Look for any podcast host, guest or anyone
Showing episodes and shows of

Zilla Kipaji

Shows

Centrafrique - Voix de l\'AmériqueCentrafrique - Voix de l'AmériqueLa 5e édition du Festival "Musika na Kipaji" met en avant la paix dans l'est de la RDC - novembre 28, 2023La 5e édition du Festival "Musika na Kipaji", "Jeune fille talentueuse" en swahili, s'est tenue à Goma le 26 novembre. L'édition de cette année a permis aux artistes, venues de nombreux pays, de lancer des messages de paix dans l'est de la RDC.2023-11-2802 minMaisha Ni Kuthubutu PodcastMaisha Ni Kuthubutu PodcastJinsi Ya Kuonyesha Kipaji Chako Hadi Kukupa Matokeo Makubwa...!Hivi unakijua kipaji chako au kikubwa ni uhai? Pasipo kujali unajua au hujui kipaji chako ila tambua una zawadi ya kipaji ambayo ulipewa na Mungu hata kabla ya kuzaliwa kwako. Kwahiyo... Kuzaliwa kwako Ina maana una kipaji ndani yako. Swali la kujiuliza. Je, unakijua kipaji chako? Hongera kwa kujua kipaji chako cha .... (Taja kimoyomoyo) Ina maana tayari umeshajua kusudi la kuzaliwa kwako. KIPAJI = KUSUDI. Lakini... Kujua kipaji chako haitoshi ni lazima uonyeshe kipaji chako kwa ulimwengu yaani dunia itambue na kunufaika na kipaji chako. Kwa sababu... Kipaji siyo kwa ajili yako bali ni kwajili ya kuwatumikia wengine. Unajiuliza ni kwa...2023-08-2612 minMaisha Ni Kuthubutu PodcastMaisha Ni Kuthubutu PodcastNamna Rahisi Ya Kunoa Kipaji Chako Na Kukupa Mafanikio Makubwa...!Kipaji ni kama msuli kadiri unavyofanya mazoezi ndiyo msuli unakuwa mkubwa na wenye nguvu si ndiyo? Basi episode hii utajua namna rahisi ya kunoa kipaji chako kiwe kikubwa na kukupa mafanikio makubwa...!2023-08-1814 minMaisha Ni Kuthubutu PodcastMaisha Ni Kuthubutu PodcastNjia 04 Za Kugundua Kipaji Chako...!Umebarikiwa zawadi ya kipaji ndani yako pasipo kujali unajua au hujui, lakini una kipaji umebeba ndani yako. Kwahiyo Ondoa mtazamo kuwa hauna kipaji na Upo Upo tu au kuna kundi la watu wachache ndiyo wana vipaji na wewe hauna. Hii episode itakusaidia kujibu swali Muhimu “Nitajuaje kipaji changu” kwa sababu njia hizi 04 ni uhakika kujua na kugundua kipaji chako kwa asilimia 100% nakutakia Safari njema ya kuanza kukiishi kipaji chako baada ya kukigundua.2023-08-0912 minLENZI Podcast with Michael KamukuluLENZI Podcast with Michael KamukuluS1E2. SIRI ya kufanya KAZI mbili: Moja ikitegemea ELIMU na nyingine ikitegemea KIPAJI ft. Grace BrownKatika soko gumu la ajira ambapo wanaopoteza kazi ni wengi kuliko wanaopata kazi mpya, Grace Brown anaelezea ni kwa jinsi gani yeye anaweza kufanya kazi mbili, moja ikitegemea KIPAJI chake wakati nyingine ikitegemea ELIMU yake. In the tough job market where there are more people losing jobs than finding new ones, Grace Brown explains how she can work two jobs, one relying on her TALENT and the other relying on her EDUCATION.2023-06-1026 min===== كلمات الحياة\===== كلمات الحياة" ، "الأخبار السارة" ، "ترانيم الإنجيل" - باللغات الرئيسية المستخدمة في جزر القمر" / / "Paroles de Vie", "Bonnes Nouvelles", "Chants Gospel" - Dans les Principales Langues Parlées aux Comores =====Swahili [Kenya] - "Yesu: Mwalimu & Mponyaji".3gp / 3gp."السواحيلية [كينيا] - "يسوع: المعلم والمعالجSwahili [Kenya] - "Jésus : Enseignant et Guérisseur".3gp / Swahili [Kenya] - "Jesus: Teacher & Healer".3gp //1 WAKORINTHO 13 - Upendo1Hata kama nikinena lugha za watu na hata za malaika, lakini kama sina upendo mimi nimekuwa tu kama sauti ya debe tupu au kengele. 2Tena, naweza kuwa na kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, nikafahamu siri zote na kujua kila kitu; naweza kuwa na imani yote hata nikaweza kuihamisha milima, lakini kama sina upendo mimi si kitu. 3Nikitoa mali yangu yote na kuwapa maskini, na tena nikiutoa mwili wangu uchomwe, kama sina upendo hiyo hainifai chochote. 4Mwe...2022-12-131h 00Salama NaSalama NaSE7EP17 - SALAMA NA ROSE MUHANDO | NIPE UVUMILIVUKatika binadamu ambao walinipa wakati mgumu na kusubiri kwingi kabla ya kuja kukaa kwenye meza yetu ya kigae na kiti chakavu basi mmoja wao ni Rose huyu wa Muhando. Upatikanaji wake ni kama ukitaka kumuona SIMBA mbugani, lazima uamke asubuhi na mapema au uwe na bahati ya mtende kama ambayo sisi tumepata. Ingawa tulisubiri kwa masiku tele na miezi tele katikati ya mwaka huu tuliweza kumpata na kukaa nae chini ili tuweze kuzungumza nae. Rose ni wa moto sana, kalenda yake imejaa safari tele za nje na ndani ya nchi, anazunguka mara kwa mara kwaajili ya kutoa...2022-10-061h 20Salama NaSalama NaSE7EP09 - SALAMA NA DAMIAN SOUL | HARIRI…Damian Soul ni Superstar na siku ambayo sote tutakubaliana na hiyo statement basi tutaanza kufaidi matunda ya kipaji chake kwa uzuri sana, ila mpaka siku hiyo ifike ni wachache tu ambao wanamuelewa kwa upana huo ndio ambao wataendelea kufaidi kipaji chake kwa nafasi yao. Wale watu wa makampunj mbali mbali kwa mfano CocaCola ambao wanakua na events zao za ndani kwaajili ya watu wao na waalikwa wawili watatu huwa wanamfaidi sana kijana huyu hodari wa ki Tanzania. Na Damian kwa ukali wake akipata nafasi kama hiyo huwa hafanyi makosa hata kidogo, huhakikisha anapeleka mziki wote kwao ili wakati mwengine...2022-08-111h 06Salama NaSalama NaSE7EP07 - SALAMA NA DR KUMBUKA | YAANI…Dr Kumbuka ni influencer mkubwa kwenye masuala ya mahusiano na maelewano inapokuja kwenye suala zima la ushauri na mashauri kwa watu wengi ambao wamekua wakimsikiliza na ambao wanamsikiliza kila siku za wiki anapokua kwenye kipindi cha Uhondo pale EFM. Na yeye kuwa pale hakufika kwa bahati mbaya. Ila pengine alipo anzia kazi yake pale Times FM ndo ilikua kama bahati kufika. Anakumbuka jinsi ambavyo alikua zake tu mtaani wakati mtangazaji wa Times FM wakati huo Bi Dida Shaibu alipokua mtaani akitafuta watu wenye kipaji cha ‘kuchamba’ watu wengine. Anasema wanawake ndo walikua wametawala jukwaa huku wakishusha maneno mengi ya kara...2022-07-281h 07Salama NaSalama NaSE7EP01 - Salama Na ZUCHU | SINDANOKuna usemi mmoja unaenda kama hivi, kulea mimba si kazi ila kazi ni kulea mtoto, tafsiri yangu naamini mhenga hapo alikua anatuambia kazi pengine inaanza baada ya kupata kazi, tunaelewa jinsi gani ambavyo kupata kazi huwa ni kazi. Tena kazi yoyote, haijalishi kama ni ya upishi au ulinzi au ufundi au hata u daktari, mi nawajua madaktari kadhaa ambao nao pia wanapata shida kupata hizo kazi. Na baada ya kupata shida zote hizo wakati wa kutafuta kazi basi kazi halisi huanza pale unapoipata sasa hiyo kazi yenyewe. Kazi ya Zuchu ilianza kabla hajaipata hiyo kazi yenyewe na...2022-06-1655 minSurviving NairobiSurviving NairobiSeason 6 Episode 3: Transformational Creativity Featuring Dr. Andrene M. TaylorOn this episode your hosts, Bukachi and Hafare are joined by Dr. Andrene M. Taylor who is a scholar, writer, educator, producer and visual storyteller to discuss transformational creativity, decolonizing African storytelling, the Kipaji Lab, how the lab helps each cohort and much more. Follow us on our socials @survivingnairobi on IG and @survivenairobi on Twitter Hafare - @gethafare on Twitter and @hafare on IG Ivy - @iv_ey on Twitter and @callmedjiv on IG Kipaji Lab - @kipajilabkenya on IG and @KipajiLab on Twitter2022-06-0656 minEbenezer Revival International MinistryEbenezer Revival International MinistryMwanamke Mwema - Nabii Analyce IchwekelezaMwanamke mwema ni mwanamke ambaye huongoza nyumba yake kwa uadilifu, nidhamu, na kipaji. Mnawamke huyu ni kiongozi, si kwa sababu anajaribu kuwa, lakini kwa sababu yeye hujitambua.2022-04-111h 11Iran-Tanzania PodcastIran-Tanzania PodcastMwanamalenga wa Kiirani NezamiJamaluddin Abu Mohammad hakuweza kupata upendo wa wazazi  wake kwa muda mrefu; kwani wazazi wake walifariki dunia  akiwa  bado mtoto na kupata malezi akiwa mtoto yatima. Ushahidi wa kihistoria unaonyesha kuwa, Nezami Ganjavi hakuwahi kuondoka katika mji wa Ganja akiwa bado na umri mdogo, na alipofikia marika ya ujana , aliweza kujifunza sanaa na ujuzi  mbalimbali na hatimaye alikuwa na ufasaha wa kuzungumza na kuandika lugha za Kiazeri, Kiarabu, Kiajemi na Kipahlavi. Nezami ni bingwa na mshairi anayepaswa  kuzingatiwa kwenye mihimili na nguzo za ushairi wa Kiajemi. Yeye ni mmoja wa malenga aliyekuwa na kipaji cha kuandika mashairi na ku...2022-03-1112 minPaukwa RadioPaukwa RadioNilikuwa mwanahabari kimakosa | Harith SalimHarith Salim no bingwa katika tasnia ya uanahabari. Amefanya katika mashirika mengi makubwa huku akijitetea kwa sauti na kipaji chake ili kufikia upeo huu wa sasa. Leo tunaongea naye ilikupata kumjua. --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app --- Send in a voice message: https://anchor.fm/paukwaradio/message Support this podcast: https://anchor.fm/paukwaradio/support2022-03-0210 minPaukwa RadioPaukwa RadioNilikuwa mwanahabari kimakosa | Harith SalimHarith Salim no bingwa katika tasnia ya uanahabari. Amefanya katika mashirika mengi makubwa huku akijitetea kwa sauti na kipaji chake ili kufikia upeo huu wa sasa. Leo tunaongea naye ilikupata kumjua. --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app--- Send in a voice message: https://anchor.fm/otienomjomba/messageSupport this podcast: https://anchor.fm/otienomjomba/support2022-03-0210 minH.W PODCAST℠H.W PODCAST℠KWA WENYE SHAUKU YA KUTIMIZA NDOTO ZAO | Kutoka kwa Paul ClementPaul Clement anaelezea kwa hisia historia ya maisha yake halisi na kutoa hamasa kwa kila mwenye shauku ya kufika mahali fulani kufuata malengo aliyojiwekea, uwezo au kipaji alichonacho. #Karibu_nyumbani --- Send in a voice message: https://anchor.fm/hubofwisdom-org/message2022-02-1014 min===== كلمات الحياة\===== كلمات الحياة" ، "الأخبار السارة" ، "ترانيم الإنجيل" - باللغات الرئيسية المستخدمة في جزر القمر" / / "Paroles de Vie", "Bonnes Nouvelles", "Chants Gospel" - Dans les Principales Langues Parlées aux Comores =====Swahili [Kenya] - "Yesu: Mwalimu & Mponyaji".3gp / 3gp."السواحيلية [كينيا] - "يسوع: المعلم والمعالجSwahili [Kenya] - "Jésus : Enseignant et Guérisseur".3gp / Swahili [Kenya] - "Jesus: Teacher & Healer".3gp //1 WAKORINTHO 13Upendo1Hata kama nikinena lugha za watu na hata za malaika, lakini kama sina upendo mimi nimekuwa tu kama sauti ya debe tupu au kengele. 2Tena, naweza kuwa na kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, nikafahamu siri zote na kujua kila kitu; naweza kuwa na imani yote hata nikaweza kuihamisha milima, lakini kama sina upendo mimi si kitu. 3Nikitoa mali yangu yote na kuwapa maskini, na tena nikiutoa mwili wangu uchomwe, kama sina upendo hiyo ha...2022-02-031h 00SingeliSingeliJESHI RAIDA FT ZILLA KIPAJI=[KAMATA]PRD NOMA=[0693570520]2021-11-0504 minSINGELI TZSINGELI TZGIZZY MC FT ZILLA KIPAJI -- CHAWA (ZILLAMEDIA PRODUCT)2021-10-1005 minNgindoNgindoGizzy Mc Ft Zilla Kipaji – Chawa 0684809399 (NGINDOMEDIA.COM)2021-10-1005 minZillamediaZillamediaVIDA MC FT ZILLA KIPAJI =[USELA 5] PRD NOMA2021-10-0704 minZillamediaZillamediaKibe Kipaji -- Show Ya Leo (Zillamedia Production)2021-10-0504 minZillamediaZillamediaZilla Kipaji - Show Produced By Dj Mushizo 06885039322021-09-3004 minZillamediaZillamediaSAGWE MC FT ZILLA KIPAJI=[MZEE WA SHOW]PRD NOMA2021-09-2404 minzillamedia3@gmail.comzillamedia3@gmail.comZilla Kipaji --- Nikilewa (Singeli)2021-09-1104 minzillamedia3@gmail.comzillamedia3@gmail.comZILLA KIPAJI __ NAWAKELA (ZILLAMEDIA | 0754905801).mp32021-09-0404 minMediaMediaJr Kipaji - Unanionea (Zillamedia Production)2021-09-0404 minMediaMediaZilla Kipaji - Onana (Official Audio)07549058012021-08-3104 minMediaMediaZilla Kipaji Ft Star Wa Yombo _ Nipe Dili2021-08-3104 minTANZANIA MUSICTANZANIA MUSICMwitu Mc - Kamata Bob Wa Vingweta (Zillamediatz 0754905801)2021-08-2704 minTANZANIA MUSICTANZANIA MUSICTom Wizzy - Shabalansi (Zillamedia 0754905801)2021-08-2703 minTANZANIA MUSICTANZANIA MUSICVisimpo Mawe - Mipaka (Zillamediatz 0754905801)2021-08-2704 minTANZANIA MUSICTANZANIA MUSICDogo Selenge VIBAYA- (Zillamediatz 0754905801)2021-08-2706 minTANZANIA MUSICTANZANIA MUSICPizzo Mc Ft Juzzo Mc - Wanatuonea(Zillamediatz 0754905801)2021-08-2606 minTANZANIA MUSICTANZANIA MUSICMzee Wa Bwax - Nimeokoka (Zillamediatz 0754905801)2021-08-2603 minTANZANIA MUSICTANZANIA MUSICMdogo Askali - Ngwe (Zillamediatz 0754905801)2021-08-2604 minTANZANIA MUSICTANZANIA MUSICBob Kijino Ft Kaje Double Killer - Mibange Bange2021-08-2508 minTANZANIA MUSICTANZANIA MUSICBando Mc - Temineta (Zillamedia 0754905801)2021-08-2504 minTANZANIA MUSICTANZANIA MUSICPanya Mc - Wamenibatiza (Zillamediatz 0754905801)2021-08-2406 minTANZANIA MUSICTANZANIA MUSICKaje Double Killer - Kila Mtu (Zillamediatz 0754905801)2021-08-2405 minzillamedia.comzillamedia.comSHOW LIVE KIVULE | Fighter Mc _Night Mc_Zilla Kipaji _ Dj Noma Crezy Mitambo2021-08-1308 minTANZANIA MUSICTANZANIA MUSICZilla Kipaji - R.I.P 2021 - Zillamedia.com 07928219242021-08-0604 minTANZANIA MUSICTANZANIA MUSICZilla Kipaji _ [ MAVUNA ] Prd Fujo Midundo 06218300142021-08-0105 minTANZANIA MUSICTANZANIA MUSICZilla Kipaji - Wa2 Wabaya - Zillamediatz 0754905812021-07-2704 minZmtz brandZmtz brandZilla Kipaji Ft Pato Mc - Usela Namba 42021-07-2204 minZmtz brandZmtz brandZilla Kipaji - KAMATA Produced By G T A 06885039322021-07-2205 minZmtz brandZmtz brandzilla_kipaji_usela_namba_1mp3_549002021-07-2204 minZmtz brandZmtz brandZilla Kipaji - Mchumba | Zillamidiatz 06928219242021-07-0705 minROAD TO SUCCESSROAD TO SUCCESSMC NDIMBO- KUBADILISHA KIPAJI KUWA BIASHARAMC NDIMBO Akimalizia mafunzo ya KIPAJI KUWA BIASHARA kwenye Darasa la 12 WEEKS la Roadtosuccesstz2021-05-1709 minBabananiiiBabananiiiUnapochagua Kazi ZingatiaCHAGUA KAZI UNAYOIPENDA: Jambo la kwanza na lililo muhimu kushinda mengine yote kuhusu kazi ni kuhakikisha kwamba unaipenda kwa dhati na kufurahia kuifanya. Ziko kazi za aina mbalimbali - k.m. kilimo; ufugaji; biashara; kutoa huduma mbalimbali kama vile ualimu; udaktari; ukarani; n.k. Kazi hizo zinaweza kufanywa mahali mbalimbali - k.m. kijijini; mjini; nyumbani; ofisini; kiwandani; n.k. Vile vile kazi hizo zinaweza kufanywa kwa njia mbalimbali - k.m. Kiujamaa; kiushirika; kwa kuajiriwa; kwa kujiajiri mwenyewe peke yako; n.k. Mambo yote haya, pamoja na hadhi ya kazi yenyewe katika jamii unamoishi huenda pia yakaongezea kukufanya upende...2021-05-0806 min====\===="Bishaaro Wanaagsan", "Heesaha Injiilka", "Ereyada Nolosha" - Luqadaha Ugu Muhiimsan ee Lagu Adeegsaday Soomaaliya / "Good News", "Gospel Songs", "Words of Life" - Main Languages Used in Somalia ====Kiswahili (Baravenes) - "Yesu: Bwana na Mwokozi" / Swahili(Baravenes) - "Jesus: Lord and Saviour".3gpSawaaxilii (Baravenes) - "Ciise: Sayid iyo Badbaadiye" / "السواحلية - "يسوع: الرب والمخلص // 1 WAKORINTHO 13Upendo1Hata kama nikinena lugha za watu na hata za malaika, lakini kama sina upendo mimi nimekuwa tu kama sauti ya debe tupu au kengele. 2Tena, naweza kuwa na kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu, nikafahamu siri zote na kujua kila kitu; naweza kuwa na imani yote hata nikaweza kuihamisha milima, lakini kama sina upendo mimi si kitu. 3Nikitoa mali yangu yote na kuwapa maskini, na tena nikiutoa mwili wangu uchomwe, kama sina upendo hiyo hainifai chochote. 4Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni. 5Mwenye upendo hakosi adabu, hatafuti faida ya...2021-04-081h 01Zmtz brandZmtz brandZILLA KIPAJI - FUNGA MTAA ..!!BY .PRODUCER --JACK..BABYLONE...06860349772021-03-1304 minSIRI ZA BIBLIASIRI ZA BIBLIAMPANGO MPYA WA ULIMWENGU/NEW WORLD ORDER PART 2Kisha nikaona mnyama akitoka katika bahari, mwenye pembe kumi, na vichwa saba, na juu ya pembe zake ana vilemba kumi, na juu ya vichwa vyake majina ya makufuru. Na yule mnyama niliyemwona alikuwa mfano wa chui, na miguu yake ilikuwa kama miguu ya dubu, na kinywa chake kama kinywa cha simba, yule joka akampa nguvu zake na kiti chake cha enzi na uwezo mwingi. Nikaona kimoja cha vichwa vyake kana kwamba kimetiwa jeraha la mauti, na pigo lake la mauti likapona. Dunia yote ikamstaajabia mnyama yule. Wakamsujudu yule joka kwa sababu alimpa huyo mnyama uwezo wake; nao wakamsujudu yule...2021-03-0507 minSalama NaSalama NaEp. 52 - Salama Na HAJI | ALIYE KUTWIKA NDIYE ATAKAYEKUTUAHaji Sunday Manara nlitaka kusema ni rafiki YANGU ila vacati navaza hilo nikakumbuka mmh, Haji Sunday Manara ni rafiki wa WATU WENGI hususan mashabiki wa klabu wangu pendwa na zaidi kwa watu ambao hawapendi hata mpira ila wanampenda tu jinsi anavyoseti mambo yake na anavyoigeuza sehemu yoyote aendayo kama sehemu yake ya kujitamba na kujitutumua na tofauti yake na WACHACHE ambao wanafanya kazi kama yake ni kwamba yeye anaweza KUYATEMBEA yale anayo YAONGEA. Mapenzi yangu kwake ni ya first class na namini hata yeye analifahamu hilo, huwa namtazama kwa kuvutiwa hasa kwababu ya anavyojibeba na kukiaminisha kile...2021-02-041h 23JADI YETUJADI YETUJina katika namba ya KOSHFOT katika Kipaji, Fani na Maoteleo ya mtuKujitambua katika mazingira ya mtu binafsi katika kupata uchanganuzi na marekebisho na utatuzi wa tabia mwili na kuwa mwenye akili timamu2021-01-1813 minZmtz brandZmtz brandZilla_kipaji Ft Mr Boshen - Butt Kubwa2020-12-0805 minZmtz brandZmtz brandJr_Kipaji_Naomba_Uje_prd_Fujo_Fantastik_Present_By_zilla-Media2020-12-0805 minZmtz brandZmtz brandZilla_Kipaji_Patty_La_Leoo.....Prd_Fujo_Fantastik2020-12-0205 minZmtz brandZmtz brandZilla Kipaji X Fighter Mc X Nenga - Mtu Tatu2020-11-2706 minSalama NaSalama NaEp. 38 - Salama Na CHARLES HILLARY | MZEE WA BUSARAIlinichukua muda mrefu kuweza kupata nafasi ya kuongea uso kwa macho na Charles Hillary, maana toka enzi za Mkasi nilikua natafuta mwanya wa kuweza kukaa nae chini walau kwa hata nusu saa tu. Sikuwahi kukata tamaa badala yake nilikua kama chui kwenye mawindo yake, na mwisho wa siku kwa uwezo wa Mungu, binti yake Faith, Ivona Kamuntu na Mama kule nyumbani waliniwezesha kushinda mechi hii hatimaye. Mungu anajua tabasamu lilikua la ukubwa wa kiasi gani, na pengine hilo linaweza likawa limefanya niwe excited sana mpaka mengine nikayasahau kuyauliza, au kujua naulizaje, au kushangaa sana? Ushawahi kukutana na mtu alafu...2020-10-1500 minSalama NaSalama NaEp. 37 - Salama Na DR MWAKA | BINGWASikuwahi kukutana na Dr Mwaka mimi kabla ya tarehe 26 ya mwezi wa tisa, ila nilishawahi kuongea nae kwa simu mara mbili kabla ya kukutana, hatukuwa marafiki ila maongezi yetu ya mara ya kwanza kwenye simu yalinifanya nijue kwa kiasi yeye ni mtu wa aina gani, na nilivyokutana nae pia iliongeza heshima yangu kwake kwa kazi anayofanya na aina ya mtu yeye alivyo. Nisiseme kwa kupepesa, alini impress na nilijifunza vitu kadhaa kwa muda mchache niliokaa naye na kuongea nae. Alikuja na mkewe kwenye set ya kipindi na alihakikisha mkewe anafika mpaka kwenye ‘kizuizi’ cha mwisho kabisa kabla ya k...2020-10-0800 minSalama NaSalama NaEp. 34 - Salama Na DOGO JANJA | YENTENakumbuka mara ya kwanza kukutana na Dongo Janja enzi hizo akiwa mtoto kabisa na hata kwenye viduara vyetu alikua anakaa mbali maana havikua vinamhusu. Kukua kwake kwenye macho yetu wakati mwengine inatufanya tuwe tunadhani kama tunamfahamu sana au tuna haki sana ya kujua kila kitu kwenye maisha yake na kumhukumu kwa maamuzi mengine ambayo sisi kama sisi hatujayapenda, tunasahau kama hayo ni maisha yake na ana haki ya kujifunza kwa kukosea na kukaa sawa kama ambavyo yuko sasa. Jina la serikali ni Abdulaziz Abubakar Chende aka JANJARO, sio DOGO JANJA tena, sasa ana miaka 25. Unakumbuka mara ya...2020-09-1748 minSalama NaSalama NaEp. 32 - Salama Na Riyama | UTAKWENDA UTARUDI Riyama Seleman Ally, malkia wa kazi aifanyayo na kila alitilialo msisitizo hulifanya kwa asilimia 100, hata kama akichelewa kama pengine alivyochelewa kupata heshima yake na malipo yake anayostahili, kama ambavyo anapata sasa au ambayo anapata maana safari bado ni ndefu. Na kwa mazungumzo haya nilofanya naye huo ndo muelekeo na ndo nia na madhumuni. Sote tunajua PENYE NIA PANA NJIA, so kazi ni kwetu. Mzaliwa wa Unguja Tanzania, kakua katika familia ya kidini na malezi bora ila kwa mujibu wa maongezi yetu haya yeye alipenda zaidi kuwa muimbaji, kitu ambacho Mwenyezi Mungu mtoa vipaji hakumjaalia kipaji hicho...2020-09-031h 15Salama NaSalama NaEp. 31 - Salama Na GOODLUCK | WASTAHILI SIFASifa za Bwana inabidi zisemwe kwa zawadi hii alotupa sisi wanadamu, tunamshkuru sana kwa kipaji cha Goodluck Gosbert na tunamshkuru pia kwa kumfanya ni wa kwetu, kutoka nchini kwetu, kwamba ni mwenzetu. Kwa kweli binafsi nimependa sana na najivunia yeye. Utamu wa sauti yake nadhani cha kwanza wengi tulikipenda sana, baada ya kumsikia tu, kama ilivyokua mara ya kwanza anataka kujifunza kupiga gitaa akaenda kanisani, na akaskika akiimba na wana kwaya wa kanisa hilo na wakampenda toka siku hiyo mpaka leo, ndo ilivyokua kwetu pia naamini. Kipaji chake cha pili ni utajiri wa mashairi, kipaji kikubwa cha...2020-08-271h 04Salama NaSalama NaEp. 30 - Salama Na SEVEN | ROCKSTARMtaani huwa wanasema ‘hizo kazi za wanaume’, maana mambo ya kukesha na watoto wa kiume na kuhangaika nao usiku na mchana kwa mwanamke inakua ngumu, na pengine inaweza ikaleta mambo yasiyohusu au ikasababisha vitu nyengine visiende kwasababu tu anayefanya hiyo kazi ni MWANAMKE. Ila kwa Christine ‘Seven’ Mosha nadhani hayo maneno yalikua ndo mafuta kwenye utambi wake na aliyatumia hayo kuweza kutoa mwanga maridhawa ulioset standard ya kuvutia. Kuna kipindi na mpaka sasa, ukiwataja ma meneja wa wasanii walio hodari hapa kwetu basi la Seven litakua la kwanza kwa mujibu wangu Mimi, maana kwa kuwa mfano kwenye tasnia aliweza haswa!2020-08-201h 07Salama NaSalama NaEp. 29 - Salama Na CPWAA | KILA CHOMBO CHA WIMBILEWakati Parklane iko juu sana wengi wetu tulikua tunamfahamu zaidi Sumalee na ilikua haswa Sumalee na yule mwengine mwenye sauti nzito ambaye alikua anatupia tu vichombezo vya hapa na pale, hata kwenye posters za show na mambo mengine Ismail Sadiq aka Sumalee ndo alikua kila kitu mpaka pale kundi lilipovunjika na kila mmoja akaenda upande wake, hapo ndio tulipoanza kufaidi kipaji cha huyu mwanachama mwengine wa hiyo duo, jina la serikali ni Ilunga Khalifa aka Cpwaa alianza kung’ara zaidi na kupata mpaka show za kimataifa.  Yuko na swagg, anaweza kuongea kiswahili na ki...2020-08-131h 04TIMIZA MALENGO YAKOTIMIZA MALENGO YAKOMambo (7) Yanayoua KipajiFollow me onInstagram@joelnanauka_Youtube: Joel NanaukaFacebook@jnanaukaTwitter@jnanauka2020-08-0200 minSalama NaSalama NaEp. 26 - Salama Na Baba Levo | ALL IN ALLKusema ukweli kabisa mimi na mgeni wetu wa wiki hii hatuna urafiki wala mazoea kabisa, ila tunafamiana kwa mbali na pengine (naamini) kila mmoja anamheshimu mwenzake kutokana na kazi ambazo kila mmoja wetu ameshafanya, na hiyo ndo ambayo imeleta heshima kati yetu. Pia tukumbuke heshima hainunuliwi wala haihongwi, huja yenyewe na kutuwama pale inapoona inafaa. Kwa kipaji na jina lake kuwa kule na huku nami ndo nilimfahamu Baba Levo. Utani wake kwa wasanii wengine (hasa siku za hivi karibuni) watanzania wamekua wakiuona sana. Ila kwa mujibu wa historia chache juu yake ambayo nilikua naifahamu Baba Levo siku...2020-07-231h 21Salama NaSalama NaEp. 25 - Salama Na Gabo | MTOGAPAAFWEJina halisi ni Salim Ahmed Issa, na kwa mujibu wa niloyasoma ni mjukuu wa moja ya watu maarufu mkoani Iringa ambaye alikua anatambulika kama Mtogapaafwe Kiyeyeu. Huyo alikua ni BABU wa Gabo Zigamba kabisaa ambaye binti yake Rafia Issa Kiyeyeu ndo Mama mzazi wa Gabo huyu tunayemfahamu mimi na wewe. Unaambiwa kaburi la Marehemu Mzee Mtogapaafwe lilikua na maajabu sana, ila hiyo ni khadithi ya siku nyengine. Hapa ilikua juu ya utambulisho wetu kwake na sifa zake actor hodari toka kwetu Tanzania. Gabo si moja ya marafiki zangu ila baada ya kuonana hapa ndo urafiki wetu ulipoanzia...2020-07-1652 minSalama NaSalama NaEp. 24 - Salama Na Lady Jaydee | POWERHOUSEKwa Judith Wambura Mbibo kuongea anayoyawaza bila ya kupepesa au kutafuta sapoti kabla hajafanya hivyo ndo hulka yake haswa, si wa kukwepeshakwepesha au kung’ata maneno ili yawe malaini zaidi kwa anayeambiwa asijikie vibaya labda. Kwake yeye lilivyo ndo lilivyo, kazi ya kupaka mawingu rangi huwaachia wahusika, yeye yake ni kuhakikisha mawingu yapo, na kwa hilo? Mimi namheshimu sana. Mwanangu mwengine ambaye hii ni mara yetu ya kwanza kukaa chini na kutia story ili wananchi waweze kupata majibu ya baadhi ya maswali waliyokua nayo muda mrefu sana pengine. Na round hii nilihakikisha sichezi mbali naye kama Chama na...2020-07-0957 minSalama NaSalama NaEp. 23 - Salama Na Nizar | RAHA LEO KUCHELEWakati Vancouver White Caps wanamtaka Nizar Khalfan baada ya kumuona akiwa anakipiga hapa nyumbani wakati yuko na timu ya Taifa ya Tanzania haikua habari au jambo la kushangaza miungoni mwa wachezaji na walokua wakimuona na kumfahamu mchezaji huyo vizuri. Kila mtu kati ya hao alikua akiomba ki vyake kijana huyu kutoka Kusini mwa Tanzania apate nafasi ya kwenda kuwakilisha Taifa na kuendeleza kipaji chake maridhawa kabisa. Nizar ametokea Mtwara na kwenye familia yake kwa mujibu wa maongezi yetu Mzee wake alikua akiupiga ingawa si mwingi kama wa Master Chef Khalfan maana yeye alianza akiwa mduchu haswa, watu wazima wa mtaani...2020-07-021h 25TIMIZA MALENGO YAKOTIMIZA MALENGO YAKOVitu Sita (6) Vya Kuzingatia Katika Kuboresha Kipaji Chako Follow me onInstagram@joelnanauka_Youtube: Joel NanaukaFacebook@jnanaukaTwitter@jnanauka2020-06-2800 minTIMIZA MALENGO YAKOTIMIZA MALENGO YAKOUnafanyaje Kunoa Au Kukuza Kipaji Chako Follow me onInstagram@joelnanauka_Youtube: Joel NanaukaFacebook@jnanaukaTwitter@jnanauka2020-06-2500 minSalama NaSalama NaEp. 20 - Salama Na Lord Eyes | HAWATUWEZIIsaac ndo jinsi jina lake linavyoandikwa, kipaji adhimu kabisa kutoka Kaskazini mwa Tanzania, Allah kamjaalia kila ambalo msanii anaomba abarikiwe nalo wakati anapewa kipaji. Mrefu, muonekano mzuri, mashairi ya kibabe na kujiamini kulikokaa sehemu yake haswa. Walipoanza kama kundi hapo ndo attention yangu waliipata wana Nako 2 Nako Soldiers kutoka Ara, kila kitu kilikua tofauti juu yao, mavazi, style, matamshi na hata muonekano. Hii ilikua chachu ya kuwafikisha popote ambapo walikua wamepalenga. Mashabiki kila kona ya Tanzania na Afrika na dunia kwa ujumla, hakuna radio utakayoskilizia ambayo walikua hawapati nafasi. Walikua marafiki wa kila kituo na kazi yao...2020-06-1153 minSalama NaSalama NaEp. 12 - Salama Na Gigy Money | ZILE KHADITHIMara nyingi huwa tunahukumu watu ambao hata hatuwafahamu na pengine hatujawahi hata kuongea nao hata mara moja kwasababu tu ya muonekano wao au kwa kitu tumeskia wamefanya au wamesema, au kwasababu fulani kasema jambo fulani kuhusu yeye ndo hapo nasi tunajifanya tunawajua sana na kutoa hukumu zetu juu yao, kama vile tunawafahamu sana au tunajua sababu ya yote ambayo tumeona au kuskia tu wamefanya au kusema. Hayo ndo maisha ambayo mgeni wetu wa wiki hii amekua akiishi kwa miaka kadhaa sasa. Jina lake ni Zawadi aka Gift, binafsi sikumbuki siku ya kwanza kukutana naye au kumsikia ila...2020-04-161h 01Salama NaSalama NaEp. 9 - Salama Na Khadija Kopa | ALIYEPEWA KAPEWAKhadija Omar Kopa.  Malkia wa mipasho na lejendari wa muziki wa Taarab kwenye ukanda huu na duniani kwa ujumla, mwenyewe kaniambia yeye kwenda Arabuni na Ulaya ni jambo la kawaida tu kwake maana hayo kayaanza kuyafanya kitaaambo sana. Kitambo kweli naweza sema, mimi nimeanza kumfahamu Da Khadija toka kigori kabisa, na amekua hapo kwenye standard hiyo hiyo kwa miaka nenda na miaka rudi. Hii bila ya shaka imetokana na kwamba na yeye alianza kufanya hizo kazi akiwa bado msichana mbichi kabisa. Na ameweza kutuliza akili yake na ku maintain standard na status yake kwa miaka nenda...2020-03-2650 minSalama NaSalama NaEp. 8 - Salama Na Idris | TROOPERMimi kama watanzania wengi sikuwa namfahamu Idris, mara yangu ya kwanza kumuona ilikua kwenye TV akiwa mmoja wa wawakilishi wa Taifa hili kwenye kipindi cha Big Brother mwaka 2014. Nilivyouandika hapa huo mwaka ndo imenigusa akilini kwamba ni miaka sita tu imepita toka Idris Sultan amekua kwenye macho na midomo yetu. Na pengine ataendelea kuwepo kwenye midomo na macho yetu kwa miaka mingi zaidi, kuna sehemu nilikua naangalia interview yake moja na alisema yeye umaarufu ndo kitu ambacho anakipenda zaidi, pengine na ndo maana alienda kwenye shindano la Big Brother Africa na toka ametoka mule kama mshindi sidhani kama kuna...2020-03-191h 01Salama NaSalama NaEp. 7 - Salama Na Fid Q | NGOSHA WA MBASANakumbuka kipindi ambacho Fidi alikua anaamini kabisa kama kuweka ‘uso wa mbuzi’ ndo kulikua kunakufanya uwe ‘hard core’, sina uhakika lini aliachana na dhana hiyo ila kwa kipindi cha miaka miwili au zaidi tabasamu na bashasha vimekua havibanduki kwenye uso wake, jambo ambalo mimi kama rafiki nalifurahia sana. Nakumbuka baadhi ya marafiki zangu wa kike ambao ni wapenzi haswa wa mziki wake walikua wakiniambia eh, sema rafiki yako mgumu jamani, Kha! Mi hucheka tu na baadae wakishazoeana basi sidhani kama kuna hata mmoja anaweza kusema kitu kibaya kuhusu yeye. Nilikua nacheka kwasababu mimi naamini namfahamu rafiki yangu huyu, yeye hupenda...2020-03-121h 23Salama NaSalama NaEp. 4 - Salama Na Barnaba | FUNDIBarnaba ni mfupi (siko hapa kumtoa kasoro) ila wazungu wana usemi wao ambao nitausema kwa kiswahili, ya kwamba vitu vizuuuri huja kwenye pakeji ndogo. Ukitaka kuelewa maana yake kama hujang’amua basi kamuulize Bibi. Umbo lake na uwezo havifanani , na kama ingekua ubora na kipaji ndo ukubwa wa mwili basi mwenzetu angekua kama HERCULES, pia siko hapa kwaajili ya kumtukuza bali kusema vile nimunavyo katika macho yangu. Ni kijana ambaye anajifunza kila siku iendayo kwa Mungu, hajawahi kujikweza, mwenye roho ya Imani, mwenye kumuogopa Mungu na pia asiyesahau alipotoka na pia alotoka nao huko alipotoka. Mtanashati pia, na...2020-02-241h 03Coach AifaCoach Aifa16-Kwanini unatamaa? | Ukweli utakuweka huru, epuka kubeti katika safari ya mafanikio ya biashara.Epuka tamaa ya pesa, kuwa na njaa ya mafanikio, tambua kipaji chako ndani ya biashara yako, ishi ndani ya kipaji hiko kuelekea mafanikio yako. Sikiliza mwanzo mpaka mwisho2020-01-2113 minCoach AifaCoach Aifa10-usicho kijuwa na kimejificha ndani yako kuweza kukuza biashara yako ONLINEUkiweza tambua kipaji chako peesa utaweza kuziqtengeneza katika biashara yetu. Sikiliza hapa.2020-01-1005 minZilla KipajiZilla KipajiMc chally=PowahNew singeli2018-06-0404 minZilla KipajiZilla KipajiMczo Morfan-MwanasportSingeli2017-10-1903 minZilla KipajiZilla KipajiMdogo Hk And Dj Timbwis- HawapoNew singeli2017-10-1805 minZilla KipajiZilla KipajiTozzy-Bado na badoCaptain tozzy2017-10-1803 minZilla KipajiZilla KipajiRansy_boy-Akili Ya PombeNew audio2017-10-1703 minZilla KipajiZilla KipajiPrincess-NawekezaCover2017-10-1203 minZilla KipajiZilla KipajiMc Chally-Nakupenda Rose2017-10-0704 minZilla KipajiZilla KipajiMeja And Dj nguto-Zamila(New_Singeli)Mixing Kali kapiga Dj nguto2017-10-0303 minZilla KipajiZilla KipajiRansy_boy-usingizi(New_song)Ransy boy=usingizi2017-10-0303 minZilla KipajiZilla KipajiZilla Kipaji=DemoZilla kipaji demo2017-10-0302 minZilla KipajiZilla KipajiBelle And Dj Timbwisi=Mtumiwa(New_Singeli)Dogo_belle=mtumiwa2017-10-0206 minZilla KipajiZilla KipajiMr Kesi Media2017-10-0200 minZilla KipajiZilla KipajiZilla Kipaji_LIVE2017-10-0101 minZilla KipajiZilla KipajiBeka Lito And Big Touch=Ubinadamu Kazi(NEW_SINGELI)2017-10-0105 minZilla KipajiZilla KipajiMc Chally=wapigachabo{New_Singeli)Mc chally anaomba kampani zenu2017-09-3003 minZilla KipajiZilla KipajiZilla Kipaji Ft Man Fongo=Sio Powah_RemixSingeli music2017-09-2700 minZilla KipajiZilla KipajiZilla Kipaji=Nalia Na MoyoZilla kipaji=Nalia na moyo2017-09-2504 minBrain Ujazo liveBrain Ujazo liveLive Hip hop Music Mix On 255kwafasiFMHeshimu kipaji chako2017-04-1415 minLackson Tungaraza\'s showLackson Tungaraza's showMWAMBIE MUNGU AKUTAMBULISHEJe unataka kutambulika? Una kipaji, Huduma au ujuzi katika mambo mbali mbali yanayohusu jamii kwa ujumla. Isitoshe umejitahidi kufanya kila uwezalo lakini bado hautambuliki... Hauthaminiki. Shida IPO, sikiliza hili soma na ujifunze kutambulika zaidi. 0764793105 Lackson Tungaraza.2016-08-2707 min