podcast
details
.com
Print
Share
Look for any podcast host, guest or anyone
Search
Showing episodes and shows of
Suleiman Ayoub
Shows
One Step Within Podcast
Njia Nzuri Za Kuendesha Social Media Campaign
kuna njia ambazo zimedhibitishwa kwa namna ya wewe utakavyoweza kuendesha social media campaign yenye manufaa kwako na biashara yako na kwenye hii episode nimeeleza
2022-10-20
11 min
One Step Within Podcast
Usi Uze Bidhaa Uza Offers
watu wengi kwenye biashara wapo kwenye biashara ya kuuza bidhaa cha kushangaza mpo wengi mnao shindana kupelekea kupunguza gharama za bidhaa zako.kwenye hii episode ninakuonyesha namna ya kuuza offers na sio bidhaaa au commodity
2022-10-20
17 min
One Step Within Podcast
Usi Outsource Marketing
hakuna kitu kikubwa na muhimu kwa mfanya biashara au mjasiliamaali kama marketing,ni kitu ambacho sio cha kumuachia mtu mwengine akufanyie yaan sawasawa umuachie mtu alale na mkeo au mumeo sio jambo zuri
2022-10-20
05 min
One Step Within Podcast
fanya webinars LEO
kuna umuhimu mkubwa sana wa kufanya webinars kwenye biashara yako hasa kama unauza bidhaa za bei ya juu. webinars ni moja ya njia nzuri na yenye nguvu kuunganisha mahusiano yako na wateja wako
2022-10-20
05 min
One Step Within Podcast
Kua na Accountability Partner
kwenye maisha unaweza ukafanya kitu ikafikia mahali ukakwama.ila ukiwa na mwenzako pembeni wa kukushikilia kukufanya uendelee pale unapo hisi kuacha ni jambo muhimu sana kwenye maisha
2022-10-20
07 min
One Step Within Podcast
Je wewe una break even lini kwenye biashara yako?
natumai leo nitakueleza jinsi watu wengi wananvyo break even kwenye biashara yako na pia uweze kutambua njia gani ni nzuri za kufuata kuweza kubreak even mapema
2022-10-20
09 min
One Step Within Podcast
Jua Namna Ya Kuleta Wateja Kwenye Biashara Yako
Ndani ya hii episode nimeelezea jinsi gani utakavyotumia social media kuleta watu kutoka kwenye simu zao mpaka kwenye biashara yako na kuanza kukuza na kuongeza wigo wa biashara yako.
2022-09-01
15 min
One Step Within Podcast
Ijue "UNIQUE SELLING PROPOSITION"(USP)
Ijue nini maana ya usp na namna ya kuitengeneza ili uweze kua na message itakayo kutofautisha kati yako wewe na watu wengine mnao fanya biashara moja sokoni,ni muhimu sana hii kuifanya maana ndio itakayoweka utofauti kati ya kua biashara tu ya kawaida au kua biashara itakayofanikiwa.
2022-09-01
08 min
One Step Within Podcast
Tengeneza Makundi Ili Ufanikiwe
Jifunze na kujua namna ya kutengeneza makundi au upanga ili uweze kujua kati ya watu gani hapa duniani umekuja kuwahudumia na wapi sio,simama na kile unachokiamini ili uweze kufika safari mungu akiyotaka uifikie
2022-09-01
10 min
One Step Within Podcast
Nini Maana Ya NFT's Na Zina Msaada Gani
zijue NFT's na kazi zake ili uwezekujua namna ya kuzitumia ili uweze kuingia kwenye uchumi mpya utakao kusaidia kuweza kuuza huduma na bidhaa kwa njia iliyo salama zaidi
2022-09-01
12 min
One Step Within Podcast
Risk
maisha mazuri yenye mafanikio makubwa yanakuja kwa kuchukua risk,jifunze kuchukua risk ili uweze ku prosperndani ya hii dunia
2022-09-01
18 min
One Step Within Podcast
Kua Makini kama una miaka zaidi ya 25
jua umuhimu wa elimu na mawazo unayopewa kwenye maisha yako ili usije ukajutia kwanini ukuyafwata mwanzoni kipindi wakati umeshapita
2022-08-31
06 min
One Step Within Podcast
Karma
Kua makini na vitu unavyo fanya leo maana kesho vitakurudia eidha kwako au kwa familia yako.fanya mema ili kesho uweze kulipwa mema ila ukiamua kufanya mabaya kesho yako utalipwa mabaya,ijue karma vizuri zaidi ili uweze kufanya maamuzi yalio na manufaa kwako
2022-08-31
11 min
One Step Within Podcast
Namna Ya Kuchagua Uwekezaji
Ni muhimu kutambua kipi cha kuwekeza ili mwisho wa siku usije ukamlaumu mtu juu ya maamuzi ulio fanya, kua makini kwenye kuchagua sehemu ya kuwekeza maana kwenye kila uwekezaji kuna risk kwahiyo beba mzigo ambao unaweza ukauhimili hata ukikundondokea
2022-08-31
25 min
One Step Within Podcast
Mafanikio
Pata taarifa kiundani zaidi juu ya swala zima la mafanikio ili uweze kupata kujua vitu ambavyo ulikua hutambui kuhusu mafanikio
2022-08-31
11 min
One Step Within Podcast
Meditation
Jijue zaidi juu ya mawazo na hisia zinazo kujia na kukupitia kila siku ya maisha yako na kuweza kuzizuia na kuweza kuwa present na kutoachia subconsious mind kuendesha maisha yako
2022-08-31
10 min
One Step Within Podcast
Namna ya kuvuta Hisia Ya Mambo Unayohitaji
Jua namna ninayotumia kufannya visualization ambayo inanisaidia kuweza kupata picha nzima ya matokeo ya mbeleni na pia kuweza kuvuta hisia kana kwamba tukio linatokea sasa hivi.
2022-08-31
05 min
One Step Within Podcast
Fanya A/B testing Za Kutosha
ni muhimu sana kuzingatia kufanya A/B testing kila unapotengeneza tangazo maana hujui jinsi gan wateja watavyolipokea tangazo lako,ila uki fanya ab testing utajua tangazo lipi limefanya vizuri kushinda mwengine unavyotengeneza matangazo zingatia sana hiloo
2022-08-31
06 min
One Step Within Podcast
Proximity
jambo kubwa kwenye ukuaji wa mtu ni kujizungusha na watu waliokuzidi na wenye uwezo mkubwa zaidi yako ili uweze kujifunza na kukua ili kuweza kufika pale walipo fika wao
2022-08-30
08 min
One Step Within Podcast
Namna Ya Kumuandaa Mtu kusema ndio
jifunze namna ya ku apply preframe pale unapohitaji kumuomba mtu kitu au jambo lolote ili uweze kupunguza uezekano wa kuambiwa hapana
2022-08-30
06 min
One Step Within Podcast
Namna ya Kutumia 5 second rule kwenye maisha
jufunze namna ya kutumia hii rule kuweza kuvunja zile hisia zinazokurudisha nyuma kufanya kitu na kuanza kuchukua hatua
2022-08-30
04 min
One Step Within Podcast
Matokeo ya Maisha yakoo
mambo yanayotokea kwenye maisha yako ni wewe ulieamua yatokee,matatizo wote tunapata ila kila mtu anayakwake.kama unapitia kipindi ambacho mambo ya ajabu mengi kwenye maisha alaf huelewi inakuaje basi kuna uwezkano kuwa wewe mwenyewe ndo umeyaleta na ni hivyohivyo kwenye mabo mazuri wewe ndo umeyaleta,tuwe makini na mambo tunayo yafanya leo kwasababu yatatugarimu kesho
2022-08-30
06 min
One Step Within Podcast
Market Segmantation
Jifunze namna ya kumjua mteja wako kwenye level ya kiundani zaidi ili uweze kutumia hizo taarifa kwenye swala zima la matangazo kuweza kutumia kwenye mitandao ya kijamii inayo weza kutupa uwezo wa kuwa specific na yule tunae mtarget ili kuweza kupata ROI(return on investment)nzuri kwenye pesa tunayo tumia kutangaza.marketers kama sisi hatutumii hatuna pesaa za kutupa kwenye marketing tuna hitaji njia iliyo kuwa nzuri na ya yalali nitakayoweza kuweka 1000 na kutoka na 2000 au zaidi.Natumai hii elimu itakua na msaada kwako
2022-08-10
08 min
One Step Within Podcast
Monopoly
Kwenye swala zima la biashara, kutengeneza bidhaa au huduma itakayo kosa mpinzani(kwa njia iliyo sahihi)ni jambo kubwa inapokuja kwenye kuteka masoko.Nimeweza kuongea kidogo kwenye hii episode kutokana na elimu niliopata kutoka kwa muandishi wa kitabu za zero to one ameweza kuelezea hili swala vizuri kwenye kitabu hicho,nakushauri kukisoma kuweza kukuza elimu yako
2022-08-10
15 min
One Step Within Podcast
Uvivu Na Kazi
Kwenye hii pisode nimeweza kuweka sawa kwenye swala zima la uvivu kuwa sio swala ambalo ni baya ila ni kwamba kuwa ni jibu na kielelezo kua unachokionea uvivu sio chako na kuweza kutafuta kitu kitakacho kupa nguvu ya kufanya na pia nimezungumzia kuhusu kazi kuwa kuna watu wa aina mbili kuna watu wanaofanya kazi kama wito na kuna watu wanao fanya kazi kwa njia tu ya kupata pesa.natumai hii episode ya leo itakua na msaada kwako.
2022-08-10
10 min
One Step Within Podcast
Uvumilivu
Jifunze elimu sahihi itakayoweza kukusaidia kuweza kukuza uwezo wako kwenye swala zima la uvumilivu,mambo yatabadilika na kuwa tofauti kwenye maisha ambayo hukutegemea kutokea vumilia na mambo yatafika.
2022-08-10
06 min
One Step Within Podcast
Negative Energy
Jambo kubwa kwenye episode ya leo la kutambua ni kuweza kufahamu ni watu wa aina gani unahitaji kuweka kwenye ecosystem yako ili kuweza kupata energy(nguvu) iliyo sahihi kukuwezesha kuendelea na safari ya maisha yako ukiwa na nguvu nzuri
2022-08-10
07 min
One Step Within Podcast
Set a new default
jua namna ya kuweza kupokea taarifa mbaya na kuweza kui process kwa njia iliyo sahihi ili uweze kutokuharibiwa mfumo wako wa hisia ndani ya siku yako nzima.nimeweza kushare na nyinyi hili ili kutokana na nilivyo jifunza kuhusu swala zima la hisia na pia nimeweza kutumia hizo hizo techniq kwenye maisha yangu ya kila siku,natumai itakua msaada kwenu
2022-08-10
11 min
One Step Within Podcast
investments-one step within podcast
kwenye hii podcast nimeweza kutoa elimu niliopata kuhusu investments(kuwekeza)kwenu ili kwa wale wasio na ufahamu juu ya kutumia pesa yao vizuri basi waweze kuifahamu na kuweza kufanya maamuzi yalio sahihi na pesa zenu.
2022-08-07
20 min
One Step Within Podcast
BRAKING A HABIT-one step within
Jifunze njia muhimu zitakazo kusaidia kuvunja tabia ambazo hazikusaidii kwenye maisha yako na kuweza kujenga tabia ambazo zitakua na msaada kwako
2022-08-07
11 min
One Step Within Podcast
entities
jifunze nini maana ya entities ili uweze kumiliki na kutumia hizo entities kwenye biashara yako kujilinda na balaa za hapa na pale kwenye kuendesha biashara
2022-08-07
14 min
One Step Within Podcast
social pressure-one steep within
watu wanao kuzunguka wana influence kubwa juu ya mmaisha yako ya kila siku hasa marafiki zako wa karibu.jifunze na kujua nguvu za marafiki zako na watu wanao kuzunguka kwenye hii episode
2022-08-07
14 min
One Step Within Podcast
uvumilivu
watu wengi wameshindwa kusubiri juu ya vitu walivyo tamani juu ya maisha yao na kupelekea kukata tamaa kwa sababu kubwa tu ya kushindwa kusubiri
2022-08-07
06 min
One Step Within Podcast
private or public
jambo ambalo lili wafanya wafanya biashara wengi kuweza kukaa chini na kufikiria kwenye kufanya maamuzi kati ya kuipeleka biashara yao public au kuibakisha tu kua private.kwenye hii episode utaweza kuelewa tofauti kati ya hayo maneno
2022-08-07
09 min
One Step Within Podcast
msimamo-one step within podcast
msimamo ni swala ambalo watu wengi limekua shida ila kwenye podcast ya leo utajifunza mabo muhimu kuhusu msimamo ili uweze kusimama na kile unacho kiamini bila ya kuyumbishwa
2022-08-07
14 min
One Step Within Podcast
elimu-one step within podcast
pata kuweza kujua ipi ni elimu ya kujifunza na ipi itaweza kukufaa kwenye safari nzima ya maisha yako
2022-08-07
12 min
One Step Within Podcast
cashflow
Jua namna ya kutumia pesa ili iweze kukufanyia kazi wewe badala ya wewe kuifanyia kazi
2022-08-07
08 min
The Arts of Travel
Joey Ayoub: On Israel's Hatred & Palestine's Freedom
This is a conversation with my dear friend, Palestinian- Lebanese Writer & Academic Joey Ayoub We discuss the situation on the ground in Palestine, how all of us can (and need) to stand in solidarity with Palestine, and why Israel - a nation founded on 'never again' - is engaging in ethnic-cleansing and the systemic extermination of the Palestinian people. For more resources on Palestine, Joey recommended the following: Palestine +100 The book of Gaza Larissa Sansour (her films) Elia Suleiman (her films) The Holocaust and the Nakba: A N...
2021-05-23
1h 27