podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Sungusia Tenga
Shows
Seth wa East
Soul Mates Reminder
Smiles Never Lie, Souls Never Die... --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message
2021-05-04
04 min
Seth wa East
Work on yourself 🤍 Reminder
Share with someone who needs to hear this today they might thank you. --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message
2021-03-04
03 min
Seth wa East
What's Love Reminder ❤️🌹
Say YES if you know this feeling --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message
2021-03-03
04 min
Seth wa East
A Real Friend Reminder
Tag a real Friend! --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message
2021-03-03
06 min
Seth wa East
Apple Music ndani ya Bongo,Darasa mtandaoni na Teachable
Apple Music Kupanua wigo wake katika nchi zifwatazo Africa: Algeria, Angola, Benin, Chad, Kenya, Liberia, Madagascar, Malawi, Mali, Mauritania, Mozambique, Namibia, Republic of the Congo, Rwanda, Senegal, Seychelles, Sierra Leone, Tanzania, Tunisia na Uganda. Teachable : Wewe ni Mwalimu? Basi; Tengeneza na Uza masomo mazuri na Teachable Ustadi wako na uzoefu wako ni wakipekee na wenye thamani. Kwa urahisi kabisa unda tovuti nzuri,Sambaza maarifa yako na upate thawabu. https://www.apple.com/apple-music/ https://teachable.com/ --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message
2020-05-06
16 min
Seth wa East
Barakoa (facemask) na matumizi yake dhidi ya Corona
Leo tuzungumzie matumizi sahihi ya BARAKOA (face mask) maana Maradhi ya Corona (COVID19) yamekuja na mambo yake. KUTOKANA NA UWEPO HAFIFU WA VIFAA VYA UPIMAJI PAMOJA NA UHALISIA WA MAISHA YETU YA KILA SIKU YA KUKUTANA NA MISONGAMANO YA WATU MIMI NAONA NI VYEMA TU KUIVAA MAANA NI NGUMU KUJUA KAMA TUMEAMBUKIZWA TAYARI AU WALIOTUZUNGUKA WAMEAMBUKIZWA AMA LAH --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message
2020-04-17
12 min
Seth wa East
Yahusu Corona, Umbali wa kijamii na Arubaini (40) kama namba ya Mungu
Episode ya Leo kwenye Seth Wa East yahusu Corona Virus (COVID19), Umbali wa Kijamii na Ambavyo Mungu amekua akitumia namba 40 na Jinsi namba 40 ilivyoonekana tena kwenye tukio la mlipuko wa kirusi cha Corona. https://www.who.int/emergencies/diseases/novel-coronavirus-2019 --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message
2020-04-08
20 min
Seth wa East
CORONA ITAKOMA!
Moja ya kanuni za kujikinga zinazotangazwa na WHO ni kuosha mikono mara kwa mara kwa sabuni au kemikali maalumu hata kama mikono haionekani kuwa michafu. Sababu ya kufanya hivyo ni kwamba mtu anapoosha mikono kama inayoelekezwa,anaweza kuondoa virusi hivyo endapo viko mikononi.Kukaa mbali kunasaidia kuepusha kusambaa kwa virusi kwa sababu mtu aliyeathrika na virusi vya corona anaweza kukohoa au kupiga chafya inayoamabatana na mate yaliyobeba virusi hivyo kaka karibu, unaweza kuvuta virusi hao. Tazama Filamu iliotoka 2011 ya 'Contagion' Wakiwemo waigizaji maarufu kutoka Hollywood Matt Damon Laurence Fishburne Gwyneth Paltrow Jude Law
2020-03-30
14 min
Seth wa East
ENCORE
Seth wa East anauliza? Je Upo tayari! --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message
2020-02-29
01 min
Seth wa East
Jock Joker Time. ep1
Cheka kidunchu. It's not that offical --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message
2018-09-18
02 min
Seth wa East
Nitunze Nikutunze
Wiki ya Mazingira, Je! dustbin(Vyombo vya kuweka taka) Vinajitosheleza kwenye miji yetu? --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message
2018-06-05
04 min
Seth wa East
Tabasamu
Ishi na Utabasamu Maisha yawe Mwororo --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message
2018-04-23
04 min
Seth wa East
Mchanakazi
Daily noon hustle --- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message
2018-04-08
02 min
Seth wa East
Seth wa East (Trailer)
--- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message
2018-04-07
00 min
Seth wa East
Seth wa East (Trailer)
--- Send in a voice message: https://anchor.fm/setheast/message
2018-04-07
00 min