podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Sisi Watatu
Shows
Plural Media
Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 09. 05. 2025
Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 09.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Magaide washambulia hifhadi ya Niassa kuacha vifo na waribifu. 🔸 Japan inatoa zaidi ya milioni 190 za meticais kwajili ya misaada ya kibinadamu huco Cabo Delgado. 🔸 Wanajeshi watatu wa Rwanda waliowaua na magaide Cabo Delgado. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani, tembelea ukurasa wetu wa Avoz.org au chaneli zetu za Whatsapp au telegram. Tumefika Mwisho wa toleo hiil...
2025-05-09
06 min
Plural Media
Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 21. 02. 2025
Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 21.02.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: 🔸 Watu watatu wanaodaiwa kuwa magaide walipigwa risasi Wilaya ya Macomia 🔸 Wafanyabishara wanamilkj soko lililojengwa na wanyarwanda Mocimboa da Praia 🔸 Njumbe wa INGD anapendekeza kutumia Mali za ndani Ili kupunguza utegemezi kutoka inje. Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani. Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa w...
2025-02-22
09 min
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mkutano wa AU kuhusu mzozo wa DRC, waasi wa M23 waudhibiti mji wa Bukavu
Makala hii imeangazia mkutano wa viongozi wa Afrika mjini Addis Ababa Ethiopia ambapo wamemchagua kiongozi wa tume ya Umoja wa Afrika AU kati ya wagombea watatu, lakini pia mapigano yanayoendelea kati ya waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda dhidi ya jeshi la serikali FARDC na ambao sasa wameudhibiti mji wa Bukavu huko Kivu kusini mashariki mwa DRC, mapigano ya nchini Sudan, siasa za Uganda na pia kwenye nchi za Afrika Magharibi. Lakini pia zoezi la ubadirishanaji wa mateka huko Gaza
2025-02-15
20 min
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mkutano wa AU kuhusu mzozo wa DRC, waasi wa M23 waudhibiti mji wa Bukavu
Makala hii imeangazia mkutano wa viongozi wa Afrika mjini Addis Ababa Ethiopia ambapo wamemchagua kiongozi wa tume ya Umoja wa Afrika AU kati ya wagombea watatu, lakini pia mapigano yanayoendelea kati ya waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda dhidi ya jeshi la serikali FARDC na ambao sasa wameudhibiti mji wa Bukavu huko Kivu kusini mashariki mwa DRC, mapigano ya nchini Sudan, siasa za Uganda na pia kwenye nchi za Afrika Magharibi. Lakini pia zoezi la ubadirishanaji wa mateka huko Gaza
2025-02-15
20 min
SBS Swahili - SBS Swahili
David "Kupoteza wanachama 3 ndani ya siku 10 imekuwa pigo kubwa sana kwetu"
Jumuia yawa Kenya wanao ishi Victoria, ina omboleza vifo vya wanachama watatu walio aga dunia ndani ya siku 10.
2024-08-28
11 min
SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 12 Julai 2024
Polisi wadai baba ambaye amefunguliwa mashtaka ya mauaji ya watoto wake watatu, inadaiwa walifunga milango kuwazuia watu kuondoka ndani ya nyumba iliyo kuwa iki ungua katika kitongoji cha Lalor Park mjini Sydney.
2024-07-12
15 min
Men The Podcast
Only Way Up
Kutana Babuu wa Kitaa, Super Star, mkali kutoka King’oko, mwana hiphop, na mtangazaji kutoka moja kati ya vyombo vikubwa sana vya habari hapa nchini Tanzania. Kwa macho ya nje, Babuu ni kijana anayeishi ndoto za watu wengi sana. Kijana, maarufu, ana kazi nzuri, ana familią changa. Nadhani hii ni ndoto ya kila mwanaume. Lakini, kitu ambacho wengi tulikuwa hatukitambui, ni kwamba Babuu anapambana na vita kali sana ndani ya mwili wake na kwenye maisha yake binafsi. Maisha ya Babuu wa kitaa yalibadilika mara baada ya kugundulika kwamba ana sar...
2023-11-02
1h 20
Men The Podcast
Only Way Up
Kutana Babuu wa Kitaa, Super Star, mkali kutoka King’oko, mwana hiphop, na mtangazaji kutoka moja kati ya vyombo vikubwa sana vya habari hapa nchini Tanzania.Kwa macho ya nje, Babuu ni kijana anayeishi ndoto za watu wengi sana. Kijana, maarufu, ana kazi nzuri, ana familią changa. Nadhani hii ni ndoto ya kila mwanaume. Lakini, kitu ambacho wengi tulikuwa hatukitambui, ni kwamba Babuu anapambana na vita kali sana ndani ya mwili wake na kwenye maisha yake binafsi.Maisha ya Babuu wa kitaa yalibadilika mara baada ya kugundulika kwamba ana sar...
2023-11-02
1h 20
Men The Podcast
Baba na mtoto wa kiume
Kaa tayari kusikiliza mazungumzo mazuri, yenye kufurahisha, kufundisha na kujenga kwenye episode yetu ya 78. Michael Baruti, na mgeni wetu maalum wa siku ya leo, mtangazaji mashuhuri bwana Harris Kapiga wanazungumza kuhusu dunia ya “u-baba”, na ina maana gani kwa mtoto wa kiume. Na ndiyo sababu ya mazungumzo ya leo kuitwa “Baba na mtoto wa kiume”. Ni kazi gani ambayo baba inabidi afanye ili aweze kulea mtoto wake wa kiume katika dunia ya sasa?. Katika maongezi haya Michael na Harris Kapiga ambaye ni...
2023-10-05
1h 11
Men The Podcast
Baba na mtoto wa kiume
Kaa tayari kusikiliza mazungumzo mazuri, yenye kufurahisha, kufundisha na kujenga kwenye episode yetu ya 78.Michael Baruti, na mgeni wetu maalum wa siku ya leo, mtangazaji mashuhuri bwana Harris Kapiga wanazungumza kuhusu dunia ya “u-baba”, na ina maana gani kwa mtoto wa kiume. Na ndiyo sababu ya mazungumzo ya leo kuitwa “Baba na mtoto wa kiume”. Ni kazi gani ambayo baba inabidi afanye ili aweze kulea mtoto wake wa kiume katika dunia ya sasa?.Katika maongezi haya Michael na Harris Kapiga ambaye ni b...
2023-10-05
1h 11
Vivian Media
MTU ASITAKIWE ALIPE CHENYE ANAFAA KULIPA (TAX EVASION): MAMA NGINA KENYATTA.
News happening with our locality; Walimu Wakuu Wahamishwa kutokana na kurekodi alama za kuvutia katika mtihani wa KCPE. Watatu wakamatwa na bidhaa za wizi thamana na shilingi milioni 9.5. Wakaazi wa Taru kulalama kwa kudidimia kwa biashara kwa ajili ya kuchimbwa mtaro Mahali pa stendi ya gari za masafa marefu. Wanahabari VIVIAN WETOYI na MARIAM MUNJAL.
2023-02-06
07 min
Uhusiano Kati ya Huduma Ya YESU na Ile Ya YOHANA MBATIZAJI Kama Ilivyoandikwa Katika Injili Nne
3. Yohana Mbatizaji, Aliyekuja Katika Njia ya Haki (Mathayo 17:1-13)
Kifungu cha Maandiko cha leo kinatoka katika injili ya Mathayo 17:1-13. Kifungu hiki kinaeleza kuwa Yesu aliwachukua wanafunzi watatu, Petro, Yakobo, na Yohana na akawaongoza kwenda katika mlima mrefu sana. Jambo la kushangaza lilitokea kule mlimani. Musa na Eliya walishuka toka Mbinguni. Na mavazi ya Yesu yalibadilika yakang’aa na kuwa meupe na sura yake ikabadilika pia. Yesu alizungumza na Musa na Eliya. Petro alipoona hivyo, akazungumza katika hali kindoto, “Na tufanye vibanda vitabu: kimoja chako, kimoja cha Musa, na kimoja cha Eliya. Tunapenda kujenga vibanda vitatu na kuishi pamoja nawe.” Kisha wingu likawafunika na sauti ikasema, “Huyu ni Mwanangu...
2023-01-24
47 min
Salama Na
SE7EP16 - SALAMA NA ZAHIR ZORRO | KIMULIMULI
Zahir Ally Zorro ni mkongwe wa muziki wa dansi na kwa habari ambazo nimepata ni kwamba enzi zake alikua wa moooto sana tena kwenye kila nyanja, kuimba, kuandika, kupiga gitaa na mpaka uvaaji, alikua handsome boy sana na ulimbo kwa kina Dada enzi hizo. Utashi na ucheshi na u sharp wake ndo ambao ulikua unamfanya asimame PEKEE kwenye kadamnasi ya wanamuziki wengi wa kipindi hiko. Naomba nikukumbushe pia kwamba enzi hizo zilikua pia si za kuzichukulia poa kabisa, maana ushindani wa bendi na vipaji binafsi ulikua wa hali ya juu sana, na yeye kama yeye alikua moja ya wale...
2022-09-30
51 min
قناة الإمام المهدي المنتظر ناصر محمد اليماني
SWAHILI - kifo cha Amiri Khalid Bin Suleman
SWAHILI - kifo cha Amiri Khalid Bin Suleman Al' Im Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني 19 - ذو الحجة - 1443 هـ 18 - 07 - 2022 مـ 05:57 صباحًا ( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى ) [ili kufwatilia cha bayana asili] https://www.mahdialumma.org/showthread.php?p=391460 YouTube : https://youtu.be/4MfNy-QH45g قال الله تعالى: {أَمْ أَبْرَمُوا أَمْرًا فَإِنَّا مُبْرِمُونَ ﴿٧٩﴾ أَمْ يَحْسَبُونَ أَنَّا لَا نَسْمَعُ سِرَّهُمْ وَنَجْوَاهُم ۚ بَلَىٰ وَرُسُلُنَا لَدَيْهِمْ يَكْتُبُونَ ﴿٨٠﴾} صدق الله العظيم. Enyi Binadamu, Hakika Ametilia Nguvu Allah kwa watatu na akmfisha Khalid Bin Suleman ili angamize mwenye kuangamia kwa uwazi na ahuishe mwenye kuhuyika kwa uwazi. Khalifa Wa Allah Al’mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani .
2022-08-25
01 min
Stories de Eurovisión
Verano '22 - Watatu Travel i consells per gaudir de l'Àfrica
Recordem el capítol 46 de la segona temporada. Amb la Gloria Ribas @lamaletadeglo i la Verónica Paz @viajarcodeveronica vem parlar amb Guillem Gomis de Watatu Travel @watatu_travel i ens va recomanar llocs espectaculars de l'Àfrica
2022-08-24
39 min
Salama Na
SE7EP09 - SALAMA NA DAMIAN SOUL | HARIRI…
Damian Soul ni Superstar na siku ambayo sote tutakubaliana na hiyo statement basi tutaanza kufaidi matunda ya kipaji chake kwa uzuri sana, ila mpaka siku hiyo ifike ni wachache tu ambao wanamuelewa kwa upana huo ndio ambao wataendelea kufaidi kipaji chake kwa nafasi yao. Wale watu wa makampunj mbali mbali kwa mfano CocaCola ambao wanakua na events zao za ndani kwaajili ya watu wao na waalikwa wawili watatu huwa wanamfaidi sana kijana huyu hodari wa ki Tanzania. Na Damian kwa ukali wake akipata nafasi kama hiyo huwa hafanyi makosa hata kidogo, huhakikisha anapeleka mziki wote kwao ili wakati mwengine...
2022-08-11
1h 06
Salama Na
SE7EP02 - Salama Na Engineer Hersi | A BREATH OF FRESH AIR
Kama kichwa cha habari kinavyosema, Engineer Hersi ndo chachu ya furaha kwa mashabiki wa moja ya timu kongwe kabisa ya Taifa hili, timu ya wananchi, timu yenye mataji mengi zaidi yaani mabingwa wa ki historia. Nikiwa kama shabiki wa Simba Sports Club basi sina la zaidi la kufanya ila kumpa mtani wangu Hongera ya kuongeza taji jengine kwenye historia yao na pia kumsifu round hii kwa kutuzuia kuchukua ubingwa kwa mara ya tano MFULULIZO.Engineer Hersi Ally Saidi aliingia pale kwa njia ya mdhamini (GSM) ila baada ya kuonekana kazi nzuri ambayo ameifanya kwa kipindi cha miaka miwili...
2022-06-23
1h 29
Swahili
Petro Watatu
Katika Agano Jipya tunaona Petro watatu tofauti, lakini wote ni mtu mmoja. Katika Injili jina lake ni Simoni, aliye juu na chini, moto na baridi, na mwenye kutia moyo, lakini Yesu alimwita Petro, “mwamba; baada ya Pentekoste tunamwona Petro ambaye amejaa nguvu; hatimaye Petro mzee na mwenye hekima, mtume wa matumaini. Anataka kuwafariji na kuwafariji watu hawa katika mateso yao. Mandhari ni kumjua Mungu kweli kupitia Yesu Kristo.
2022-06-16
25 min
Swahili
Waumini dhidi ya Wababeli
Danieli na marafiki zake watatu walichukuliwa na kusomeshwa katika vyuo vikuu vya Babeli. Mungu alitumia amri ya mfalme kumweka kimkakati nabii huyu huko Babeli ili awatumikie wafungwa wengine. Kitabu cha Danieli kimegawanywa katika sehemu mbili: masimulizi ya kihistoria, na ufunuo wa kinabii. Ezekieli, Yohana, na Danieli walitabiri kuhusu siku za mwisho na pia walikuwa manabii wa walio uhamishoni. Maisha ya Danieli ni mfano mzuri wa kuishi maisha madhubuti, safi, ya kumcha Mungu katikati ya mazingira ya uhasama.
2022-06-16
25 min
Swahili
Sikia kwa Mungu
Vitabu vya Samweli vinatuambia ukweli wa Mungu kupitia wasifu mfupi, vikizingatia watu watatu maalum. Kulingana na maandiko, Samweli, Sauli na Daudi na yote yaliyowapata ni kwa maonyo yetu na kwa mfano wetu. Daudi ndiye mfalme bora zaidi wa Israeli kuwahi kuwa naye, na kwa kuzingatia kiasi cha nafasi ambayo Roho Mtakatifu alitoa kwa hadithi yake, yeye ni mmoja wa wahusika muhimu zaidi katika Biblia.
2022-06-16
22 min
SportsCast
Chelsea ya Thomas Tuchel
Tangu amechukua mikoba ya kukinoa kikosi cha Chelsea, Tuchel amekuwa akihusudu mfumo wa mabeki watatu kuliko ule wa mabaki wanne ambao alikuwa akiutumia akiwa PSG. Clifford Sangai na Prosper Bartalomew wanajadili kwa kina falsafa za raia huyo wa Ujerumani. Miongoni mwa yaliyoongelewa ni kama Tuchel anaweza badili mfumo au atasalia na wa sasa? Kitendawili cha Havertz, Werner na Lukaku bila kusahau namna anavyotegemea Wingback wakati wa kufanya mashambulizi. Sikiliza zaidi Episode hii
2022-06-03
23 min
SportsCast
Chelsea ya Thomas Tuchel
Tangu amechukua mikoba ya kukinoa kikosi cha Chelsea, Tuchel amekuwa akihusudu mfumo wa mabeki watatu kuliko ule wa mabaki wanne ambao alikuwa akiutumia akiwa PSG. Clifford Sangai na Prosper Bartalomew wanajadili kwa kina falsafa za raia huyo wa Ujerumani. Miongoni mwa yaliyoongelewa ni kama Tuchel anaweza badili mfumo au atasalia na wa sasa? Kitendawili cha Havertz, Werner na Lukaku bila kusahau namna anavyotegemea Wingback wakati wa kufanya mashambulizi. Sikiliza zaidi Episode hii
2022-06-03
23 min
RadioRahma
Ulemavu Wangu
Jamii nyingi uhusisha ulemavu na laana pamoja na ushirikina,huku wengine wakihusisha ulemavu huo na kasoro zinazotokana kwa mzazi haswa wa kike.Kufuatia madai hayo baadhi ya wanajamii uonekana kuwatenga watoto wanaozaliwa na ulemavu. Ukweli ni kwamba watu wenye ulemavu wako sawa tu kama wengine wasio walemavu.Katika Makala haya “Ulemavu Wangu” leo tunaangazia dada watatu waliozaliwa na ulemavu,licha ya baadhi ya watu katika jamii kuwatenga,wazazi wao walijizatiti katika kuwalea na kuwasomesha na kwa sasa wote watatu ni wanaharakati wa kutetea haki za wanawake wenye ulemavu jijini Mombasa chini ya shirika lao la Tunaweza Women With...
2022-04-09
10 min
MASOMO YA SABATO
KUWASAIDIA WAKOSAJI NDANI YA KANISA
MATHAYO 18:15-17[15]Na ndugu yako akikukosa, enenda ukamwonye, wewe na yeye peke yenu; akikusikia, umempata nduguyo.[16]La, kama hasikii, chukua pamoja nawe tena mtu mmoja au wawili, ili kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno lithibitike.[17]Na asipowasikiliza wao, liambie kanisa; na asipolisikiliza kanisa pia, na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru.
2022-03-18
18 min
Stories de Eurovisión
Stories de viatges - Tanzània i Watatu travel - T2E46
Convidem aquesta setmana al Guillem Gomis de Watatu travel per explicar-nos les realitats de Tanzània, dels safaris i de tot el que ens pot regalar l'Àfrica. La Verónica Paz ( @viajarcodeveronica ) ens parla també de la seva experència al país, i la Glòria Ribas (@lamaletadeglo) ha acabat el programa amb moltes ganes de descobrir aquesta regió tan desconeguda per molta gent. #viajes #viatges #podcastcatala #podcastviatge #podcastviajes #viajar #tanzania #africa
2022-02-02
38 min
Sisi Watatu Podcast
3.4 Ho Ho Hoe
Why get an Only Fans when you can be the Only Fan? The lads are back with another fiery episode. Here they discuss paying for sex and sex workers. In this heated conversation, find out where each of the boys stands with regards to paid sex and the world's oldest profession. Intro Music - Amani - Bad Boy ft. Nyashinski Outro Music - Witnesz & Wakilisha - Hoi Sisi Watatu is directed, recorded and produced by Richard, Lee and Jesse. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod...
2021-12-30
35 min
Sisi Watatu Podcast
3.3 Bar Talk
After a lengthy hiatus, the lads are back and want to get a few things off their chests. Among a myriad of other things they talk about cancelling friends and its implication to other mutual friends. They also catch up with each others actions over the past couple of months. Intro Music - Juma Tutu - Nakupenda kama Sukari Outro Music - Ayub Ogada (arr. Allison Girvan) - Kothbiro (Performed by the University of Pretoria Youth Choir) Sisi Watatu is recorded, directed and produced by Richard, Lee and Jesse. --- ...
2021-12-30
33 min
Nukta the Podcast
A Naija christmas : Filamu ya kuchangamsha siku kuu yako.
Filamu hii inahusu familia ya Madam Agatha, singo mother mwenye vijana wa kiume watatu Chike, Obi, na Ugo.
2021-12-24
07 min
Fridah TV
Sera ndio muhimu kwa wapiga kura sio mahusino ya kimapenzi
Wengi wa wapiga kura huchagua masuhiano na sio sera. Hapa nchini kenya kwa kipindicha muda mrefu wanawake wengi wamekuwa wakipigwa vita kutokana na mahusiano yao ya kimapenzi na kukosa kusikiza sera zinaouzwa na wanawake walio kwenye ulingo wa kisiasa. tangu katiba ya mwaka wa 2010 kuanza kutekeleza wajibu wake na kuwapa wanawake nafasi arubaini na saba za wazi ambayo ni nafasi ya uwakilishi wa wanawake katika kaunti 47. kando na hizo nafasi hizo 47 kuna nafasi zingine zipo wazi wanawake kuweza kupigania kama vile urais, ugavana, seneta, uwakilishi wadi na ubunge. inafedhehesha muno kuwa wapiga kura na wapizani wa wanawake...
2021-12-02
05 min
Caroline Gatwiri
Matukio ya wiki Episode 10
Baadhi ya habari tulizokuandalia ni pamoja na; kuapishwa Kwa Ann kananu Mwendwa kama gavana wa kwanza wa kike na watatu wa Nairobi. Karibu
2021-11-21
47 min
Jasusi
Ugaidi Au La? Uchambuzi Wa Kiintelijensia Kuhusu Tukio La Mtu Aliyeua Polisi Watatu Na Mlinzi Dar.
Ugaidi Au La? Uchambuzi Wa Kiintelijensia Kuhusu Tukio La Mtu Aliyeua Polisi Watatu Na Mlinzi Dar.
2021-09-10
21 min
Jasusi
Ugaidi Au La? Uchambuzi Wa Kiintelijensia Kuhusu Tukio La Mtu Aliyeua Polisi Watatu Na Mlinzi Dar.
Ugaidi Au La? Uchambuzi Wa Kiintelijensia Kuhusu Tukio La Mtu Aliyeua Polisi Watatu Na Mlinzi Dar. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
2021-09-10
21 min
Sauti - Voice of America
Uchunguzi wa polisi waonyesha Hamza gaidi - Septemba 02, 2021
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura akitoa ripoti ya uchunguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi kuhusu Hamza Mohamed aliyewaua askari watatu wa Jeshi la Polisi na na mlinzi mmoja
2021-09-02
03 min
SportsCast
Namna Utatu wa PSG utakavyoweza kutimiza ndoto za Klabu hiyo
Timu zilizopata mafanikio zaidi zimekuwa zikitumia washambuliaji watatu eneo la mbele na mara nyingi mfumo unaotumika 4 3 3. Tumeshuhudia utatu wa BBC (Bale, Benzema na Christiano) katika klabu ya Real Madrid, pia utatu wa MSN (Messi, Suarez na Neymar) wakati wapo Barcelona, bila kusahau utatu wa Liverpool wenye Salah, Firmino na Mane. Lakini je nini siri ya Utatu wa timu hizi kuweza kupata mafanikio zaidi? Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kuuchambua utatu wa PSG (Mbappe, Messi na Neymar) na namna wanavyoweza kuja kutimiza malengo ya...
2021-08-14
34 min
SportsCast
Namna Utatu wa PSG utakavyoweza kutimiza ndoto za Klabu hiyo
Timu zilizopata mafanikio zaidi zimekuwa zikitumia washambuliaji watatu eneo la mbele na mara nyingi mfumo unaotumika 4 3 3. Tumeshuhudia utatu wa BBC (Bale, Benzema na Christiano) katika klabu ya Real Madrid, pia utatu wa MSN (Messi, Suarez na Neymar) wakati wapo Barcelona, bila kusahau utatu wa Liverpool wenye Salah, Firmino na Mane. Lakini je nini siri ya Utatu wa timu hizi kuweza kupata mafanikio zaidi? Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kuuchambua utatu wa PSG (Mbappe, Messi na Neymar) na namna wanavyoweza kuja kutimiza malengo ya klabu. Klabu ya Paris Saint-Germain imetimiza miaka 51 tangu ianzishwe. Licha ya kutawala...
2021-08-14
34 min
Hoja za Wahariri
HOJA ZA WAHARIRI PODCAST; Kivumbi kati ya Jubilee na UDA Kiambaa na Muguga
Baada ya chama kipya cha UDA kushinda uchaguzi mdogo wa ubunge kwenye eneo la Kiambaa, kisha Jubilee kukishinda kiti cha uwakilishi wadi Muguga, kivumbi kinatifuka; UDA inaelekea mahakamani kutaka kura za Muguga zihesabiwe upya huku nayo Jubilee ikitaka kura za Kiambaa zihesabiwe tena. Aidha, nani ana ufuasi mkubwa Mlima Kenya baina ya Uhuru Kenyatta na William Ruto? Kuelekea 2022, farasi watakuwa wawili au watatu? Wahariri, Geoffrey Mung'ou na Odeo Sirari wanamshirikisha mwanahabari Victor Mulama aliyekuwa mashinani kuangazia chaguzi hizo, katika kujadili kwa kina masuala haya.
2021-07-20
27 min
SportsCast
EURO 2020: Mabadiliko ya kimbinu na athari zake katika mechi ya fainali
Gareth Southgate alianza mechi ya fainali ya EURO 2020 na mfumo wa mabeki watatu lakini katika dakika ya 70 alibadili kwenda mfumo wa mabeki wanne. Tangu michuano hii ianze Southgate ametumia mifumo miwili tu; 3-4-3 na 4-2-3-1huku kila mmoja ukiwa na faida na hasara zake. Lakini mabadiliko ya kimbinu katika mechi ya fainali dhidi ya Italy yalileta madhara gani katika kikosi cha England? Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kudadavua mbinu zilizotumika na England na namna zilivyowarudisha nyuma. Kadhalika tunaungana na George Job ambaye anatuelezea namna Italia walivyoweza kuukwepa mtego wa England kupitia viungo wao, Jorginho na...
2021-07-12
33 min
SportsCast
EURO 2020: Mabadiliko ya kimbinu na athari zake katika mechi ya fainali
Gareth Southgate alianza mechi ya fainali ya EURO 2020 na mfumo wa mabeki watatu lakini katika dakika ya 70 alibadili kwenda mfumo wa mabeki wanne. Tangu michuano hii ianze Southgate ametumia mifumo miwili tu; 3-4-3 na 4-2-3-1huku kila mmoja ukiwa na faida na hasara zake. Lakini mabadiliko ya kimbinu katika mechi ya fainali dhidi ya Italy yalileta madhara gani katika kikosi cha England? Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kudadavua mbinu zilizotumika na England na namna zilivyowarudisha nyuma. Kadhalika tunaungana na George Job ambaye anatuelezea namna Italia walivyoweza kuukwepa mtego wa England kupitia viungo wao, Jorginho na Veratti...
2021-07-12
33 min
News in KiSwahili
NIGERIA - WATOTO TATU WAUAWA BAABA YA WANAFUNZI 94 KUTEKWA NYARA
Watoto watatu wameuawa kufuatia utekaji nyara wa shule kwa wanafunzi 94 na wafanyakazi wanane kaskazini magharibi mwa Nigeria.
2021-06-21
03 min
Kisa Changu
KISA CHANGU PODCAST: Kilio cha miaka13; risasi katika uti wa mgongo
Stephen Nyoka mwenye umri wa miaka 56 mkazi wa Kijiji cha Embakasi, Saboti katika Kaunti ya Trans Nzoia, alishambuliwa na waliokuwa wanachama wa kundi la Saboat Land Defence Force, SLDF lililosambaratishwa mwaka wa 2008 na kikosi cha jeshi katika operesheni ya Okoa Maisha. Katika kisa hicho cha Machi 3, 2008, watoto wake watatu waliuliwa na mke wake kujeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi pia kwa kukatwa kwa upanga. Nyoka anaishi akiwa na risasi hiyo kwani madaktari walimwonya kwamba ikiwa upasuaji utafanyika kujaribu kuiondoa basi atafariki dunia. Afya ya Nyoka inaendelea kudhoofika kutokana na athari za risasi hiyo na msongo wa mawazo jinsi utakavyosikia katika mahojiano...
2021-06-06
17 min
Sisi Watatu Podcast
3.2. STAFFROOM
The OG's are back, this time in the Staffroom. In this episode, they let loose and go unfiltered, typical of a Staffroom. Intro Music - Sironga Girls' High School - Emily Chepchumba rendition (Own Arrangement) Outro Music - Swan Williams and Martin Gallop - Swahili Sisi Wata2 is written, produced and directed by Richard, Lee and Jesse. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/sisiwatatu/message
2021-04-04
49 min
SIRI ZA BIBLIA
BUSTANI YA GETSEMANE KILICHOTOKEA KIPINDI CHA PASAKA
Bustani ya Gethsemane, mahali ambapo jina lake kwa kweli linamaanisha "vyombo vya mafuta," iko kwenye mteremko wa Mlima wa Mizeituni kando ya bonde la Kidron kutoka Yerusalemu. Bustani ya miti ya mizeituni ya kale imesimama pale hadi leo. Yesu mara nyingi alikwenda Gethsemane pamoja na wanafunzi Wake kuomba (Yohana 18: 2). Matukio maarufu sana huko Gethsemane yalitokea usiku kabla ya kusulubiwa kwake wakati Yesu alipotolewa. Kila mmoja wa waandishi wa Injili anaelezea matukio ya usiku huo yakiwa na tofauti kidogo, hivyo kusoma akaunti nne (Mathayo 26: 36-56, Marko 14: 32-52; Luka 22: 39-53; Yohana 18: 1-11) yatatoa picha sahihi ya usiku huo muhimu katika ukamilifu...
2021-03-30
04 min
SIRI ZA BIBLIA
AHADI SITA ZA BWANA YESU KUHUSU MAOMBI
1. Mathayo 18:19,20 “Tena nawaambia, ya kwamba wawili wenu watakapopatana duniani katika jambo lo lote watakaloliomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni. Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao” Nampenda Bwana Yesu. Yani kila tukutanikapo wanadamu wawili huwa si wawili tena bali tupo watatu. Maana Bwana Yesu hujihudhurisha kuja kuchukua maombi yetu ampe Baba. 2. Marko 11:22-24 “Yesu akajibu, akamwambia, Mwaminini Mungu. Amin, nawaambia, Ye yote atakayeuambia mlima huu, Ng'oka ukatupwe baharini, wala asione shaka moyoni mwake, ila aamini kwamba hayo asemayo yametukia, yatakuwa yake. Kwa sababu hiyo nawaambia, Yo yot...
2021-03-27
04 min
Chief Andrew Okal Sermons Podcast
190126_1316_KISA CHA WAFUNGWA WATATU
Kiswahili sermon at Indsutrial Area Reman during Prison visit
2021-02-25
51 min
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Ukipita katika Shida mtumaini Mungu atakuokoa By Luphurise Mawere
Zaburi 138: 7 Nijapokwenda kati ya shida utanihuisha, Utanyosha mkono juu ya hasira ya adui zangu, Na mkono wako wa kuume utaniokoa._ Soma pia _2 Mambo ya Nyakati 20: 1-30_ Tunaishi katika Ulimwengu uliojaa shida na taabu nyingi. Tuko kwenye Majira ambayo dunia imegubikwa na hofu na huzuni kubwa kwasababu ya shida ya janga la Corona, changamoto za upumuaji na tauni vinavyomaliza watu. Watu wengi wamekosa tumaini kwasababu wapendwa wao wamepoteza maisha au wengine wako mahtuti kwasababu ya janga hili. Ukifungua vyombo vya habari na ukiangalia mitandao ya kijamii imejaa habari mbaya za vifo. Watu wengi wanaona mwisho wa dunia umefika. Wanaogopa. Nyakati kama...
2021-02-24
38 min
Sisi Watatu Podcast
3.1. O.G's Assemble
The Old Guard returns to Sisi Watatu. The podcast's pioneers return to mic duty in what will now be exclusively their platform. They start by catching up and throwing light banter about developments since the last time they recorded together. They also talk about possible podcast infidelity, K1 invites, Jane Murgor and being 'sapiosexual' in matters regarding the just concluded Ugandan elections. Intro Music - Blinky Bill - Mungu Halali ft. Sage, Sarah Mitaru, Wambua Mitaru and Lisa Oduor Noah Outro Music - Nargy - Hold On ft. Mhenga...
2021-02-02
57 min
NMU PODCAST
THE POWER OF STORY TELLING IN MUSIC SESSION TWO..
Kwenye Episode hii Tumeongelea Nyimbo ambazo wasnii Nguli watatu wameweza kutumia adithi zenye ujumbe mzito na kuweza kuziweka kwenye Ngoma, Kwa namna nyingine Tunaweza kusema wasanii hawa wametumia simulizi ambazo zipo mtaani wa watu wanakumbana nazo kwenye maisha ya kawaida na wao wakaamua kuzitumiakatika Sanaa ya muziki na utunzi wenye mpangilio, hatimaye na wakatuletea ngoma au mziki unao ishi siku zote. Kwenye part Hii ya Pili, Utaweza kusikia Namna ambavyo msanii Ferooz alivyoweza kuakisi na kusimulia Ugonjwa wa ukimwi na kuweza kuelezea na kufundisha jamii, madhara ya UKIMWI, Pia na kuweza kusambaza elimu kubwa ambayo ilikuwa Haijawafikia...
2020-08-06
30 min
Sisi Watatu Podcast
2.4 Evabrenda Wathoni: In her shoes
The crew sat down to discuss content production, the world of media in general and TV to be specific. Television and content producer Evabrenda makes an attempt to comfort the trio that podcasting has a future in Kenya. In retrospect, it must have been an attempt to make them forget the fact that everyone thinks Evabrenda is barely 16 years old. ABOUT THE GUEST Evabrenda has already amassed commendable experience in the world of TV, Film and Theatre Production. She is currently working at Metropol TV, a premier business-focused Television station in the...
2020-08-05
20 min
Linus Siwiti's podcast
Episode 17 - Tafakari ya Maandiko Ya BibliaLinus Siwiti's podcast
18 Kuna mambo matatu yaliyo ya ajabu kwangu, Naam, kuna manne nisiyoyafahamu. Mithali 30:1819 Mwendo wa tai katika hewa; Na mwendo wa nyoka juu ya mwamba; Mwendo wa merikebu katikati ya bahari; Na mwendo wa mtu pamoja na msichana. Mithali 30:1920 Hivyo ndivyo mwendo wa mwanamke mzinifu; Hula, akapangusa kinywa chake, Akasema, Sikufanya uovu. Mithali 30:2021 Kwa ajili ya mambo matatu nchi hutetemeka, Naam, kwa ajili ya manne haiwezi kuvumilia. Mithali 30:2122 Mtumwa apatapo kuwa mfalme; Mpumbavu ashibapo chakula; Mithali 30:2223 Mwanamke mwenye kuchukiza aolewapo; Na mjakazi aliye mrithi wa bibi...
2020-07-30
14 min
Msasaonline
JAJI MKUU WA IRAN AMESEMA HAWATIKISWI NA VILIO KUHUSU ADHABU YA KIFO KWA WAANDAMANAJI.
Jaji mkuu wa Iran Ebrahim Rais amefifisha matumaini kwamba adhabu ya kifo iliyotolewa kwa waandamanaji watatu vijana wa kiiran itafutwa kufuatia malalamiko ya mitandaoni. Jaji mkuu huyo amesema maandamano yanakubalika lakini machafuko na fujo vinavyohatarisha usalama wa taifa ni mstari mwekundu. Ameongeza katika matamshi yaliyochapishwa na shirika la habari Isna, kwamba katika matukio kama hayo mahakama haiwezi kushawishiwa na kampeni na propaganda. Chini ya hashtag ya kupinga hukumu hiyo ya No ToExecution, mamillioni ya raia wa Iran wametumia Mitandao ya kijamii kupinga hukumu baada ya mahakama ya juu kuthibitisha adhabu ya kifo iliyotolewa dhidi ya Amirhossein M, Mohammad R, na...
2020-07-22
01 min
Salama Na
Ep. 24 - Salama Na Lady Jaydee | POWERHOUSE
Kwa Judith Wambura Mbibo kuongea anayoyawaza bila ya kupepesa au kutafuta sapoti kabla hajafanya hivyo ndo hulka yake haswa, si wa kukwepeshakwepesha au kung’ata maneno ili yawe malaini zaidi kwa anayeambiwa asijikie vibaya labda. Kwake yeye lilivyo ndo lilivyo, kazi ya kupaka mawingu rangi huwaachia wahusika, yeye yake ni kuhakikisha mawingu yapo, na kwa hilo? Mimi namheshimu sana. Mwanangu mwengine ambaye hii ni mara yetu ya kwanza kukaa chini na kutia story ili wananchi waweze kupata majibu ya baadhi ya maswali waliyokua nayo muda mrefu sana pengine. Na round hii nilihakikisha sichezi mbali naye kama Chama na...
2020-07-09
57 min
Sisi Watatu Podcast
2.3: Parley Kings
Tashinga Choga and Adaup Matinya, hosts of the Parley Kings Podcast, join Lee in this episode. They tell us about their podcast and the topics they touch on. They also chip in with social commentary about the state of our world in these times of social-distancing. Intro Song - Bobi Wine - Little Things You Do (featuring Wahu) Outro Song - Cee-Roo - Feel The Sounds of Kenya Follow them on Instagram: @parleykingspod, @iam_tashinga, @_adaup. Sisi Watatu is written and produced by Okayze, Lee and...
2020-04-08
1h 08
Sisi Watatu Podcast
2.2: Nyawira of all Trades
Do parents project their own insecurities onto their children? Should you fake it till you make it? Does 'big on media' translate to 'big on the ground'? This episode’s guest is Nyawira Karaba, founder of Nurture and Reset, a fast rising company in the Foods and Beverages industry. She talks to Richard and our new hosts, Lilian and Kelly, about her entrepreneurial journey and the major decisions it took for her to finally succeed. Find her on Instagram @nyawirakaraba Twitter @KarabaNyawira ...
2020-03-03
1h 10
NoticiAudio
NoticiAudio Kimwwani 21.02.2020
Salama jamah mussikiliza noticiAudio. Karibuni habar za lelo kamba ezi: ▪️Tribunal ikatala kulavya ushahidi kuhussu mua uthendiwe mbele ya kulaiwa Anastácio Matavel. ▪️Wenguezaka wanu para 93 wafwile ncaty ya nvula. ▪️Makundi Sá ali akifalume ankulalamika kussussiwa kutwaliwe ka wandishi wa habar wali kweleza kuhussu matokeyo a província ya Cabo Delgado ▪️Wanu wali na bunduqui wawolaya wanu watatu muito provincia ya Cabo Delgado. ▪️Província ya Niassa ingali ncaty ya ntihani, wanu sawedjiwanikana wali na bunduqui watenda uchaputhu camba vikuna cabo delgado. ▪️Kiassi tcha wakazi wakutimu alfu 50 wakudja kutowa kulavya mazaw...
2020-02-21
08 min
Sisi Watatu Podcast
2.1: VISITing RWANDA
Lee sits with Angelic to talk about Rwanda. Can your President count? What have you heard about Rwandan women? Do you know the East African anthem? Do you trust your leaders? Enjoy the 20 minute special. Sisi Wata2 is written and Produced by Okayze, Lee, and Jesse. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/sisiwatatu/message
2020-02-18
19 min
Sisi Watatu Podcast
09. The end of an error: Mental Health, Depression and Hope
Like all good things, this episode drops late and last - yes. You heard us right. Sisi Watatu season 1 is over and we are glad that you have been with us every step of the way. We bring along two new guests, Kelly and Mora who help the boys tackle a new and somewhat difficult topic to speak about - Mental Health. Kenya currently ranks as the fourth country in Africa with the largest populations undergoing mental health issues. This means that there are at least 1.9 million people undergoing some form of mental health illness. And at least one in e...
2019-12-26
40 min
Sisi Watatu Podcast
08: Halftime: Swans and the end of a pod.
Like Kanye's latest album and Kenyan schoolbusses, this episode drops late. The boys get emotional looking back at the podcasting experience thus far. The highs and lows - and general awesomeness of it all. Join us on this introspective journey as we look at ourselves, and to the future to come. We also recognize our fans (hereafter known as SWANS - Sisi Watatu fANS). We do appreciate your listenership. Important questions are also raised in the episode: Is this the end of a pod, W...
2019-10-01
55 min
Sisi Watatu Podcast
07: High School Never Ends
Sisi Watatu goes waaaaay (not that way) back! On this episode, the lads relive some of their high school experiences and revisit them, some with fond memory and others not so much; especially on matters to do with High School politics. We mention the SWS (Social Welfare Society), Entertainment Committees and the very controversial Prefecture system (Wueh!) among others. Listen to hear which Sisi Watatu member wishes they did something differently if given the chance to...aka end it all. Intro Song is Nkonyane Kandaba by S'ubiso Ngema. Outro Song is KEBS by Nyashinski. Sisi Watatu is written and produced b...
2019-08-30
59 min
Sisi Watatu Podcast
06: "Uncut"
We are back and we are talking about all matters circumcision 😂😂😂😂😂 Join Okayze, Lee and Jesse as we delve into why people undergo the cut, what it means to society and why it defines us. Temperatures rise as a fight breaks out in the studio. Will this be the rift that ends Sisi Watatu? Is this the last episode from the trio? Stay tuned to find out the answer to all these questions and more in this "Uncut " episode of Sisi Watatu!! Intro Music is by Mbaraka Mwinshehe - 'Jogoo la Shamba'. Outro Music is by Tems - 'Mr Rebel' . Sisi Wata2 is Writt...
2019-08-17
1h 00
Sisi Watatu Podcast
05: Tweet of God, Clout Chasing and Social Media.
And we back! For the first time since it’s inception, the pod has in this episode been recorded with all the three members of Sisi Wata2 on set. In it, they dissect social media from a myriad angles- From anonymous accounts and online bullies to un-followers and even a new drug on the millennial streets, Clout. Outro Music is by Tetu Shani - 'AfricaSun' - Sisi Wata2 is Written and Produced by Okayze, Lee, and Jesse. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/sisiwatatu/message
2019-07-12
51 min
Sisi Watatu Podcast
04: Illuminati, Vlogging and being the 7th best rapper.
Mic Test One Two One Two!! It has been a minute (figuratively) and we are happy to be back with episode 4. Featuring the great, the awesome, the amazing {airhorn sounds} Proverbial Kiki - the 7th best rapper in the Game. We delve into what makes Kiki a fantastic artist cum vlogger and discuss just what makes his songs such bangers. We also discuss the how' and why of Kiki joining the Illuminati, and how he deals with the sudden fame thrust upon him. All music used in th...
2019-07-12
1h 04
Sisi Watatu Podcast
04½: The Lion King Audit.
Lee's segment returns to the Sisi Watatu podcast and he, finally, brought a friend! Lee and Deepshika discuss one of the greatest movies ever made, and some of the hot issues surrounding the new live action remake of The Lion King as well as debunking claims that have been made regarding the original 1994 Disney film. Enjoy the segment! --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/sisiwatatu/message
2019-05-27
15 min
Sisi Watatu Podcast
03: Food, Music and Coping.
And welcome to the third! We present Nkatha Muthoni, a budding food blogger - nkathacooks.wordpress.com - and musician (Who has even been featured on the Daily Nation!!). She takes us through chef-ing on the cheap and how not to cook. Nkatha also gives us the 411 on music with a cause and how to be a wholesome person. BONUS: Our guest also officially christens the Mutura delivery business (We are definitely launching soon!) Intro Music is by Nadiv Gicheru - 'Trial and Errors' - soundcloud.com/nadivgicheru/trials-and-errors
2019-04-02
1h 13
Sisi Watatu Podcast
02: Blogging, public takedowns and trains.
On our second episode of the Sisi Wata2 podcast, we host Ngoiri Migwi, an upcoming writer and blogger - htps://medium.com/@S_Ngoiri . In the age of social media we take on political correctness, gaslighting and how it all relates to the craft of writing. Ngoiri also taps into her role in the blogosphere to channel some thoughts on the how and why's of blogging. (This still includes a Sisi Wata2 member who plans on starting a mutura delivery blog, for his business). Music is by Manasseh Shalom - 'Mbua' - https://soundcloud.com/user-291335908/mbua...
2019-03-10
1h 18
Sisi Watatu Podcast
01: Entrepreneurship, Manspreading and Sonford.
On our debut episode of the Sisi Wata2 podcast, we dive into the struggles of roaming the streets of Kenyan towns, matatus, security techniques (or lack thereof) of Nairobi guards and trending tweets. Our special guest, Denis Mugambi talk entrepreneurship and his experiences in the startup world. As co-founder of Medbit, a digital healthcare company that offers a platform for searching and booking doctors, Denis describes just how to navigate the entrepreneur lifestyle . He throws in bits of advice for those looking to venture into his chosen career path. (This includes a Sisi...
2019-02-19
51 min
Sisi Watatu Podcast
00: Sisi Watatu Podcast Intro.
Welcome to the Sisi Watatu Podcast, Kenyan pop culture and social commentary with a twist. The world around us is in flames and life can be pretty expensive and depressing. We’re here to get you through that by being irreverent AF. With conversations about TV, movies, food, music, internets, and everything around the sun… while we argue a lot about food along the way. The Sisi Watatu podcast is a mix of fun and quirky with a dash of WTF are they talking about?!! Sisi Watatu is Written and Produced by Jesse, Okayze and...
2019-02-15
00 min
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Wananchi wa DRC kupiga kura siku ya Jumapili
Wananchi wa DRC watapiga kura siku ya Jumapili, kumchagua rais mpya. Kampeni zinamalizika wiki hii kuelekea Uchaguzi huo wa kihistoria. Ushindani mkali ni kati ya wagombea watatu, Emmanuel Shadary kutoka chama tawala, Martin Fayulu kutoka muungano wa upinzani wa Lamuka, na Felix Tshisekedi. Tume ya Uchaguzi CENI inasema iko tayari kwa uchaguzi huu licha ya kukabiliana na changamoto mbalimbali ikiweko kuteketea moto vya baadhi ya vifaa vya kupigia kura.
2018-12-19
00 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRIKA
Licha ya majeshi ya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na yale ya kulinda amani ya umoja wa mataifa kushambulia kambi za waasi wa ADF bado mauaji na mashambulzi ya kushitukiza yamekuwa yakiendelea katika wilaya ya Beni na huku kambi ya wanajeshi wa Umoja wa mataifa kushambuliwa na watu watatu kuuwawa na gari moja kuchomwa moto .Na Uganda imeyarundika majeshi yake kwenye mpaka baina ya nchi hiyo na Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ili kuzuia uwezekano wa mapigano baina ya wanajeshi wa Serikali na waasi wa ADF kufika katika ardhi ya Uganda.Na viongozi wa...
2018-11-19
59 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: HABARI MUHIMU
TANZANIA: Katibu mkuu wa chama tawala nchini Tanzania Chama cha Mapinduzi Abdalarham Kinana amejiuzulu .Kamati tendaji ya chama cha mapinduzi kimeridhia kujiuzulu kwa Bw Kinana . Bw Kinana aliyekuwa akijulikana kama Profesa wa siasa aliagaa halimashauri kuu na mrithi wake alikuwa akitarajiwa kujulikana hii leo .MUSUMBIJI:Watu 10 mkiwemo watoto inadaiwa wameuwawa kwa kukatwa katwa na mapanga katika kijiji kimoja kilichopo kasikazini mwa Musumbiji katika shambulio linloaminika kuwa liliendeshwa na wanamgambo wa kiislamu.Tukio hilo linatokea kufuatia mashambulio mwezi uliopita kasikazini mwa nchi hiyo ambako mtu mmoja aliuuliwa na wengine watatu kujeruhiwa .Hali ya ghasia...
2018-05-29
04 min
News in KiSwahili
KISWAHILI NEWS: MAKALA YA SURA YA AFRICA
Upinzani nchini Sudan ya Kusini umepinga mpango wa kuchangia madaraka chini ya upatanishi wa Shirika la IGAD.Mkutano wa kutasimini thamani ya uzalishaji barani Afrika umefunguliwa leo mjini Johannesburg Afrika Kusini .Ugonjwa wa Ebola bado unazidi kuenea na watu wengine watatu wamefariki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Na leo alhamisi tutakuwa na ukrasa wa Mazingira .Msikilizaji kumbuka kwamba matangazo yetu pia yanasikika katika runinga ya DSTVAudio Channel 802 na pia unaweza kutembelea Ukrasa wetu wa Face Book Channel Africa Kiswahili na pia unaweza kutuma ujumbe wako mfupi wa Maandishi SMS na kuchangia...
2018-05-24
59 min
News in KiSwahili
KiSwahili News
Waasi wa Anti Baraka wamuua mwanajeshi mmoja wa kulinda amani wa umoja wa mataifa katika mji wa Bangasu ,Jamhuri ya Afrika ya Kati na kuwajeruhu wengine watatu.Tutaangazia hali ya usalama na kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo .Na Mkutano wa Afya ukigusia maradhi na ufukara umeanza leo jumatatu nchini Marekani .Kwa niaba ya Fundi wa mitambo ..Revelino Ibrahim......Huyu ni mtangazaji wako Nixon Katembo karibu .Na matangazo yetu pia yanasikika katika Podcast na katika Short -wave .Internet , Satellite na DSTV Channel 802 Unaweza pia kutoa maoni yako kupitia namba yetu...
2017-07-24
55 min
Onair With Obby Claud
Breaking News: Watu Watatu Wamefariki Kwa Kupigwa Risasi Kibiti
2017-06-09
01 min
Noa Bongo – Uchumi na Mazingira
Uhamiaji mijini – Kipindi 05 – Umuhimu gani wa kuwa sahihi iwapo uko peke yako
Mpaka sasa kila kitu kinaonekana kwenda kulingana na mpango. Wanakijiji wanauonaje mradi huo? Tunaungana na mashujaa watatu katika mkutano na Hadari na tusikilize huku wakifanya mkutano wao wa kwanza wa mwaka.
2011-03-16
12 min
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Mission Berlin 17 – Kujenga Vizuizi
Huku zimesalia dakika 50, mchezaji anasema wakati umefika wa kumwamini keshia. Taarifa ya redio inasema wanajeshi wa Ujerumani Mashariki wanajenga uzuio wa seng'enge. Je hilo ndilo tukio la kihistoria la RATAVA? Anna hajatambua kuwa keshia ni Heidrun Drei na mchezaji anamwambia amwamini keshia huyo anayetaka kumsaidia hata kama kaka yake ana shaka. Hata hivyo ndugu hao wawili wanakubaliana kumsaidia Anna kulikwepa genge la waendesha pikipiki. Wote watatu wanakwenda kuwachungulia wanajeshi wa Ujerumani Mashariki ambao wanaanza kujenga uzio wa seng'enge. Mchezaji anamwambia Anna kuwa huo ni ujenzi wa Ukuta wa Berlin. Zimebaki dakika 45 kuinusuru Ujerumani.
2009-03-20
00 min