podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Radiorahma
Shows
RadioRahma
Uchunguzi wa habari kuwa vyandarua vya mbu vyaleta kunguni nchini Kenya.
Licha ya shirika la afya duniani WHO,kuidhinisha matumizi ya vyandarua vya mbu vilivyotibiwa,hapa nchini Kenya mkakati huu unakabiliwa na changamoto nyingi kwa sababu kuna taarifa za uongo zinazosambaa kwamba vyandarua hivyo husababisha uvamizi wa kunguni majumbani pindi tu vinapotumika. By:Mwanaharusi Rashid.
2021-12-21
12 min
RadioRahma
ATHARI YA KUJAMIANA KINYUME NA MAUMBILE WAKATI WA KUJIFUNGUA
ATHARI YA KUJAMIANA KINYUME NA MAUMBILE WAKATI WA KUJIFUNGUA.
2021-12-04
11 min
RadioRahma
Changamoto za watu wenye ulemavu wa ngozi maarufu kwa jina albinism
Kulingana na wataalamu wa afya ni kwamba miale ya jua ni kiungo muhimu kwa afya ya binadamu, ila kuna jamii ya watu ambao jua ni hatari kwao na huchukuliwa kama adui mkubwa kwenye ngozi zao. Kwenye Makala haya ya afya tunaangazia changamoto za watu wenye ulemavu wa ngozi maarufu kwa jina albinism. Mtayarishi ni Ibrahim Juma Mudibo.
2021-12-01
10 min
RadioRahma
WAJIPATIA RIZIKI KUPITIA KILIMO CHA MBUYU
Wengi hufahamu jina mabuyu yaliyozoeleka kuliwa kwa kumumunya utamu wake ambapo hupikwa kwa kuchanganya na sukari, rangi iwe ya kijani nyekundu au hata njano pamoja na viungo vyengine ambapo badae huuzwa katika paketi kati ya shilingi 5-50 Lakini je unapomumunya utamu wake unafahamu pale yanapotokaa?.Yanatoka kwa mti wa m'buyu kwa kimombo baobab tree. Ni mti mkubwa wa ukanda wa tropiki na matunda yake ndio yanaitwa mabuyu na lile gamba la tunda linaitwa kibuyu na ubuyu ndio hupikwa na kisha tunaomumunya utamu wake. Mti wa m'buyu ambao huzalisha mabuyu hustawi sana katika maeneo y...
2021-11-29
12 min
RadioRahma
Chanjo za Corona haziathiri nguvu za kiume
Chanjo za Corona haziathiri nguvu za kiume kama inavyodhaniwa na wengi.Mwanahabari wetu alifanya mazungumzo na wanaume waliodungwa chanjo hio na wametibithisha kuwa hawajaathirika,nguvu zao za kiume bado ziko imara. By:Athuman Luchi
2021-11-28
05 min
RadioRahma
Vyama vya pesa mashinani wakati wa Corona
Ujio wa virusi vya Corona humu nchini ulivuruga shughuli nyingi ikiwemo za kiuchumi.Kina mama wengi wamelazimika kujiunga na vyama vya mashinani ambapo wanapata mikopo bila riba na kujiendeleza na bisahara zao ndogo ndogo. Ruth Keah amezungumza na baadhi ya wanawake waliojiunga na vikundi hivyo na kutuandalia makala haya. By:Ruth Keah
2021-11-26
09 min
RadioRahma
Juhudi za kunasua familia kimawazo dhidi ya makovu ya mauaji ya kiholela
Familia nyingi hupata msongo wa mawazo wanapopoteza wapendwa wao kutokana na mauaji ya kiholela.Katika makala haya Ruth Keah amezungumza na baadhi ya waathiriwa ambao wamepoteza jamaa zao mikononi mwa maafisa wa usalama.Wengi kwa sasa wamejiunga na vikundi vya kubadilishana mawazo ili kupunguza msongo wa mawazo wanaopitia. By:Ruth Keah.
2021-11-26
11 min
RadioRahma
Ukumbatiaji wa Bayoteknolojia kwa usalama wa chakula
Mhogo ni chakula kinachoenziwa na wengi na zao ambalo limewapa wakulima mapato humu nchini. Chakula chake ni maarufu katika baadhi ya mataifa ya bara la Afrika, Asia na Amerika Kusini. Kulingana na shirika la utafiti wa kilimo na mifugo humu nchini KALRO, mihogo inapandwa katika hekari laki moja na elfu sabini na mbili nchini ambapo asilimia 60 hupandwa kutoka eneo la Magharibi, Pwani asilimia 30 na eneo la Mashariki likiwa na asilimia 10. Licha ya kuwa tegemeo kwa wakulima, ukulima huo unakabiliwa na changamoto za maradhi ya aina mbili na kusababisha hasara ya mapato kwa wakulima...
2021-11-25
11 min
RadioRahma
MAKALA YA JINSI SEKTA YA AFYA ILIVYOIMARIKA BAADA YA UGATUZI KWALE
Makala by Ali Nariri
2021-11-24
09 min
RadioRahma
Tamu Tamu ya asali yapotea kwa ukame
Mbali na kuwa mdudu mkali wapo waliozama katika ufugaji wa nyuki kwa ajili ya uzalishaji wa asali kwa matumizi mbalimbali ikiwemo dawa. Ikumbukwe kuwa si wengi wenye ujasiri na ukakamavu wa kufuga nyuki kutokana na dhana na kasumba kuwa ni wadudu hatari kufuga licha ya kuwa na manufaa tele. Ufugaji wa nyuki hauna mahitaji mengi ikilinganishwa na ufugaji mwengine wowote cha msingi ni mfugaji kuwa na mizinga. Kama ukulima na ufugaji wengine wowote ule Nyuki pia hutegemea mvua kwa sababu nyuki hutegemea maua kama chakula na wakati wa mvua ufugaji wa nyuki na uza...
2021-11-21
14 min
RadioRahma
Uongozi wa wanawake Wapigiwa upatu Pwani.
Wanawake wengi wameshindwa kuafiki katika maswala ya uongozi kutokana na kasumba inayoendelezwa na baadhi yao kwamba mwanamke hawezi kuwajibikia majuku yake ipasavyo. Kulingana na takwimu za shirika la kimataifa la wanawake UN Women, duniani kuna nchi 27 ambapo wanawake wanachangia chini ya asilimia 10 ya wabunge. By:Nuru Mwalim
2021-11-20
09 min
RadioRahma
Kilimo Cha Pamba ya kisasa chaimarisha Maisha Ya Wakulima Kwale-Part 2
Pamba ni zao ambalo hustawi vizuri katika sehemu kubwa humu nchini. Lakini licha ya hivyo watu wengi hawajaukumbatia sana ukulima wa mmea huo. Mhariri wetu Ruth Keah aliwatembelea baadhi ya wakulima wanaoendeleza ukulima wa pamba ya kisasa katika kaunti ya Kwale na kutuandalia Makala yafuatayo awamu ya pili- Kilimo Cha Pamba ya kisasa chaimarisha Maisha Ya Wakulima Kwale. By:Ruth Keah
2021-11-18
08 min
RadioRahma
Kilimo Cha Pamba ya kisasa chaimarisha Maisha Ya Wakulima Kwale-Part 1
Pamba ni zao ambalo hustawi vizuri katika sehemu kubwa humu nchini. Lakini licha ya hivyo watu wengi hawajaukumbatia sana ukulima wa mmea huo. Mhariri wetu Ruth Keah aliwatembelea baadhi ya wakulima wanaoendeleza ukulima wa pamba ya kisasa katika kaunti ya Kwale na kutuandalia Makala yafuatayo- Kilimo Cha Pamba ya kisasa chaimarisha Maisha Ya Wakulima Kwale. BY:Ruth Keah
2021-11-18
08 min
RadioRahma
Wanafunzi waliopachikwa mimba warudi shuleni Kwale
Simulizi zifuatazo ni za waschana kati ya umri wa miaka 13-14 kutoka shule za msingi tofauti tofauti hapa Kwale. Watoto hawa chini ya umri wa miaka 14 wamedhulumiwa kwa kupachikwa mimba na sasa ni walezi wa watoto. Ila watoto hawa ambao pia ni wanafunzi wameziweka nia za kuendeleza masomo yao ima kwa mimba au baada ya kujifungua. By: Mwanaharusi Rashid
2021-11-18
15 min
RadioRahma
Mazingira na Ajira part 2
Huku changamoto za taka zikiendelea kulikumba jiji hili la mwambao wa Bahari Hindi, makundi ya kujitegemea yamechipuka kama uyoga kuisaidia serikali ya kaunti ya Mombasa kukabiliana na jinamizi hili. By: Majani Rashid
2021-10-28
06 min
RadioRahma
Mazingira na Ajira part 1
Vijana wabuni ajira kupitia kuboresha usafi wa mazingira mitaani Likoni, Mombasa. Huku changamoto za taka zikiendelea kulikumba jiji hili la mwambao wa Bahari Hindi, makundi ya kujitegemea yamechipuka kama uyoga kuisaidia serikali ya kaunti ya Mombasa kukabiliana na jinamizi hili. By: Majani Rashid
2021-10-28
09 min
RadioRahma
Tumaini ya Kina Mama
Ulemavu ni swala ambalo hadi sasa baadhi ya jamii nchini wanalichukulia kama laana na mzigo katika jamii huku jamii ya kiume ikionekana kuchukua usukani katika dhana hiyo. By:Nuru Mwalimu
2021-10-21
09 min
RadioRahma
Mashindano ya Maboti Kilifi
Mashindano ya Maboti ufanyika kila mwaka kaunti ya Kilifi bonyeza usikikilize. By:Baya Kitsao
2021-10-18
05 min
RadioRahma
Biashara ya Manamba Mombasa
Licha ya wengi uidharau kazi ya Manamba na kuihusisha na wezi kwa jina maarufu la mitaani mateja, biashara hii imeonekana kuvutia wengi katika kaunti ya Mombasa bila kigezo cha mri.Mwanahabari wetu Nuru Mwalimu ametuandalia makala kuhusu Biashara ya Manamba Mombasa. By:Nuru Mwalimu
2021-10-10
03 min
RadioRahma
Biashara ya njuguu kwa Walemavu Kwale
Licha ya kuwa jamii inawatenga kutokana na maumbile yao, idadi kubwa ya walemavu eneo la Pwani wamejikita katika biashara ndogo ndogo ili kujikimu kimaisha.Katika kaunti ya Kwale baadhi ya walemavu wamejikita katika uuzaji wa njuguu. By:Athuman Luchi
2021-10-07
03 min
RadioRahma
Wanawake Waliojitokeza Kuwania Viti Vya Kisiasa
Wanawake ulimwenguni wanaendelea kujitokeza kwa hali na mali kupigania usawa wa kijinsia kwa kujiunga katika ulingo wa siasa.Katika makala haya Mhariri wetu Ruth Keah amezungumza na wanawake ambao wamejitokeza kuwania nafasi za uongozi katika siasa mwaka 2022. By:Ruth Keah
2021-10-06
10 min
RadioRahma
Mradi wa ‘Elimu Ni Sasa Initiative' Wasaidia Wanafunzi Kwale
Tangu kuanzishwa kwa mradi wa ‘Elimu Ni Sasa Initiative’kaunti ya Kwake idadi kubwa ya wanafunzi katika kaunti hio wanaofanya vyema wanajiunga na shule za upili na vyuo vikuu ikilinganishwa na miaka ya nyuma ambapo wanafunzi wengi hasa kutoka familia maskini walikuwa wanakwama kuendeleza masomo yao. Mfumo wa Elimu Ni Sasa ulianzishwa mwaka 2013 na lengo kuu ni kuimarisha viwango vya elimu katika kaunti ya Kwale, kama ulipaji wa karo kwa wanafunzi wanaojiunga na shule za upili na vyuo vikuu na vyuo vya ufundi. By: Athuman Luchi
2021-09-29
10 min
RadioRahma
Mashindano ya Mabaoti Kilifi Kaunti.
Kila mwezi wa Disemba wakaazi wa Kilifi ufurahia mashindano ya maboti ambayo uandiliwa kila mwaka kaunti hio. By Baya Kitsao.
2021-09-28
07 min
RadioRahma
Dhana kuwa chanjo ya corona sio salama kwa wagonjwa wa sickle Cell
Licha ya kuwa ugonjwa wa selimundu yaani Sickle Cell kuwa hatari na usiokuwa na tiba cha kushangaza ni kuwa kuna baadhi ya watu wanaougua ugonjwa huo wanaamini kuwa chanjo ya corona sio salama kwao,hivo kususia kudungwa chanjo hio. By:Athuman Luchi
2021-09-16
05 min
RadioRahma
TASWIRA MPYA YA MAJAA MOMBASA
Suala la takataka kujaaa katika majaa pamoja na mitaani huenda likawa linachukua mkondo mwengine baada ya serikali ya kaunti ya Mombasa, mashirika binafsi pamoja na vijana kuongeza juhudi za kusafisha mazingira. Jaa la Kibarani ambalo limekuwa kero kwa wengi kwa miaka mingi kwa sasa ni bustani nzuri ya wananchi kupata upepo mwanana. Je ni vipi jaa hilo lilibadilishwa hadi kuwa bustani ? By Ali Nariri
2021-08-30
12 min
RadioRahma
WENYE AKILI PUNGUANI WAPONA MOMBASA | PART 2
By Athman Luchi
2021-08-17
13 min
RadioRahma
WENYE AKILI PUNGUANI WAPONA MOMBASA | PART 1
Nchini Kenya inakadiriwa kuwa mtu mmoja kati ya watu 10 anaugua shida ya akili, Huku mtu mmoja kati ya watu wanne wenye ugonjwa wa akili anahudhuria vituo vya afya. Wagonjwa wengi wa akili ujipata wametengwa katika jamii na wanaonekana kama waliolaniwa. Jijini Mombasa kumefunguliwa makao na kituo maalumu ya kuwahudumia wagonjwa wa akili cha Women Empowerment for Mental illiness Treatment and Rehabilitation Centre kufunguliwa eneo la Miritini. Kituo hicho kwa sasa kina hifadhi zaidi ya wagonjwa akili 65, huku zaidi ya 50 wakiwa wamepona. BY: Athuman Luchi.
2021-08-17
13 min
RadioRahma
UZAZI NA CHANJO YA CORONA
Ujio wa chanjo ya kudhibithi virusi vya corona nchini imepokelewa kwa mtazamo tofauti , huku baadhi wakisema kuwa chanjo hiyo inazuwia wanawake kupata uja uzito sambamba na wanaume kutokuwa na uwezo wa kuzalisha. By: Nuru Mwalimu
2021-08-16
09 min
RadioRahma
CHANJO YA CORONA KWA WANAWAKE
Wakati huu dunia ikiendelea kuhakikisha chanjo dhidi ya virusi ya corona imesambazwa kwa kila mtu duniani,Asasi za afya zikiongozwa na shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO limetoa wito kwa umma kupuuza habari za urongo zinazosambazwa kuhusu chanjo hizo na kudungwa. Miongoni mwa habari hizo za urongo zimeelekezewa wanawake zikidai kuwa wanapopata chanjo hiyo watapoteza afya yao ya kizazi. Katika makala haya, baadhi ya wanawake wamezungumzia hisia zao kuhusiana na chanjo hiyo inayotolewa humu nchini Kenya ya Astrazeneca. By Ruth Keah
2021-08-15
08 min
RadioRahma
CHANGAMOTO ZA WANAWAKE WANAOTUMIA DAWA ZA KULEVYA
By Ali Nariri
2021-08-13
12 min
RadioRahma
MUI HUA MWEMA
Dawa kali za kulevya kama heroin almaarufu kwa jina unga ni miongoni mwa mihadarati inayojulikana sana Pwani ya Kenya katika miji ya Mombasa, Kwale, Lamu na Kilifi. Dawa hizi zimewasababishia watumizi walio vijana, watu wazima waume kwa wanawake hasara kubwa za kiafya, kiuchumi na kijamii. Pindi mtu anapoanza ya matumizi ya heroine tabia zake hubadilika pakubwa na sio rahisi kuiacha. Utafiti uliotekelezwa 2016 na profesa Nicole Lee mshirika katika taasisi ya utafiti wa dawa za kulevya, chuo kikuu cha Curtin unaonesha kuwa asilimia 10 ya watu wanategemea pombe na dawa nyingine za kulevya na kwamba ku...
2021-08-11
10 min
RadioRahma
MABADILIKO YA MAJUKUMU KWA WAFUGAJI | PART 2
By Ruth Keah
2021-08-07
06 min
RadioRahma
MABADILIKO YA MAJUKUMU KWA WAFUGAJI | PART 1
Mabadiliko ya tabia nchi huathiri shughuli za kibinadamu huku tafiti zikionyesha kuwa wanawake wana uwezekano mkubwa kuathirika na mabadiliko ya tabia nchi zaidi ya wanaume. Makala haya yanaangazia jinsi mabadiliko ya tabia nchi yamewaathiri wanawake kutoka familia za wafugaji huko Maungu kaunti ya Taita Taveta kiasi cha kuwa wamebadilisha majukumu ya familia. Ambapo kwa sasa wanawake wanajukumika kulinda familia huku wanaume wakikaa tu. By Ruth Keah
2021-08-06
07 min
RadioRahma
UVUMI KUWA CHANJO ZA CORONA INAATHIRI NGUVU ZA KIUME
Kulingana na wizara ya afya nchini Kenya, takribani 2% ya Wakenya wamedungwa chanjo hio, huku kati ya 2% ya watu waliodungwa chanjo ya corona zaidi ni wanaume. Pamoja na hayo, kuna uvumi unaoendelea kuwa chanjo hiyo husababisha utasa na kupoteza nguvu za kiume. Licha ya kuweko na uvumi huo, idadi kubwa ya wanaume wanaendelea kudungwa chanjo hio. By Athman Luchi
2021-08-04
04 min
RadioRahma
GENDER KHUNTHA
Khuntha ni watoto wanauzaliwa na jinsia mbili ambapo wakati mwengine jinsi moja huzidi nyengine, katika makala haya tutazungumzia utekelezaji wa haki kwa watoto wanaozaliwa khuntha By Nuru Mwalimu
2021-08-03
09 min
RadioRahma
SINGENGE YA KASAINI | PART 2
By Ruth Keah
2021-08-02
09 min
RadioRahma
SINGENGE YA KASAINI | PART 1
Tatizo la wanyamapori kuingia katika mashamba ya watu katika kaunti ya Taita Taveta limekuwa kero kwa wakazi wa eneo hilo kwa miaka mingi. Ili kutatua tatizo hilo, mtafiti wa kisayansi Simon Kasaine, alivumbua singe’nge inayotengenezwa kwa mabati madogo madogo na kupewa jina la KASAINE FENCES. Mhariri wa Radio Rahma Ruth Keah alizuru eneo la Maungu ambapo wakulima wamenufaika na singe’nge hiyo na kuandaa makala haya. By Ruth Keah
2021-08-02
06 min
RadioRahma
MASAIBU YA WANAWAKE WENYE WATOTO WALEMAVU
Makala By Mwanaharusi Rashid
2021-07-30
14 min
RadioRahma
UBAKAJI WA MATEJA WA KIKE
Kaunti ya Mombasa ina idadi kubwa ya waraibu wa kike wa mihadharati, ambao wengi wao hujipata wamebakwa wakiwa maskani mwao. Wengi wa waraibu hao hushindwa kutafuta haki baada ya kubakwa,hivyo kuishia kuishi na makovu ya milele. By Athman Luchi
2021-07-26
08 min
RadioRahma
JINSI WANAFUNZI WANAUZA MILI YAO KUPATA PESA
Kuhusu jinsi wanafunzi wanauza miili yao ili wapate pesa ya kununua sodo kutokana na umaskini by Baya
2021-06-21
04 min
RadioRahma
DHANA KUWA TANGAWIZI LIMAU NA ASALI NI KINGA NA TIBA YA CORONA | PART 2
Awamu ya pili ya makala ya dhana kuwa mchanganyiko wa tangawizi, limau na asali ni kinga na vilevile tiba ya Covid-19. by Mwanaharusi Rashid
2021-06-18
11 min
RadioRahma
HABARI ZA URONGO KUHUSU ASTRAZENECA MITANDAONI
Makala haya mitandao ya kijamii inavyoeneza habari za urongo kuhusu chanjo ya virusi vya Corona ni sehemu ya pili. Inazungumzia jinsi watu waliokuwa tayari kupata chanjo ya virusi vya corona pindu tu vilipothibitishwa humu nchini. Lakini kwa sasa wamebadili nia zao kwasababu ya habari walizozisoma kutoka mitandao ya kijamii kuhusu chanjo hizo. by Ruth Keah
2021-06-18
09 min
RadioRahma
DHANA YA KUTOKUWEPO KORONA NCHINI | PART 2
Tunaendelea na sehemu ya pili ya makala dhana ya kutokuwepo na Corona nchini Kenya. Katika sehemu hii ya pili tunaungana na wakenya waliopata virusi vya Corona hapa nchini. by Nuru Mwalimu
2021-06-18
09 min
RadioRahma
DHANA POTOFU KUWA WAGONJWA WA SICKLE CELL HAWASHIKWI NA CORONA | PART 2
Licha ya baadhi ya watu katika jamii zetu kuamini kuwa watu wanaougua ugonjwa wa Sickle Cell yaani Selimundu hawashikwi na korona, tumepata kuona kuwa dhana hiyo haina ushahidi wowote wa kitaalamu. Karibu katika makala haya ambapo leo tuna weka wazi kuwa wagonjwa wa sickle cell wanashikwa na corona kinyume na inavyodhaniwa na baadhi ya watu. Kulingana na mtaalamu wa sickle Cell kutoka London kule Uingereza daktari Rachel Kesse-Adu, katika awamu ya kwanza ya corona wagonjwa 250 wa sickle cell waliambukizwa virusi hivyo na idadi hio ikapanda hadi watu 555 katika awamu ya pili ya msambao wa corona.
2021-06-14
04 min
RadioRahma
DHANA KUWA HAKUNA CORONA NCHINI KENYA
Baadhi ya wakenya wako na dhana kuwa hakuna corona nchini kenya kutokana na kuwa wa afrika wako na kinga thabith ambayo inawakinga didhi ya kupatwa na virusi hivyo huku baadhi wakidai kuwa ni mpango wa serikali kujipatia fedha. by Nuru Mwalimu
2021-06-11
10 min
RadioRahma
DHANA KUWA TANGAWIZI LIMAU NA ASALI NI KINGA NA TIBA YA CORONA
Ni kuhusu dhana kuwa mchanganyiko wa tangawizi, maji ya limau na asali ni kinga na vilevile tiba ya corona. Hii ni sehemu ya kwanza ya makala. Lengo ni kusambaza ujumbe kwa wale wanaoamini dhana hii kuwa dawa. ....Baada ya kuzuka kwa virusi vya corona kumekua na habari aina tofauti kuhusu hatua za kuchukua kuepuka kuambukizwa, na habari nyengine kuhusiana na tiba ya corona. Mojawapo ya habari iliyopata umaarufu nchini ni kuhusu utumizi wa tangawizi, limau na asali. Je mchanganyiko wa tangawizi, maji ya limau na asali ni kinga au tiba ya...
2021-06-07
09 min
RadioRahma
DHANA POTOFU KUWA WAGONJWA WA SICKLE CELL HAWASHIKWI NA CORONA
Janga la corona, limekuja na changamoto si haba kwa watu wote duniani na hapa nchini Kenya, watoto wameathirika zaidi. Katika kaunti za Mombasa, Kwale na Kilifi, Watoto wanaougua maradhin ya sickle cell wako katika hatari ya kuambukizwa virusi vya korona kwani kuna dhana potofu kuhusu hali yao na jinsi corona haiwezi kuwaathiri. Baadhi ya wazazi wanadai kuwa wagonjwa wa sickle cell hawashikwi na corona. Athman Luchi
2021-06-04
07 min
RadioRahma
HABARI KUHUSU CHANJO YA VIRUSI VYA CORONA
Makala haya MITANDAO YA KIJAMII INAVYOCHANGIA UTOAJI WA HABARI KUHUSU CHANJO YA VIRUSI VYA CORONA yanazungumzia kuhusu jinsi watu wanavyopokea habari tofauti tofauti kuhusu chanjo ya ugonjwa wa Covid- 19 hasa kupitia mitandao ya kijamii. Ruth Keah.
2021-05-31
08 min
RadioRahma
WASANII NA CORONA
Makala by Ruth Keah
2021-05-28
08 min
RadioRahma
UPANZI WA NYASI ZA BAHARINI
Makala by Faiz Musa
2021-05-24
09 min
RadioRahma
WANAWAKE NA MAZINGIRA | PART 2
Makala by Ruth Keah
2021-05-21
06 min
RadioRahma
ULAJI WA MOGOKA MOMBASA
Makala by Faiz Musa
2021-05-17
09 min
RadioRahma
WANAWAKE NA MAZINGIRA | PART 1
Makala by Ruth Keah
2021-05-14
09 min
RadioRahma
UHABA WA MAJI NA MAZINGIRA MOMBASA
Makala by Faiz Musa
2021-05-10
09 min
RadioRahma
UVUMBUZI WA NJIA ZA KISASA ZA KILIMO
Makala by Ruth Keah
2021-05-07
11 min
RadioRahma
SUMU YA UCHAFUZI WA HEWA
Makala by Faiz Musa
2021-05-03
09 min
RadioRahma
USALAMA WA CHAKULA
Makala by Ruth Keah
2021-04-30
09 min
RadioRahma
SHERIA KUZUIA BIASHARA HARAMU BANDARINI MOMBASA
Makala by Faiz Musa
2021-04-26
09 min
RadioRahma
ONGEZEKO LA BAHARI
Makala by Faiz Musa
2021-04-23
09 min
RadioRahma
UFUFUAJI WA MAZINGIRA | PART 2
Makala by Ruth Keah
2021-04-19
07 min
RadioRahma
UFUFUAJI WA MAZINGIRA | PART 1
Makala by Ruth Keah
2021-04-16
08 min
RadioRahma
TEKNOLOJIA YA KUSAKA HAKI | PART 2
Makala by Ruth Keah
2021-04-12
07 min
RadioRahma
BARAKOA KWA WALIO NA CHANGAMOTO YA KUSIKIA NA KUZUNGUMZA | PART 2
Makala haya yanazungumzia ubunifu wa barakoa maalum kwa watu walio na changamoto ya kusikia na kuzungumza uliofanywa na shirika la Coast Association with persons living with disability. Barakoa ambazo zitawawezesha kuwasiliana na watu kwa urahisi na kwa wakati huo huo kujikinga na virusi vya Corona Makala by Ruth Keah
2021-04-09
08 min
RadioRahma
BARAKOA KWA WALIO NA CHANGAMOTO YA KUSIKIA NA KUZUNGUMZA | PART 1
Makala haya yanazungumzia ubunifu wa barakoa maalum kwa watu walio na changamoto ya kusikia na kuzungumza uliofanywa na shirika la Coast Association with persons living with disability. Barakoa ambazo zitawawezesha kuwasiliana na watu kwa urahisi na kwa wakati huo huo kujikinga na virusi vya Corona Makala by Ruth Keah
2021-04-05
09 min
RadioRahma
TEKNOLOJIA YA KUSAKA HAKI | PART 1
Makala by Ruth Keah
2021-04-02
07 min
RadioRahma
ARDHI ZA DAMU
Makala by Faiz Musa
2021-03-29
09 min
RadioRahma
SAYANSI YA UHIFADHI WA MAZINGIRA
Makala by Ruth Keah
2021-03-26
10 min
RadioRahma
MADHARA YA UTUMIZI WA PLASTIKI
Makala by Faiz Musa
2021-03-22
08 min
RadioRahma
WANAHARAKATI WA KIJAMII WANAKABILIANA NA MANENO YA CHUKI
Makala by Ruth Keah
2021-03-22
11 min
RadioRahma
SIKU YA RADIO ULIMWENGUNI
Makala by Ruth Keah
2021-03-19
10 min
RadioRahma
UFICHUZI WA FEDHA ZA CORONA
Makala by Baya
2021-03-16
12 min
RadioRahma
POLIO
Makala by Ruth Keah
2021-03-15
13 min
RadioRahma
MADHARA YA SANDARUSI BAHARINI
Makala by Faiz Musa
2021-03-12
09 min
RadioRahma
KITENDAWILI CHA MPESA KWA WASIOONA
Makala by Ruth Keah
2021-03-09
07 min
RadioRahma
LISHE BORA NA COVID
Makala by Faiz Musa
2021-02-08
08 min
RadioRahma
COVID NA HABARI GHUSHI
Makala by Faiz Musa
2021-01-29
10 min
RadioRahma
MACHOZI YA WANYONGE WA MOMBASA
Makala by Faiz Musa
2020-12-29
09 min
RadioRahma
MTAZAMO WA VIJANA KUHUSU BBI
Makala by Ali Nariri
2020-12-25
09 min
RadioRahma
MABADILIKO YA TABIA NCHI NA MARADHI
Makala by Faiz Musa
2020-12-19
09 min
RadioRahma
DAWA YA CORONA YAPATIKANA PWANI
Makala by Athman Luchi
2020-12-10
08 min
RadioRahma
KADI ZA AFYA ZINAVYOWAFAIDI WAKAZI WA MITAA DUNI
Makala by Ruth Keah
2020-12-04
10 min
RadioRahma
CORONA NA WAZEE
Makala by baya
2020-11-30
05 min
RadioRahma
ARDHI ZA VILIO KWALE
Makala by Athman Luchi
2020-11-23
07 min
RadioRahma
MAWASILIANO KATIKA KUKABILI COVID 19
Makala by Faiz Musa
2020-11-20
09 min
RadioRahma
UNYANYAPAA DHIDI YA WALEMAVU
Makala by Mwanaharusi Rashid
2020-11-11
11 min
RadioRahma
KOMBE LA BWANAHARUSI WA KIDIGO
Makala by Faiz Musa
2020-10-16
09 min
RadioRahma
UZALISHAJI WAKATI WA CORONA
Makala by Nasra Mkali
2020-10-12
07 min
RadioRahma
MAHANGAIKO YA CHANJO YA COVID 19| PART 2
Makala by Ruth Keah
2020-10-11
09 min
RadioRahma
MAHANGAIKO YA CHANJO YA COVID 19| PART 1
Makala by Ruth Keah
2020-10-06
08 min
RadioRahma
JUHUDI ZA WANAWAKE KULINDA MAZINGIRA| PART 2
Makala by Ruth Keah
2020-10-02
07 min
RadioRahma
MIHOGO YA BIOTECHNOLOGY
Makala kuhusu mihogo ya kisayansi by Ali Mwalimu
2020-09-29
10 min
RadioRahma
JUHUDI ZA WANAWAKE KULINDA MAZINGIRA| PART 1
Wanawake wanajitahidi kulinda mazingira makala by Ruth Keah
2020-09-25
09 min
RadioRahma
UTUMIZI WA DAWA ZA KULEVYA
Hasara ya utumizi wa dawa za kulevya makala by Faiz Musa
2020-09-21
09 min
RadioRahma
CHANJO YA WATOTO WAKATI WA CORONA PART 2
Athari za corona kwa watoto part 2 makala by Ruth Keah
2020-09-18
07 min
RadioRahma
CHANJO YA WATOTO WAKATI WA CORONA PART 1
Corona imeathiri vp chanjo za watoto? by Ruth Keah
2020-09-17
08 min
RadioRahma
USIWADHARAU WAOSHA VYOO
usiwadharau waosha vyoo, kazi ni nadra kupatikana nchini
2020-09-14
08 min
RadioRahma
NDOA ZA MAPEMA
Ndoa za mapema na athari zake by Ruth Keah
2020-09-09
09 min
RadioRahma
KIFO CHA UZAZI NJIANI
Makala ya kifo cha Uzazi Njiani
2020-08-31
06 min
RadioRahma
BAISKELI USAFIRI USIOCHAFUA MAZINGIRA
Kutokana na Uchafuzi wa hali ya hewa ulimwengu, utumizi wa baiskeli unapendekezwa zaidi maana hazina moshi hivyo hazichafui mazingira. Sikiliza makala hayo kuelewa zaidi kuhusiana na baiskeli. Makala by Faiz Musa
2020-08-25
09 min
RadioRahma
PODCAST INTRO
Tutakuwa tunaweka makala ya mada mbali mbali katika mtandao wetu wa podcast yetu. Karibu sana
2020-08-20
00 min