Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

TCRA

Shows

TCRA TanzaniaTCRA TanzaniaMawasiliano ni Fursa: Gari la Mtambo (Mobile Monitoring Radio Frequency Station)Ungana nasi kufahamu juu ya kazi ya gari la mtambo wa usimamizi wa masafa kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).Unaweza kufuatilia kipindi cha Mawasiliano ni Fursa kupitia chaneli ya YouTube ya TCRA ili kufahamu kwa kina kuhusu majukumu ya gari hilo katika usimamizi wa huduma za mawasiliano nchini.TCRA inaendelea kutumia teknolojia na mifumo mbalimbali kusimamia sekta ya mawasiliano katika kuhakikisha ubora , usalama na upatikanaji wa huduma za mawasiliano.Kwa maoni na mapendekezo, tafadhali wasiliana nasi kupitia 0800008272 au tuandikie dawatilahuduma@tcra.go.tz #NiRahisiSana!2025-07-1715 minTCRA TanzaniaTCRA TanzaniaMatumizi ya Akili Unde (Artificial Intelligence) Katika Zama za KidijitiFahamu Matumizi ya Akili Unde (AI) Katika Zama za Kidijiti” kupitia ufafanuzi uliotolewa na Mtaalamu wa Masuala ya Akili Unde (Artificial Intelligence - AI) na Mwanzilishi Mkuu wa Mfumo wa AI wa Ghala Bw. Kalebu Gwalugano katika mahojiano aliyofanya na TCRAKwa maoni na mapendekezo, tafadhali wasiliana nasi kupitia 0800008272 au tuandikie dawatilahuduma@tcra.go.tz #NiRahisiSana!2025-06-3015 minMatters of Democracy  podcastMatters of Democracy podcast2025 6-10 Matters of Democracy California vs. Trump - National Guard The Unprecedented Nature of the California DeploymentDeparture from Normality: The deployment of federal armed forces into an American state and city against the will of its governor is described as "somewhere between 'extremely unusual' and 'completely unprecedented.'"Misplaced Priorities (Critique of Sen. Murphy): Senator Chris Murphy (D-CT) was criticized for viewing the California situation as a "distraction" from a budget bill, Historical and Legal Context of Military Force Deployment. The Constitution's framers were wary of standing armies, relying on state and local militias for defense. The Insurrection Act of 1792 allowed federal...2025-06-1035 minTCRA TanzaniaTCRA TanzaniaDondoo za Kutambua Taarifa Feki MtandaoniTCRA imepata nafasi ya kujadiliana na Nuzulack Dausen, ambaye ni mwandishi wa habari mwenye tuzo nyingi kutoka Tanzania na Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Nukta Africa na Nukta Habari, akibobea katika ripoti za biashara, takwimu, na teknolojia. Yeye pia ni Mwandishi wa Thomson Reuters nchini Tanzania na mhadhiri wa Uandishi wa Habari za Takwimu na Fedha katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ambapo alipata Shahada ya Uzamili ya Mawasiliano ya Umma. Hapa tutafahamu namna ya kutambua taarifa feki, vyanzo vyake, na namna ya kuthibitisha taarifa na vyanzo vyake. Katika kipindi hiki, tutazungumza pia kuhusu namna y...2025-06-0919 minTCRA TanzaniaTCRA TanzaniaUsimamizi wa Huduma za Posta Tanzania (Sehemu ya Pili)Katika sehemu ya pili ya kipindi hiki cha huduma za posta, TCRA inatoa elimu kuhusu haki na wajibu wa mtoa huduma na mtumiaji wa huduma za posta nchini.  Kipindi hiki hujadili pia anuani makazi (post codes) zinatotumika kutambulisha maeneo mbalimbali nchini Tanzania pamoja na matumizi yake katika huduma za mawasiliano ya posta.Kwa maoni na mapendekezo, tafadhali wasiliana nasi kupitia 0800008272 au tuandikie dawatilahuduma@tcra.go.tz #NiRahisiSana!2025-05-2612 minTCRA TanzaniaTCRA TanzaniaUsimamizi wa Huduma za Posta Tanzania (Sehemu ya Kwanza)TCRA inahakikisha uwapo wa huduma za posta zenye kuaminika, usalama, ufanisi na bei nafuu ndani ya Jamhuri ya Tanzania.Ungana nasi katika kipindi hiki kufahamu utaratibu na kanuni za utoaji wa huduma katika sekta ndogo ya Posta nchini Tanzania.Kwa maoni na mapendekezo, tafadhali wasiliana nasi kupitia 0800008272 au tuandikie dawatilahuduma@tcra.go.tz #NiRahisiSana!2025-05-2613 minTCRA TanzaniaTCRA TanzaniaUidhinishwaji wa Vifaa vya Mawasiliano ya KielektronikiTCRA huidhinisha vifaa vya Mawasiliano ya Kielektroniki kwa mujibu wa Sheria  Kifungu Na. 83 (1) na (2)  cha Sheria ya Mawasiliano ya Kieletroniki na Posta ya Mwaka 2010. Uidhinishwaji huo ni utaratibu maalum wa kuhakikisha kwamba Vifaa vya Mawasiliano ya Kielektroniki vinakidhi matakwa, mahitaji na viwango vya kitaifa na kimataifa kabla ya kuruhusu vifaa hivyo kuingia sokoni. Ungana nasi kufahamu zaidi kuhusu utaratibu, umuhimu na mlengwa wa utaratibu huu wa kuidhinisha vifaa vya mawasiliano ya kielektroniki.Kwa maoni na mapendekezo, tafadhali wasiliana nasi kupitia 0800008272 au tuandikie dawatilahuduma@tcra.go.tz #NiRahisiSana!2025-05-2613 minTCRA TanzaniaTCRA TanzaniaTCRA Zanzibar: Majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano, Ofisi ya ZanzibarSheria Na. 12 ya mwaka 2003 iliyoianzisha TCRA inaipa Mamlaka wajibu katika majukumu mbalimbali ikiwemo; kukuza ushindani bora na uchumi wenye tija; kulinda maslahi ya watumiaji; kulinda mitaji ya Watoa Huduma wenye ufanisi; kukuza upatikanaji wa huduma zinazodhibitiwa kwa watumiaji wote wakiwamo wenye kipato kidogo, walioko vijijini na watumiaji walio na walioko katika mazingira magumu; pamoja na kuimarisha Elimu kwa Umma, uelewa na ufahamu  wa huduma zinazosimamiwa na TCRA.Meneja wa TCRA, Ofisi ya Zanzibar anatueleza utekelezaji wa majukumu haya kwa kina katika ofisi za TCRA.Kwa maoni na mapendekezo, tafadhali wasiliana nasi kupitia 0800008272 au tuandikie dawatilahuduma@t...2025-05-0515 minTCRA TanzaniaTCRA TanzaniaTaarifa ya Sekta ya Mawasiliano: Januari - Machi, 2025Karibu katika wasaa wa kusikiliza ripoti hii inayowasilisha takwimu za sekta ya mawasiliano za robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/2025. Kwa ujumla, ripoti inatoa takwimu za mawasiliano ya simu, pesa mtandao kupitia simu za mkononi, intaneti, utangazaji, posta na usafirishaji wa vifurushi na vipeto. Takwimu hizi zimeandaliwa kwa kuzingatia viwango vya Shirika la Umoja wa Mawasiliano Duniani (ITU) vya kukusanya na kuandaa takwimu za huduma ya mawasiliano/TEHAMA. Kwa maoni na mapendekezo, tafadhali wasiliana nasi kupitia 0800008272 au tuandikie dawatilahuduma@tcra.go.tz #NiRahisiSana!2025-05-0215 minTCRA TanzaniaTCRA TanzaniaWasichana katika TEHAMA, 2025: Mageuzi Jumuishi ya KidijitiSiku ya Kimataifa ya Wasichana katika TEHAMA (International Girls in ICT Day) huadhimishwa kila Alhamisi ya nne ya mwezi Aprili kila mwaka. Hii inafuatia makubaliano ya nchi wanachama wa Shirika la Mawasiliano Duniani (ITU),  kuhimiza wasichana kupenda kusoma masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati, kwa kifupisho cha kiingereza –STEM, yaani Science, Technology, Engineering and Mathematics. Nchi wanachama wa ITU pia zilikubaliana kuhamasisha Wasichana na Wanawake kushiriki kwenye kazi za taaluma ya STEM. TCRA, kama mwanachama na mjumbe wa baraza la utendaji la ITU, inaendeleza jitihada na huratibu maadhimisho haya kila mwaka. Hii ni  namna mojawapo ya ya ku...2025-05-0215 minTCRA TanzaniaTCRA TanzaniaJamii Yetu: Zanzibar - Mawasiliano na Maendeleo ya KilimoMawasiliano huleta faida mbalimbali katika maisha ya kila siku. Kipindi hiki kinaelezea yaliyojiri katika kilimo cha karafuu na namna mawasiliano huchochea kilimo hiki katika kisiwa cha Zanzibar.Kwa maoni na mapendekezo, tafadhali wasiliana nasi kupitia 0800008272 au tuandikie dawatilahuduma@tcra.go.tz #NiRahisiSana!2025-03-0320 minAfrica Tech NewsAfrica Tech NewsTanzania Imposes Ban On VPN UsageThe Tanzania Communications Regulatory Authority banned the use of VPNs without a permit in the country. The TCRA clarified that using VPNs is not prohibited, but users must report the VPNs they use and provide necessary information. Residents and citizens must fill out a form available on the TCRA website by October 30, 2023, providing their individual user IP addresses and specifying whether the VPN is for individual or company use. Tanzania has become the second East African country to implement regulations on VPN usage.2023-10-1801 minAstro arXiv | astro-ph.EPAstro arXiv | astro-ph.EPISPY-NACO Imaging Survey for Planets around Young stars The demographics of forming planets embedded in protoplanetary disksISPY-NACO Imaging Survey for Planets around Young stars The demographics of forming planets embedded in protoplanetary disks by Gabriele Cugno et al. on Wednesday 30 November We present the statistical analysis of a subsample of 45 young stars surrounded by protoplanetary disks (PPDs). This is the largest imaging survey uniquely focused on PPDs to date. Our goal is to search for young forming companions embedded in the disk material and to constrain their occurrence rate in relation to the formation mechanism. We used principal component analysis based point spread function subtraction techniques to reveal young companions forming in the disks. We calculated...2022-12-0101 minAstro arXiv | all categoriesAstro arXiv | all categoriesISPY-NACO Imaging Survey for Planets around Young stars The demographics of forming planets embedded in protoplanetary disksISPY-NACO Imaging Survey for Planets around Young stars The demographics of forming planets embedded in protoplanetary disks by Gabriele Cugno et al. on Wednesday 30 November We present the statistical analysis of a subsample of 45 young stars surrounded by protoplanetary disks (PPDs). This is the largest imaging survey uniquely focused on PPDs to date. Our goal is to search for young forming companions embedded in the disk material and to constrain their occurrence rate in relation to the formation mechanism. We used principal component analysis based point spread function subtraction techniques to reveal young companions forming in the disks. We calculated...2022-12-0101 minAstro arXiv | all categoriesAstro arXiv | all categoriesISPY-NACO Imaging Survey for Planets around Young stars The demographics of forming planets embedded in protoplanetary disksISPY-NACO Imaging Survey for Planets around Young stars The demographics of forming planets embedded in protoplanetary disks by Gabriele Cugno et al. on Tuesday 29 November We present the statistical analysis of a subsample of 45 young stars surrounded by protoplanetary disks (PPDs). This is the largest imaging survey uniquely focused on PPDs to date. Our goal is to search for young forming companions embedded in the disk material and to constrain their occurrence rate in relation to the formation mechanism. We used principal component analysis based point spread function subtraction techniques to reveal young companions forming in the disks. We calculated...2022-11-3000 minAstro arXiv | astro-ph.EPAstro arXiv | astro-ph.EPISPY-NACO Imaging Survey for Planets around Young stars The demographics of forming planets embedded in protoplanetary disksISPY-NACO Imaging Survey for Planets around Young stars The demographics of forming planets embedded in protoplanetary disks by Gabriele Cugno et al. on Tuesday 29 November We present the statistical analysis of a subsample of 45 young stars surrounded by protoplanetary disks (PPDs). This is the largest imaging survey uniquely focused on PPDs to date. Our goal is to search for young forming companions embedded in the disk material and to constrain their occurrence rate in relation to the formation mechanism. We used principal component analysis based point spread function subtraction techniques to reveal young companions forming in the disks. We calculated...2022-11-3001 minAstro arXiv | astro-ph.EPAstro arXiv | astro-ph.EPISPY-NACO Imaging Survey for Planets around Young stars The demographics of forming planets embedded in protoplanetary disksISPY-NACO Imaging Survey for Planets around Young stars The demographics of forming planets embedded in protoplanetary disks by Gabriele Cugno et al. on Tuesday 29 November We present the statistical analysis of a subsample of 45 young stars surrounded by protoplanetary disks (PPDs). This is the largest imaging survey uniquely focused on PPDs to date. Our goal is to search for young forming companions embedded in the disk material and to constrain their occurrence rate in relation to the formation mechanism. We used principal component analysis based point spread function subtraction techniques to reveal young companions forming in the disks. We calculated...2022-11-3000 minAstro arXiv | all categoriesAstro arXiv | all categoriesISPY-NACO Imaging Survey for Planets around Young stars The demographics of forming planets embedded in protoplanetary disksISPY-NACO Imaging Survey for Planets around Young stars The demographics of forming planets embedded in protoplanetary disks by Gabriele Cugno et al. on Tuesday 29 November We present the statistical analysis of a subsample of 45 young stars surrounded by protoplanetary disks (PPDs). This is the largest imaging survey uniquely focused on PPDs to date. Our goal is to search for young forming companions embedded in the disk material and to constrain their occurrence rate in relation to the formation mechanism. We used principal component analysis based point spread function subtraction techniques to reveal young companions forming in the disks. We calculated...2022-11-3001 minDig It With Imani The PodcastDig It With Imani The PodcastFighting Cyber Bullying: How TCRA ensures Safe Use of Cyber SpaceIn this episode, Asajile John, TCRA Southern Highlands Zonal Manager provides an overview of the work that the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) does to ensure safe Internet use and prevent cyberbullying.2022-09-1538 minSteno TalkSteno TalkEP11: The one where they get networking skills.So why does Anna have sweaty pits this time? Networking is hard. It could give any one of us sweaty pits. Let us take the pressure off and give you some tips for networking and setting yourself apart in this field, and guess what? This applies to both reporters and more importantly students! You guys can and should be networking too!  Attend the things. Meet the people. Talk about your goals. Make your own business cards. This will be your career, folks. You want people to remember and notice you, especially at an event like a convention. Also, lean heavily o...2021-06-0238 minSteno TalkSteno TalkEP10: The one where they get schooled by Allie Hall.Sit down with us as we chat with the infamous Allie Hall about all those letters behind her name! If you haven't heard of Allie... this woman is a legend and it was such a pleasure picking her brain about everything (and then some.) She's had so many struggles through court reporting school and she conquered them all. If you're looking for some grit and determination... Allie Hall IS grit and determination. She literally can.do.anything. Nothing can keep her down, and she can somehow be completely calm, cool, and collected while kicking court reporting's ass. You will NOT...2021-05-191h 06Steno TalkSteno TalkEP8: The one where they find mentors.Court reporting is such a lonely study while you're going through school. In this episode, we talk about how special and crucial mentors are, and they don't go away as soon as you graduate or are done with school. They'll be with you even after you certify, even after you start working! You'll have so many questions in and out of school and sometimes the answers feel out of reach, so having a mentor is such a great resource and can do wonders for support and motivation. Even if you aren't certified or done with school, don't forget that...2021-04-2148 minSteno TalkSteno TalkEP7: The one where they battle burnout.Burn out means you’re done, right? DONE! Wrong. Burn out means you’re working hard, maybe even too hard, but you’ve got to change things up. I’ll quote Einstein here. “The definition of insanity is doing the same thing over and over again, but expecting different results” Talk to your instructor. Have them talk to you about what a reasonable goal is. Voice your frustrations. Constructive feedback might be hard to hear, but if you’re in burn out you have to stop and reevaluate and make.some.changes. Reach out to your mentors...2021-04-141h 06Steno TalkSteno TalkEP6: The one where tests make them anxious (not.)TCRA students! Don't miss out on the student hangout on the 1st Monday of every month! Have you ever blanked out and not heard words? Experienced loud breathing, shaking, stacking, or freezing up? Remove the pressure. Breathe. Visualize the after. So much of this is mental. Focus more on the SKILL and less on the RESULTS. Remove the pressure. Hydrate. Incorporate positive self-talk. Daydream positivity. Get your blood flowing and sleep when you need it. Fuel your body. Write down your feelings and acknowledge them. Prepare so you're confident. Focus...2021-04-0752 minSteno TalkSteno TalkEP5: The one where they get down and dirty with Smurf.The one where they get down and dirty with Smurf.  We had such a wonderful time talking (and sharing a TON of laughs) with the wonderful Sarah Murphy! (@sarah_e_murphy) She talks about her practice and testing methods as well as what going through school and taking the CSR exam was like for her, and Anna. Did you take yours in person, or through ProctorU?  I mean, could you imagine being the ONLY person to pass your theory class and then have to teach yourself the second half of...2021-03-311h 06Steno TalkSteno TalkEP4: The one where they talk about relationships, family, kids... everything!What does it mean to "give 100%?" How can you possibly give all of your commitments 100%?! Something has got to give. You can't do it all, so what can you do? Everybody has to pitch in. Accept it. We all know the struggle of other commitments... jobs, kids, family, and everything in between! So what do you know? Don't feel alone.  It's all worth it. Hang out with us while we go over our own personal struggles and the sacrifice it takes. We're all tired. Not everybody can do this, folks.  Burn out is *REAL* when you're on this journey. Ev...2021-03-2449 minSteno TalkSteno TalkEP3: The one where they talk about managing your time.From the pains of shadowing long jobs to being appointed to the chair of the student committee of the TCRA. And, what?! Anna has officially been on the job for nine days and is finally gettin' that money after all that time in school! We go in-depth about the various strategies on how to manage your time and get some focused practice in even if it feels like there aren’t enough hours in the day. Don’t worry! Use your planner or don’t! Just keep those hands on your machine and give it all you can when you can. W...2021-03-171h 00MsasaonlineMsasaonlineCLOUDS TV NA REDIO ZAFUNGIWA KWA SIKU 7.MAMLAKA ya Mwasiliano Tanzania (TCRA) imeagiza Clouds TV na Redio kusitisha matangazo yao kwa muda wa siku saba kuanzia kesho Ijumaa 28 Agosti hadi 3 Septemba 2020 kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za uchaguzi. Pia, mamlaka hiyo imevitaka Clouds TV na Redio kuomba radhi siku nzima ya leo Alhamisi tarehe 27 Agosti 2020 kwa kosa hilo. Akizungumza na waandishi wa habari makamo makuu ya mamlaka hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, James Kilaba amesema, adhabu hiyo inatokana na kukiuka kanuni mbalimbali za utangazaji na kanuni ndogo za wakati wa uchahuzi za mwaka 2015. Kilaba amesema, Clouds TV na Redio walikiuka...2020-08-2902 minSautiPodcastSautiPodcastS01E01 Habari360 - TCRA NA SHERIA MPYA YA MITANDAO NA HABARI 2020Habari360 ni episode itakayokuwa inazungumzia masuala mbalimbali ya Habari za kisiasa, jamii kitaifa na mataifa --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message2020-08-0604 minSautiPodcastSautiPodcastS01E01 Habari360 - TCRA NA SHERIA MPYA YA MITANDAO NA HABARI 2020Habari360 ni episode itakayokuwa inazungumzia masuala mbalimbali ya Habari za kisiasa, jamii kitaifa na mataifa --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sautipodcast/message2020-08-0604 minMsasaonlineMsasaonlineTCRA YAVITOZA BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI FAINI NCHINMatumizi mabaya ya vyombo vya habari2020-07-0301 minISA 360°😎🔊📚✔.ISA 360°😎🔊📚✔.Tamko La TCRA "Laini Zisizo Sajiliwa Tutazifunga Na Kuziondoa Kwenye Mfumo."2019-12-1605 minWorlds of WayneWorlds of WayneEpisode 154Myself and Dave Syslo talk about the upcoming Tiny Car Racing Association! Racing 64th scale cars (like Hot Wheels, Matchbox, etc) at the Waiting Room. Fun, smack talk, prizes, food, and beer. It's a great time. The TCRA (NE) online - CLICK HERE Opening song : "Another Week" by Rock Paper Dynamite 2012-01-0400 min