podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Unaweza Talks
Shows
Maisha Ni Kuthubutu Podcast
Sababu Sita (06) Za Kwanini Unaweza Ku-move On Kwenye Mahusiano Ambayo Siyo Sahihi.
Unajisikiaje mtu ambaye unampenda kwa moyo wote anakusaliti na anakupa visingizio kuwa shetani alimpitia. Hakuna usaliti unafanywa kwa bahati mbaya. Kila siku ni mtu wa kupasha viporo na ex wake kwa kusema toka tuachane umekuwa na umbo namba nane la kibantu... ...toka muachane amekuwa mkaka “Handsome” unasema hapa ndiyo penyewe. Unajua kabisa siyo mtu sahihi kabisa kwako lakini kila siku unang’ang’ania kusema labda kuna siku atabadilika Swali la kujiuliza... Toka lini mtu akaweza kumbadilisha mtu mwingine? Jibu ni hapana badala yake ni unaweza kuwa daraja la yeye kubadilika. Lakini... Una uwezo mkubwa wa ku-move on kwenye mahusiano ambayo siyo sah...
2022-12-02
23 min
Maisha Ni Kuthubutu Podcast
Sababu Saba (07) Za Kwanini Unaweza Kukabiliana Na Msongo Wa Mawazo Kwenye Maisha Yako. Part 02
Njia pekee ya kutatua tatizo ni kutafuta suluhu ya tatizo si ndiyo? Hata msongo wa mawazo ni lazima ujue namna gani unaweza kukabiliana ili uwe mtu mwenye furaha, kujiamini, afya nzuri ya akili na mwili. Episode hii itakupa maarifa na taarifa za kina ni kwa namna gani unaweza kukabiliana na msongo wa mawazo kwa kupitia uzoefu, takwimu na ushauri kutoka kwa watu wenye maarifa ya kutosha na wataalamu(Wanasaiokolojia); hutochoka sababu ina mifano mingi ipo, pia ina mtiririko ni Mzuri kuanzia sababu ya kwanza hadi ya saba na kuweza kuelewa si hivyo tu! Utapata kuburudika na kueleimika vya kutosha kwa...
2022-09-26
22 min
Unaweza talks
96/100: Watoto wanahitaji mafundisho au mafunzo kutoka kwa wazazi kuliko wanavyohitaji ushauri
Mafunzo ni muhimu sana kwa watoto kuliko ushauri, kwani hupokea mafundisho badala ya ushauri
2022-05-21
09 min
Unaweza talks
95/100: Watoto wanahitaji mafundisho badala ya ushauri kutoka kwa wazazi au walezi
Mafundisho ni muhimu kwa watoto. Ushauri ni kwa ajili ya watoto wa umri mkubwa
2022-05-20
10 min
Unaweza talks
94/100: Kwenye mahusiano ya ndoa, malezi mazuri ni jukumu lenu wanandoa
Malezi bora ni jukumu lenu wazazi, siyo jukumu la mtu mmoja
2022-05-19
09 min
Unaweza talks
93/100: Jua makusudi haya ya tendo la ndoa kwenye mahusiano yako
Kuna makusudi ya tendo la ndoa je unayafahamu?
2022-05-18
06 min
Unaweza talks
92/100: Dhibiti na tunza hamu na njaa yako ya tendo la ndoa kwa ajili ya mwenza wako kwenye ndoa
Hamu yoyote unaweza kuitawala na kuidhibiti ikiwemo hamu ya tendo la ndoa.
2022-05-17
10 min
Unaweza talks
91/100: Kwenye ndoa, mpe mwenza wako umakini wako
Unahitaji kumpa mwenza wako umakini wako
2022-05-16
09 min
Unaweza talks
90/100: Kwenye ndoa, onesha upendo kwa mwenza wako badala ya kudhani kwamba unampenda au anakupenda
Kuonesha upendo ni muhimu kuliko kudhani na kufikiri kwamba unapendwa
2022-05-15
10 min
Unaweza talks
89/100: Ni muhimu Kumshukuru, kumsifia na kuthamini kile anachokifanya mwenza wako kwenye mahusiano
Kumshukuru na kumsifia mwenza wako ni muhimu kwenye mahusiano ya ndoa
2022-05-14
09 min
Unaweza talks
88/100: Kwenye mahusiano ya ndoa, kanya lakini usipinge au kukosoa.
Kupinga na kukosoa huwa hakuna faida kwa yeyote yule. Hivyo unatakiwa kukanya, kukemea na kuonya.
2022-05-13
15 min
Unaweza talks
87/100: Usichukulie poa mambo haya madogo madogo kwenye ndoa na mahusiano yako
Mazoea, ni moja ya mambo madogo madogo ambayo siyo ya kuchukulia poa
2022-05-12
09 min
Unaweza talks
86/100: Misingi muhimu ya kutumia ili kujenga mahusiano yako ya ndoa imara 3
Hii ni misingi muhimu ya kujenga mahusiano yaliyo bora
2022-05-11
12 min
Unaweza talks
85/100: Misingi muhimu ya kujenga mahusiano yako imara ni maarifa, upendo, ukweli, na kujitoa
Misingi muhimu sana unayoweza kuitumia kujenga mahusiano yako imara
2022-05-10
11 min
Unaweza talks
84/100: Misingi muhimu unayoweza kuitumia kujenga mahusiano imara
Msingi ni muhimu sana kwenye ujenzi wowote ule
2022-05-09
10 min
Unaweza talks
83/100: Hii ni njia nzuri ya kugawana majukumu kati ya mwanamke na mwanamume kwenye mahusiano
Mgawanyo mzuri wa majukumu unatakiwa utokane na uwezo wa wakati huo, uhitaji wa wakati huo na nafasi iliyopo kwa wakati huo.
2022-05-08
07 min
Unaweza talks
82/100: Jua chanzo cha mgawanyo wa majukumu kwenye mahusiano yenu
Dini na jamii ni vyazo vikubwa vya mgawanyo wa majukumu kwenye ndoa
2022-05-07
05 min
Unaweza talks
81/100: Jua chanzo cha mgawanyo wa majukumu kwenye ndoa yenu
Mgawanyo wa majukumu ni muhimu sana, hivyo unapaswa kujua na kufahamu
2022-05-06
09 min
Unaweza talks
Fahamu chanzo cha majukumu ya mwenza wako kwenye mahusiano ya ndoa
Majukumu ya wanandoa ni muhimu kuyajua. Ndoa inahitaji majukumu yafanyike. Majukumu kama kupika n.k lazima yawekewe utaratibu
2022-05-05
11 min
Unaweza talks
79/100; Jua mgawanyo wa majukumu kwenye mahusiano ya ndoa na mwenza wako
Ni muhimu kufahamu mgawanyo wa majukumu kwenye ndoa
2022-05-05
10 min
Unaweza talks
78/100: Mtimizie mahitaji haya ya msingi mwenza wako
Mahitaji ya msingi
2022-05-03
07 min
Unaweza talks
77/100; Timiza mahitaji haya kwa mwenza wako ili ndoa yako iwe yenye furaha na amani
Lengo la mahusiano ni kutimiziana mahitaji. Hivyo Timiza mahaitaji ya mwenza wako ili ndoa yenu iwe na furaha na amani
2022-05-02
10 min
Unaweza talks
76/100; Kufahamu mahitaji ya mwenza wako ni muhimu ili uweze kumpenda
Jua mahitaji ya mwenza wako ili umpende
2022-05-01
08 min
Unaweza talks
Kufahamu u tofauti wa kimaumbile ni muhimu katika kumpenda mwenza wako
Tuko tofauti kimaumbile kwa kazi na shughuli tofauti na hivyo kuwa na mahitaji tofauti
2022-04-30
09 min
Unaweza talks
74/100; Dalili za mtu aliyejikataa au kujichukia kwenye mahusiano
Kujichukia na kujikataa ni changamoto kubwa sana kwenye mahusiano. Hizi ni dalili za mtu aliyejikataa
2022-04-29
10 min
Unaweza talks
73/100: Kujichukia ni adui mkubwa kwenye mahusiano yako
Unapaswa kujipenda badala ya kujichukia
2022-04-28
09 min
Unaweza talks
72/100: Kuwa karibu na mwenza wako ni njia pekee ya kumjua na kuboresha ndoa yako
Kumjua mwenza wako ni muhimu sana.
2022-04-27
09 min
Unaweza talks
71/100: Upendo wa kweli ni upendo wa Agape ambao unapaswa kujenga ndoa na mahusiano yako
Upendo wa kweli ni upendo wa agape; unakuwezesha kujenga mahusiano imara
2022-04-26
30 min
Unaweza talks
70/100: Upendo wa kimapenzi siyo upendo wa kweli wa kujenga ndoa imara na ya kudumu
Upendo wa kimapenzi ni muhimu kuonesha mnapendana kama tu mko tayari kwenye ndoa, lakini siyo upendo wa kweli unaoweza kufanya ndoa ikadumu.
2022-04-25
07 min
Unaweza talks
69/100: Upendo wa kifamilia au kindugu siyo upendo wa kweli wa kujenga mahusiano ya ndoa bora
Upendo wa kifamilia au kindugu siyo upendo wa kweli wa kujenga mahusiano ya ndoa bora
2022-04-24
09 min
Unaweza talks
68/100: Kwa sababu hizi, upendo wa kirafiki(Phileo Love) siyo msingi mzuri wa kujenga ndoa imara
Ili ujenge ndoa imara unahitaji upendo wa kweli. Upendo wa kirafiki unamasharti, hivyo siyo upendo wa kweli
2022-04-23
10 min
Unaweza talks
67/100: Hii ndiyo sehemu pekee ya kujifunza upendo wa kweli
Upendo wa kweli utajifunza kwa Mungu pekee yake.
2022-04-22
10 min
Unaweza talks
66/100: Sifa mbili zinazofanya urafiki uwe ni kichocheo na kiungo kizuri cha mahusiano ya ndoa
Urafiki ni muhimu sana kwenye mahusiano ya ndoa, kwani hufanya wanandoa wajuane na waishi kwa furaha kwenye ndoa
2022-04-21
10 min
Unaweza talks
65/100: Urafiki ni kitu pekee kinachofanya wanandoa kujua na kufahamiana vizuri kwenye mahusiano
Mke na mume mnapaswa kuwa marafiki ili kujuana vizuri.
2022-04-20
10 min
Unaweza talks
64/100: Kushirikiana kukua kiroho, kiuwezo na kutimiziana mahitaji ni sababu nzuri ya kuingia ndoa
Hizi ni sababu nzuri za kuingia kwenye ndoa
2022-04-19
07 min
Unaweza talks
63/100: Urafiki na kushirikishana ni sababu nzuri za kuingia kwenye ndoa
63/100: Urafiki na kushirikishana ni sababu nzuri za kuingia kwenye ndoa
2022-04-18
09 min
Unaweza talks
62/100: Kuonesha upendo wa kiMungu na upendo binafsi ni sababu nzuri za kuingia kwenye ndoa
Kuonesha upendo wa kiMungu na upendo binafsi ni sababu nzuri za kuingia kwenye ndoa
2022-04-17
11 min
Unaweza talks
61/100: Hizi ndizo sababu za msingi za wewe kuingia kwenye ndoa
Kuna sababu za msingi kabisa ambazo zinaweza kukufanya uingie kwenye ndoa.
2022-04-16
09 min
Unaweza talks
60/100: Kuogopa kujitegemea na kuwahurumia unaowashauri siyo sababu sahihi ya kuingia kwenye ndoa
Hizi ni sababu za hovyo kabisa kwa mtu yeyote kuingia kwenye ndoa
2022-04-15
11 min
Unaweza talks
59/100: Kuachika au kuachana kwenye ndoa na kuogopa kumuumiza mtu si sababu za kuingia kwenye ndoa
Sababu hizi ni sababu zisizofaa kwa wewe kuingia kwenye ndoa
2022-04-14
11 min
Unaweza talks
58/100: Kuondoka na kukimbia mateso nyumbani siyo sababu sahihi ya kuingia kwenye ndoa
Kuondoka kwenye mikono ya wazazi na kukimbia mateso nyumbani siyo sababu za kuingia kwenye ndoa
2022-04-13
11 min
Unaweza talks
57/100: Tendo la ndoa na kupata mimba siyo sababu sahihi za kuingia kwenye ndoa
Tendo la ndoa na kupata mimba siyo sababu sahihi za kuingia kwenye ndoa.
2022-04-12
12 min
Unaweza talks
56/100: Sababu zisizofaa wewe kuingia kwenye ndoa
Hizi ni sababu za hovyo sana kwa wewe kuingia kwenye mahusiano ya ndoa.
2022-04-11
10 min
Unaweza talks
55/100: Kubadili ndoa, mwenza au mpenzi siyo suluhisho la wewe kuwa na ndoa yenyefuraha
Ndoa yenye na amani haiwezi kupatikana kwa wewe kubadili ndoa, mwenza au mpenzi kila kukicha. Bali inahitaji uvumilivu na kutatua matatizo ya mahusiano yako
2022-04-10
11 min
Unaweza talks
54/100: Ndoa yenyefuraha siyo ajali, ni maadalizi na kujipanga
Ndoa inahitaji uwekezaji, wa muda , nguvu na mali ili iwe yenyefuraha na Amani
2022-04-09
11 min
Unaweza talks
53/100: Mahusiano ya ndoa yanatangulia mahusiano mengine yote
Mahusiano ya ndoa ya upekee wake, yanapita na kutangulia mahusiano mengine yote. Yana husisha agano, kiapo na nadhiri
2022-04-08
10 min
Unaweza talks
52/100: Kwenye ndoa haijalishi unampenda nani bali unaipenda ndoa yako
Kuipenda ndoa ni muhimu sana kuliko nyinyi wanandoa kupendana. Ndoa ni kubwa kuliko wanandoa
2022-04-07
10 min
Unaweza talks
51/100: Ndoa si tendo la ndoa tu, wala si kuzaa watoto tu, ni zaidi ya hayo
Ndoa si kuzaa watoto tu, wala tendo la ndoa tu ni zaidi ya hivyo vitu.
2022-04-06
06 min
Unaweza talks
50/100: Kutokuipenda ndoa na kutokujua kuwa ndoa hupitia vipindi mbali mbali ni chanzo cha talaka
Kama mwenza wako haipendi ndoa, mtaachana tu. Na kama hamjui kuwa ndoa hupitia vipindi mbali mbali vyenye changamoto
2022-04-05
11 min
Unaweza talks
49/100. Kuachana na kutalikiana kuonekana ni jambo la kawaida kwenye jamii kunachangia talaka
Jamii imefanya kuachana na kutalakiana kuwa kama jambo la kawaida hivyo kunachochea watu kuachana
2022-04-04
10 min
Unaweza talks
48/100: Kutokujuana ni chanzo cha mahusiano na ndoa nyingi kuvunjika
Wanandoa wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa hawajuani vizuri tabia zao
2022-04-03
06 min
Unaweza talks
47/100. Kukosekana kwa uaminifu kwenye ndoa na mahusiano ni chanzo cha talaka na kuachana
Uaminifu ni muhimu sana kwenye mahusiano na ndoa. Ukikosekana, talaka na kuachana itakuwa lazima
2022-04-02
07 min
Unaweza talks
46/100. Sababu za talaka na kuachana kwenye mahusiano
Kuna sababu nyingi sana zinazowafanya watu kuachana kwenye ndoa na mahusiano. Hizi hapa baadhi ya sababu
2022-04-01
10 min
Unaweza talks
45/100. Mambo mawili ya kufanya unapoachwa au kutalakiana
Kuachana na kutalakiana kuna uma sana. Fanya haya mambo mawili ili kuepuka maumivu
2022-03-31
10 min
Unaweza talks
44/100: Utofauti wetu kwenye mahusiano ni faida
Kujua kutumia u tofauti wenu kwenye ndoa ni muhimu
2022-03-30
08 min
Unaweza talks
43/100. Sababu za wanaume wengi kutokuwa tayari kuhalisha ndoa zao
Hizi ndiyo sababu nne kwa nini wanaume wengi siku hizi hawako tayari kuhalalisha ndoa zao, licha ya kuishi na wenza wao
2022-03-29
13 min
Unaweza talks
42/100. Kwanini wanaume wengi siku hizi hawako tayari kuhalalisha na kubariki ndoa zao? 2
Jua thamani yako, msimamo wako na mshawishi mwenza wako ili akubali kubariki na kuhalalisha
2022-03-28
21 min
Unaweza talks
41/100: Kwanini wanaume wengi siku hizi hawako tayari kubariki na kuhalalisha ndoa zao
Sababu kwanini wanaume wengi kutokuwa tayari kubariki na kuhalalisha ndoa zao
2022-03-27
09 min
Unaweza talks
40/100: Kutokuwa muwazi ni kero kwenye mahusiano
Kutokuwa muwazi kwenye ndoa na mahusiano yako ni kero kwa mwenza wako
2022-03-26
06 min
Unaweza talks
39/100. Kisirani ni kero kwenye ndoa
Acha kuwa na Kisirani kwa mwenza wako ni kero
2022-03-25
06 min
Unaweza talks
38/100. Kususa na kununa ni kero kwenye ndoa
Acha kususa au kununa kwenye ndoa ni kero kubwa kwa mwenza wako
2022-03-24
08 min
Unaweza talks
37/100. Ujuaji kwenye ndoa ni kero
Usiwe mjuaji kwenye ndoa, msikilize mwenza wako
2022-03-23
03 min
Unaweza talks
36/100: Wivu wa kimapenzi ni kero kwenye ndoa
Pale wivu wa kimapenzi unapogeuka kuwa chuku, huwa ni kero kubwa sana kwa wanandoa.
2022-03-22
10 min
Unaweza talks
35/100. Kero ya ndugu kwenye ndoa na mahusiano na namna ya kuiepuka
Mahusiano huwa yanakero nyingi sana, moja ya kero hizi ni ndugu.
2022-03-21
08 min
Unaweza talks
34/100. Kuchelewa kurudi nyumbani ni kero kwenye ndoa
Kuchelewa kurudi nyumbani ni inawakera wanawake wengi kwenye ndoa
2022-03-20
09 min
Unaweza talks
33/100: Uchafu ni kero kubwa sana kwenye ndoa nyingi
Achana na uchafu kwenye ndoa yako, unamkera mwenza wako.
2022-03-19
08 min
Unaweza talks
32/100. Utoto ni moja ya kero kwenye mahusiano na ndoa nyingi
Epuka kuwa na tabia ya Utoto kwenye mahusiano na ndoa. Mjue mwenza wako.
2022-03-18
22 min
Unaweza talks
31/100: Mwanaume mpende mkeo, mwanamke mwamini mumeo.
Mwanamume unapaswa kupenda mkeo kwa kumpendezesha. Huku wewe mwanamke, mwamini mumeo kwa kumpa uhuru na kumuheshimu
2022-03-17
08 min
Unaweza talks
30/100. Je, naweza kuoana au kuoa mtu wa imani na dini tofauti na yangu.
Dini na imani tofauti zimekuwa changamoto kwenye mahusiano mengi hasa ya uchumba na urafiki, kuelekea ndoa.
2022-03-16
13 min
Unaweza talks
29/100. Mapenzi ya Bluetooth na mambo 2 unayopaswa kuachana kuyafanya ili kudumisha mahusiano yako
Changamoto ya mapenzi ya mbali ni kama Bluetooth. Ukiwa karibu munaunganika, mkiwa mbali kila mtu anaanza kutafuta wa kuunganika naye
2022-03-15
11 min
Unaweza talks
28/100: Mambo mawili ya kufanya ili kuboresha mahusiano ya mbali
Mahusiano ya mbali yanachangamoto nyingi sana. Haya hapa mambo mawili ya kufanya ili kuboresha mahusiano ya mbali
2022-03-14
12 min
Unaweza talks
27/100. Shauku na hamu tano zinazosumbua wanandoa wengi
Kuna hamu na shauku tano zinazowasumbua wanandoa wengi kwenye mahusiano
2022-03-13
29 min
Unaweza talks
26/100: Sababu kwa nini wanaume ni wadhaifu kwa wanawake
Kuna sababu mbili muhimu kwa nini wanaume ni wadhaifu kwa wanawake.
2022-03-12
23 min
Unaweza talks
25/100. Hili ni hitaji kuu la mwanamke kwenye ndoa na mahusiano
Mwanamke anahitaji mahaba, huba na mapenzi kwenye mahusiano na ndoa.
2022-03-11
10 min
Unaweza talks
24/100:Fahamu lugha ya kimapenzi ya mwenza wako
Kila mtu analugha yake ya kimapenzi. Unapaswa kufahamu ili kuboresha mahusiano yako
2022-03-10
11 min
Unaweza talks
23/100: Maamuzi yoyote mazuri kwenye ndoa yanahitaji kuhusisha mantiki na hisia kwa pamoja
Kutokutumia hisia na mantiki kwenye maamuzi mengi kwenye ndoa ndiyo chanzo cha migogoro mingi
2022-03-09
09 min
Unaweza talks
22/100: Nguvu ya mwanamke kwenye ndoa
Mwanamke kwa asili ni mpokeaji. Hii ni nguvu inayompa uwezo wa kuitawala ndoa.
2022-03-08
19 min
Unaweza talks
21/100. Sababu za wanandoa wengi kutokuwa wawazi kwa wenza wao
Kukosekana kwa uwazi ni chanzo cha migogoro mingi kwenye mahusiano
2022-03-07
12 min
Unaweza talks
20/100: Uaminifu ni mtaji kwenye mahusiano na ndoa
Bila uaminifu kwenye ndoa na mahusiano yoyote, hakuna kuaminiana. Hivyo hakutakuwa na ndoa
2022-03-06
11 min
Unaweza talks
19/100: Njia ya kutumia kumbadilisha mwenza wako
Kama unataka mwenza wako abadilike kutoka kwenye tabia mbaya na matendo mabaya, basi mshawishi badala ya kumlazimisha
2022-03-05
08 min
Unaweza talks
18/100: Ili kumfanya mwenza wako abadilike, fanya hivi.
Ili kumfanya mwenza wako abadilike, fanya hivi.
2022-03-04
08 min
Unaweza talks
17/100. Kwanini wanaume wengi wanaongoza kwa kuchepuka?
Kilio cha wanawake wengi ni wanaume kutokuwa waaminifu kwenye ndoa zao, yaani kuchepuka. Hizi hapa sababu zinazowafanya wanaume kuchepuka na jinsi ya kuepuka
2022-03-03
12 min
Unaweza talks
16/100: Kwa nini wanaume wanaongoza kwa kuchepuka?
Hizi ndizo sababu zinazowafanya wanaume waongoze kwa kuchepuka, na jinsi ya kuepuka michepuko
2022-03-02
12 min
Unaweza talks
15/100
Sababu muhimu za kwa nini wanaume wanaongoza kwa kwa kuchepuka na jinsi ya kuepuka michepuko
2022-03-01
13 min
Unaweza talks
14/100. Kwa nini wanaume wanaongoza kwa kuchepuka kwenye ndoa?
Kumekuwepo na maswali mengi kutoka kwa wanawake kwamba kwanini wanaume wengi huchepuka? Fuatilia kipindi hiki kinamajibu mruwa kabisa
2022-02-28
15 min
Unaweza talks
13/100. Mjue mwenza wako
Watu wengi wanaingia kwenye mahusiano na ndoa bila ya kujuana, matokeo yake ni migogoro isiyoisha inayopelekea wanadoa kutalakiana, kuachana na hata kuuana
2022-02-27
11 min
Unaweza talks
12/100: Matarajio ni hatari kwenye ndoa na mahusiano yako.
Watu wengi wanapoingia kwenye mahusiano huingia wakiwa na Matarajio mbali mbali. Yasipotimizwa au kutimia hugeuka kuwa hatari kwenye mahusiano
2022-02-26
12 min
Unaweza talks
11/100. Mambo manne unayopaswa kuyafahamu kuhusu mwenza wako kabla na baada ya kuingia kwenye ndoa
Kuna mambo manne muhimu unayopaswa kuyafahamu kabla na baada kuingia kwenye ndoa.
2022-02-25
15 min
Unaweza talks
10/100. Sababu moja tu ya wewe kuoa au kuolewa.
Kumekuwepo na maswali mengi juu ya wakati wa mtu kuoa au kuolewa. Hii ndiyo sababu ya kuoa au kuolewa.
2022-02-24
11 min
Unaweza talks
09/100. Jipende usijipendelee
Upendo ni muhimu kwenye ndoa. Lakini kipimo cha upendo ni kujipenda wewe na si kujipendelea
2022-02-23
07 min
Unaweza talks
08/100: Upendo pekee haujengi ndoa imara
JUpendo pekee haujengi ndoa imara bali maarifa, uelewa na hekima juu yako wewe, mwenza wako na ndoa kwa ujumla
2022-02-22
06 min
Unaweza talks
07/100: Ndoa si ndoano
Ukiingia kwenye ndoa na mtazamo wa ndoa ndoano, kweli ndoa yako itakuwa ndoano. Ingia na mtazamo wa ndoa si ndoano
2022-02-21
15 min
Unaweza talks
06/100. Mambo matano unayopaswa kuyaelewa kabla na baada ya kuingia kwenye ndoa
Watu wengi huingia kwenye mahusiano ya ndoa bila kuwa na uelewa wa mambo haya matano. Hali hii hupelekea migogoro na ndoa nyingi kuvunjika.
2022-02-20
11 min
Unaweza talks
05/100. Aina kuu 3 za mahusiano
Unapaswa kufahamu aina hizi kuu tatu za mahusiano
2022-02-19
06 min
Unaweza talks
04/100 Vitu 2 vinavyoweza kuharibu mahusiano yako
Hatia na Hofu hufanya mawasiliano kuwa magumu, na hivyo mahusiano kuharibika
2022-02-18
06 min
Unaweza talks
03/100. Sababu nzuri ya kuwasiliana kwenye mahusiano
Mawasiliano yenye umuhimu ndiyo bora kuliko mawasiliano yenye manufaa.
2022-02-17
05 min
Unaweza talks
Mahusiano ni mawasiliano 02/100
Mawasiliano ndiyo nguzo ya mahusiano yoyote yale. Kama unataka kuua mahusiano basi kata mawasiliano
2022-02-16
05 min
Unaweza talks
Changamoto ya siku 100
Katika changamoto hii ya siku 100, nitashirikisha mafundisho mbali mbali juu ya mahusiano, mafanikio na maisha kwa ujumla
2022-02-15
06 min
1. Namna Ya Kujitofautisha Na Washindani Wako
Mbinu ya "Hofu ya kukosa" Mbinu hii unaweza kukabili vingamizi vyovyote vya wateja
Mbinu ya "Hofu ya kukosa" Mbinu hii unaweza kukabili vingamizi vyovyote vya wateja
2019-07-23
06 min
1. Namna Ya Kujitofautisha Na Washindani Wako
mbinu ya "hofu ya kukosa" Mbinu hii unaweza kukabili vingamizi vyovyote vya wateja
mbinu ya "hofu ya kukosa" Mbinu hii unaweza kukabili vingamizi vyovyote vya wateja
2019-07-18
06 min