Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

Ushindi

Shows

The Gen Beta ParentsThe Gen Beta ParentsDo We REGRET Having Kids At A Young Age? (Our First Q & A)📢📢 Don’t forget to subscribe for more tips, tricks, and real-life parenting stories every Sunday @ 10 AM MST. Our goal is 1,000 Subscribers by the end of 2025! Hit the 🔔 so you never miss our latest uploads!🍼🍼 The No-BS Guide To Crushing Your First Year As A 18 - 25 Year Old First Time Parent Without Losing Your Mindhttps://thegenbetaparents.gumroad.com/l/noBSguide🎧🎧 Prefer listening on the go!? No worries :)Amazon - https://music.amazon.ca/podcasts/b5c24463-e614-4897-b1e8-6295032d54c9/the-gen...2025-04-0746 minThe Gen Beta ParentsThe Gen Beta ParentsThe 45 Minutes Episode That Led Us To Couples Therapy...📢📢 Don’t forget to subscribe for more tips, tricks, and real-life parenting stories every Sunday @ 10 AM MST. Our goal is 1,000 Subscribers by the end of 2025! Hit the 🔔 so you never miss our latest uploads!🎧🎧 Prefer listening on the go!? No worries :)Amazon - https://music.amazon.ca/podcasts/b5c24463-e614-4897-b1e8-6295032d54c9/the-gen-beta-parentsApple - https://podcasts.apple.com/us/podcast/the-gen-beta-parents/id1791857985Spotify - https://open.spotify.com/show/7BQywtATyawYcc4oHSaQoI2025-03-3144 minThe Gen Beta ParentsThe Gen Beta ParentsThe ONE Rule That Saved Our Long Distance Relationship (How to Survive a Long Distance Relationship)📢📢 Don’t forget to subscribe for more tips, tricks, and real-life parenting stories every Sunday @ 10 AM MST. Our goal is 1,000 Subscribers by the end of 2025! Hit the 🔔 so you never miss our latest uploads!🎧🎧 Prefer listening on the go!? No worries :)Amazon - https://music.amazon.ca/podcasts/b5c24463-e614-4897-b1e8-6295032d54c9/the-gen-beta-parentsApple - https://podcasts.apple.com/us/podcast/the-gen-beta-parents/id1791857985Spotify - https://open.spotify.com/show/7BQywtATyawYcc4oHSaQoI2025-03-2351 minThe Gen Beta ParentsThe Gen Beta ParentsThe Truth About Our "Proposal"... What We Haven’t Told You Until Now!📢📢 Don’t forget to subscribe for more tips, tricks, and real-life parenting stories every Sunday @ 10 AM MST. Our goal is 1,000 Subscribers by the end of 2025! Hit the 🔔 so you never miss our latest uploads!🎧🎧 Prefer listening on the go!? No worries :)Amazon - https://music.amazon.ca/podcasts/b5c24463-e614-4897-b1e8-6295032d54c9/the-gen-beta-parentsApple - https://podcasts.apple.com/us/podcast/the-gen-beta-parents/id1791857985Spotify - https://open.spotify.com/show/7BQywtATyawYcc4oHSaQoI2025-03-1652 minThe Gen Beta ParentsThe Gen Beta ParentsOur Honest Experience With Sleep Training A New Born As First Time Parents... FT Our New BornOur Honest Experience With Sleep Training A New Born... (First-Time Parents' Story)💬💬 Join the ConversationWhat’s been your biggest parenting win this week? Share it in the comments, we’d love to celebrate with you and connect with other young parents!📢📢 Don’t forget to subscribe for more tips, tricks, and real-life parenting stories every Sunday @ 10 AM MST. Our goal is 1,000 Subscribers by the end of 2025! Hit the 🔔 so you never miss our latest uploads!😫😫 Tired of Living Paycheck to...2025-03-0958 minThe Gen Beta ParentsThe Gen Beta ParentsI Proposed LIVE On The Podcast... A Moment We'll Never ForgetI Proposed LIVE On The Podcast... A Moment We'll Never Forget💬💬 Join the ConversationWhat’s been your biggest parenting win this week? Share it in the comments, we’d love to celebrate with you and connect with other young parents!📢📢 Don’t forget to subscribe for more tips, tricks, and real-life parenting stories every Sunday @ 10 AM MST. Our goal is 1,000 Subscribers by the end of 2025! Hit the 🔔 so you never miss our latest uploads!🆓🆓 FREE Helpful Guides, Tools, & Products for young Parents...2025-03-0243 minThe Gen Beta ParentsThe Gen Beta ParentsThe ONE Secret That Saved Our Relationship & Stopped Money Fights (Young Parents Budgeting Tips)The ONE Secret That Saved Our Relationship & Stopped Money Fights (Young Parents Budgeting Tips)💬💬 Join the ConversationWhat’s been your biggest parenting win this week? Share it in the comments, we’d love to celebrate with you and connect with other young parents!📢📢 Don’t forget to subscribe for more tips, tricks, and real-life parenting stories every Sunday @ 10 AM MST. Our goal is 1,000 Subscribers by the end of 2025! Hit the 🔔 so you never miss our latest uploads!😫😫 Tired of Livi...2025-02-231h 07The Gen Beta ParentsThe Gen Beta ParentsWhat NO ONE Told Us About Our First Week As Parents (Must-Know Survival Tips)What NO ONE Told Us About Our First Week As Parents (Must-Know Survival Tips)💬💬 Join the ConversationWhat’s been your biggest parenting win this week? Share it in the comments, we’d love to celebrate with you and connect with other young parents!📢📢 Don’t forget to subscribe for more tips, tricks, and real-life parenting stories every Sunday @ 10 AM MST. Our goal is 1,000 Subscribers by the end of 2025! Hit the 🔔 so you never miss our latest uploads!😫😫 Tired of Livi...2025-02-1643 minThe Gen Beta ParentsThe Gen Beta ParentsIs Cheating EVER Justified? The Talk No Couple Wants to Have... (Breaking Down The Montoya Controversy)Is cheating ever justified? In this episode, we break down the Montoya controversy from Temptation Island, diving deep into the ethics of cheating, betrayal, and relationship deal breakers. Whether you think cheating is always wrong or believe there are gray areas, this debate will challenge your perspective!💬💬 Join the ConversationIs Chris Brown MORE Attractive Than Michael B Jordan...?📢📢 Don’t forget to subscribe for more tips, tricks, and real-life parenting stories every Sunday @ 10 AM MST. Our goal is 1,000 Subscribers by the end of 2025! Hit the 🔔 so you never miss ou...2025-02-1240 minMAFUNDISHO YA MTUME PAULOMAFUNDISHO YA MTUME PAULOJINA LA YESU NI UFUNGUO MKUUJina la Yesu Kama Funguo Kuu! 🔥Karibu kwenye Voice of Hope na PastorG, mahali tunapochambua Neno la Mungu kwa kina ili kusaidia maisha yako ya kiroho! 🙌🎙️📌 Jina la Yesu – Master Key ya Maisha Yetu! 🔑 Jina la Yesu linatumiwa katika maombi, uponyaji, ushindi dhidi ya nguvu za giza, wokovu, ulinzi, na kubariki maisha yetu. Katika podcast na video hii, tunalinganisha jina la Yesu na funguo kuu (master key) inayoweza kufungua kila mlango wa baraka na ushindi wa kiroho.✅ Unataka kuelewa nguvu ya jina la Yesu kwa undani? 🔹 Maombi yenye nguvu 🙏 – Jina la Yesu linafungua mbingu! 🔹 Uponyaji 🏥 – Jina l...2025-02-1023 minThe Gen Beta ParentsThe Gen Beta ParentsWhat REALLY Happens In Your First 24 Hours As First Time Parents (Full Home Birth Story & Baby Reveal)What REALLY Happens In Your First 24 Hours As First Time Parents (Full Home Birth Story & Baby Reveal)💬💬 Join the ConversationWhat’s been your biggest parenting win this week? Share it in the comments, we’d love to celebrate with you and connect with other young parents!📢📢 Don’t forget to subscribe for more tips, tricks, and real-life parenting stories every Sunday @ 10 AM MST. Our goal is 1,000 Subscribers by the end of 2025! Hit the 🔔 so you never miss our latest uploads!😫😫 Ti...2025-02-091h 01MAFUNDISHO YA MTUME PAULOMAFUNDISHO YA MTUME PAULOWAPI TUNATUMIA JINA LA YESU🎙️ PODCAST: NGUVU YA JINA LA YESU – WAPI? ✝️🔥🔑 Jina la Yesu ni kama FUNGUA KUU (Master Key) inayoweza kufungua milango yote ya ushindi, wokovu, ulinzi, uponyaji, na mamlaka ya kiroho! Katika podcast hii, tunajadili mamlaka na matumizi ya Jina la Yesu katika nyanja mbalimbali za maisha yetu.💡 Tunazungumzia: ✅ Kutumia jina la Yesu katika maombi – Yohana 14:13-14 ✅ Mamlaka ya jina la Yesu dhidi ya mapepo na nguvu za giza – Marko 16:17 ✅ Uponyaji kupitia jina la Yesu – Matendo 3:6 ✅ Kubatiza kwa jina la Yesu Kristo – Matendo 2:38 ✅ Kupokea wokovu na msamaha wa dhambi kwa jina la Yesu – Matendo 4...2025-02-0617 minThe Gen Beta ParentsThe Gen Beta ParentsFrom Meeting at a Club to Having a Baby In 1 Year: How ONE Night Changed Our Lives Forever...On July 2nd, 2022, we went from being two strangers to having the time of our lives together. In this Today's podcast we tell the long awaited story of how one night changed our lives forever...💬💬 Join the ConversationWhat’s been your biggest parenting win this week? Share it in the comments, we’d love to celebrate with you and connect with other young parents!📢📢 Don’t forget to subscribe for more tips, tricks, and real-life parenting stories every Sunday @ 10 AM MST. Our goal is 1,000 Subscribe...2025-02-0255 minSikio podcastSikio podcastDakika 54 za kukupa sababu ya kufanya "Planning" ili ufanikiwe 2025 ~ with Belindabebe and Gee Lifard + Doreen LifardTunapoanza mwaka mpya, kuna mambo ambayo yanaweza yakakupa nguvu ya kuendelea kwa ushindi au yakawepo mambo ya kukukatisha tamaa na kuona kua mipango yako na ndoto zako ni kubwa na haziwezi kufikiwa. Katika episode hii ya kwanza ya mwaka 2025, wageni wetu wanatushirikisha kwa undani umuhimu na faida za planning, na hii episode itakusaidia kuinuka tena na kuweka mipango na mikakati ili uweze kuwa na mwaka wa ushindi 2025.Heri ya mwaka mpya wapendwa wetu sikio podcast tribe. Mwaka wa kuvunja rekodi ili kuwa bora zaidi. #recordbreakingyear#2025goals 2025-01-0653 minWahubiri wa Neno PodWahubiri wa Neno PodMafundisho ya Biblia: 7/4 JP1 PasakaMchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.Wiki hii ya Jumapili tarehe 7/4 ni Jumapili ya 1 baada ya Pasaka, ukurasa 109 katika kitabu cha sala.Katika podi hii tunazungumza wazo la ushindi na namna ambavyo Yesu alishinda kwa kifo chake na ufufuo. Sisi twaweza kwa imani kushiriki na ushindi wake, na kupata wokovu, na uhuru, na uzima wa milele. Pia tunaangalia sehemu ya Injili, Yohana 20:24–31 na kufikiri jambo la imani kwa vile Tomaso alitaka kuona bali sisi hatuoni kwa macho. Yo...2024-04-0156 minAmedeus Live PodcastAmedeus Live PodcastUsijitahidi Kushinda TenaUsijitahidi kuwa kile ambacho tayari upo, tambua wewe ni mshindi, na umezaliwa kwenye mshindi na upaswa kudhihirisha ushindi kila siku. Ni jadi yako, Mila Yako, asili Yako kuishi na kutembea katika ushindi.2024-04-0112 minAmedeus Live PodcastAmedeus Live PodcastHuburi Maisha ya UshindiDuniani Mnayo dhiki lakini Jipeni Moyo, mimi Nimeushinda ulimwengu. Yesu ameushinda ulimwengu kwa ajili yako, changamka, kuwa imara. Tembea na ishi maisha ya Ushindi. Ni jadi yako na haki Yako.2024-04-0115 minPastor Dickson KabigumilaPastor Dickson KabigumilaUSHINDI DHIDI YA DHAMBI YA ZINAA _ 20.02.2024USHINDI DHIDI YA DHAMBI YA ZINAA _ 20.02.2024 Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.2024-03-071h 11Yesu Ndiye NjiaYesu Ndiye NjiaUSHINDI JUU YA MAPEPOUSHINDI JUU YA MAPEPO ON 10TH NOVEMBER 20232023-11-151h 32Assembly of Yahweh NatzrayaAssembly of Yahweh NatzrayaUshindi wa Haki na Haki.Kipindi cha wiki hii kinatoka Sehemu Ya Torati Re'eh neno la kwanza katika kifungu ambacho kinamaanisha tazama Katika Kumbukumbu la Torati sura ya kumi na moja aya ya ishirini na sita Hadi Kumbukumbu la Torati sura ya kumi na mbili aya ya kwanza hadi aya ya ishirini na nane, na haftarah Isaya sura ya hamsini na nne aya ya kumi na moja Hadi isaya sura ya hamsini na tano aya ya kwanza hadi aya ya tano. Vifungu vyote viwili vinazungumza juu ya ushindi wa haki na haki wakati wowote watu wanapoamua kufuata amri za Mwenye Nguvu.2023-08-0513 minInnocent MorrisInnocent MorrisTAMKA MANENO HAYA YA USHINDI KATIKA MAISHA YAKO by Innocent MorrisSend us a textTAMKA MANENO HAYA YA USHINDI KATIKA MAISHA YAKO by Innocent MorrisInstagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Link:https://www.instagram.com/holyspiritconnectFacebook Link:https://www.facebook.com/holyspiritconnectYouTube Link:https://www.youtube.com/holyspiritconnect2023-05-2906 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastMsaada Utokao Mbinguni Baraka Za Kalvari No 2Msaada Utokao Mbinguni ni kipindi ambacho kinamsaidia msikilizaji kuutazama msaada wa Mungu ambao huyafanya yale yaliyoshindikana na kumpa upenyo wa namna ya kiMungu katika kuuendea ushindi aliokusudiwa na Mungu mwenyewe. Katika Kipindi hiki, utapata kusikia na kufahamu Baraka za Mungu zitokanazo na kazi ya msalaba wa Yesu Kristo kwa wanandamu wote, ushindi uliomo pamoja na wokovu uliopatikana Kalvari kwa kifo cha Yesu Kristo. 2023-05-1145 minRedio Rumuli PodcastRedio Rumuli PodcastMsaada Utokao Mbinguni Baraka Za Kalvari No 1Msaada utokao Mbinguni ni kipindi ambacho kinamsaidia msikilizaji kuutazama msaada wa Mungu ambao huyafanya yale yaliyoshindikana na kumpa upenyo wa namna ya kiMungu katika kuuendea ushindi aliokusudiwa na Mungu mwenyewe. Katika Kipindi hiki, utapata kusikia na kufahamu Baraka za Mungu zitokanazo na kazi ya msalaba wa Yesu Kristo kwa wanandamu wote, ushindi uliomo pamoja na wokovu uliopatikana Kalvari kwa kifo cha Yesu Kristo.2023-05-111h 01Habari - Voice of AmericaHabari - Voice of AmericaRipoti ya Kamati ya bunge la Marekani kuhusu uvamizi uliotokea bungeni wakati wa kurasmisha ushindi wa rais Joe Biden Januari 6 2021 - Desemba 19, 2022Ripoti hiyo inahusu juhudi za rais wa zamani Donald Trump kutaka kubatilisha ushindi wa Biden. Wademocrat wanasema Trump anastahili kufunguliwa mashtaka ya uhalifu. Kennes Bwire amezungumza na Prof David Monda, mhadhiri wa siasa katika chuo kikuu cha City New York,2022-12-1913 minSauti - Voice of AmericaSauti - Voice of AmericaRipoti ya Kamati ya bunge la Marekani kuhusu uvamizi uliotokea bungeni wakati wa kurasmisha ushindi wa rais Joe Biden Januari 6 2021 - Desemba 19, 2022Ripoti hiyo inahusu juhudi za rais wa zamani Donald Trump kutaka kubatilisha ushindi wa Biden. Wademocrat wanasema Trump anastahili kufunguliwa mashtaka ya uhalifu. Kennes Bwire amezungumza na Prof David Monda, mhadhiri wa siasa katika chuo kikuu cha City New York,2022-12-1913 minOngea Na Kocha.Ongea Na Kocha.Ongea Na Kocha; Kisima, Tathmini, Rejoyce Otaru.ONGEA NA KOCHA; KISIMA, TATHMINI, REJOYCE OTARU.Karibu mwanamafanikio kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambacho kina mambo makubwa manne ya kujifunza kwenye safari yetu ya mafanikio.Jambo la kwanza ni mambo ya muhimu na ya msingi ya kuzingatia kwenye KISIMA CHA MAARIFA. Kwa sasa tunapotia mageuzi makubwa kwenye KISIMA kutoka kuwa kundi la kujifunza na kwenda kuwa jumuia za wanamafanikio. Katika mageuzi haya KISIMA kinataka kila mmoja kujitoa zaidi ili kuweza kufanikisha lengo la pamoja ambalo wote tunalo. Nimeshirikisha dhana nzima ya KISIMA CHA MAARIFA NI JESHI, adui yetu mkuu tunayemkabili na ushindi ambao tunataka...2022-03-143h 19Iran-Tanzania PodcastIran-Tanzania PodcastQasemMIAKA MIWILI YA KUMBUKIZI YA KIFO CHA LUTENI JENERALI QASSEM SOLEIMANI Usiku wa manane wa kuamkia Ijumaa 3 Januari Mwaka 2020, wakati anga ya jiji la Baghdad mji mkuu wa Iraq ikiwa tulivu, ghafla watu wa mji huo walishtushwa na kuamshwa na milio ya milipuko na kuwafanya waingiwe na taharuki wakidhani kuwa kundi la kigaidi la ISIS limeushambulia tena mji huo. Baada ya masaa machache, zilianza kusambaa taarifa za kuuawa Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran IRGC, ambaye alienda nchini Iraq kwa mwaliko rasmi wa viongozi...2022-01-0310 minThe Torch with ElyusThe Torch with ElyusTalk to Elyse ‘the lord’ Ushindi | What on earth has been happening? |The Torch with ElyusIn this new episode and our new segments “Talk to ‘the lord’ Elyse Ushindi takes us a few minutes back into what’s been happening around him and it turns out it’s been a lot. Some of which he can’t remember as well as can’t talk about it all due to some NDAs oops! Anyway, Elyse Ushindi is excited to be back with also more on what happened with The Torch blog/website which you can visit and check it out at www.elyusworld.com--- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https...2021-11-2111 minThe Ugandan Boy Talk ShowThe Ugandan Boy Talk ShowContinuation: We've Been Seeking Asylum For The Last 12 Years | Elyse Ushindi | E42Continuation of Ep3; In this episode, I host Elyse Ushindi, Elyse a Congolese child, born in Uganda and raised all over East Africa, currently living in Norway. You might remember him from S3E11 when he was on the show to talk about #10K4Autism. He is back and in this episode, he talks about how he and his family fled the 2009 civil war in Congo to seek asylum in Uganda, then eventually moved to Norway in 2019. He talks about the challenges that his family faced while they were refugees seeking a new life. Listen in to hear his story.2021-08-2825 minThe Ugandan Boy Talk ShowThe Ugandan Boy Talk ShowWe’ve Been In Asylum For The Last 12 Years | Elyse Ushindi | E41In this episode, I host Elyse Ushindi, Elyse a Congolese child, born in Uganda and raised all over East Africa, currently living in Norway. You might remember him from S3E11 when he was on the show to talk about #10K4Autism. He is back and in this episode, he talks about how he and his family fled the 2009 civil war in Congo to seek asylum in Uganda, then eventually moved to Norway in 2019. He talks about the challenges that his family faced while they were refugees seeking a new life. Listen in to hear his story.2021-08-2128 minHezron MarwaHezron MarwaHezron Marwa - UshindiWatch and Share " Ushindi" Gospel Song by  Gospel Minister Hezron Marwa ( Mwanafunzi Wa Yesu) Contact : +254 796840560 Gmail:hezronmarwa@gmail.com #Ushindi​ | #LISTEN​​ | #LOVE​​ | #SHARE​​ | #GOSPEL​ | #HEZRONMARWAMWANAFUNZIWAYESU​Enjoy & stay connected with us!!--- Send in a voice message: https://anchor.fm/hezronmarwa/message2021-08-1207 minThe Ugandan Boy Talk ShowThe Ugandan Boy Talk Show10K4AUTISM | Daniel Nyanzi and Elyse R. Ushindi | E37In this episode, I host Daniel Nyanzi from Michigan USA and Elyse Ushindi from Sandefjord Norway. Nyanzi has been on the show before talking about his life and childhood background in S1E5. And now it's Elyse’s first time on the show. The two are here to talk about a campaign that was developed on Twitter Spaces by a group of people, this campaign is called 10K4Autism. They plan to help kids with autism in Uganda. Listen in for a great discussion and to learn how you can be a part of something bigger. They are also raising fu...2021-07-1444 minNENO LA MUNGUNENO LA MUNGUEpisode #1 - MAISHA YA USHINDI (1)Mbarikiwe na NENO LA MUNGU2021-07-0308 minThe Torch with ElyusThe Torch with ElyusThe fallen Angel: Turned Villain | Lucifer and The unsaid sacred | The Torch with ElyusContinuing with our series of The first fallen Angel/ Lucifer and The unsaid sacred, we look into this time how he got be the villain of the story today we all are so familiar to. How does one come from being a favorite son, Angel to a villain in his own father’s kingdom? It is a question almost everyone can as themselves. Some will say, “it’s not right to question religion.” And I’ll tell you, what’s belief without curiosity? The more you question something, only then you can understand it better. Elyus takes us on a journey back...2021-05-2120 minCan\'t Take A JokeCan't Take A JokeTyrell Frye DESTROYS racism (Part 2)In this second part of the conversation with Tyrell Frye, Ushindi Namegabe takes Alex's place and the talk goes on. The boys collectively get deep about racism in America, specifically the controversy, political issues, and stigma that generally follows with the term 'racism'.Definitely go check the boy out at these links!:Main channel: Tyrell Frye - YouTubeReaction channel: http://youtube.com/ShowtimeReacts2021-05-063h 17The Torch with ElyusThe Torch with ElyusThe journey to podcasting | my story |The Torch with ElyusElyus takes us on a journey, 7 years ago to when the idea of having a podcast came to his mind. After a two weeks entrepreneurship class and everyone was asked to present a business idea, he thinks of a podcast. Something uniques in the meantime because no one else had thought about it. In a remote controlled area, a podcast would have been an easy means to information for the locals. With simple tools and a simple way to get it out there. At least that’s how it had to be.--- This episode is sponsored by · Anchor: The eas...2021-04-2314 minCan\'t Take A JokeCan't Take A JokeUshindi Namegabe is an African Renaissance ManThe boys introduce Ushindi Namegabe, the most motivating man you'll ever hear. Ushindi provides some insight on his cultural background, his transition from a stick figure to a IFBB Bodybuilding Pro (not really), entrepreneurial endeavors, and leaves you with the feeling that you are simply not doing enough. With a hand dipped in more career paths than a 50 year old man in a mid-life crisis, Ushindi is a true renaissance man; a jack of all trades. 2021-04-1800 minUplifting Moment with Luphurise MawereUplifting Moment with Luphurise MawereApandacho mtu ndicho atakachovuna By Luphurise MawereWagalatia 6: 7-9_ _6 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna._ _8 Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele._ _9 Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho._ _2 Wakoritho 9: 6 Lakini nasema neno hili, Apandaye haba atavuna haba; apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu_ Mpendwa umepanda nini kwenye maisha ya watu? Unavuna nini kwenye maisha yako? Matunda ambayo umeyapata kwenye maisha yako yanatokana na vitu gani ulivyovipanda? Vitu vyema au vibaya? Je umevuna mambo uzima wa milele au umevuna uharibifu? Au umevuna ha...2021-04-1222 minThe Torch with ElyusThe Torch with ElyusThe first fallen Angel | Lucifer and The unsaid sacred | The Torch with Elyus.In this very new episodes Elyus looks into a whole new big adventure of religion and some of the world’s most untold stories of all time. Thinking about it and looking into the name Lucifer, it’s origins, meaning and why people think they should fear it. He explains why it wasn’t a bad name nor the image who possessed it until evil came in. The name Lucifer meaning “the morning star” the owner was one of God’s favorite sons and Angel who turned rogue. Elyus takes us in a journey of criticism towards religion, the Bible and a whole...2021-04-0222 minSIRI ZA BIBLIASIRI ZA BIBLIACARLOS KIRIMBAI: KULIJUA NA KULIISHI KUSUDI LA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO 02KUSUDI LA MUNGU  ni hali ambayo Mungu  ametuwekea wanadamu  katika maisha yetu ili kuweza kutimia kwa jambo fulani ndani yetu.Kitabu cha Mwanzo 1:1...... kinaelezea jinsi uumbaji wa Mungu  kwa vitu na binadamu kusudi la Mungu katika maisha yetu  si kuishi ya maisha ya mateso aliituumba ili tutawale  KUISHI NA KUTAWALA Akatuumba kwa mfano wake ili tuishi ndani yake kwa kusudi lake kuu.Ili uweze kufanikiwa katika  maisha yako ishi ndani ya kusudi la Mungu afu utaona ushindi juu yako. Yeremia 1:4-5-8 Isaya41:10 ILI UWEZE KULIISHI KUSUDI LA MUNGU (VITU VYA KUZINGATIA) 1.  KULIISHI...2021-03-2316 minSIRI ZA BIBLIASIRI ZA BIBLIACARLOS KIRIMBAI: KULIJUA NA KULIISHI KUSUDI LA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO 01KUSUDI LA MUNGU  ni hali ambayo Mungu  ametuwekea wanadamu  katika maisha yetu ili kuweza kutimia kwa jambo fulani ndani yetu.Kitabu cha Mwanzo 1:1...... kinaelezea jinsi uumbaji wa Mungu  kwa vitu na binadamu kusudi la Mungu katika maisha yetu  si kuishi ya maisha ya mateso aliituumba ili tutawale  KUISHI NA KUTAWALA Akatuumba kwa mfano wake ili tuishi ndani yake kwa kusudi lake kuu.Ili uweze kufanikiwa katika  maisha yako ishi ndani ya kusudi la Mungu afu utaona ushindi juu yako. Yeremia 1:4-5-8 Isaya41:10 ILI UWEZE KULIISHI KUSUDI LA MUNGU (VITU VYA KUZINGATIA) 1.  KULIISHI...2021-03-2217 minZoo Zürich BackstageZoo Zürich BackstageLewa Savanne (3): Die NashörnerDie Breitmaulnashörner sind die Chefs auf der grossen Savanne. Wenn sie kommen, weichen die anderen von den Lieblingsplätzen. Der Tierpfleger Jonas Haller erzählt aber auch von den verletzlichen Seiten unserer Tiere, denn gerade das Nashornjunge Ushindi bereitete uns in den ersten Monaten grosse Sorgen.2021-03-0321 minZoo Zürich BackstageZoo Zürich BackstageLewa Savanne (1): Das ZusammenlebenDie Kuratorin Cordula Galeffi erklärt, wie wir das anspruchsvolle Miteinander von Giraffen, Nashörner, Zebras und Co. im Alltag organisieren und verrät auch, wie das Nashornjunge Ushindi auf den ersten Schnee reagierte.2021-03-0324 minSIRI ZA BIBLIASIRI ZA BIBLIAANOINTED ROOM: KIJANA NI TAIFA KUBWA {sehemu ya 2}JINSI GANI KIJANA AISAFISHE NJIA ZAKE 01.KWA KUTII 02.KULIFATA NENO Mhubiri 12:1 '' Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo. '' Ni muhimu sana kwa kijana kumcha BWANA tangu mapema kabisa katika umri wake maana Kijana Asiyezoea Kujizuia Kimwili Kabla Ya Ndoa, Hataweza Kujizuia Katika Ndoa. Wasaliti Wengi Wa Ndoa Zao Ni Wale Ambao Hata Kabla Ya Ndoa Walishindwa Kujizuia Miili Yao Na Kuwapelekea Kufanya Uasherati. 2 Timotheo 2:22 '' Lakini zikimbie tamaa za ujanani; ukafuate haki, na imani, na upendo, na...2021-02-1116 minH.W PODCAST℠H.W PODCAST℠THE SHIFT Sehemu ya pili (Kiswahili) - KUSTAHIMILIKinachotufanya kufuzu kwenda kwenye hatua ya ushindi ni uwezo wetu wa kustahimili. Jifunze kustahimili... utengeneze njia ya kuhama kutoka kwenye matatizo kwenda miujiza --- Send in a voice message: https://anchor.fm/hubofwisdom-org/message2021-02-0905 minThe Torch with ElyusThe Torch with ElyusWhat is wrong with Africa | Have we showed enough love | The TorchI’m this new segment of The Torch, Elyse Ushindi takes you on a journey of POV from his view and talk about having Africa not as what the world sees it but what it should be. There is need of enhancements but if we are going to do so, we need to start looking from the smallest details. It’s never too late for anything .--- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app--- Send in a voice message: https://anchor.fm/elyusworld/message2021-02-0736 minTUJIBEBETUJIBEBETujibebe Drama Episode 7Timu inapata bonge la ushindi!2021-01-0515 minUplifting Moment with Luphurise MawereUplifting Moment with Luphurise Mawere4. Amini kwamba Mungu atakufanikisha By Luphurise Mawere2 Wafalme 4: 1-7 Hesabu 27: 1-11 _Nehemia 2: 20 Ndipo nikawajibu, nikawaambia, Mungu wa mbinguni, yeye atatufanikisha; kwa hiyo sisi, watumishi wake, tutaondoka na kujenga; lakini ninyi hamna sehemu, wala haki, wala kumbukumbu, katika Yerusalemu._ Mistari hiyo hapo juu inaonyesha namna ambavyo Mwanamke mjane na mabinti za Selofehadi walikuwa kwenye changamoto kubwa. Walikuwa kwenye mazingira ambayo kibinadamu yalikuwa hayawezekani Mama mjane alikuwa na madeni na watoto wake wawili walikuwa wachukuliwe kuwa watumwa ili kulipia deni aliloacha baba yao ambaye alikuwa amekufa. Huyu mama alikuwa kwenye financial crisis na kibinadamu alikuwa hana kitu chochote cha kumsaidia kulipa yale madeni. Alipokwenda kwa mtumishi wa Mungu Elisha...2021-01-0426 minThe Torch with ElyusThe Torch with ElyusMs. Kendra Crump talk| The Torch with ElyusIn this episode of The Torch the Host Elyse Ushindi gets along with Kendra Crump host of The Kyndra Crump show to bring you into the world of comedy and what an upcoming comedian should do keep on moving towards the dream/goal. Kendra share some personal experience on the journey to being a comedian “isn’t really easy” but with constantly pushing yourself to the next level, you can make it. Both Elyse and Kendra share some similar stories heroine up and everything else they loved to do or hoped they’d do and how it all turned that they swi...2020-12-131h 00The Torch with ElyusThe Torch with ElyusWhat is wrong with Africa | Have we ignored our responsibilities | The TorchIn this episode the Host Elyse Ushindi at The Torch talks about different aspects of life that have led Africa to remain where it is even after everything that happened. He looks into his own life growing up, the stories he grew up hearing and the sounds that till date still echo in his ears it hurts. We (Africa) have done a good job opening the doors for anyone else to mistreat our own people, treat them never as equals and unjust. Every little thing we have done has been a contribution and has played a very good role allowing...2020-12-1223 minThe Torch with ElyusThe Torch with ElyusWhat is wrong with Africa | Why unity has failed and us looked at as equals| The Torch.It’s been a long time ago since everything happened. But what is even more sad in this generation is how we have failed to move on. We have continuously held accountable pepinos crimes they never did. We have taught children to hate and not love each other for no reason and my question is: where is this taking us? What happened to being an example? Clearly we have taught the world to mistreat our own people because they see us doing it. We do not respect or even treat our own people as equals and we expect the world to...2020-12-0415 minAmedeus Live PodcastAmedeus Live PodcastNI KUHUSIANA NA NENO KATIKA KINYWA CHAKORHAPSODI YA UHAKIKA, DEC 4, 2020. UKIRI Kupitia msaada wa Roho, na katika kulitafakari Neno la Mungu daima, ninazungumza kwa uangalifu maneno mazuri, ya kujenga, ya neema, yenye kuhuisha, yenye kuhamasisha, na yenye kutia moyo. Kwa maneno yangu, ninaumba mafanikio, ushindi, afya ya Kiungu na ustawi kutokea ndani, nikisimamisha haki ya Mungu katika ulimwengu wangu, katika Jina la Yesu. Amina.2020-12-0410 minAmedeus Live PodcastAmedeus Live PodcastUJAZO WAKE NDANI YAKORhapsodi ya Uhakika - Nov 28, 2020. Mimi ni chombo kimbebacho Mungu; Kristo ndani yangu ni utukufu uliotambulika, ushindi uliohakikishwa, na usitawi uliothibitishwa. Hakuna hofu wala kuchanganyikiwa maishani mwangu. Bila kujali mitihani, majaribu ama changamoto zinazoweza kuja kinyume na mimi, mimi ni mshndi na kinara maishani. Haleluya!2020-11-2810 minAmedeus Live PodcastAmedeus Live PodcastUMO NDANI YA NURURhapsodi ya Uhakika, Nov 22, 2020. Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu (1 Petro 2:9). SALA Ninakushukuru mpendwa Bwana kwa kunitoa gizani kuingia katika Ufalme wa Mwana wa pendo lako, ambamo ninatawala kwa neema kupitia haki, na kuufurahia uhuru tukufu wa wana wa Mungu. Wewe ni nuru ya maisha yangu, ambayo ninaitumia kujielekezea katika njia yangu kiubora katika ushindi, utawala, na mafanikio, katika Jina la Yesu. Amina. 2020-11-2210 minAmedeus Live PodcastAmedeus Live PodcastKUISHI KATIKA RAHA YAKERhapsodi ya Uhakika, Nov 16, 2020.  Ahimidiwe Mungu! Amenipa maisha yapitayo kawaida ya haki, na ninatembea katika ushindi na utawala, kutokea mahali pa pumziko. Neema Yake yatosha kwangu, na katika mambo yote, ninatimiliza hatma yangu kitukufu na pasipo kusumbuka, katika Jina la Yesu. Amina.2020-11-1610 minThe Torch with ElyusThe Torch with ElyusWhat is wrong with Africa? | How has religion affected us? | The Torch.In this new episode of: What is wrong with Africa? We look into how religion has changed our lives and the impact it has gotten on us. The effects of it and how bad or good we have translated it. Is it true our traditions and culture were evil? We look into all that and in our next episode.--- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app--- Send in a voice message: https://anchor.fm/elyusworld/message2020-11-1410 minThe Torch with ElyusThe Torch with ElyusWhat is wrong with Africa | Have our systems failed us | The TorchIn this week’s episode we take a look at some of the main keys of life that build us; education. And it just turned out that our education system in Africa is way too different from anywhere else on the continent. Every little violence that happens in schools someone interferes with our daily lives and we get to grow with this within us. --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app--- Send in a voice message: https://anchor.fm/elyusworld/message2020-11-1216 minAmedeus Live PodcastAmedeus Live PodcastKiri Kweli yake Kwa ImaniRhapsodi ya Uhakika - Nov 9, 2020.  Kwa maana kila kitu kilichozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu; na huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, hiyo imani yetu (1 Yohana 5:4). Mimi ni shupavu katika imani na katika neema ambayo iko ndani ya Kristo Yesu. Ninatamka ushindi, mafanikio, afya, nguvu, na uhodari daima, kwa maana mkuu ni Yule aliye ndani yangu, kuliko yule aliye katika dunia. Neno la Mungu limeshika hatamu yote na linadhihirika ndani yangu, na kupitia roho yangu, nafsi, na mwili. Haleluya!2020-11-0910 minMakala Maalum - Voice of AmericaMakala Maalum - Voice of AmericaWamarekani washerehekea na kulalamika dhidi ya matokeo ya uchaguzi - Novemba 08, 2020Maelfu ya wamarekani wamekua wakiandamana kufurahia ushindi unaotarajiwa wa Joe Biden huku wafuasi wa rais Donald Trump wakilalamika kwamba kumekuwepo na wiki wa kura.2020-11-0806 minThe Torch with ElyusThe Torch with ElyusMy Diet | How it’s all going on | The TorchFrom meat, chicken and all diary meals to veganism it’s been the biggest transformation of my life! This journey started about 8 years ago. In this new segment I’ll be sharing with you how it’s been through out; challenges and success.--- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app--- Send in a voice message: https://anchor.fm/elyusworld/message2020-11-0807 minAmedeus Live PodcastAmedeus Live PodcastAliandaa Maisha Mazuri ya Ajabu kwa Ajili Yako Rhapsodi ya Uhakika - Nov 8, 2020. Mimi ni kiumbe kipya, niliyeitwa kupokea baraka, niliyewezeshwa kufanikiwa katika kila jambo ninalolifanya! Hakuna ukame, kudumaa, ukosefu au kutokuwa na matunda katika maisha yangu, kwa maana nimechaguliwa na kuteuliwa kwa ajili ya maisha ya sifa, furaha, ubora, ushindi, na utukufu katika Kristo Yesu. Nimefanyika kuwa mchukuzi wa baraka za Mungu na mng’ao wa utukufu Wake. Haleluya!2020-11-0810 minThe Torch with ElyusThe Torch with ElyusThe Torch with Elyus (Trailer)--- Send in a voice message: https://anchor.fm/elyusworld/message2020-11-0600 minThe Torch with ElyusThe Torch with ElyusWhat is wrong with Africa | Getting to it | The TorchIf our leaders have not used their powers in favor of us and yet it appears we have so many rules and guidelines to lead us and govern us, what is not working? Are the books and laws not on the right side? Who is the law working in favor for and who it’s not? --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app--- Send in a voice message: https://anchor.fm/elyusworld/message2020-11-0606 minUplifting Moment with Luphurise MawereUplifting Moment with Luphurise MawereOndoka kwenye Mazoea au kwenye Comfort ZoneNaomba usome pamoja nami *2 Wafalme 7: 3-16* Watu wengi hawapigi hatua maishani kwasababu ya kukaa sana kwenye mazoea. Wengi wanatamani kufanikiwa ila hali za kukaa kwenye mazoea zinawazuia kabisa kupiga hatua katika maisha yao. Mazoea au Comfort zone ni ile hali ya kuwa mahali ambapo panakupa faraja na panakufanya ujisikie amani, usalama na nafuu. Katika habari tuliyosoma kwenye *2 Wafalme 7: 3-16* tunaona Wakoma wanne huko Samaria ambao ninawaita ma-Champion yaani mashujaa maana waliamua kutoka kwenye mazoea. Hali ya uchumi ilikuwa mbaya sana Samaria, kulikuwa na njaa kali na vitu vilikuwa vinauzwa bei kubwa sana. Hali ilikuwa mbaya mpaka ikafika mahali wanawake wakaanza...2020-11-0215 minJuliAn Voice PodcastJuliAn Voice PodcastChapter 44, AthinaNTO - Lac de Soi Angelov - Salza Rafael Cerato, Marc DePulse - Narcissist (Kadosh (IL) Sunrise Remix) Ray T.J. - Overhaul Ross Quinn - Away With Me (Fideles Remix) Gabriel Di Pasqua - Riot Sascha Braemer - Capella Monolink - Sinner (Mathame Remix) S.ONE - Desire Chicola - Who Needs Forever (Citizen Kain Remix) Fat Sushi - Isolation Miyagi - Arcadia Ian Ludvig, Layos - Uncedo ft. Yolanda Fyrus Kosh (GR) - Ushindi Alvee, Javier Martinez - Chanclazo Jac The Disco - Manglik (Eric Duncan Remix) George Dexx - Fazenda Gabriel Evoke, M0B - Ritual Sydney...2020-10-203h 57Uplifting Moment with Luphurise MawereUplifting Moment with Luphurise MawereUsiweke moyo wako kwenye vitu au mali ulizonazo _By Luphurise Mawere_Luka 12: 15-21 _Zaburi 62: 10b Mali izidipo msiiangalie sana moyoni._ Kwa kiingereza huu mstari unasema _"If your riches increase, don't set your heart upon them"_ Mistari hiyo hapo juu kutoka kitabu cha Luka tunaona habari za mtu tajiri aliyekuwa na shamba lililokuwa limezaa sana, kwa lugha nyepesi mtu huyu alikuwa amefanikiwa sana na mali kumzidi. Tunaona hadi anaweka mikakati namna ambavyo ataweza kutunza vizuri mavuno yake na anajiwekea mikakati ya kujipongeza pia. Moyo wa tajiri huyu ulikuwa kwenye mali zake, ndio maana mipango yake ni anajiweka yeye na mali zake tu, huoni akimtaja Mungu wala mtu mwingine yoyote. Ukiangalia habari hii...2020-10-1222 minUplifting Moment with Luphurise MawereUplifting Moment with Luphurise Mawere15. Usidhulumu Mali ya MtuVITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI _By Luphurise Mawere_ *15. Usidhulumu Mali ya Mtu* *Kumbukumbu la Torati 24: 14-15* _14 Usimwonee mtumishi mwenye ujira aliye maskini na uhitaji, kama ni wa nduguzo, au kama ni wageni wako mmojawapo walio katika nchi yako, ndani ya malango yako;_ _15 mpe ujira wake kwa siku yake, wala jua lisichwe juu yake; kwa maana ni maskini, moyo wake umeutumainia huo; asije akamlilia BWANA juu yako, ikawa ni dhambi kwako._ *Yakobo 5:4* _Angalieni, ujira wa wakulima waliovuna mashamba yenu, ninyi mliouzuia kwa hila, unapiga kelele, na vilio vyao waliovuna vimeingia masikioni mwa Bwana wa majeshi._ Watu wengi wanapenda kupata...2020-08-2417 minUplifting Moment with Luphurise MawereUplifting Moment with Luphurise MawereTambua Nyakati na MajiraVITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI _By Luphurise Mawere_ *11. Tambua Nyakati na Majira* _Mwanzo 41: 28 -32_ _28 Ndivyo nilivyomwambia Farao, ya kwamba Mungu amemwonyesha Farao atakayoyafanya hivi karibu._ _29 Tazama, miaka saba ya shibe inakuja, katika nchi yote ya Misri._ _30 Kisha kutakuja miaka saba ya njaa baada yake; na shibe ile yote itasahauliwa katika nchi ya Misri, na njaa itaiharibu nchi._ _31 Wala shibe ile haitajulikana katika nchi kwa sababu ya njaa inayokuja baadaye, maana itakuwa nzito sana._ Pia soma _Mhubiri 3: 1-8_ Maisha yana Majira na Nyakati Kuna wakati wa Kuzaliwa na wakati wa Kufa Kuna wakati wa Kucheka na wakati wa Kulia ...2020-07-2721 minMsasaonlineMsasaonlineHUAWEI YAPIGWA MARUFUKU KUWEKA MITAMBO YA 5G NCHINI UINGEREZA.Uingereza imepiga marufuku Kampuni ya Huawei kuweka mitambo ya 5G huku kampuni kama BT (BTGOF) na Vodafone (VOD) zikipewa muda mpaka 2027 kuondoa mitambo ya kampuni hiyo kwenye mitandao yao. Waziri wa masuala ya kidigitali na Utamaduni, Oliver Dowden amesema kutokana na hali ya sintofahamu inayozunguka Kampuni hiyo ya china, Uingereza imekosa imani na mitambo ya 5G ya Huawei. Marufuku iliyotolewa na Uingereza ni ushindi mkubwa kwa Marekani ambayo imekua ikishinikiza Mataifa kupiga marufuku Kampuni hiyo kwa madai kuwa ni tishio kwa usalama wa taifa. Uamuzi wa Uingereza umetejwa kuwa ni pigo kubwa sana kwa kampuni ya Huawei kwani soko muhimu...2020-07-1501 minUplifting Moment with Luphurise MawereUplifting Moment with Luphurise Mawere7 Ukaijaze NchiVITU VYA KUFANYA ILI UWEZE KUFANIKIWA KIUCHUMI _By Luphurise Mawere_ *7. Kuijaza Nchi* _Mwanzo 1: 28_ _Ezekiel 27: 25 Merikebu za Tarshishi zilikuwa misafara yako, kwa bidhaa yako; nawe ulijazwa sana, ukawa mtukufu sana, katika moyo wa bahari._ _Isaya 23: 2_ Mungu mojawapo ya kazi waliyopewa Adam na Eva ni kuijaza nchi. Mungu anataka mimi na wewe tuijaze nchi baada ya kuzalisha na kuongezeka Hiyo bidhaa ambayo umeizalisha inapatikana wapi? Umeijaza wapi? Au bidhaa zako zinapatikana kwa ndugu zako tu na watu wa mtaani kwako tu? Kama unataka kufanikiwa kiuchumi itakupasa uijaze Dar es Salaam, Tanzania, Afrika na ulimwengu wote na vipaji, karama, ujuzi na bidhaa zako ...2020-06-2914 minAmedeus Live PodcastAmedeus Live PodcastRhapsodi ya Uhakika - June 2020Kitabu kinachotoka kila mwezi chenye neno la kila siku.  Kitabu kimendikwa na Mchungaji Chris Oyahkilome na Kimesomwa na Ndg. Amedeus Deogratius.  Utajifunza mengi yapasayo maisha ya ushindi, afya bora, ustawi, upendo, haki, imani na namna bora ya kumwabudu Mungu katika roho na kweli.2020-06-016h 15TIMIZA MALENGO YAKOTIMIZA MALENGO YAKONyakati Nne (4) Za UshindiFollow me onInstagram@joelnanauka_Youtube: Joel NanaukaFacebook@jnanaukaTwitter@jnanauka2020-05-1700 minMjasiriamali Wa MtandaoMjasiriamali Wa Mtandao81: Jinsi ya Kupata Ushindi Kila MaraJe wewe ni mjasiriamali unayetamani kupata ushindi mara kwa mara? Basi fanya hivi...2020-03-1713 minAmedeus Live PodcastAmedeus Live PodcastTumia Kinywa Chako VyemaKinywa chako kinatoa dira ya maisha. Uzima na mauti vipo kwenye Nguvu ya Kinywa, kwa hiyo zungumza uzima, afya, ushindi, mafanikio na yote yanayofanana na haya na wala sio mengineyo.2019-08-2911 minHABARI NJEMA RADIOHABARI NJEMA RADIOTuzichunguze Siri za Ushindi2018-12-1345 minMjadala wa WikiMjadala wa WikiMjadala wa Wiki - Marekani: Democratics washinda bunge la wawakilishi, Republican watawala SenateChama cha Republican cha rais Donald Trump, kimepata ushindi katika bunge la Senate huku kile cha Denocratic, kikirejesha udhibiti wa bunge la wawakilishi, baada ya matokeo ya Uchaguzi wa Wabunge, Maseneta na Magavana, uliofanyika siku ya Jumanne. Matokeo haya yanamaanisha nini kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Kujadili hili, ni Abdulkarim Atiki, mchambuzi wa siasa za Kimataifa akiwa mjini Arusha nchini Tanzania na Dokta Brian Wanyama, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kibabii mjini Bungoma nchini Kenya.2018-11-0700 minMjadala wa WikiMjadala wa WikiMjadala wa Wiki - Rais Paul Biya achaguliwa tena kuongoza Cameroon kwa muhula wa sabaRais wa Cameroon Paul Biya, ametangazwa mshindi kuongoza nchi hiyo kwa muhula wa saba, kuendeleza uongozi wake wa miaka 36. Upinzani umekataa kutambua ushindi huu. Ushindi huu una maana gani kwa demokrasia ya Cameroon na bara la Afrika ? Tunajadili.2018-10-2400 minNews in KiSwahiliNews in KiSwahiliKiSwahili NewsMakamu wa Rais wa zamani aliyefutwa kazi nchini Zimbabwe Emmerson Munagagwa amemutaka Rais Robert Mugabe ajiuzulu mara mora huku chama cha tawala nchini Zimbabwe cha ZANU-PF kupiga kura ya kumungoa madarakani Rais Robert Mugabe.Upinzani nchini Kenya umekataa kutambua ushindi wa Uhuru Kenyatta baada ya mahakama kuidhinisha ushindi wa Kenyatta .Ujumbe wa Maafisa wa serikali ya Marekani upo nchini Nigeria kujadilia usalama na pia jiinsi ya kuisaidia nchi ya Nigeria hususani maeneo ambayo yalikumbwa na mashambulio ambayo yamekuwa yakifanywa na wanamgambo wa Boko Haram.Na leo jummanne tutakuwa na makala ya Afya na Tiba 2017-11-2159 minCoach Lazaro Samwel\'s showCoach Lazaro Samwel's showAKILI YA USHINDI-112017-09-2911 minCoach Lazaro Samwel\'s showCoach Lazaro Samwel's showAkili Ya Ushindi-102017-09-2808 minCoach Lazaro Samwel\'s showCoach Lazaro Samwel's showAkili Ya Ushindi-9www.akiliyaushindi.com2017-09-2407 minCoach Lazaro Samwel\'s showCoach Lazaro Samwel's showAkili Ya Ushindi-8www.akiliyaushindi.com2017-09-2309 minCoach Lazaro Samwel\'s showCoach Lazaro Samwel's showAkili Ya Ushindi-7www.akiliyaushindi.com2017-09-2102 minCoach Lazaro Samwel\'s showCoach Lazaro Samwel's showAkili Ya Ushindi-6Www.akiliyaushindi.com2017-09-2105 minCoach Lazaro Samwel\'s showCoach Lazaro Samwel's showAkili Ya Ushindi-5Join Your Life Transformation Program www.akiliyaushindi.com2017-09-2108 minCoach Lazaro Samwel\'s showCoach Lazaro Samwel's showAkili Ya Ushindi-4Join the Program www.akiliyaushindi.com2017-09-2105 minCoach Lazaro Samwel\'s showCoach Lazaro Samwel's showakili ya ushindi-3Join the Program at www.akiliyaushindi.com2017-09-2006 minCoach Lazaro Samwel\'s showCoach Lazaro Samwel's showakili ya ushindi-2Kusudi la mfululizo wa Audio hizi kuhakikisha kwamba unafunguka katika kujiona upo katika nyanja za nafasi mbalimbali za ushindi katika kila jambo unalolifanya.2017-09-2007 minCoach Lazaro Samwel\'s showCoach Lazaro Samwel's showAkili Ya Ushindi-1Katika section hii ya Akili Ya Ushindi utakuwa unajifunza mambo mmengi kuhusu biashara, ujasiriamali na mahusiano.Pia ningependa kukusisitiza kujiunga na program ya AKILI YA USHINDIkwa kubonyeza www.akiliyaushindi.com2017-09-2006 minKizazi njia panda - Awamu ya 2: Kukabiliana na athariKizazi njia panda - Awamu ya 2: Kukabiliana na athariWimbo wa ushindi - Episode 20Katika mchezo wa Kizazi njia panda, tunaingia kwenye awamu mpya ya mfululizo wa vipindi vipya vya Noa bongo - Jenga maisha yako. Hivi ni vipindi vya kuelimisha vinavyotayarishwa na Deutsche Welle kwa ajili ya vijana wa Afrika. Sikiliza awamu ya pili ili kukutana tena na nyota wa mchezo huu wa redio, Mercy, Dan, Niki na Trudy, huku ukifuatilia hadithi yao katika michezo ya redio kila wiki. Kwa mara ya kwanza utapata fursa pia ya kuwaona baadhi yao katika mkanda mpya wa vidio kila baada ya wiki moja.2015-01-0911 minDeutsche Welle - Learning By EarDeutsche Welle - Learning By EarWimbo wa ushindi - Episode 20Katika mchezo wa Kizazi njia panda, tunaingia kwenye awamu mpya ya mfululizo wa vipindi vipya vya Noa bongo - Jenga maisha yako. Hivi ni vipindi vya kuelimisha vinavyotayarishwa na Deutsche Welle kwa ajili ya vijana wa Afrika. Sikiliza awamu ya pili ili kukutana tena na nyota wa mchezo huu wa redio, Mercy, Dan, Niki na Trudy, huku ukifuatilia hadithi yao katika michezo ya redio kila wiki. Kwa mara ya kwanza utapata fursa pia ya kuwaona baadhi yao katika mkanda mpya wa vidio kila baada ya wiki moja.2015-01-0911 minUshindi Katika Mwezi Wa RamadhaniUshindi Katika Mwezi Wa RamadhaniUshindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 05Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 052013-10-2951 minUshindi Katika Mwezi Wa RamadhaniUshindi Katika Mwezi Wa RamadhaniUshindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 01Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 012013-10-2951 minUshindi Katika Mwezi Wa RamadhaniUshindi Katika Mwezi Wa RamadhaniUshindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 02Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 022013-10-2951 minUshindi Katika Mwezi Wa RamadhaniUshindi Katika Mwezi Wa RamadhaniUshindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 03Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 032013-10-2951 minUshindi Katika Mwezi Wa RamadhaniUshindi Katika Mwezi Wa RamadhaniUshindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 04Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 042013-10-2951 minUshindi Katika Mwezi Wa RamadhaniUshindi Katika Mwezi Wa RamadhaniUshindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 09Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 092013-10-2951 minUshindi Katika Mwezi Wa RamadhaniUshindi Katika Mwezi Wa RamadhaniUshindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 08Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 082013-10-2951 minUshindi Katika Mwezi Wa RamadhaniUshindi Katika Mwezi Wa RamadhaniUshindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 07Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 072013-10-2951 minUshindi Katika Mwezi Wa RamadhaniUshindi Katika Mwezi Wa RamadhaniUshindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 06Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 062013-10-2951 min