podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Tumsime
Shows
Maarifa Podcast na Tumsime
SE1 EP09 - Jifunze kujenga ushawishi na kuuza wazo lako kwa Mafanikio (Mawasiliano)
Kwenye kipindi hiki tunaenda kumulika umuhimu wa mawasalino kwa software engineer. Maarifa utakayo yapata yanaweza kutumika kwenye taaluma yeyeto. Utaweza kujifunza vifuatavyo:- 1. Mawasiliano ni nini? 2. Umuhiumu wa mawasiliani 3. Silaha kuu za software engineer kama vile ushawishi na kuuza wazo lake 4. Mawasiliano yanavoweka kuwa complex
2024-03-29
10 min
Maarifa Podcast na Tumsime
SE1 EP08 - Tree Data Structure - Concepts
Kwenye kipindi cha leo tunaenda kuzungumzia maada ya Tree Data Structure kwenye Kompyuta. Ni moja ya Data Structure muhimu sana unazotakiwa kuzifamu kama unasoma computer science, unafanya kazi kama Software Engineer au unataka kujifunza kuhusu software development. Kwenye Kipindi cha leo umeweza kujifunza:- 1. Tree Data Structure. 2. Concepts zanazotumika kwenye Tree Data Structure.
2023-10-22
09 min
Maarifa Podcast na Tumsime
SE1 EP07 - Data structures - Tree Intro
Kwenye kipindi cha leo nitagusia kuhusu introduction ya Tree Data Structure kwenye kompyuta.
2023-07-01
04 min
Maarifa Podcast na Tumsime
SE1 EP06 - Graph Data Structure Kwenye Kompyuta | Data Structure
Kwenye kipindi cha leo tunaenda kuzungumzia maada ya Graph Data Structure kwenye Kompyuta. Ni moja ya Data Structure muhimu sana unazotakiwa kuzifamu kama unasoma computer science au unafanya kazi kama Software Engineer. Kwenye Kipindi cha leo umeweza kujifunza:- 1. Graph data structure na kuelewa kuhusu vertex na edge. 2. Sifa za graph data structure 3. Aina za graph kama vile undirected na directed 4. Jinsi ya kutengeneza graph kwenye program au system kutumia Adjaceny matrix and Adjacency list. 5. Operation unawezoza kusifanya kwenye graph
2023-05-29
13 min
Maarifa Podcast na Tumsime
SE1 EP05 - Queue Data Structure Kwenye Kompyuta | Data Structure
Kwenye kipindi cha leo tunaenda kuzungumzia maada ya Queue Data Structure kwenye Kompyuta. Ni moja ya Data Structure muhimu sana unazotakiwa kuzifamu kama unasoma computer science au unafanya kazi kama Software Engineer. Kwenye Kipindi cha leo umeweza kujifunza:- 1. Queue data structure. 2. Sifa za queue data structure 3. Operations unaweza kuzifanya kwenye queue DT kama vile enqueue, dequeue, peek 4. Matumizi ya queue DT 5. Mifano mbali mbali
2023-03-12
11 min
Maarifa Podcast na Tumsime
SE1 EP04 - Stack Data Structure Kwenye Kompyuta | Data Structure
Kwenye kipindi cha leo tunaenda kuzungumzia maada ya Stack Data Structure kwenye Kompyuta. Ni moja ya Data Structure muhimu sana unazotakiwa kuzifamu kama unasoma computer science au unafanya kazi kama Software Engineer. Kwenye Kipindi cha leo umeweza kujifunza:- 1. Stack data structure. 2. History fupi ya stack data structure. 4. Vitu unaweza kufanya kwenye stack kama push, pop. 5. Mifano ya sehemu stack data structure inapotumika.
2023-02-26
12 min
Maarifa Podcast na Tumsime
SE1 EP03 - Linked List Data Structure Kwenye Kompyuta | Data Structure
Kwenye kipindi cha leo tunaenda kuzungumzia maada ya Linked List Data Structure kwenye Kompyuta. Ni moja ya Data Structure muhimu sana unazotakiwa kuzifamu kama unasoma computer science au unafanya kazi kama Software Engineer. Kwenye Kipindi cha leo utaweza kujifunza:- 1. Linked list ni data structure gani. 2. Sifa za Linked list kulinganisha na Array. 3. Aina za Linked list (Singly, Doubly, Circular). 4. Hatua za kutengeneza linked list. 5. Mifano ya maisha ya kula siku inapotumika. Kipindi kinachofuta nitazungumzia kuhusu Stack.
2023-02-11
15 min
Maarifa Podcast na Tumsime
SE1 EP02 - Array Data Structure Kwenye Kompyuta | Data Structure
Kwenye kipindi cha leo tunaenda kuzungumzia kuhusu Array Data Structure kwenye Kompyuta. Utaweza kufahamu nini maana ya Array, umuhimu wa kufahamu Array kama Softare Engineer, Sifa/faida za kutumia Array, Wakati gani Array inakua sio cha guo zuri wakati wa kuandika programu. Pia utaweza kujifunza kuhusu programming languages na mifano. Utaweza kufahamu vitu vya kuzingatia wakati wa interview na unapotumia Array. Kipindi kinachofuta nitazungumzia kuhusu Linked List.
2023-01-29
19 min
Maarifa Podcast na Tumsime
SE1 EP01 - Jinsi Ya Kuzipangilia Data Kwenye Kompyuta | Data Structure
Kwenye kipindi cha leo, utajifunza kuhusu kupangilia data kwenye kompyuta (Data Structure), umuhimu wake na aina za data structure zinazotumika sana. Pia utaweza kujifunza kuhusu Memory kwa ufupi.
2023-01-14
14 min
Maarifa Podcast na Tumsime
Karibu Kwenye MaarifaPodcast na Tumsime.
Karibu Kwenye MaarifaPodcasts na Tumsime ambapo utaweza kujunza maada mbalimbali kwenye sayansi ya kompyuta.
2022-12-31
00 min