyonyesha mtoto mchanga maziwa ya mama pekee kwa muda wa miezi sita ya awali.
Sehemu ya 6 ya Naweza Show inakuletea simulizi kutoka Mama kiko. Yeye ni Mama ila alishindwa kabisa kufuata kanuni za kumnyonyesha mwanae kwa kipindi cha miezi sita, sasa ni yapi yalimsibu mama kiko baada ya hapo? Simulizi hii itakufunza umuhimu ya maziwa ya mama kwa mtoto ndani ya miezi sita ya mwanzo bila kumpatia kitu chochote kile zaidi ya maziwa ya mama.
2020-05-02
26 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 5: Umuhimu wa Afya ya Uzazi kabla na baada ya ujauzito
Katika sehemu ya pili ya msimu mpya wa Naweza Show tunasikiliza simulizi kutoka kwa Bupe. Simulizi hii itakufunza mengi kuhusu umuhimu wa afya ya uzazi kabla na baada ya ujauzito.
2020-04-25
26 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 4: Hatua za kuchukua pale tunapoona Dalili za Hatari kwa Mtoto Mchanga na jinsi ya kumkinga dhidi ya malaria.
Katika sehemu ya nne ya msimu mpya wa Naweza Show tunasikiliza simulizi kutoka kwa Sitti. Simulizi hii itafundisha mengi kuhusu hatua za kuchukua pale tunapoona dalili za hatari kwa mtoto. Na jinsi gani wanaume wanapaswa kushiriki katika malezi ya watoto na kuwapeleka watoto katika vituo vya kutolea huduma za afya pale tu waonapo dalili za hatari.
2020-04-18
26 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 3: Hatua za kuchukua pale tunapoona Dalili za Hatari kwa Mtoto Mchanga
Katika sehemu ya pili ya msimu mpya wa Naweza Show tunasikiliza simulizi kutoka kwa Waridi. Simulizi hii itafundisha mengi kuhusu hatua za kuchukua pale tunapoona dalili za hatari kwa mtoto mchanga.
2020-04-13
26 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 2: Umuhimu wa Afya ya Uzazi kabla na baada ya ujauzito
Katika sehemu ya pili ya msimu mpya wa Naweza Show tunasikiliza simulizi kutoka kwa Bhoke. Simulizi hii itakufunza mengi kuhusu umuhimu wa afya ya uzazi kabla na baada ya ujauzito.
2020-04-06
26 min
Naweza Show
Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 1: Kumpeleka mtoto kwenye kituo cha afya anapoonesha dalili ya #Malaria. #Naweza
Sikiliza simulizi ya Ruta, kutoka Bukoba. Leo tutajifunza kuhusu umuhimu wa kumuwahisha mtoto kwenye kituo cha afya pale anapoonesha dalili za #Malaria. #Naweza
2020-03-30
25 min
Michapo_255 Podcast
Simulizi tamu ya kisa cha Romeo and julieth..!! ❤️❤️Love zone💕
Simulizi ya hadithi tamu ya mapenzi iliyoteka dunia ya romeo and juliet hii ikiwa ni sehemu ya kwanza inayoelezea kukutana kwao kabla ya kuwa wapenzi..
2020-03-11
13 min
Salama Na
Ep. 5 - Salama Na Shilole | MAMA
Zuwena Yusuf Mohammed ndo jina alopewa na wazazi wake na siko hapa kuwakosoa kwa chaguo lao hilo ila mi nadhani Shilole ndo limekaa mahala pake zaidi. Anaongea kama Shilole, anacheka kama Shilole, ni shujaa kama Shilole, REAL kama Shilole, anapenda kama Shilole na sisi tunampenda kama Shilole. Ally Rehmtullah alikua anaadhimisha miaka kumi ya kazi yake. So alifanya auditions kwa ajili ya kuchagua models kuelekea kwenye adhimisho lenyewe, Shilole aka Shishi alikua mmoja wa ma judge wa skuihiyo, picha likaanza hakuwepo popote pa kuweza kuonekana, shuguli ambayo ilichelewa kuanza kutokana na mambo mengine ilibidi pia iendelee bila yeye. Akatokea...
2020-03-01
1h 11
Emton Paschal's show
Simulizi tamu
Zm c online radio
2020-02-05
15 min
Naweza Show
NAWEZA Show - Sehemu ya 7 (Samia: Umuhimu wa Kumnyonyesha mtoto mchanga maziwa ya mama ndani ya saa moja baada ya kujifungua)
Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya saba ya kipindi cha Naweza, leo tena sikiliza stori ya Samia. Kupitia simulizi yake tutajifunza umuhimu wa kumnyonyesha mtoto mchanga maziwa ya mama ndani ya saa moja baada ya kujifungua.
2019-04-29
21 min
Onair With Obby Claud
Simulizi MSAMAHA WA MAMA
2016-10-07
14 min
Onair With Obby Claud
Simulizi "Ndoto Iliyo Zima Ghafla"
+255742671917
2016-10-04
08 min
Augustino Linah Adriano's tracks
Simulizi Na Music
2016-09-30
15 min